hela

  1. kavulata

    Muungano unachelewesha kuandikwa Katiba Mpya. Tusipoteze hela nyingine

    UKAWA na CCM walitutia hasara ya mabilioni baada ya kukwamisha mchakato wa kuandika Katiba mpya uliotumia mabilioni yetu ya fedha. UKAWA na Mzee Warioba walitaka Muungano na serikali tatu na CCM walitaka serikali mbili za sasa. Kila kundi lilikuwa na hoja nzuri ila CCM walikuwa na hoja nzuri...
  2. N

    Kwanini kuna ongezeko kubwa la wadada wanaopenda hela kwenye mahusiano?

    Mdau hivi kwanini kuna ongezeko kubwa la wadada wanaopenda hela kwenye mahusiano ?
  3. J

    Marekani single mothers wanalipwa milioni 2.5 kwa mwezi, hela ya kujikimu, Tanzania tunawapiga vita

    Single mothers ni wahanga, sio wa kulaumiwa.! Single mothers ni wahanga wa kuachwa na wanaume wasiotaka kubeba majukumu yao, wapenda starehe bila gharama, wanaume Hawa ni mzigo kwa taifa Katika nchi zinazotambua hili, single mothers wamekuwa walipewa hela ya kujikimu kila mwezi, zaidi ya...
  4. McLaren

    Hela ya 'Mchezo' kwa kiingereza inaitwaje?

    Wakuu habarini Hivi hela ya mchezo namaanisha ile ya vikoba au sijui saccos, kwa kiingereza inaitwaje? Soma Pia: Hili suala la wanawake kusaka hela ya mchezo ya kuchangishana ni Tatizo sana Nimeona niulize maana sijawahi kusikia hili neno kwa kiingereza Wataalamu na wajuzi wa lugha jukwaani...
  5. O

    Hela ya Tanzania haina thamani tena, naanza kuiona Zimbabwe Bongo

    Hizi ni ishara tosha kwamba hela ya Tanzania imepoteza thamani yake rasmi.Bwana siku hizi, mtaani na kwenye mitandao ya kijamii kumezuka tabia ya Watanzania kutrendisha mambo yasiyo na manufaa yoyote kama kawaida ya wabongo. Watu wanachezea minoti ya shilingi kumi kumi kama wamevurugwa hivi...
  6. Pdidy

    Ogopa mke anaekupenda ukiwa na hela tu huyo chuma ulete

    Shalom Natoka kusikiliza kesi moja ya wapendwa wanandoa aisee kuna jamaa alishika hela akafanya yake Sasa mke akalianzisha kuachana mwanaume akamwambia 👍 Yaliyotaka kumkuta akatonywa na jamaa yaan rafiki yake huyo mumeo nduguye hakim Wa Morocco utalia Akaenda kuomba mahakaman anampenda...
  7. Gunner11

    Trauma ya Mtoto: Karatasi Iliyofinyangwa

    Huyu jamaa alikuwa mnyama kabisa. What he did was destroy a soul of a 15 yrs old young boy. Imagine unampa mtoto mdogo Lamborghini na bado hapo hapo unakeshesha kwenye party za kishenzi aone upuuzi watu wanaofanyiwa, Hakika kuna watu humu duniani wana laana zisizo koma. Huyu jamaa alizidi...
  8. A

    KERO Walimu ajira mpya 2026 Babati tunachelewa kwa fedha za kujikimu

    Tunaomba msaada wa kutupazia sauti sisi watumishi wa ajira mpya wa mwaka 2026 katika Idara ya Elimu, Halmashauri ya Babati. Hadi leo imepita takribani miezi saba tangu kuajiriwa kwetu, lakini bado hatujapokea fedha za kujikimu ambazo ni stahiki yetu kwa mujibu wa taratibu za utumishi...
  9. Kazanazo

    Mchepuko hautaki tuwekeze unachojua wenyewe ni kutumiwa hela na kula tu

    Ni manzi yangu ya kitambo ila ndio hivyo tena hana malengo yoyote yeye anajua kutumiwa na kula tu. Nilimwambia awe na biashara nimuwezeshe afanye biashara ajipatie hela ndogo ndogo za kutumia cha ajabu anasema sio kazi yake kutafuta pesa. Nia yangu ilikuwa nimuwezeshe awe na biashara ya...
  10. MamaSamia2025

    Heche anapeleka wapi hela anazotafuna? Nyumba anayojenga haiendani na hela zinazotajwa kutafunwa

    Hii nyumba inatajwa ni ya kisasa ila kwangu mimi ni nyumba ya kawaida sana inayopaswa kujengwa na kijana aliyeanza ajira. Hii nyumba imenikumbusha last born wetu alijenga yake inayofanania. Pia kama hii nyumba ingekuwa inajengwa kwenye prime areas za nchi hii ingeongeza uzito kwenye hoja. Hii...
  11. M

    Wito kwa watanzania: Tumchangie hela Heche kama malipo ya kutunyooshea mafisadi na majambazi yaliyoua watanganyika wenzetu

    Ndugu watanzania, husikeni na kichwa cha habari. Kazi iliyotukuka ya makamu mwenyekiti wa chama pendwa CHADEMA, inahitaji kuungwa mkono na kila mzalendo yoyote popote alipo. Ni wakati sasa kuwaonyesha hawa watesi, wauwaji, wafiraji, watekaji na waporaji wa mali za watanganyika kuwa tunaitambua...
  12. Burn the bridge _Tz

    Huu picha ina maana kubwa sana kiroho, ama kweli hela ngumu

    Upindeeeee
  13. mirindimo

    Wafanyabiashara Ubungo wachangishwa hela ya ulizi wa maandamano 7 7

  14. venchwa

    Hivi kwanini wanaume wanaogopa kuwapa wanawake hela? Wapeni hela nao wawape

    Zama za kusubirishana Gizani kusubiri reply zimepitwa na wakati! Sasa we Endelea kutongoza unadhani utafanikiwa bila Pesa ! Kwa sasa kupata mwanamke 1. Kuwa na Pesa 2. Cheo 3. Kipaji 4. Muongo muongo kwa ahadi Hivi hivi hupati kitu! Nyakati hizo zimepitwa Sasa ni nipe nikupe Nimegundua...
  15. A

    KERO Wilaya ya Momba Mkoa Songwe, ajira mpya hatujalipwa hela ya kujikimu

    Watumishi wa ajira mpya katika Wilaya ya Momba, Mkoa wa Songwe, tunaomba msaada kuhusu malipo ya fedha za kujikimu ambazo hadi sasa hatujapokea. Tulielezwa kuwa fedha hizo tayari zilikuwa zimewasili, lakini hadi sasa mwezi unaelekea kuisha bila kupokea malipo wala kupewa taarifa yoyote rasmi...
  16. Red black

    Kama kupata hela ni rahisi kiasi hicho, watu wote wangekuwa mabilionea, Shtuka!

    Mtu anae bet always anakuwa na pressure na msongo wa mawazo Bora hizo buku buku uzichange upate mtaji..ufungue ata genge la kuuza nyanya.
  17. M

    Mapenzi ni hisia na si kuhudumia kwa kutoa hela

    Hisia zitakuua bila kutoa sasampa kwa hawa watoto wa alfu mbili
  18. mr pipa

    Natamani kuoa, lakini hela sina

    Uwezo wa kumlisha ugali masaa 24 upo Na kumvesha nguo za bukubuku upo Nitampata wapi wakuridhia hali yangu ya umaskini
  19. Waufukweni

    Chalamila: Kama huna hela usije Masaki

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, amewavunja watu mbavu wakati akielezea kuhusu umuhimu wa mipango miji katika mkutano wake na watendaji wa mitaa, kata na wenyeviti wa serikali za mitaa uliofanyika katika Ukumbi wa Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC), Posta jijini Dar es...
  20. ndege JOHN

    Salio lako ndio huamua kama Serikali ni nzuri au mbaya

    Ukiwa na hela, ukiona watu wamejazana kwenye mahoteli wanakula bata unasema Uchumi unapiga hatua, watu wana pesa. Ukiwa huna hela unasema Hawa raia wanatoa wapi hela wakati hali ni mbaya hivi? Ukiwa na hela, mafuta yakipanda bei unasema Hii ni hali ya soko la dunia Ukiwa huna hela unakuwa na...
Back
Top Bottom