Single mothers ni wahanga, sio wa kulaumiwa.!
Single mothers ni wahanga wa kuachwa na wanaume wasiotaka kubeba majukumu yao, wapenda starehe bila gharama, wanaume Hawa ni mzigo kwa taifa
Katika nchi zinazotambua hili, single mothers wamekuwa walipewa hela ya kujikimu kila mwezi, zaidi ya...
Wakuu habarini
Hivi hela ya mchezo namaanisha ile ya vikoba au sijui saccos, kwa kiingereza inaitwaje?
Soma Pia: Hili suala la wanawake kusaka hela ya mchezo ya kuchangishana ni Tatizo sana
Nimeona niulize maana sijawahi kusikia hili neno kwa kiingereza
Wataalamu na wajuzi wa lugha jukwaani...
Hizi ni ishara tosha kwamba hela ya Tanzania imepoteza thamani yake rasmi.Bwana siku hizi, mtaani na kwenye mitandao ya kijamii kumezuka tabia ya Watanzania kutrendisha mambo yasiyo na manufaa yoyote kama kawaida ya wabongo. Watu wanachezea minoti ya shilingi kumi kumi kama wamevurugwa hivi...
Shalom
Natoka kusikiliza kesi moja ya wapendwa wanandoa aisee kuna jamaa alishika hela akafanya yake
Sasa mke akalianzisha kuachana mwanaume akamwambia 👍
Yaliyotaka kumkuta akatonywa na jamaa yaan rafiki yake huyo mumeo nduguye hakim
Wa Morocco utalia
Akaenda kuomba mahakaman anampenda...
Huyu jamaa alikuwa mnyama kabisa.
What he did was destroy a soul of a 15 yrs old young boy.
Imagine unampa mtoto mdogo Lamborghini na bado hapo hapo unakeshesha kwenye party za kishenzi aone upuuzi watu wanaofanyiwa,
Hakika kuna watu humu duniani wana laana zisizo koma. Huyu jamaa alizidi...
Tunaomba msaada wa kutupazia sauti sisi watumishi wa ajira mpya wa mwaka 2026 katika Idara ya Elimu, Halmashauri ya Babati.
Hadi leo imepita takribani miezi saba tangu kuajiriwa kwetu, lakini bado hatujapokea fedha za kujikimu ambazo ni stahiki yetu kwa mujibu wa taratibu za utumishi...
Ni manzi yangu ya kitambo ila ndio hivyo tena hana malengo yoyote yeye anajua kutumiwa na kula tu. Nilimwambia awe na biashara nimuwezeshe afanye biashara ajipatie hela ndogo ndogo za kutumia cha ajabu anasema sio kazi yake kutafuta pesa.
Nia yangu ilikuwa nimuwezeshe awe na biashara ya...
Hii nyumba inatajwa ni ya kisasa ila kwangu mimi ni nyumba ya kawaida sana inayopaswa kujengwa na kijana aliyeanza ajira. Hii nyumba imenikumbusha last born wetu alijenga yake inayofanania. Pia kama hii nyumba ingekuwa inajengwa kwenye prime areas za nchi hii ingeongeza uzito kwenye hoja. Hii...
Ndugu watanzania, husikeni na kichwa cha habari.
Kazi iliyotukuka ya makamu mwenyekiti wa chama pendwa CHADEMA, inahitaji kuungwa mkono na kila mzalendo yoyote popote alipo.
Ni wakati sasa kuwaonyesha hawa watesi, wauwaji, wafiraji, watekaji na waporaji wa mali za watanganyika kuwa tunaitambua...
Zama za kusubirishana Gizani kusubiri reply zimepitwa na wakati! Sasa we Endelea kutongoza unadhani utafanikiwa bila Pesa !
Kwa sasa kupata mwanamke
1. Kuwa na Pesa
2. Cheo
3. Kipaji
4. Muongo muongo kwa ahadi
Hivi hivi hupati kitu! Nyakati hizo zimepitwa
Sasa ni nipe nikupe
Nimegundua...
Watumishi wa ajira mpya katika Wilaya ya Momba, Mkoa wa Songwe, tunaomba msaada kuhusu malipo ya fedha za kujikimu ambazo hadi sasa hatujapokea.
Tulielezwa kuwa fedha hizo tayari zilikuwa zimewasili, lakini hadi sasa mwezi unaelekea kuisha bila kupokea malipo wala kupewa taarifa yoyote rasmi...
Anonymous
Thread
ajira
ajira mpya
hela
kujikimu
mkoa
momba
mpya
songwe
wilaya
wilaya ya momba
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, amewavunja watu mbavu wakati akielezea kuhusu umuhimu wa mipango miji katika mkutano wake na watendaji wa mitaa, kata na wenyeviti wa serikali za mitaa uliofanyika katika Ukumbi wa Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC), Posta jijini Dar es...
Ukiwa na hela, ukiona watu wamejazana kwenye mahoteli wanakula bata unasema Uchumi unapiga hatua, watu wana pesa. Ukiwa huna hela unasema Hawa raia wanatoa wapi hela wakati hali ni mbaya hivi?
Ukiwa na hela, mafuta yakipanda bei unasema Hii ni hali ya soko la dunia Ukiwa huna hela unakuwa na...
Kuna malalamiko makubwa kutoka kwetu sisi mawakala wa huduma za miamala ya fedha. Kampuni za mitandao ya simu zimekuwa zikifanya maamuzi yanayotugusa bila kutoa maelezo ya kutosha wala kuwashirikisha mawakala.
Kwa muda sasa tumekuwa tukikatwa sehemu ya fedha zetu wakati wa malipo ya kamisheni...
Anonymous
Thread
fedha
hela
huduma
huduma za fedha
kilio
mamlaka
mawakala
media
tanzania
tigo
uwakala
watanzania
wote
Pongezi kwa kila mwenye kupata riziki halali. Ukiweza kutega mifereji ya kupata shilingi kadhaa, kwa jasho lako (au hata kwa kusaidiwa)...wewe sio MTU wa mchezo mchezo..heeeko👍🏾!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.