hela

  1. Alexido jz instagram

    JamiiForums Tanzania Wabongo bwana, eti huyu alikua anamtumia hela baba yake amjengee NYUMBA, akiwa afrika kusini

    Video imepatikana kijana wetu aloewauwa baba yake na baba yake mdogo kisa walikula hela zake za kumjengea NYUMBA alipo kua afrika kusini, huyu kijana ndio yule wa mwananyamala. Hivi huyu niwakutuma kweli hela Kwa unavo muona
  2. Frank Wanjiru

    JamiiForums Tanzania Simiyu: Wakamatwa kwa kumteka mtoto kisha kumuua baada ya kukosa hela

    Watu watatu wanashikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Simiyu kwa mahojiano kuhusiana na tuhuma za kumteka mtoto mdogo mwenye umri wa Miaka Mitano na kudai fedha kiasi cha shilingi Milioni tano kutoka kwa Baba mzazi wa mtoto huyo kabla ya kumuua mtoto huyo baada ya kuzikosa fedha hizo. Kwa mujibu...
  3. Equation x

    JamiiForums Tanzania Mahusiano yanakula hela, si mchezo!

    Hapa nilipo, warembo sita wameniletea bili zao; Wengine wanasema gesi imeisha, wengine kodi wanadaiwa, wengine wanataka hela ya kwenda kliniki, wengine wanasema chakula kimeisha. Mimi babu yenu, nimechoka kabisa; hawa warembo wananipa presha, nadhani wanataka nife mapema ii wagawane urithi.
  4. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Pole kwa watanzania ambao hela imewakataa

    leo nimeamua kuwapa pole ndugu zangu wote ambao mpaka leo hela imewakataa Pole sana ndugu zangu… najua sio rahisi kuamka account haina hata milion 3 kiukweli Sisi wengine tunaamka tunashika hela, tunakula kuku daily mpaka tushachoka, tunakunywa wine daily, tunachezea hela kamari… halafu tunalala...
  5. Mr Alpha

    JamiiForums Tanzania Fursa haitangazwi na ikitangazwa ujuwe ww ndo fursa. utapigwa hela

    Forex trader wanatangaza Lifestyle huku wanaficha Bidhaa wanayouza (Courses).......Waseme ukweli hela wanapata kwenye Course na sio Ku-trade
  6. B

    JamiiForums Tanzania Stori za Wanawake wanaojiita High Class Pisi Kali, ni kujadili Jinsi ya kupata waume za watu wenye hela.

    Huu umekuwa kama ulemavu sasa. Kwa kazi yangu ya kukutana na Jamii moja Kwa moja nimekuwa mtu wa kajichanganye kwa watu wa rika zote, jinsia zote, levels zote, maskini, Hali ya Kati na matajiri, pia nimeweza kukutana na socialites, influencers, famous na cerebrilities. Mada zao ni kula bata...
  7. A

    JamiiForums Tanzania KERO Watumishi Halmashauri ya Kakonko wameambiwa wataliwa fedha nusu ya walizosaini

    Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko imesainisha ajira mpya kwa watumishi, huku kukiwa na malalamiko kwamba walioajiriwa wameelezwa kuwa watapokea nusu tu ya fedha walizosaini kwenye mikataba yao ya ajira.
  8. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Moja ya uongo watu wanaodanganywa ni kwamba waliopo kwenye ndoa wanateseka jambo ambalo sio kweli

    MOJA YA UONGO WATU WANAODANGANYWA NI KWAMBA WALIOPO KWENYE NDOA WANATESEKA JAMBO AMBALO SIO KWELI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Hii Dunia inamifumo ambayo haitaki umiliki na uwe na maisha mazuri. Kwa namna hiyo zipo propaganda nyingi zinazopotosha jamii kwa lengo la kuwafanya watu...
  9. figganigga

    JamiiForums Tanzania Kakopa hela aende Kizimkazi asionekane Msaliti. Ujinga

    Wanaoenda Kizimkazi ni watu wanaokula Nchi. Ni Mafisadi, Wahujumu Uchumi, na Wana CCM wnaaofaidika na Chama Sasa wewe hela ya kwenda Kizimkazi huna. Ni CCM kweli? Si Bora ujiunge na Masikini wenzio CHADEMA? Kwamba usipoenda Kizimkazi unaonekana humuungi Mkono Samia. Ili kujiipendekeza ni...
  10. wa stendi

    JamiiForums Tanzania Usiseme hakuna hela, sema huna hela

    Kwa kweli ujenzi unafanyika pamoja na hali kuwa ngumu lakini ukitoka nje ya mji kidogo sites huku materilas yanasambazwa hadi unajiuliza hawa wennye sites zao hela wanapata wapi au wanatengeneza wenyewe yaani kiufupi nchi inapigwa kwa kweli hibi watu wanapata wapi hela!hela inapatikanaje...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Aliyemtuhumu Heche kula hela za CHADEMA aomba radhi, Baraza la Wazee Lushoto wamsamehe na kumrudisha kwenye nafasi yake ya ukatibu

    Aliyemtuhumu Heche akiomba radhi"Narudia kuomba msamaha tena kwa viongozi wote walio hapa, kwa Makamu Mwenyekiti. Na imani nimekosea. Basi kama pale nilipokosea na nimeamini nimekosea, naomba anisamehe. Viongozi wote naomba mnisamehe. Nitakuwa wa kwanza kumwalika ziara Makamu Mwenyekiti aje...
  12. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania Ukitaka hela za haraka fungua kanisa kuna majinga mengi; kinachoendelea Kawe kwa Mwamposa kinasikitisha

    Ukiona watu wengi hivi ujuwe umasikini ni mkubwa sana, pia elimu ni duni katika jamii. Ibada za kijinga kabisa kuhusu miujiza, ni utapeli kutumia shida na ujinga wawatu kama fursa hadharani. Tungekuwa na Serikali inayojali, ingetafakari ni wananchi wa kiasi gani walio katika hali ya kukata...
  13. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Tulioajiriwa ni kwamba tumeamua kupata hela mara 12 tu kwa mwaka

    Hatari sana. Unapoajiriwa unakuwa unamuuzia mwajiri wako muda wako. Kuanzia saa 2 asubuhi hadi saa 11 jioni. Mwajiri hukulipa kutokana na wewe kutumia sehemu yake ya kazi kumzalishia mali. Kwa mwaka utapewa hela mara kumi na mbili tu. Dah kweli kuajiriwa ni mtego rasmi wa umasikini. Ndio maana...
  14. chapati mbili na chai

    JamiiForums Tanzania Nahitaji 260,000k Tarehe 18 mwezi huu naombeni kazi au mchongo mpaka tarehe hiyo niwe nimepata hiyo hela

    JF Jeshi kubwa Niko hapa sihitaji mnipe Hela naombeni kazi au shughuli ya kufanya Ili mpaka kufikia tarehe tajwa hapo (Laki mbili na elfu stini za kitanzania) niwe na kiasi hicho Cha Pesa. Nipo Pugu Kinyamwezi hapa msaada wenu ni WA muhimu Sana. Thanks in advance
  15. Club Mate

    JamiiForums Tanzania HOJA BoT inaona freshi Watu kuuza chenji mtaani?

    Wadau, habari zenu. Simaanishi kwamba biashara ya kuuza chenji ipigwe marufuku au wauzaji washughulikiwe. Hapana. Lakini ukweli ni kwamba, uwepo wa watu wanaofanya biashara ya kuuza noti ndogo na sarafu mtaani ni kiashiria tosha cha uhaba wa chenji kwenye mzunguko. Ni wazi kuwa wafanyabiashara...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Gerva Lyenda: Wanaosema Heche anakula hela walete ushahidi

    Akizungumza kwenye mahojiano na Crown Media Julai 27, 2026, Mkuu wa Idara ya Habari na Uenezi wa CHADEMA, Gerva Lyenda, ameeleza kuhusu wanaotoa tuhuma dhidi ya Makamu mwenyekiti wa chama hicho, John Heche kuhusu wizi wa fedha, akisisitiza kuwa fedha za CHADEMA huingizwa kwenye akaunti rasmi ya...
  17. excel

    JamiiForums Tanzania Mteja akikuwekea hela kwenye account yako halafu akaihitaji kabla hujampa huduma, unatakiwa ufanyeje?

    Hello business professionals, mteja amelipia huduma kiasi cha Tsh milioni 1 ili afanyiwe kazi na akabidhiwe kazi yake Jumanne Tarehe 28/7/2026 Ghafla tu anapiga simu anaihitaji hio hela amepata dharura Nifanyeje kuweka sawa hili swala? Process za kazi yake zinaanza saa 11 jioni leo.
  18. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Madogo wa Kiume, Acheni Tabia ya Kuja Inbox Kuomba Hela

    Jamani madogo hasa new members acheni hii tabia ya kuingia inbox za watu kuanza na Bro naomba hela ya kula.Ukienda inbox za watu 100 ukitegemea mmoja atakutumia pesa hiyo siyo sawa. Pesa hutafutwa, siyo kuombwa ovyo. Kama kweli umekwama siku hiyo na una njaa anza kutafuta msaada mtaani kwenu...
  19. kavulata

    JamiiForums Tanzania Muungano unachelewesha kuandikwa Katiba Mpya. Tusipoteze hela nyingine

    UKAWA na CCM walitutia hasara ya mabilioni baada ya kukwamisha mchakato wa kuandika Katiba mpya uliotumia mabilioni yetu ya fedha. UKAWA na Mzee Warioba walitaka Muungano na serikali tatu na CCM walitaka serikali mbili za sasa. Kila kundi lilikuwa na hoja nzuri ila CCM walikuwa na hoja nzuri...
  20. N

    JamiiForums Tanzania Kwanini kuna ongezeko kubwa la wadada wanaopenda hela kwenye mahusiano?

    Mdau hivi kwanini kuna ongezeko kubwa la wadada wanaopenda hela kwenye mahusiano ?
Back
Top Bottom