hela

  1. L

    Boniface Mwamposa:CHIVAYO Alinipigia Simu Wiki Aliyokufa Akitaka Kuja Kwenye Mkesha Lakini Nilimkatalia Ili Watu Wasije Fikiria ndiye anayenipa Hela.

    Ndugu zangu Watanzania, 😄😄😄 Hayo Ni Maneno yametamkwa Na Mtumishi Wa Mungu Nabii na Mtume Boniface Mwamposa akisema Eti Mfanyabiashara Na Tajiri kutoka Nchini Zimbabwe CHIVAYO Eti alimpigia Simu wiki ile aliyefariki. Eti alimpigia ili aje kwenye Mkesha wake . Lakini Eti Mwamposa alikataa kwa...
  2. 1

    “TZS 255,400 kwa Direct Costs… 💔🎓Kwa mwanafunzi anayesoma kwa msaada wa mzazi anayehangaika, mlezi, au anayejilipia mwenyewe, hii si hela ndogo

    “TZS 255,400 kwa Direct Costs… 💔🎓 Kwa mwanafunzi anayesoma kwa msaada wa mzazi anayehangaika, mlezi, au anayejilipia mwenyewe, hii si hela ndogo. Ni mzigo unaoweza kuathiri uwezo wa mwanafunzi kuendelea na masomo. UDSM, tunaomba msikilize sauti ya wanafunzi. 🙏🏽 Tunaiomba UDSM: • Itoe...
  3. R

    Tangu lini watawala wa ccm wakawa na uchungu na wananchi! EL NINO kwao ni fursa kubwa ya kupiga hela na most likely "zimeshapigwa".

    Bilioni 700 ni pesa zimeshagawanywa ...ni fursa...vikao nadhani vimeshakula robo! ☺️ ☺️:CarltonPls: Time will tell!
  4. Zanzibar miradi inaenda kasi sana huku Tanganyika ni hela hakuna ama?

    Aliripoti mwandishi mmoja wa dw Rashidi Chilumba kwamba Zanzibar iwa miaka mitatu imebadilika sana, na kasi ni kubwa. Kiukweli hata ambao hatujafika huko tunaiona kwenye mitandao. Mifano hai Uwanja wa mpira wa Dodoma unaenda kama konokono na muundo wake si mzuri kama ule wa Zanzibar. Mpaka leo...
  5. Nilitongoza idadi ya wadada kumi Facebook hakuna aliyekubali tuonane bila kumpa hela

    Yaani sijui ni nini kwakweli unakuta mdada smart kabisa unakuwa unadhani labda atakuwa sio gold digger. Ila Ukisema tu tuonane shida ndo inaanzia hapo, yaani anataka hela tena wazi wazi bila aibu. Sasa na mm nakupa alaf na kuchapa napita kushoto. Mimi naonaga viumbe vichafu ni wanawake maana...
  6. CCM haina nia ya dhati ya kukuletea maendeleo. Ukiona mradi wowote wa maendeleo jua kwamba umeletwa ili watu wapige hela.

    Huu ndio ukweli wenyewe. Miradi mingi imekuwa ikionhezea bei tofauti na gharama halisi. Barabara ya Morogoro imebomolewa na kujengwa zaidi ya mara tatu, kwanini wasingeipanua mara moja na kujenga barabara itakayodu kwa miaka 50 ijayo? Jibu ni kwamba kwenye ubomozi kuna hela na kwenye ujenzi...
  7. Mwijaku: Mke Wangu Alikuwa Akiniomba Hela Namwambia Sina Anivumilie, Leo Tuna Nyumba Mbili Za Ghorofa

    Mwijaku, amefichua siri ya mafanikio ya familia yake hivi karibuni kupitia vyombo vya habari na mitandao ya kijamii, akieleza jinsi uvumilivu wa mke wake ulivyowawezesha kumiliki nyumba mbili za kisasa za ghorofa. Mwijaku alieleza kuwa katika safari ya maisha yao, mke wake alipokuwa akimwomba...
  8. A

    KERO Wananchi Halmashauri ya Biharamulo tunalazimishwa kufanya usafi huku tukilipa fedha za usafi kila mwezi

    Halmashauri ya Wilaya ya Biharamulo imekuwa ikitoza ada ya usafi kwa kila kaya, ofisi na wafanyabiashara. Wananchi wamekuwa wakilipa fedha hizo kwa matarajio kwamba zitatumika kuboresha usafi wa mazingira katika maeneo mbalimbali ya umma, ikiwemo kusafisha mifereji ya maji na maeneo mengine...
  9. KERO Wanafunzi wa PostGraduate UDOM tulitoa hela za extension na sasa wameweka grace period, ila hawataki kurudisha fedha

    Mwaka jana, chuo kilitangaza kuwa hakukuwa na grace period, hivyo muda wa masomo unapomalizika, mwanafunzi alitakiwa kulipia extension ili kuendelea na masomo. Hata hivyo, mwaka huu chuo kimetangaza kuwa grace period ipo kwa muda wa miezi mitatu. Changamoto ni kwamba sisi tuliolipia extension...
  10. Mpenzi wangu bado anajitafuta, nimepata kazi kabla yake. Je, nikope hela nimpe mtaji tuoane kama tulivyopanga tukiwa chuo?

    Tukiwa chuo mimi na mpenzi wangu tulipanga kwamba tukimaliza akipata kazi baada ya miezi Sita anakuja kwetu kutoa mahari tunaoana. Baada ya chuo kumalizika mambo yamekuwa tofauti kwani kila akitafuta kazi hapati, na mimi nimepata kazi kabla ya mpenzi wangu ambaye bado anajitafuta na kwa sasa...
  11. Halmashauri ya Siha mliwaza nini kumpa barua ya uhamisho mwalimu huku mkijua hakuna hela za kumwezesha kuhama?

    Barua ya uhamisho mlitoa mwezi wa 11 mwaka 2025 halafu malipo ya kwanza Tsh 360,000/= mkatoa Januari 2026. Hivi kabla ya kuandika barua ya uhamisho hamkujua kuwa hakuna hela? Kinachokera zaidi pesa yenyewe mmelipa kwa mafungu karibia mwaka mzima. Na hii inawezekana ubishi wa mwalimu umechangia...
  12. Biashara haramu zina hela nyingi sana.

    madawa ya kulevya...Bangi,unga Uuzaji wa viungo vya binadamu Figo,bandama, uuzaji wa silaha kwa vikundi vya waasi, Usafirishaji wa binadamu kwa ahadi ya kwenda kuwapatia maisha mazuri kumbe ni kwenda kuwauza, Kuforge bidhaa fake kama pombe kali, electronics devices...nk Hapo hela imelala ya...
  13. Kufuru ya Samia Suluhu kukopa Hela za El-nino, ila tunaishia kujengewa madaraja ya Miti. Hela anazipeleka wapi?

    Mzanzibar Samia Suluhu Hela anazokopa za El nino anazipeleka wapi? Wakikopa wanatafuta kama 10% wanawapa Vyombo vya habari viongelee Mvua za El nino, wanaagiza Wakuu wa Walaya na Mikoa kukagua Miundombinu na kutisha watu kuhusu Mvua za El nino. Utawaona barabarani na Mifagio eti wanafanya...
  14. Ni kazi gani watu wanadhani ina hela lakini kwa ground ni 'Msoto Mtupu'?

    Nauliza tu maana nilishawahi kufanya kazi kama mtangazaji kwenye redio moja ya mkoani Lakini weee hakuna rangi niliacha kuona Tulikaa miezi 6 hatujalipwa alafu Boss anakuambia "Bro, hapa tunakupa platform ukue, jina likiwa kubwa utapiga hela." Tatizo ni kwamba hiyo platform haiwezi kulipa...
  15. Mimi ni mwafrika "utamaduni wetu ni hela"

    Mimi ni mwafrika "utamaduni wetu ni hela" ungependa kuhisi kuwa ipo siku utavaa mavazi ya asili yetu... Jamii ya kitanzania itabadilika na kuanza kupenda Asili yao? Hisi umebeba kitu kizito kichwani
  16. Natamani ningekuwa na uwezo wa kumuombea dua mtu anipe hela ya chai

    Halafu na mimi ningeweza kuishi vizuri . Alikuwepo yule Kiboko ya Wachawi ambaye ukitaka tu kufanya appointment naye ilikuwa lazima umpe sh laki chache.
  17. Hivi zile chopa za CHADEMA zilipoteleaga wapi kama waliuza na kugawana hela waweke wazi watu wajue huu ukimya ni Rushwa.

    Viongozi wa chadema semeni chopa zipo wapi mbona hazipo ufipa Wala unyaturuni🤣🤣 Na zile gari zipo wapi naskia zilibadilishwa rangi na usajiri haya wazee wa ufipa karibu kwa mjadala
  18. A

    KERO Changamoto na unyonyaji wa wafanyakazi - Jambo Group of Companies, Shinyanga

    Mimi pia nilikuwa mfanyakazi wa Jambo Group of Companies, hivyo haya ninayoyaeleza siyo taarifa ambazo nimezisikia tu kutoka kwa watu wengine, bali ni mambo ambayo nimeyaona, nimeyapitia na nimefanya kazi katika mazingira hayo mwenyewe. Hadi sasa mimi mwenyewe ni mdaiwa wa kampuni kutokana na...
  19. A

    DOKEZO Hospitali ya Wilaya ya Mbinga (MDH), Watumishi hatulipwi stahiki zetu

    Watumishi wa Hospitali ya Wilaya Mbinga (MDH) hatulipwi stahiki zetu, ikiwemo fedha za uniform, extra duty, likizo, duty na call. Watumishi tunaishi maisha magumu sana huku Katibu, kila akiulizwa, hana majibu mazuri. Fedha za Basket Fund tunazikusanya na tunapata, lakini hakuna malipo...
  20. A

    KERO Walimu wa Elimu Secondary wilaya ya Bariadi DC hatujapewa hela ya kujikimu na tukiulizia tunatishiwa kupelekwa Shule za vijijini au tunasakiziwa kesi

    Tunaomba utupazie sauti walimu Ajira mpya Halmashauri ya Bariadi DC mkoa wa Simiyu tupewe hela zetu za kujikimu. Tumekuwa tukipeleka taharifa kwa uongozi wetu na majibu tunayopewa ni aidha hela zetu wamezitumia kulipa madeni ya likizo au hela zetu hazijatoka serikali kuu, wakati huo watumishi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…