haya

Hidaj (Persian: هيدج; also Haiyeh (Persian: هَيا), also Romanized as Hayā and Khiya) is a city in the Central District of Abhar County, Zanjan Province, Iran. At the 2006 census, its population was 11,798, in 3,011 families.

View More On Wikipedia.org
  1. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Majenereta ya umeme ni ya nani haya jamani?

    Kumbe hawa Viongozi wetu wanazima umeme kwa makusudi ili wapate kufanya biashara zao za kuuza Majenereta? Ama kweli Tutamkumbuka Sana RIP Doctor Magufuli, aliwahi kusema akiondoka kila kitu kitarudi kama zamani na kweli tunaona sasa.
  2. Kadoda nguku

    JamiiForums Tanzania Kwa matokeo haya ya wajumbe wa NEC, kipo kitu nyuma ya Pazia, Mwenyekiti shtuka

    Uchaguzi umekwisha , na wajumbe wa NEC wamechaguliwa. Itoshe kusema kanda ya ziwa ndio walio shinda kwa kurudi na wagombea wao wote. Matokeo Uchaguzi wa Wajumbe wa NEC-CCM Kwa Upande wa Tanzania Bara 👇🏼👇🏼👇🏼👇🏼👇🏼 Mkutano wa kumi wa CCM umefanyika na haya ndio majina ya wajumbe waliochaguliwa...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Nawamiss Watanzania. Nikirudi huko kwenu naomba Mnitembeze haya maeneo nimeyasikia wenzenu wakiyataja Huku niliko

    Unajua sisi wengine hatuna maringo au kujitenga na watu wenye njaa au shida. Wale jamaa nliwapa pesa wakae Hotel nzuri jana siku nzima walikuwa wananitafuta. Si hakukuwa na match. So wakaona wapate muda wa kuona Jiji na mimi. Wamekuja na mademu wao na mimi wameniletea wawili. Wasichana wenyewe...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Matokeo Uchaguzi wa Wajumbe wa NEC-CCM Kwa Upande wa Tanzania Bara

    Mkutano wa kumi wa CCM umefanyika na haya ndio majina ya wajumbe waliochaguliwa kuwa wajumbe wa NEC-CCM kwa Tanzania bara. Wanawake 1. Dkt Angelina S Mabula Kura 770 2. Dkt Ashatu Kijaji Kura 764 3. Christina Solomon Mndeme Kura...
  5. 666 chata

    JamiiForums Tanzania Haya mambo ya kupata mke mtandaoni yana ukweli?

    Tunaweza tukawa tupo kwenye mahusiano na wapenzi wetu tunaotarajia kuwaoa ila tunazinguana/kugombana kila siku, wakati kuna mitandao ambayo ipo kiganjani kwetu inaweza kututimizia haja ya mioyo yetu. Kiufupi, watu wengi hatuna muda wa kutongoza, hatuna muda wa kupita mitaani na kuangalia...
  6. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Utakatatifu ndiyo dini yenyewe, haya mambo mengine mnalisha upepo tu

    If you want God to change your destiny make sure you live with God, saidia Masikini wenye uhitaji wa kweli ukifanya hivi hautokuwa miongoni mwa masikini Maisha yako yote. Saidia wazazi wako wakiwa bado hai . Hakikisha unaitunza Familiya yako vizuri . Walipe wafanyakazi wako ujira mzuri...
  7. Four-Star General

    JamiiForums Tanzania Kwa mabehewa haya ya SGR Dar mpaka Mwanza ni masaa mangapi?

    Nimeyaona leo hapo town, mzigo umeanza majaribio. Kwa makadirio yako unahisi Dar mpaka Mwanza itakuwa siku ngapi?
  8. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Tegemea haya unapoacha pombe, bangi au sigara, kimoja kitakurudisha uanze upya, kingine kitakufanya uache kuwa mraibu na kuanza maisha mapya

    Kwa kuanza niseme tu kwamba kama vilevi hivyo havikuathiri kimaendeleo basi we endelea tu kuselebuka, Wapo watu kama kina snoop dog wanavuta bangi kwa muda mrefu na maisha yao wala hayana shida zaidi ya kutoboa zaidi. Maada hii ni kwa wale ambao wanataka kubadili maisha yao na kuona wazi kwamba...
  9. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya Darasa la Saba 2022 yametoka rasmi

    Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA), limetangaza matokeo ya Darasa la Saba ya mwaka 2022. Matokeo yanaonesha watahiniwa zaidi ya Milioni 1.07 kati ya Milioni 1.34 waliofanya Mtihani ambayo sawa na asilimia 79.62 wamefaulu kwa kupata madaraja A, B na C. Bonyeza hapa kuona matokeo darasa la saba...
  10. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Haya mtakaofuata kuanzia jana 'Tundu' liko wazi tu kwa ajili yenu

    Na Siku zote raha ya Tundu lililowazi ni kila mara tu kutupwe Mchele wa Mbarali ili Ndege wazuri wa Gerezani Mbeya waingie Kuula au Korosho za Namungo Lindi ziweze kupenyezwa humo ili ziive vizuri.
  11. J

    JamiiForums Tanzania Wajuzi wa biashara wa maeneo haya, nipeni mbili tatu!

    Habari za mchana wana JamiiForums na wapenzi wa jukwaa la Biashara na Ujasiriamali. Nimekuja kwenu kuomba ushauri na sitaki kuwachosha, naenda moja kwa moja kwenye mada. Haya wanajamvi, ndugu yenu naondoka hapa Dar es Salaam naingia mkoani kwa shughuli za utafutaji. Naombeni ushauri kati ya...
  12. Dam55

    JamiiForums Tanzania Nimejikuta tu nayaamini haya maneno ya Hayati Magufuli

    Aliyasema hayati JPM kwenye hotuba yake ya kwanza bungeni 2015. Leo nimejikuta nayaamini haya maneno.. Mama sijui unakwama wapi? Watanzania sio wajinga wanaona kinachoendelea shtuka mapema.
  13. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Kuwa introvert bila mambo haya ni Ukichaa

    HI great thinkers Introvert ni mtu anaependa ku spend time mwingi on his own, siyo mtu wa kujichanganya au kushobokea watu au vitu vya watu wengine, mikusanyiko na sherehe siyo rafiki kwake. Lakini kama wewe una tabia hizo tunategemea uwe na yafuatayo, tofauti na hapo wewe ni kichaa. 1...
  14. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Haya ndiyo Mapepo yanayomzuia Yesu asirudi kwa mara ya pili

    INCUBUS NA SUCCUBUS: MAPEPO YENYE LENGO LA KUMZUIA YESU ASIRUDI KWA MARA YA PILI DUNIANI Duniani wawili wawili. Umewahi kujiuliza kwa nini? Kwa nini mtu afanane sana na mtu mwingine ambaye hata si ndugu yake na labda mmoja anaishi Kagera na mwingine Tanga? Au mmoja anaishi Rwanda na mwingine...
  15. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Mwenye kujua tafsiri ya maneno haya kwa Kiingereza anasaidie.

    1. Ubwabwa 2. Wali 3. Pilau 4. Uji wa mapande 5. Mchele 6. Mpunga 7. Chuya 8. Pumba = Rice bran. By Kinyungu
  16. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Haya mabehewa TRC Wamezitolea ufafanuzi wa Kitaalamu kabisa

    Ukiangalia haya ni kama yale ambayo huwa yanauzwa kupatana.com au zoomtanzania. Sijui lakini. Au kikuu.com Naamini ukiwa mzoefu wa ku tafuta tafuta vitu kwenye mtandao utayakuta used hapa bongo au nchi za wenzetu. Haya mabehewa utaambiwa hayajawahi pata ajali na pia aliyekuwa anayatumia ni...
  17. Musa Kadiko

    JamiiForums Tanzania Behewa za SGR zaanza kuwasili nchini Tanzania

    Behewa 14 za SGR zimeanza kuwasili nchini Tanzania kutoka nchini Korea Soma pia: Uzi mkuu unaoonesha yaliyojiri kwenye mradi wa SGR tangu kuanza kwake mpaka mradi ulipofikia hivi sasa
  18. Empty containers Tanzania

    JamiiForums Tanzania Nilimeza dawa za Malaria nikachubuka Uume na Midomo. Je, Serikali inafahamu kuhusu haya Mambo?

    Kama haya madhara mnayafahumu kwanini mnapiga kimya hamtoi taarifa kwa watumiaji? Uume ulichubuka na kutoa usaha Then nyie mpo kimya tu Daktari anasema Kuna salfa Lakini why nyie Viongozi wa dawa za Binadamu hamtoi Mwongozo?
  19. Sambinyakwe kitololo

    JamiiForums Tanzania Hizi pesa za chaguzi kwa matumizi haya huwa zinatoka wapi?

    Habari za muda huu watu Nauliza hivi hizi hela za chaguzi huwa zinatoka wapi je Kuna wadhamini au? Mana ukiangalia pesa zinavotumika hupati majibu. Nakumbuka miaka kadhaa nikiwa chuo zile chaguzi za serikali ya chuo sijui rais wa chuo form ilikuwa Kati ya 100k to 200k nadhani alafu mtu anaanza...
  20. Pac the Don

    JamiiForums Tanzania Wengi humu tulipingwa kuhusu madhila haya

    Sasa leo wameanza kukiri waenyewe tena wazi wazi kabisa, mwanzoni tuliambiwa sijui wanajiteka wenyewe mara walikua mafisadi. -- “Wakati wa serikali ya awamu ya tano,tulilalamika hata Bungeni nilizungumza,watu walikuwa wanatoka huko Ikulu wanasema ni maelekezo ya Rais,unakamatwa unanyang'anywa...
Back
Top Bottom