haya

Hidaj (Persian: هيدج; also Haiyeh (Persian: هَيا), also Romanized as Hayā and Khiya) is a city in the Central District of Abhar County, Zanjan Province, Iran. At the 2006 census, its population was 11,798, in 3,011 families.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    JamiiForums Tanzania Kwa mujibu wa sheria ukifanya mambo haya haihesabiki kama umefanya uchochezi

    Kwa mujibu wa kifungu cha 55(2) cha Kanuni za Adhabu Sura ya 16, kitendo hakiwezi kuhesabiwa kama kufanya uchochezi ikiwa umefanya mambo haya; (a) Kuonyesha kwamba serikali imepotoka au imekosea katika mwenendo wake wowote; (b) Kuonyesha makosa au mapungufu katika serikali au Katiba ya Jamhuri...
  2. JamiiForums Tanzania Tuache unafiki, kuwa na mtoto mwenye ulemavu au magonjwa haya ni baraka?

    Na wengi wao huishia kufungiwa ndani, Mtoto mwenye matatizo ya akili, waweza kuta mtoto umezaa ana ulemavu kwenye akili yani hata yeye ni kama vile hajitambui, Kipofu - Hawezi kuona, kujifunza pia inakuwa ngumu sana, kwa mazingira yetu hata kutembea nje kwa fimbo si salama. Bubu - Hawezi...
  3. JamiiForums Tanzania Yajue maficho ya Simu za Wizi

    Wakati wezi wa simu za mkononi wakiendelea kuwatesa wananchi, mafundi wa vifaa hivyo wametajwa kuwa kivuli cha kuwaficha wahalifu hao. Mbinu kuu inayotumiwa na mafundi ni kuzibomoa simu hizo na kutumia sehemu zake kama vifaa vya kutengenezea zingine zilizo mbovu. Kutokana na matumizi hayo...
  4. JamiiForums Tanzania Mabadiliko ya tabia utu haya dhahma tupu!

    Men in the past, men of today!
  5. L

    JamiiForums Tanzania Haya hapa majina ya ajira Mpya za Afya Septemba 2023

    Ofisi ya Rais – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR-TAMISEMI) inapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali za kada za afya waliowasilisha maombi katika kipindi cha mwezi wa April, 2023 kuwa mchakato wa kuwapangia vituo vya kazi umekamilika kwa awamu ya tatu. Awamu hii ni kwa...
  6. A

    JamiiForums Tanzania Je, unaweza kuishi kwa kula matunda na mbogamboga pekee kila siku?

    Wakuu habarini I hope wote ni wazima wa afya. Wakuu naomba kuuliza, hivi inawezekana mtu kuishi kwa kula matunda na mbogamboga as normal diet? Nauliza hivi kwa sababu I have diagnosed kuwa damu yangu ni chafu, ina bacteria wengi sana, pia figo yangu ya kulia imevimba. Hivyo nahitaji kuhuisha...
  7. JamiiForums Tanzania Kero Makanisani: Mwambie mwenzako, mshike mkono mwenzako, mkumbatie mwenzako. Haya maneno chanzo cha michepuko mipya Kanisani

    Mimi ni muumini wa kanisa la KKKT, sasa Kuna Shida Moja inanisumbuaga Kanisani ni pale Mchungaji anakuwa anahubiri mara ghafla anakwambia mgeukie mwenzako au Mshike mkono Mwenzako. Yaani unageuka unakutana na mdada mzuri mweupee ana shepu pale pale unahama Kanisani. Tena akiwa na yeye yupo...
  8. JamiiForums Tanzania Swali chokonozi: Ni sababu gani ya msingi inaweza kuzuia mikutano ya hadhara kufanyika maeneo haya?

    Ni sababu ipi ya kiutaalamu inayosababisha mikutano isiruhusiwe mbugani au hifadhini? Je, ni usalama wa Wapinzani wasiliwe na Simba? Maana wa chama tawala uwezo tunao wa kujilinda dhidi ya Simba ndo maana CCM Sisi hata leo tukiamua tunafanya. Je, ni kuharibu nature ya eneo kama tunawaruhusu...
  9. JamiiForums Tanzania Naomba kujua tofauti ya maneno haya ya kisiasa

    Wataalamu wa masuala ya kiasiasa na hata wa lugha ya kiswahili naomba kujua tofauti ya maneno haya. Makamu, Naibu na msaidizi. Kuna makamu wa Rais, Naibu katibu, na Katibu msaidizi. Kwa Nini isiwe naibu mwenyekiti, au makamu wa katibu, Naibu mwenyekiti? Kwa kweli sijui kwa Nini Yako hivi...
  10. D

    JamiiForums Tanzania Serikali zuia mauaji haya yasitokee. Mnyeti hili ni lako!

    Wanajamvi, wazee wetu walituasa kwamba kinga ni bora kuliko tiba! Kambi ya wavuvi Migongo Kijiji cha Kisaba kata ya Maisome Sengerema mkoani Mwanza hali ya usalama si shwari na damu inaweza kumwagika muda wowote toka Sasa. Kambi hii inaweza kuongoza mkoani Mwanza kwa uvuvi haramu kwa kutumia...
  11. JamiiForums Tanzania Siku ikatokea nikawa Rais wa nchi nitahakikisha haya yanatokea. Weka yako pia tuchuane kuipa nchi mawazo chanya

    Pita yote usiachie nusu tafadhali 100. Kutoa motisha kwa vijana kwa kila namna inayowezekana kupenda mambo ya msingi. Hii itawezesha kuwafanya wapende kujihusisha na ubunifu, uzalendo, kujitegemea, kutoa mchango mkubwa kwa taifa lao. Sio kama hali ilivyo sasa wengi wao wanatamani na kujitahidi...
  12. JamiiForums Tanzania Haya wale Bana Kongo (Bandeko Nangai) Wenzangu hapa JamiiForums Msaada tafadhali

    Hakuna Kitu ambacho GENTAMIYCINE nakipenda ukianza Kuntukuza Mwenyezi Mungu, Mpira na Kusikiliza Muziki wa Congo DR tena mpaka Kuiimba na Kuicheza kabisa na kusahau matatizo yangu yote yakiongozwa na Umasikini wangu Ulionitukuka. Hapa nilipo sasa nausikiliza Wimbo mtamu wa Magie (Magic)...
  13. JamiiForums Tanzania Haya wale mabachela na wale wasiojua kupika wali mweupe

    Mahitaji: mchele, maji, chumvi,mafuta bila kusahau moto wako wa gesi, mkaa,au kuni etc.hatua ya kwanza washa moto wako, kisha injika sufuria lako jikoni,unapoinjika tu akikisha mchele wako nao upo kwenye maji mambo ya kusema mnapika wali bila kuloweka mchele, ndo mana unatoka unatafunika, na...
  14. JamiiForums Tanzania Haya mambo si mazuri yanashusha hadhi ya tiba asili

    Watu wa tiba asili mnafumbia macho mambo haya yanashusha hadhi ya tiba asili. Unakuta mtu anaenda na dawa za kienyeji mnadani, au anatembeza mitaani kama nguo chukueni hatua. Pigeni marufuku mbona watu hawabebi Fansida, Alu nk kupeleka mnadani? Wauze mahala maalum Ili hata mgonjwa akihitaji...
  15. JamiiForums Tanzania Kinachoendelea Kigoma kuibua wachawi ni udhalilishaji, upuuzi na uchonganishi

    Narudia tena ni Udhalilishaji, Upuuzi, Ushenzi, Uchonganishi na Utapeli. Nimefika mkoa wa Kigoma Tokea Majuzi nilicho Kikuta huku Sielewi Huku ninchi Nyingine au ni Tanzania hii hii ! Kuna kitu kinaitwa  KAMCHAPE, hawa wapuuzi nani kawaleta, Hili kweli nani kalipa Baraka kufanyika karibu mkoa...
  16. JamiiForums Tanzania Kassim Majaliwa: Namuagiza Naibu Waziri Mkuu kushughulikia suala la uhaba wa mafuta nchini

    Fuatilia yanayojiri kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 12, Kikao cha 8, leo Septemba 7, 2023. https://www.youtube.com/live/soJPf67OkQM?si=PyIaBMuE5kEcrnq- Ratiba: Hati za kuwasilishwa Mezani Maswali kwa Waziri Mkuu Maswali ya kawaida Waziri Mkuu Kassim Majaliwa: Namuagiza Naibu Waziri Mkuu...
  17. JamiiForums Tanzania Kwa Mafuriko haya makubwa ya Brazil sasa hivi Kocha Roberto ataomba Udhuru hata kama hayajatokea Mji atokao

    Na hivi anavyopenda kwenda Kwao ( Brazil ) mara kwa mara nina uhakika hii Taarifa ya kutokea kwa Mafuriko makubwa nchini Brazil hivi sasa atakuwa anaitafuta Pasipoti yake ilipo na baadae awapigie Simu Viongozi na baadae Mchana au Jioni au Kesho aliamshe ( aende ) Kwao. Mwenye namba ya Simu ya...
  18. JamiiForums Tanzania Utakapofanya haya utahesabika kutenda Uhaini

    Uhaini ni kosa la jinai . Ni kosa kati ya makosa makubwa ya jinai. Katika jinai yapo makosa makubwa na yapo makosa madogo. Yumkini udogo na ukubwa wa kosa waweza kupimwa kwa kutizama adhabu ya kosa. Kosa ambalo huadhibiwa kwa adhabu ndogo huwa ni...
  19. JamiiForums Tanzania TLS, wanachama wenu wanafuata maadili ya uwakili au wanajiendea tu?

    IV. LAWYER AND JUDGE Lawyers and judges owe each other respect, diligence, candor, punctuality, and protection against unjust and improper criticism and attack. Lawyers and judges are equally responsible to protect the dignity and independence of the Court and the profession. l. I will...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…