haya

Hidaj (Persian: هيدج; also Haiyeh (Persian: هَيا), also Romanized as Hayā and Khiya) is a city in the Central District of Abhar County, Zanjan Province, Iran. At the 2006 census, its population was 11,798, in 3,011 families.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    JamiiForums Tanzania Wangapi wamemuelewa Rais Samia katika hili?

    Rais anapokuwa hana maono kazi yake kubwa inakuwa ni kutafuta umaarufu badala ya kuumiza kichwa kuhusu ustawi wa watu wa taifa lake. Wangapi wamemuelewa rais Samia ktk hili?
  2. Lwakalisa

    JamiiForums Tanzania Kwa malezi haya ya watoto wa kizazi hiki, ni bomu linalokuja

    Nimeguswa na aina ya maadili waliyonayo watoto wa kizazi cha leo, ni kama wazazi wameacha majukumu yao katika malezi. Wakati wa malezi yetu tulifundishwa hasa watoto wa kiume shughuli zote za nyumbani, ili kuwa tayari kukabiliana na changamoto za maisha. Pia kwa watoto wakiume walipewa mafunzo...
  3. J

    JamiiForums Tanzania FT: J.Galaxy vs Asec: 0-2, kwa matokeo haya kundi la Simba limezidi kuwa gumu

    Asec Mimosas wamewacharaza Jwaneng Galaxy nyumbani kwao kwa goli 2-0. Na sasa wana jumla ya pointi 7, Asec wana mechi mbili za nyumbani dhidi ya Galaxy na Simba, na moja ya ugenini dhidi ya Wydad
  4. R

    JamiiForums Tanzania ALBERT EINSTEIN: Haya yanatokana au yana uhusiano mkubwa kutokana na theories zake za Special and General Relativity na Photoelectric Effect

    Kwa kutumia penseli, karatasi na kufikiri kusikomithirika (power of thinking), aliweza kuifanya dunia kuwa kama ilivyo sasa kwa kiwango kikubwa, may be by 90% or so! . Hakuwahi kuingia kwenye maabara kama za kisasa, bali kufikiri (power of thinking) na kufanya "practicals" kichwani (theoretical...
  5. Dr. Zaganza

    JamiiForums Tanzania Ukitaka Kuiharibu Jamii Yoyote, Shambulia Maeneo Haya 3

    Kama jamii imetulizana ina maadili , usitumie mizinga ya atomic au masafa marefu . Shambulia maeneo 3 tu ambayo ni Ndoa na familia, Kioo cha jamii na Mfumo wa kielimu.Kwa leo tuone eneo moja. 1. Ndoa na Familia Ukitaka mtotoo aje awe katili au jambazi , mlelee bila wazazi wawili (alelewe na...
  6. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Nimemtetea Prophet Lovi mtandaoni kwamba Tatoo alizichora kabla hajaokoka then nimekuwa rewarded

    Last week niliandika Uzi hapa kuhusu namna unavyo weza kutengeneza pesa, network na connection kwa kufanya kazi ya KUBADILISHA UPEPO kuhusu watu wanao tuhumiwa au nyooshewa vidole na jamii kuhusu mambo mbalimbali. Leo nimefanya jambo hilo kwa vitendo na nimekuwa monetary rewarded. Ni hivi...
  7. Common Folk

    JamiiForums Tanzania Mrejesho: Baada ya kusex na muathrika wa HIV, haya ndiyo majibu baada ya mwezi mmoja

    Nilileta uzi huu last month nikiwa kwenye lindi kubwa la mawazo baada ya kusex na mwanamke aliyeathirika. https://www.jamiiforums.com/threads/nimeyatimba-nimesex-na-mtu-mwenye-hiv-ni-kipindi-kigumu-sana-maishani-mwangu.2156809/ Sasa baada ya mwezi mzima wa kutumia PEP, haya ndiyo majibu...
  8. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Wayahudi na wasabato wanaendelea kuabudu sabato ya Jumamosi ambayo hata Yesu aliiabudu, ni nani aliibadili iwe Jumapili

    AMRI YA NNE: Ikumbuke siku ya Sabato uitakase, Siku sita fanya kazi, utende mambo yako yote; lakini siku ya saba ni Sabato ya Bwana, Mungu wako Tusiingie sana kwenye hizi dini na sheria zao bali tuzungumzie siku ya kuabudu. Siku ya Jumamosi ndio iliyotengwa kuwa ya kisabato tangu zamani kwa...
  9. Doto12

    JamiiForums Tanzania CWT naomba majibu ya maswali haya

    i) Mapato yatokanayo na vitega uchumi vya chama mfano: Mwalimu house na ofisi za CWT kila mkoa (rent), je vinamnufaishaje mwalimu ambaye ni mchangiaji mkuu? ii)Kwanini C.W.T wanakusanya michango kwa wanachama kila mwezi badala ya kukusanya mara moja kwa mwaka kama vyama vingine? iii) Kwanini...
  10. Objective football

    JamiiForums Tanzania Usipofanya haya, utabaki unalalamika kila siku na kila mwaka

    Mwaka 2023 umekuwa mwaka wenye neema na baraka maishani mwangu. Ni muda mrefu nilikua nikiamini mafanikio iwe ya kiuchumi,kiafya ,ndoa na kadhalika inatokana na juhudi binafsi na kujituma pekee. Kumbe nilikua niko tofauti ndugu zangu, leo nakupa siri jaribu kuifanyia kazi,mwenzenu imenisaidia...
  11. buzitata

    JamiiForums Tanzania Haya ndio yanayotukera kutoka kwa vijana waliozaliwa miaka ya 90s

    Hapa nazungumzia hiki kizazi ambacho Kwa sasa ni vijana na wamezaliwa Miaka ya 90. Hawa vijana kiukweli wanakera sana Kwa matendo yao japo Wana mazuri lakini mazuri yao sio mengi kama mabaya yao Yafuatayo ndio yanayotukela kutoka Kwa hiki kizazi. 1. Wengi wao ni wavivu Inashangaza sana kuona...
  12. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Haya Mambo mawili yatakusaidia sana ukiyazingatia ikiwa unamuamini Mungu

    1: Thubutu mambo makubwa kuliko uwezo wako. Tofauti yako na wasiomuamini Mungu wewe unafaida ya zaida ta kupewa uwezo ulio nje yako (Nguvu za roho mtakatifu). Hivyo ni dhambi kuwa na fikra mgando, finyu na zembe. Fikiria makubwa, thubutu makubwa. 2: Anza kidogo kwa mtazamo mkubwa. Hata kama...
  13. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Hivi Watu huwaga ni kina nani haswa? Je, katika maisha haya ili ushinde lazima uungane na watu? Nini tofauti kati ya binadamu na watu?

    Uzoefu unaonyesha kwamba kundi la " watu" ndio lenye nguvu zaidi hapa duniani.. Je " watu" ni kina nani haswa? A. MTAZAMO WA KIROHO: Ukimuuliza mwanasayansi kwanini Mungu alimuumba kwanza Adam then akamuumba Hawa? unaweza kupata jibu kwamba lengo la Mungu lilikuwa ni kumuumba Hawa. Why...
  14. tpaul

    JamiiForums Tanzania Mwanamke akikutamkia maneno haya, anakuwa amejirengesha 101%; hachomoi

    Usuli Naingia kwenye mada moja kwa moja pasipo kuwachosha. Wakati mwingine wanawake hutamka maneno mbele za waume/wapenzi/michepuko ambayo wao hudhani kuwa yanawajenga kumbe yanawaanika bayana. Hii hasa hutokana na ama kujipendekeza au kutaka kupata furaha au huruma ya aina fulani. Mwanamke...
  15. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Hebu linganisha haya mambo halafu toa maoni yako

    Hivi ndivyo wanavyotofautiana Wakenya na Watanzania Angalia hawa Halafu angalia na hawa
  16. senkoP

    JamiiForums Tanzania Ubabaishaji wa Benki ya NBC kwenye kutoa mikopo

    Bank ya NBC ni wababaishaji sana kuhusu utoaji wa mikopo. Sijui tatizo ni nini? Mtu anaomba mkopo taratibu zote zimesha kamilika mpaka makato tayari lakini hawaingizi mkopo. Kuna jamaa ameomba mkopo NBC yapata mwezi sasa umekwisha mkopo hawaingizi na anakatwa. Amefatilia kwa Afisa Mikopo...
  17. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Umewahi kusumbuliwa na wakala wa Bima za Mitandao ya simu?, Wape majibu haya watakata simu haraka

    Ni watu wanaosumbua sana, Reality sio matapeli ila jinsi wanavyoshawishi unaona kabisa ni biashara inayoshahabiana na biashara za kitapeli. Akianza tu mwambie naomba nikuulize swali , akikupa ruhusa muulize hivi; BIMA maana yake ni kuwekeza unufaike wakati ambao huenda utakuwa hauko vizuri...
  18. Tutu kalundji

    JamiiForums Tanzania Hongera sana Mkuu wa shule ya Sekondari Nyiendo wilayani Bunda ila hebu tupia jicho ila hili limetia doa

    Awali wakati tunaanza kulalamikia mambo kadhaa kadhaa hapo shuleni, baadhi waliamini ni chuki binafsi, vita ya kugombania madaraka, watu kukosa fursa, n.k. Lengo letu halikuwa baya. Kwa wafuatiliaji wa mitandao, tumefanya haya kukosoa na kupongeza taasisi mbalimbali nchini, mfano St. Mathew...
  19. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Bila kufanya haya, tusahau suala la kuondokana na Mgao wa Umeme

    Kuna watu wanaamini kabisa kuwa Bwawa la Umeme la Rufiji likianza kazi basi suala la Mgao wa umeme litakuwa historia kwenye nchi hii. Kwa namna ninavyosoma taarifa mbalimbali za kiutafiti zinazohusu masuala ya Mazingira napenda kuwaambia hawa watu wakiwemo viongozi wetu kuwa inawezekana wakawa...
  20. safuher

    JamiiForums Tanzania Huzuni/furaha tunazitengeneza sisi katika haya maisha, kila unachodhani kitakupa furaha kipo neutral + SULUHISHO LAKE

    Kama kweli furaha inatokana na kitu fulani ambacho unakihitaji jee kwa nini baada ya kupata kitu hiko bado kuna vitu vingine vitakukosesha furaha na kukutia stress ? Yaani utajikuta umepata mtoto tayari,lakini kodi ya nyumba inakunyima raha ,je ni ipi faida ya furaha ya mtoto kama furaha hiyo...
Back
Top Bottom