haya

Hidaj (Persian: هيدج; also Haiyeh (Persian: هَيا), also Romanized as Hayā and Khiya) is a city in the Central District of Abhar County, Zanjan Province, Iran. At the 2006 census, its population was 11,798, in 3,011 families.

View More On Wikipedia.org
  1. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Kama haufanyi mambo haya hauna haki ya kumiliki pesa au mali; utaishia kutamani tu na umasikini hautakuacha

    Ukweli mchungu lakini ndivyo ulivyo, Ili dawa iingie wakati mwingine sindano kwanza. Moja kwa moja kwenye hoja ni kwamba kwamba kama hakuna huduma au bidhaa unayoizalisha na kuitoa kwa jamii kama mbadilishano kutafuta utajiri bila njia hiyo ni kujighilibu akili. Mahitaji ya jamii yako ndiyo...
  2. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Migogoro mingi ya kijamii na kitaifa ni matokeo ya migogoro ya familia (mke na mume)

    Niliwahi kukaa katika taasisi moja. Kulikuwa na mazali kila siku. Chuki kutuhumiana, kuviziana na kila namna ya fyokofyoko kati ya wahusika. Nilipozama kutafiti nikagundua chazo ni nyumbani hawa jamaa wanapotokea. Hawana amani, familia zimejaa magomvi, kufumaniana, mivurugano na taabu za kila...
  3. Elon J

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Kwa mahitaji ya miche ya matunda, miti, maua mbalimbali na majani ya kupanda tuone Dani Garden

    Mvua ndio hizo wadau, usiache shamba lako au nyumba yako ikae kinyonge tuone ''DANI GARDEN" Tunauza Miche mbalimbali ya matunda kama miembe, mipera, michungwa, milimao, ndimu n.k yote imefanyiwa budding( ya muda mfupi). Pia tunauza MAUA mbalimbali yakupendezesha nyumba yko bila kisahau miti...
  4. kyagata

    JamiiForums Tanzania Haya ndio makabila yenye kuongoza kwa kuwa na Wanawake wenye viburi hapa Tanzania

    Kuna kautafiti kasiko rasmi nimekafanya kuhusu makabila yenye wanawake wenye viburi hapa Tanzania. 1. Wachaga 2. Wakurya 3. Wanyakyusa 4. Wahaya 5. Wapare 6. Wasukuma 7. Wameru 8. Wajaluo Yani hawa watu unaweza kupiga mtu makofi kila siku na bado asikuelewe.
  5. Kaghambe

    JamiiForums Tanzania Haya mapenzi bwana acha nicheke tu!

    Wakuu habari zenu wote, acha nianze kwa kucheka😁😁😁😁 Mwaka fulani nipo namtafuta binti nimtongoze nikazama moja ya account yake ya mtandao fulani. Nikamcheki tukawa tunabadilishana mawazo mara mbili mara tatu tukazoeana kiasi japo sio saana. Siku zikaenda, ikawa wiki mwezi. miezi hadi mwaka...
  6. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Fidia ya Tsh. Bilioni 75 iliyolipwa na Serikali kwa Winshear Gold Corp ingeweza kununua Mashine 83 za CT-Scan

    Serikali kupitia kwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali imethibitisha kuilipa kampuni ya Winshear Gold fidia ya Tsh. Bilioni 75 baada ya kukamilika kwa mazungumzo ya kumaliza Mggoro nje ya Mahakama. Chanzo cha mgogoro huo ni uamuzi wa Serikali wa mwaka 2017 kuifutia kampuni hiyo leseni ya uendeshaji...
  7. Protector

    JamiiForums Tanzania Kwanini haya Magari aina hii Toyota Fielder sio maarufu sana yana tatizo gani?

    Habari wana jukwaa, moja kwa moja kwenye mada. Kuna aina hii ya magari yanaitwa TOYOTA FIELDER naona kwa hapa bongo ni machache sana na ukikaa barabarani kuyaonayanapita ni nadra sana. Shida ni nini? Pia nimefatilia yanapouzwa yanakuwa na kilometer nyingi sana, mengi siyo chini ya 100,000km...
  8. Webabu

    JamiiForums Tanzania Hivi Marekani haioni haya wala kujua hatari ya wanachokifanya Israel

    Kujiamini kwa kupitiliza kwa Marekani na Israel ndiko kunakokaribisha chuki kutoka kila upande duniani.Huwa wanafanya kile kisichopendeza kwa wenzao na wakifanyiwa wao inakuwa ni nongwa kubwa. Raisi Biden tangu siku ya mwanzo bila kupata picha kamili ya vita vilipoanza akasema Israel inastahiki...
  9. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mtawaficha wote ila siyo GENTAMYCINE, haya Tangazeni upesi kuwa na Kipa wenu Mnata mmemuadhibu kama mlivyomuadhibu Mkude

    Walipewa muda wa Udhuru wao na kutakiwa Kurejea Kambini Wao kwa Ujeuri ( Kipa Metacha Mnata na Kiungo Jonas Mkude ) wakarudi muda walioutaka Wao na Kocha Gamondi akawafukuza na kutowahitaji katika Kikosi chake na hatimaye Uongozi kuamua Kuwaadhibu ndani kwa ndani. Na taarifa ya uhakika...
  10. Da'Vinci

    JamiiForums Tanzania Je, maneno haya kuhusu hasara za kuoa mwanamke mzuri ni kweli?

    Si maneno yangu bali ni maneno yaliyo katika wimbo wa Jimmy soul. Ukizungumzia hasara za kuoa mwanamke mzuri. If you want to be happy for the rest of your life Never make a pretty woman your wife So for my personal point of view Get an ugly girl to marry you A pretty woman makes her husband...
  11. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Hospitali ya Mloganzila yaanzisha huduma ya kurekebisha 'shape' ya mwili

    Swali: Je, Serikali imeridhia Kuruhusu kuanza kutoa Huduma kama hizi zinazoharibu Maadili ya Nchi na dini? Aisee Kwa Sasa kuja kupata binti natural itakuwa ni Mtihani. -- Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila kwa mara ya kwanza nchini itafanya huduma za kibingwa bobezi za upasuaji wa...
  12. Unique Flower

    JamiiForums Tanzania Haya mambo kuweni makini nayo

    1. Usidate na mtu hana kipato uwe me au ke, 2. Usidate na mtu kila saa ni anahitaji kusaidiwa 3. Usifanye kazi kwenye kampuni isiyo kubwa na isiyo yenye kipato 4. Usifanye kazi mahali mtu hajapiga hatua. 5. Usidanganywe na me au ke kuwa yeye ni mlokole vitu vyote anapata kwenye maombi, usipende...
  13. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Naomba upesi nijibiwe haya Maswali yangu na Watangazaji pamoja na Wachambuzi wa Michezo wa Redio nchini

    Swali # 1. Je, Yanga SC ingekuwa inaongoza Ligi Kuu ya NBC mpaka sasa ( yaani leo ) mngekuwa Wanafiki hivi na Kutumia muda mrefu Kumjadili Mwamuzi wa leo kuwa Kaipendelea Simba SC dhidi ya Singida Fountain Gate FC huku mkijisahaulisha ( mkijizima data ) kuwa hata hiyo Klabu mnayoitetea kwa...
  14. The Boss

    JamiiForums Tanzania Hadi kijana wa Tanzania anamaliza form four anatakiwa ajue haya yafuatayo...

    Nafikiri sasa wakati umefika kurekebisha mitaala iweze kum equip kijana na maarifa mbali mbali ya sasa....ili akiingia mtaani aweze moja Kwa moja kuchangia maendeleo na sio kugeuka mzigo wa na kuanza tena kupewa "training" ili aweze Ku fit in... Hizi trainings vijana wapewe kabla hawajamaliza...
  15. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kwa mambo haya acha vijana wa sasa wadharau Mila za Wazazi na Wazee wao

    KWA MAMBO HAYA ACHA VIJANA WA SASA WADHARAU MILA ZA WAZAZI NA WAZEE WAO. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Vijana wa sasa wanaonekana kama hawana maadili lakini ukilinganisha na wazazi au Mababu zao utakuja kugundua vijana wa sasa wana maadili kuliko wazazi na wazee wao. Taikon katika...
  16. Mtu Asiyejulikana

    JamiiForums Tanzania Haya mambo nimeacha kabisa nowdays. Ukijichanganya tu umeliwa

    Nimeacha haya mambo kabisa. Nimeona ni kujiongezea shida. 1. Kumpigia simu demu kumsalimia. Ukimpigia ukamsalimia ukamuuliza mambo vipi akajibu mabaya. Ukijichanganya kuuliza shida nini hapo lazima aku bom. 2. Kutaka nyingi nasaba na mademu, hapo ni kupata mingi misiba. Mademu wa sasa...
  17. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Haya semeni haraka nije na Info ya huko Mwanza sasa au Niichunie tu ili Amani itawale na Wasivurugane?

    Haya Wazee wa Kukopi Taarifa zangu GENTAMYCINE hapa Jamvini JamiiForums akina Ricardo Momo na Edo Kumwembe bila kuusahau Mtandao wa WhatsApp wa hiyo Timu na Wengineo si huwa mnajifanya mna Taarifa? Sasa mbona hii Mbichi kabisa ambayo GENTAMYCINE The King ninayo peke yangu nyie hamna na bado...
  18. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Haya tumeshamalizana na Chato Dhahabu Nyota FC, hivyo Jumamosi 'anakufa' kati ya Goli 4 hadi 6 pale Sukuma City

    Baada ya Kuwaudhi Mashabiki katika Mashamba ya Mpunga na kuachwa rasmi Alama ( Points ) Tatu ( 3 ) na Mabingwa wa NBC Premier League kwa Msimu wa 2023/2024 ili Kurejesha Imani yao Kwetu Kigamboni Wavuvi FC tumeamua Kumalizana (Kuwahonga ) tutakakutana nao Keshokutwa Jumamosi ili siyo tu...
  19. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwa maneno haya ya Kocha Minziro wa Prisons FC na mwana Yanga SC lia lia nitamshangaa Mtu aliyechukia kwanini Simba SC imeshinda leo

    "Kiukweli Wachezaji wangu hawako Smart Kichwani ( akimaanisha ni Wapumbavu ) kwani kila Siku katika Uwanja wa Mazoezi nawapa Maelekezo yale yale lakini tukija katika Mechi wanayarudia. Niliwaambia Simba SC ina Wachezaji wengi wenye Vipaji vikubwa na Binafsi hivyo tusipokuwa makini Watatufunga na...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Serikali inapambana na Wamasai kutoka Arusha kwenda pwani na Morogoro; hakuna kabila linalopitia magumu haya

    Masai amejionea rangi zote; kila anapokwenda anaambiwa kaa mbali waache wawekezaji. Amechapwa huko Ngorongoro, Manyara, Pwani na sasa huko Morogoro. Hawa jamaa hadi unawaonea huruma kwa namna wanavyopitia wakati mgumu. Kibaya zaidi viongozi wao wamekaa kimya wasisulubiwe. Sijui...
Back
Top Bottom