Watanzania ebu tuache mihemko ya Kisiasa inayozidi kujenga Uadui baina yetu.
Labda niwaulize:- Hivi kweli kwa akili timamu kabisa Ukiisikiliza ile clip ya Tundu Lissu akiwahutubia Watia nia kwa kutumia maneno haya:- "Tutahamasisha Uasi, Tutazuia Uchaguzi, Kitakinukisha na Hakuna Uchaguzi" na...
Kama yupo hapa JF nafahamu CV yako umenyooka sana ila walio kuwa kwenye hii serikali ujiandae kisaikolojia.
Kwa ujasili wa kukamata kilo 299 ni uwezo mkubwa sana wa kupinga hata kuwongwa.
Ila ujiandae kisaikolojia kama nchimbi,pole pole na wengine maana haramu ya madaraka iliyopo.
Wana JF...
Wananchi tunatoa wito kwa wahusika wa Machinjio ya Soko la Vingunguti kuzingatia ustawi na haki za wanyama wanaoletwa kuchinjwa.
Mbuzi na Kondoo wamekuwa wakiwekwa nje ya ukuta wa machinjio bila sehemu ya kujikinga na jua kali, hali inayoweza kuhatarisha afya na ustawi wao.
Wanaiomba mamlaka...
Wasalaam Wakuu
Kuna jambo ambalo linahitaji mjadala mpana kuhusu hukumu iliyotolewa dhidi ya Tundu Lissu. Uamuzi wa hukumu ya kesi ya Tundu Lissu unaacha maswali mengi ya msingi kuhusu tafsiri ya sheria, haki ya kusikilizwa na uhuru wa kujieleza katika nchi inayojitambulisha kama demokrasia...
JITU LINAJIJUA NI LIMCHEPUKO(BIDHAA ya MAGENDO) ALAFU LINADAI NILIPE HAKI. HAKI GANI KIROBOTO WEWE.
Anaandika Robert Heriel
Mtibeli
Kwanza ujue wewe ni bidhaa ya magendo. Hilo liweke Akili.
Kama uliwahi kuona Bangi inauzwa Famasi au Duka la dawa muhimu Dai haki zako.
Mimi ni Mhuni kwako kwa...
HAKI inaanzia NGAZI YA FAMILIA. ANZA HARAKATI ZA HAKI NYUMBANI KWAKO
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Watu wengi hasa wanaharakati hupenda sana kuzungumzia suala la haki. Kusema, tunataka haki, haki haki ifanyike. Lakini huitaka haki wakiwa nje. Nje ya milango ya nyumba zao.
Kwa sisi...
Mbunge wa zamani wa Jimbo la Arusha Mjini, Mrisho Gambo, amesema misimamo ya familia ya Lissu katika kusimamia haki na ukweli imejengwa tangu ngazi ya familia, akieleza kuwa marehemu Wakili Alute Mughwai Lissu alikuwa mfano wa mtu aliyesimamia kile alichokiamini bila kujali tofauti za kisiasa...
Hata kama kesi itakuwa haina uhusiano na serikali, kwa hiki mlichokifanya, hakuna client wenu mwenye akili timamu atakuwa na imani kama mtaenda haki. Hata ksi ya wizi wa kuku ikiletwa kwenu, kesi ndogo hakuna ambaye atakuw ana imani nanyi.
Ushauri: Huyo mliyemtumikia mwambieni awape kazi...
Sijui itapewa jina gani. Lakini ionyeshe kwa uwazi jinsi mahakama zetu zinavyopindisha sheria.
Ziwekwe video, refference za cases mbalimbali jinsi mahakama zinavyochezewa na hii serekali.
Nukuu kama za Rostam alivyokuwa akielezea mfumonwetu wa mahakama ulivyo mbovu.
Huo ndio wajibu wa Kanisa.
KANISA haliwezi tishwa tishwa na Wauaji waoga wa Watanzania waloua Maelfu ya Vijana Oktoba 29 2025.
KANISA halikuwah kushindwa na Mamlaka yoyote ile chini ya Jua.
Hata hivo, Kanisa lingekaa kimya, maana yake ni kuhalalisha Utawala wa chuma na gharimu wa Nduli Idi...
Kama imethibitika kwamba Lisu alifanya uchochezi na kuzuia uchaguzi , maana yake uchaguzi 2025 haukufanyika, na kama haukufanyika , hao wanao tuongoza leo wamechaguliwa katika uchaguzi gani!?
Madiwani, wabunge na Rais ,wametokea wapi!?
Maana uchaguzi ulizuiliwa na uchochezi wa Lisu!
Kama...
Kiongozi wa ACT Wazalendo, Ndg. Dorothy Semu, ameeleza kuwa hukumu uliyotolewa na mahakama Leo dhidi ya Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Ndugu Tundu Lissu, ina maana kubwa zaidi ya hatima ya mtu mmoja, kwa kuwa ni kipimo cha namna taifa linavyoheshimu misingi ya haki, utawala wa sheria, demokrasia...
Marekani na Ulaya kwa sasa hivi wamefikia hatua mbaya, mwanaume anajigeuza mwanamke na anachaguliwa kuongoza umma...
Hawa watu ndio watufundishe maadili ya kibinadamu na haki? Hapana kwa kweli
Lisu yuko kwenye Wrong National akipigania watu very wrong na sina hakika kama Lisu hilo analitambua ama la.
Ona sasa anaenda kuozea jela na maisha mataani yanaendelea, Wanao piganiwa hawana habari kabisa, life inaendelea na mbaya zaidi ni kama hakuna kilicho tokea, Lisu namlaumu sana, namlaumu...
Kudidmiza demokrasia na haki ni kutengeneza Waasi Tanzania.
Itaanza kwa visasi mfano hao wenye madaraka kama Polisi, magereza, wanasiasa na wengineo walinde familia zao maana kuna dalili sasa mambo yataenda huko.
Lindeni watoto wenu, ndugu zenu kwasababu kuna watu ambao watataka kulipiza...
Kuna mwaka Gari tulilopanda liliwahi kupoteza mwelekeo na kutaka kugonga lingine Ila dereva alirudisha umakini na kuliweka sawa na hivyo kutuepusha na ajali mbaya ambayo na amini kesho yake tungekuwa maarufu( kwa idadi kubwa ya vifo na majeruhi), ilibidi dereva asimamishe ili tuchimbe dawa na...
ORODHA YA MANABII WAKUBWA 7 WALIOWAHI KUKAA GEREZANI KWA KUPIGANIA HAKI
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Wafuatao ni manabii wakubwa ambao waliwekwa jela au mahabusu kwa sababu mbalimbali wakiwa wanapigania HAKI;
1. NABII IBRAHIM.
Huyu ndiye Legendary. Yaani unaposikia sijui wapigania...
Bila kufungamana na siasa ya chama chochote Mimi binafsi kama msomi na Mtu ninayependa haki, Amani na utu nasimama na wewe Leo .
with no any political affiliation , All the best Hon TAL 🤝
The United Republic of Tanzania's 53rd Session of the Universal Periodic Review (UPR) is taking place today, 5 November 2026, in Geneva, Switzerland.
The UPR is a United Nations process in which member countries examine one another's human rights records.
Tanzania will face questions and...