GT
Naomba mnijuze huu wimbo una maana gani?
Unaitwa 'Velvet Horizons'
Ni wimbo mzuri sana umetoka mwaka huu 2025 naupenda ila nimeshindwa kujua maana yake,kila nikisoma maana ya maneno hayo mawili niunganishe sipati maana halisi.
Pia nimejaribu kutafuta Lyrics zake sizipati,kama unajua mahali...
Ukiacha li nchi hili tunalolijua ambalo lina watu milioni sabini lakini linatawaliwa na kanchi kenye watu milioni 2 nanusu!
Nchi hilo ambalo limejaa wajinga wengi, yani tofauti ya msomi na asiesoma tofauti yao ni makaratasi tu.
Kubwa jinga ambalo kwake gharama za matibabu na nishati ni ghali...
Ccm oyeee!!!!!!!
Wakuu, last weekend nilikua na jamaa zangu tukapiga vyupa mpaka mida mibovu. Nikarudi home salama wife akanifungulia mlango fresh me nikaoga then nikachapa mbonji mpaka kesho yake saa 6 mchana hata church sikwenda siku hiyo.
Sasa kesho yake nikiwa niko zangu chumbani nakula...
Hawa watumishi ni muhimu sana, lakini tunajua kazi zao, maana bado maendeleo ni kizungumkuti, vijana wanahama miji yao kwenda kutafuta fursa sehemu nyingine. Japo sio vibaya wao kuhama, lakini maafisa hawa si ndio inabidi wafikirie namna ya kuongeza fursa ili vijana wabaki kwenye maeneo yao.
Je...
Hizi heka heka za CCM kupambana kujaza watu kwenye mikutano yao, ni ishara kuwa siyo kweli CCM ina wanachama milioni 13.
Kila mkutano ungehudhuriwa na watu elfu kumi tu, nchi nzima CCM ingehitaji watu milioni Moja tu kwa mikoa yote ya Tanganyika.
Lakini hii ya kusomba watu kwa maroli ni...
Habari za muda hope mko poa
Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza ,nauliza kozi ya uaskari ni muda gani wakuu msaada isije ikawa napangwa maana kuna raia (ke) tulipanga kuoana this year ila ananiambia anataka akapige kozi ya uaskari miezi 6 ila swala la kuoana tutasogeza mbele vipi wakuu hapo
Katika vitu sipendi katika mwili ni mvvvz, hivi huwa yana kazi gani? Yani yaliwekwa kwaajili gani? Any scientific or moral explanation???
Yani ikifika muda wa kuyanyoa ndo kabiiisaaa naboreka mno. Siyapendi kuyaona. Wapi nitapata huduma ya kwenda kuchanua yatolewe sinza au tabata naomba nitajie...
Laptop Gani Inafaa Kazi Yangu ?
Kwa Nini Swali Hili ni Muhimu?
Kila mnunuzi wa laptop anapofika sokoni au anapotafuta mtandaoni hukutana na swali moja kuu
👉 “Laptop hii itaendesha software zangu kweli? Itakubali printer na projector zangu? Itakuwa na speed Kwenye kazi zangu?”
Na hapa ndipo hofu...
Sio shabiki wa chama chochote cha siasa ila kuna haja ya kuskilizana, nikiangalia machafuko ya uko Congo, Msumbiji, bado tuna nafasi ya kua wamoja.
Polisi kusema wamejipanga, raisi kasema yeye ndo amiri jeshi mkuu, waandamanaji nao wanaabaki na msimamo wao, vp kwa sisi wastarabu non. Allied...
Danieli 9:27
Naye atafanya agano thabiti na watu wengi kwa muda wa juma moja; na kwa nusu ya juma hiyo ataikomesha sadaka na dhabihu; na mahali pake litasimama chukizo la uharibifu; na hivyo, hata ukomo, na ghadhabu iliyokusudiwa imemwagwa juu yake mwenye kuharibu.
Yesu pia alisema kuhusu hilo...
Aisee hali ni ngumu sana wakuu mpaka OC za kuendeshwa ofisi zinakosekana hakuna hela hata kidogo ukiuliza sababu unaambiwa huu mwaka wa uchaguzi.
Kivipi wakati bajeti ya uchaguzi tufanye trillion moja hela ya CCM kuendesha kampeni kuanzia usafiri, nguo, bendera, mabango tufanye hata billion 500...
Habari Wana bodi, niende kwenye mada Moja kwa Moja!.
Polisi wetu Wana tabia zinazofanana, wanapenda kutumia nguvu kuliko akili(labda hawana akili), wanapenda ubabe na wanafurahia kupiga raia.
Wanashindwa kufanya na kukamilisha upelelezi kwenye mambo ya maana, ila ya kijinga upelelezi...
Huwa naona kwenye mazoezi yenu mnaimba nyimbo kama hii
"Naapa Naahidi mbele za Mungu Tanzania nitakurinda mpaka kufa"
"Sita simama maovu ya kitawala......"
Ukizingatia kwa kile tunachokiona watu wakitekwa na kuuawa ufisadi na machukizo kama yote halafu bado mnaomba nyimbo zinazoamsha hisia...
Nianze mimi
Walioleta mafanikio
CRDB - Charles Kimei (Aliondoka), Ndiye aliefanya crdb iwe giant wa sekta ya bank
NMB - Ruth Zaipuna, kaikuta NMB ikiwa imejichokea kaifufua kwa kasi ya ajabu
NALA - Benjamin Fernandes, kakimbilia Kenya akidai mazingira ya biashara yake kwa Tanzania magumu...
Kipindi fulani tuliskia dola zimeadimika, lakini watoto wa jasusi mkuu wanapiga nazo picha kama hela za nyanya.
Wananzengo, hili jasusi kuu linamiliki biashara zipi na sisi tupate dolari.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.