Habari Tanzania !
Leo nimewaza sana. Inakuwaje Shule ya Msingi uliyosoma wewe mazingira uliyoyaacha mpaka leo yapo hivyo hivyo na mengine yameharibika kwa nini?
Inauma sana.
Karibu
Habari za muda Huu wadau,
naomba kufahamu ili kupata hati ya kiwanja/ nyumba ni Hatua zipi zinatakiwa kufuatwa na inahtajika taarifa zipi, Gharama kiasi gani na inachukua muda gani kupata hati yako asante
Kwanza kabisa ndugu mpendwa ni vyema ukatambua kuwa, damu imebeba uhai wa mtu. Maana Biblia inasema " Linda sana moyo wako maana humo ndimo zitokamo chemchemi za uzima". Lakini Biblia inaendelea kusema, "kuleni wanyama lakini msile damu zao, maana damu zimebeba uhai wao".
Kisa cha Henoko na...
Kwema wakuu changamoto
niliyonayo ni kwamba mdogo wangu
kaapply mkopo ila ukifungua kwenye
akaunti yake inaonekana kama
nilivyoambayanisha hapa,
Je Kuna yeyote amewahi kukutana
na changamoto hii na aliitatua Kwa
kutumia mbinu ipi?
Natanguliza shukrani zangu za dhati🙏
Nsikuchoshe na Usinchoshe, tusichoshane!
Kumekuwa na malalamiko mengi kutoka Kwa Wananchi ya kwamba,Vyombo vyetu vilivyopewa dhamana ya kuwatetea wananchi Kwa Mujibu wa Katiba Sheria havifanyi hivyo,badala yake vinaendelea kulinda maslahi ya wanasiasa walioko Madarakani huku wananchi...
Mojawapo ya Icon wakubwa wa upinzani na mawazo mbdala katika nchi yetu ni Oscar Kambona aliyetoka kuwa swahiba na mtu wa karibu wa Nyerere mpaka kuwa mkosoaji wake mkuu. Lugha aliyokuwa anatumia Nyerere kumkosoa Kambona
hadharani ilikuwa kali sana na isiyo ya kiungwana kwa nyakati hizo, hatujui...
Ndugu Zangu Wanajukwaa!
Mimi si mtaalamu wa magari kabisa, nimeona Range Rover hizi nyeusi, ndefu katika misafara ya Rais Samia Suluhu Hassan hasa baada ya kuapishwa kwake.
Nimejaribu "ku-Google" (gugo huko!) na nimejifunza mambo machache. Ninaomba mnisaidie kufafanua kwa wale wenye ufahamu...
Heshima kwenu Wakubwa
Nitoe pole kwa ndugu,jamaa,marafiki Pamoja na watanzania wote waliopoteza wapendwa wao kwa hakika hizi ni nyakati ngumu lakini TUTASHINDA TU
Nirudi kwenye mada kuu wadau ninaomba mnipatie mbinu za kujua kuzungumza, kuandika na kuweza kuelewa lugha ya kiingereza kwa...
ukio lisilotarajiwa limezua gumzo nchini Mexico baada ya video kusambaa ikimuonyesha mwanamume mmoja akijaribu kumbusu Rais wa Mexico, Claudia Sheinbaum, alipokuwa akitembea katikati ya umati jijini Mexico City. Sheinbaum, ambaye ni rais wa kwanza mwanamke katika historia ya taifa hilo, alikuwa...
Hoja za polisi za kushtumiwa kwa mauwaji na kuja na majibu ya waandamanaji sio watanzania sasa ni wa nchi gani je sheria zetu zinataka wauliwe?
Sijasikia nchi yoyote ikilalamika raia wake 1000 wameuliwa Tanzania inamaana hao wasio watanzania ni wa taifa gani ? waulizeni vizuri hao mapolisi...
Nimeona gari mpya za Samia; ni kama amekuja kutokomesha kwamba tulishoboka na zile Rolls Royce za mwanae? Yeye kaja sasa kutuonesha kwamba hatukuwa tumeona kitu bado.
Na bado duru zinasema tayari imenunuliwa ndege ya Rais ambayo hatujapata kuona Afrika, na mnunuzi ni yule yule tena mwanae...
Maandamano yamefeli mpaka navyoandika mda huu- kila mtu amejifungia ndani
mfano lile tukio la wanakimara kushuka magomeni na kuleta vurugu na kuchoma magari pale kikombe cha mateso kwa wana-kimara kilijaa kukawa hakuna cha kupoteza hawakupanga ila ilitokea
Lakini tunatakiwa kufahamu...
Ina maana ukiwa mwanajeshi haki zako za kiraia zinaondoka? Unakuwa hauna uhuru wa kumchagua kiongozi unayemuona anafaa kwa utashi wako binafsi!
Lets say kweli wamefanya kosa, ya nini kuanza kuwasimulia mapolisi wenzio kwamba mmekamata wanajeshi, takukuru, madaktari nk!
Kwa jicho la 3, mimi...
chama
chama tawala
gani
kampeni
kampeni za uchaguzi
kisheria
kosa
kosa kisheria
kuchagua
lini
maana
mabango
mwanajeshi
sababu
sheria
uchaguzi
wanajeshi
Maaka 2019 Alaah Salah alikuwa na umri wa miaka 22 huku akiwa mwanafunzi wa mwaka wa 2 pale University of Sudan. Aliongoza na kuhamasisha maandamano yaliyomtoa Omar Bashir madarakani. Mpaka sasa Omar Bashir yuko kifungoni akitumikia adhabu ya makosa ya jinai aliyotenda.
Hapo awali Sudan...
Kwa upande wangu napenda kuangalia movie,naoga,kama mke wangu atahtaji huduma nitampa Kisha nalala,huu ndio utaratibu wangu wa Kila siku kabla ya kalala,
Mdau,utaratibu wako ni upi before haujalala???
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.