gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Usiku huu wewe na mkeo au mpenzio mko mnatumia style gani kukulana?

    Sisi tumetumia kifo cha mende. Nyie je?
  2. JamiiForums Tanzania Kutapika damu kwa mgonjwa madonda ya tumbo inaweza kuwa hatari kiasi gani?

    Habari zenu, kuna kijana kafariki kwa sababu ya madonda ya tumbo hapa mtaani, inasemekana ametapika sana damu kabla ya mauti kumkuta na sio mara ya kwanza, hivi madonda hayahaya yanaweza kumpelekea mtu kutapika damu nusu ndoo? Kijana wa watu kafika hospitali wakajua amepata ajali! Nnajiuliza...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Huyu shahidi wa tatu wa Jamhuri ana umuhimu gani katika hii kesi ya uhaini dhidi ya Lissu?

    Mimi naona ni kupoteza muda kwasababu Tundu Lissu hajaikataa hiyo video. Amekubali hiyo video, amekubali maneno yaliyopo kwenye hiyo video. Hapa kinachabishaniwa ni maneno aliyoyatamka kama yanaviashiria vya uhaini. Mimi naona kinachofanyika hapo mahakamani ni mbwembwe tu na kupotezeana...
  4. JamiiForums Tanzania Hivi hawa watu wanajadili mambo gani hapo msibani hapo Kenya kwa RAO?

    Naowaona wako busy tu na simu zao huku watu wengine wakiwa makini kusikiliza maudhui ya msiba. Hebu angalia picha yao hapa chini.
  5. JamiiForums Tanzania Changamoto gani ulikutana nayo baada ya kumpokea ndugu au rafiki kutoka mkoani

    Hi Wakazi wa dar ni changamoto Gani ulikutana nayo baada ya kumpokea rafiki, ndugu, jamaa na kukuomba umsindikize au umtembeze mjini Wa mkoani wengi wakifika dar wanataka kwenda kitambaa cheupe na kariakooo Tuje kwa hawa wanaomba kwenda kariakoo wana kuwaga wajuaji sana huyu aliomba...
  6. JamiiForums Tanzania Aggy Baby Aibuka mshindi wa Tuzo Nigeria, je kwa vigezo gani?

    Msanii Agness Suleiman maarufu kama Aggy Baby, ameibuka mshindi wa Tuzo ya Muigizaji Bora wa Kike wa Mwaka 2025 katika Achievers Awards International zilizofanyika nchini Nigeria, kutokana na mchango wake katika sanaa na huduma kwa jamii. Tuzo hiyo imeelezwa kuwa ni alama muhimu ya ushirikiano...
  7. W

    JamiiForums Tanzania Katika kuadhimisha siku ya 'Nyerere day' ni kauli au nukuu gani unaikumbuka ya Mwalimu Nyerere?

    Leo ni kumbukumbu ya miaka 26 tangu alipofariki Baba wa Taifa la Tanzania, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Nyerere, ambaye aliwahi kuwa Waziri Mkuu wa iliyokuwa Tanganyika, kisha Rais wa Tanganyika na baadaye Tanzania, atakumbukwa kwa kujenga umoja nchini Tanzania na vile vile kuwa mstari wa...
  8. JamiiForums Tanzania Ni namna gani naweza kuanza?

    Wakuu habari, nataka nianze kufanya uzalishaji wa bidhaa fulani (), ni wazo nimekuwa nalo kwa takribani mwaka sasa, kwasababu nilikuwa natafuta taarifa sahihi. Nataka nianze kwa sasa, ila kuna mambo yananichanganya, mfano hio product kabla sijaanza kusambaza sehemu husika, si ni lazima nipate...
  9. JamiiForums Tanzania Nile vyakula gani niongeze kilo 5 ndani ya wiki2?

    Wakuu nataka kuongeza uzito kidogo ushauri wenu muhimu. Hivi nile vyakula vipi kwa wingi niongeze walau kilo 5 in 2 weeks
  10. JamiiForums Tanzania GE2025 Gerson Msigwa: Serikali haijui alipo Humphrey Polepole, ndio maana Polisi inafanya uchunguzi

    Mahojiano ya Msemaji Mkuu wa Serikali na Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Gerson Msigwa alipozungumza na Kituo cha UTV, leo Jumatatu Oktoba 13, 2025. Kuhusu Polepole nini kauli ya Serikali Jeshi la Polisi limeshatangaza kutaka aende akatoe maelezo juu ya kauli...
  11. JamiiForums Tanzania Hivi ukifa sasa hivi kikao cha mirathi kujadili mali zako kitachukua muda gani?

    eti muda gani??
  12. JamiiForums Tanzania Biashara gani uliambiwa inalipa afu ukala za uso

    Kuuza supu ya kongoro dadeki nilikunywa diaba zima mwenyewe wateja walinikimbia🤣🤣
  13. JamiiForums Tanzania Ni ushauri gani mzuri wa kumpatia kijana anaetamani kuoa

    Eti tunaomba ushauri sisi vijana ambao hatujaoa
  14. JamiiForums Tanzania DC Magoti unataka kuwafanya wenzako viwete kwa kutetea haki zao. Wewe aliyekufanya kiwete ulikuwa unatetea jambo gani muhimu?

    DC MAGOTI UNATAKA KUWAFANYA WENZAKO VIWETE KWA KUTETEA HAKI ZAO. WEWE ALIYEKUFANYA KIWETE ULIKUWA UNATETEA JAMBO GANI MUHIMU? Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. 1. Magoti kiukweli umenifurahisha sana uliposema utawageuza watu wawe viwete. Naamini upo proud kuwa hivyo ulivyo. 2. Sijui historia...
  15. JamiiForums Tanzania Ni wanawake wa kabila gani wanaosifika kwa mambo kama haya?

    Apo kamfunga mumewe asitoke na mwanamke mwingine. Wanawake bana 🤣🤣
  16. JamiiForums Tanzania GE2025 Ni kweli kwamba Tar 29-10 watu watatoka kweli?

    Maandamano aliyoitishaga Mange Kimambi yalileta badiliko lolote wakati ule? Je, kipindi hiki NDIO tuseme chuki dhidi ya serikali iko kwenye peak kuliko miaka yote TANGU uhuru? Gen Z wa wakati huu ni bora na wanataka mabadiliko tofauti na miaka ya nyuma? Enyi watu wazima ambao mliona...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi limkamate pia mwenye nyumba inayodaiwa alikuwa anaishi Humphrey Polepole ili aeleze ni lini alimpokea na amekaa kwa muda gani?

    Ndugu zangu Watanzania, Nafikiri polisi wangemkamata pia mwenye nyumba inayodaiwa alikuwa akiishi Humphrey Polepole ili aweze kulisaidia jeshi la polisi katika uchunguzi wake. Aeleze ni lini alimpokea na mkataba wake ulianza lini na amekaa kwa muda gani na walionana lini na kama walikuwa na...
  18. JamiiForums Tanzania Naomba kujua Mobile Wallet ni nini na inafanya kazi namna gani?

    Mabosi wangu wanataka kunilipa pesa ila nimeambiwa wataniwekea kwenye mobile wallet kwa mjuzi hii imekaaje?
  19. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu ashangaa kuwa kuna kikao kimekaa na kupanga hukumu yake kuwa 12/11. Awataka majaji waeleze limetoka wapi hilo na kwa sheria gani..

    Kama tunavyojua leo tarehe 6/10/2025 kesi ya uhaini ya Tundu Lissu inaanza kusikilizwa mfululizo kwa jamhuri kuanza kuwasilisha ushahidi wa mashikata yao.. Mara baada ya mahakama kuanza, Tundu Lissu ameibua hoja tatu za kisheria ambazo imewalazimu majaji kuahirisha mahakama kwa dakika 30 ili...
  20. JamiiForums Tanzania Tahakiki: Hotuba ya Kapteni Tesha inataja sababu, uwezo na nia ya kuiangusha serikali ya kiraia iliyopoteza uhalali wa kikatiba

    https://youtu.be/H1nHdmCnduI Video iliyosambaa mitandaoni ikumuonesha mwanajeshi aliejitambulisha kama Kapteni John Charles Tesha kutoka kikosi cha anga cha JWTZ, akihamasisha jeshi hilo kuchukua udhibiti wa nchi, huku akidai kuwa nchi inakoelekea ni kubaya. Utangulizi Jumamosi ya tarehe 4...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…