gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Ukifanya Oral Interview sekretarieti ya ajira wanachukua muda gani kuibadilisha status ya account yako?

    Naombeni kuuliza kuna ndugu yangu anataka kujua: Ukifanya oral interview sekretarieti ya ajira wanachukua muda gani kuibadilisha status ya account yako.
  2. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Baada ya kuondoka kwenu ulikuwa na mishe ipi ama ulitafuta mishe ipi ili kuanza maisha rasmi ya kujitegemea?

    Muda hausimami, muda ukifika wa ku hit the road inakubidi uondoke nyumbani kwenu nawe uanze kujitafutia. Wapo wanaohama wakiwa na mishe ila wapo pia ambao ni kuhama na kuyajua mbele kwa mbele Binafsi nakumbuka nilipomaliza form 4, nilikaa kitaa nikiwa nasubiri matokeo bila shughuli yoyote...
  3. Eleminator

    JamiiForums Tanzania Kipimo cha mkojo Huchukua muda gani kupata majibu?

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza wana JF Maana ya kuuliza hivyo kuna siku moja nimeenda zahanati tena ya serikal nmefika pale nikamuelezea daktari hali yangu na yeye akanielekeza kwenda maabara baada ya kufika kule nikapewa chupa cha kuhifadhia mkojo Cha ajabu Baada ya kurudisha sampuli...
  4. koba lee

    JamiiForums Tanzania Wasafi FM mnatatizo gani?

    Kwema wakurungwa? Weekend ndo hii mambo yawe mengi kidogo. Nizame kwenye mada kama kichwa cha habari kinavyojielezea. Nataka niwaulize wasafi FM huu utaratibu wa kucheza matangazo katikati ya mazungumzo mmeutoa wapi? Yaani unakuta mtangazaji anaongea au labda mgeni kaletwa kwenye kipindi kwa...
  5. Logikos

    JamiiForums Tanzania Tanzania tuna mfumo gani na tunataka Mfumo upi? Ubepari, Soko huria, au vyote?

    Sababu hakuna mfumo ambao ni asilimia 100 na mifumo yote ni mchanganyiko tofauti tofauti napenda kujua watanzania wanapenda mfumo gani na mfumo upi unaweza kuwafaa? Ubepari? Market socialism? Ubepari ukiwa na Soko Huria? Soko Huria? Command Economy? Unknown (Yaani Made in Tanzania) Au...
  6. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mwanamke anamjua vipi aliyempa mimba ikiwa alitembea na wanaume watatu kwa wakati mmoja?

    Kumbe mwanamke anaweza kutupanga mimi, adriz na Bujibuji Simba Nyamaume kwa siku moja (kama ya leo Ijumaa) na wote 'tukamkaza" kwa ratiba aliyotuwekea kutokana na uhuni wetu, ila yule atakayempa mimba (kibendi) kati yetu atamjua tu na hatokosea? Ninaombeni elimu juu ya hili wadau.
  7. ThisIsIt

    JamiiForums Tanzania MSAADA: TOPIC GANI NISOME?!

    Habari zenu wakuu, poleni na majukumu. Ninategemea hivi karibuni kuitwa kwenye interview na PSPRS kada ya ICT OFFICER(QUALITY ASSURANCE). kama kuna mtu amewahi kufanya interview ya kada hiyo naomba aniambie nisome mambo gani hasa ili nijiandae vizuri. Natanguliza shukrani zangu kwenu🙏🏽
  8. Superbug

    JamiiForums Tanzania Kuna shida gani endapo moyo utakalia kulia?

    Swali la moja kwà moja kuna shida gani endapo moyo wa binadamu utakalia kulia badala ya kushoto? Nimekutana na hii kesi.
  9. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa barabara inayounganisha mikoa mitatu ya Dodoma, Tanga na Singida itapitia maeneo gani?

    Nimemsikia Waziri Ujenzi, Profesa Mbarawa akisema kunaujenzi wa barabara inayounganisha mikoa mitatu ya Dodoma, Tanga na Singida. Hii barabara mpya itapitia maeneo gani au wilaya zipi ndani ya hiyo mikoa mitatu aliyoitaja? Mwenye uelewa tafafhali ninahisi Prof. ametupiga changa la macho. Au...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Napata gari gani hapa mjini kwa bei ya mil 10 - 13?

    Kwa hii hela mil 10 - 13, naweza kupata gari gani hapa mjini, hasa Toyota, ya kuzunguka Dar, mkoani kwenda mara 2 kwa mwaka? Ya mwaka gani? Niagize au niende showroom? Showroom ipi haina uhuni, mfano kuuziwa gari chakavu! Vigezo: 1. Sipendi saloon cars.
  11. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Wataalam wa uchimbaji dhahabu (maduara) ni eneo gani bora kuwekeza kwa mtaji mdogo?

    Nimeona watu wanamiliki maduara, wengine wanamiliki crushers tu, wanasaga mawe ya watu, wengine wanamiliki plant au elusion plants. Wengine wanamiliki detectors wanakodisha, wengine ni wanunuzi wa dhahabu end products, wengine wanarundika michanga (marudio) yenye PPM nzuri na kuuza. Kwa mtaji...
  12. Kunguru wa Unguja

    JamiiForums Tanzania Msaada,ni nini suluhisho au ni dawa gani au mmea gani wa asili unaweza ikawa suluhisho la Urinary tract infection kujirudia rudia?

    Habari ya muda huu ,natumai mmeamka salama yote anayewezesha kuwepo mpaka muda huu ni Mungu pekee. Bila ya kwenda mbali, nimeamua kuandika huu uzi kwa lengo la kupata ushauri juu ya ugonjwa huu ambao umekua unajirudia sanaa kwangu pamoja na kutumia madawa kama Ceftriaxone, Ciprofloxacin...
  13. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania Kulikuwa na umuhimu gani kwa viwanja vya Uhuru na Mkapa kujengwa sehemu moja?

    Habari za muda huu ndugu zangu wa jamiiforums. Eti wataalam wa mipango miji, kulikuwa na umuhimu gani kwa viwanja vya soccer vya Uhuru pamoja na ule wa Benjamin William Mkapa kujengwa sehemu moja? Eneo ulipojengwa uwanja wa Mkapa lilikuwa eneo la wazi na ndio sehemu ambayo chuo cha ufundi...
  14. U

    JamiiForums Tanzania Bata wangu anaumwa ugonjwa gani?

    Wana JF, Macho ya bata wangu yanatoa mapovu halafu yanakuwa Kama yanataka kuziba kabisa, huo ni ugonjwa gani? Unatibiwaje?
  15. D

    JamiiForums Tanzania Tofauti na DSTV, king'amuzi gani kitaonesha FIFA world cupa 2022?

    Wakuu Nimekuwa nikitafuta kujua ni kingamuzi gani kitaonesha fifa world cup 2022 ili nikinunue kwa sasa na matumizi ya badae Dstv hapana, sababu sitaweza kumudu kile kifurushi kikubwa chenye epl na uefa hivyo kitakuwa pambo tu
  16. CIA mgumu

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa kujua ni vifaa gani vinahitajika katika kuanzisha huduma hii ya hosting Tanzania

    Wadau wa jukwa hili naombeni kujua ni vifaa gani muhimu vinahitajika kuanzisha sever kwa ajili ya hosting ? Ukitoa kuwa na Generator la automatic ambalo ni muhimu kuwepo na Internet ya nguvu either na solar power kwa kujilinda ikitokea tatizo lolote kwenye vyanzo vya umeme. Je ni vitu gani...
  17. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Formula gani nzuri kwa ajili ya kuku wa nyama?

    Wakuu naombeni muongozo katika hili, nahitaji kujua jinsi ya kutengeneza chakula cha kuku wa nyama (broiler). Vyakula vya kuku wa nyama Vimepanda maradufu halafu soko la Kuku hilo pia linasumbua. Tafadhali mwenye kujua formula ya utengenezaji wa chakula hicho na kuku akakua vizuri. Na kama...
  18. puker

    JamiiForums Tanzania Kuna namna natamani kuwa sijui kwa jinsi gani itawezekana

    Habari zenu wanajukwaa. Naamini wote ni wazima poleni kwa wale wenye changamoto Mungu awatangulie 🙏. Niende moja kwa moja kwenye Mada. Kiufupi nimechoka namna jinsi gani nilivyo. Simaanishi sijipendi au sitamani tena kuishi... lahasha ila kama binadamu tungekuwa kama namna...
  19. Jelamashele

    JamiiForums Tanzania Ifike mahali wakomunist wetu wajipambanue tuu. Kuwa hawana Mungu anayeabudiwa na dini

    Hivi wakomunist uchwara wanafahamu Karl Marx hakutaka Mungu. Na alichoanza kupambana nacho ni dini. Ndio maana akasema dini ni KILEVI CHA UBONGO. Ukomunist ni mifumo haitaji Mungu. Kwa hiyo mkomunist hawezi kutuambia kuwa ana dini au anaamini Mungu. Kuna dhana ya kuwa serikali haina dini ila...
  20. T

    JamiiForums Tanzania Mbinu gani umetumia kuachana na uraibu wa kamari aka Kubeti?

    Katika miaka ya hivi karibuni hapa nchini Tanzania.Michezo ya kubashiri aka kamari/kubeti imekuwa ikishika hatamu kwa vijana, kitendo kinachopelekea kuzaliwa kwa waraibu/ walevi wa kamari (gambling addicts). Nina imani humu kuna watu waliokwisha pitia uraibu huu na kufanikiwa kuuacha. Naomba...
Back
Top Bottom