gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Hata kama majigambo ni asili yao ila hii imezidi sasa, ni kabila gani hili wemeanza sifa za kuzika kwa kutumia crane?

    Ukisikia sifa zinaua ndio huku, Hapa kwa mporomoko huu wa jeneza sijui kama waliodondokewa na jeneza walipona? Humo kwenye jeneza mwili wa marehemu ushavunjika vunjika kwajili ya hizi sifa. Utasikia kisingizio ni jeuri ya pesa lakini ukifatilia unakuta pesa zenyewe ni mshahara wa kuajiriwa...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Hivi mtoto wa kike kama haolewi anapaswa kuendelea kuishi na wazazi mpaka umri gani?

    Kwa mila na tamaduni zilizokuwa zimezoeleka huko nyuma ilikuwa kwamba mtoto wa kike ataondoka kwa wazazi wake kwa kuolewa. Kwa miaka ya karibuni mifumo na taratibu za maisha zimegeuka kabisa. Idadi kubwa ya watoto wa kike hawaolewi kwasababu mbalimbali. Kufuatia mabadiliko haya ndiyo sababu...
  3. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Unadhani ni umri gani kwa mwanasiasa haufai kugombea nafasi za kisiasa Tanzania?

    Kuna hoja huwa inakuja mara kwa mara kwamba "fulani ni mzee sasa anafaa apumzike siasa". hivi kwa Tanzania mtu akifikisha miaka mingapi ndipo ahesabiwe kwamba umri wake haufai kugombea nafasi za kisiasa?? Rais wa sasa wa Marekani Joe Biden ana miaka 80 na kuna uelekeo kwamba anaweza kugombea...
  4. Adlo

    JamiiForums Tanzania Nimecheka sana, sijui wenzangu mna maoni gani

  5. Sun Wukong

    JamiiForums Tanzania Nina laki sita, nifanye biashara gani?

    Ni mwanafunzi wa chuo first year fulani hivi Dar, nina pesa laki 6 ambayo ninafikiria sana nifanye biashara ila wazo haliji yani. Najua kuna ambao walianza chini labda wanaweza nishirikisha nini nifanye, kwakweli sipendi kabisa umasikini. Karibuni.
  6. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti UVCCM asema watawashughulikia wanaokejeli viongozi wao

    Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Taifa, Mohamed Ali Kawaida amesema watawashughulikia wanaowabeza viongozi wakuu wa nchi bila kujali nafasi zao walizo katika taifa hilo. Ametoa kauli hiyo katika ofisi za Jumuiya hiyo Gymkhana Mjini Unguja wakati wa mapokezi yake na...
  7. P

    JamiiForums Tanzania Masikhara ya JK nyuma ya uwepo wa Makamba nionyeshe rafiki nikwambia wewe mtu wa aina gani

    Wazungu wanao msema usemao nionyeshe rafiki yako nikwambie wewe ni mtu wa aina gani. Maana yake marafiki zako ndio wanaokutambulisha mbele ya wastaarabu. Ni msemo umekuwepo kwa miaka mingi japo unajulikana kwa wale wasomaji wa vitabu vya kingereza. Mwalimu Nyerere alikuwa na Hayati Rashid...
  8. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania 'Tanganyika' imetawaliwa na wakoloni kwa muda gani?

    Habari. Hivi hili eneo ambalo leo ni Tanganyika, limetawaliwa na wakoloni kwa muda wa miaka mingapi. Mkutano wa Berlin ulifanyika mwaka 1885. Lakini hadi mwaka 1898 Mkwawa alikuwa akipigana na wajerumani. Mwaka 1907 vita ya majimaji ikaisha. Mpaka wakati huu mkoloni alikuwa ameishaweka mizizi...
  9. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Tunatengeneza Tanzania gani kwa kudhihaki waliokufa?

    Kauli ya Mzee Makamba ya kusema mungu anawaua wabaya na kuwaacha wema na akawataja majina imeniumiza sana binafsi,baada ya kauli hiyo nikawakumbuka wapendwa wangu walioufa,kwa namna ya pekee nikamkumbuka Hayati Rais John Pombe Magufuli aliyekufa akilitetea Taifa kwa damu na nyama hakulala...
  10. Happycuit

    JamiiForums Tanzania Ushangiliaji huu wa Yanga SC una maana gani?

    Alafu hawa kina Faisal na Kibwana walikuwa wanaelewa kweli kinachomaanishwa hapa au walikuwa wanafata mkumbo.
  11. system hacker

    JamiiForums Tanzania Amkeni: Niambie unafanya biashara gani nikusaidie kupata fedha zaidi kwa kutumia mfumo wa sayansi ya fedha na biashara

    New update . . . . 25.12.2022 Merry Christmas and Happy New Year 2023. Umewahi kusikia kuhusu CMC Marketplace? . . CMC Marketplace ni mfumo wa Soko la kutegemeana kwa wale wanaoamini kufanikiwa kwa kushikana mikono na kuinuana kiuchumi. . . Watu wamejiunga kwenye mfumo huu, ili kufanya...
  12. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania "Usiondoe mpaka wa mwenzako." Mpaka gani?

    Anaandika, Robert Heriel Kuhani mwanasheria. Maneno haya yamepimwa, yamefanyiwa uchunguzi wa kina, nami nitayawasilisha kwa kadiri niwezavyo yasipungue, kwani hii ndiyo hesabu yake. Kwa maana kila jambo lina njia na nafasi yake. Na kila njia na nafasi inawakati wake. Na kila kimoja kina...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Msaada: Visa ya Cyprus, Turkey au Holland

    Habari yenu Wakuu. Naomba msaada wenu wa maelekezo vitu gani vinahitajika kupata visa ya kwenda aidha Cyprus,Turkey au Holland. Kati ya hizo nchi 3 ipi ni rahisi kidogo suala la kupewa visa kwa Mtanzania? Nikitumiwa Barua ya Mualiko na Mwenyeji wangu akisema yeye atakua Responsible kwangu...
  14. Rangooo

    JamiiForums Tanzania TSG 10 ni kiasi gani cha mshahara?

    Habari, naomba kufaham kwa mwenye kujua TSG10 NI kiasi gani cha mshahara, asanteni
  15. Gaddaf i06

    JamiiForums Tanzania Kiakili una uwezo kiasi gani? Ngoja tuone

    Habari zenu wakuu, Aya, mara mojamoja sio mbaya ....tangu uzaliwe, uliwahi kutengeneza /kubuni nini cha kwako mwenyewe? (kwa kutumia elimu ya darasani au akili ya kuzaliwa) wazee wa zamani hawakuwa na elimu kama tunayoipata sisi, masuala haya ya teknolojia ni mambo ya kisasa wala...
  16. Mwachiluwi

    JamiiForums Tanzania Ulikuwa na mtazamo gani kuhusu kuzika

    Habari za mchana Naenda direct kwenye mada Ulikuwa na mtazamo gani kuhusu kuzika na mala yako ya kwaza kuzika hilikuwaje Mimi nilikuwa najua mtu akizikwa basi anakutokea usiku unapolala Nakumbuka mara yangu ya kwaza kwenda kuzika nilikuwa darasa la tano mwezetu alifiwa na baba yake kwaiyo...
  17. music mimi

    JamiiForums Tanzania Msaada: Jinsi gani naweza update iPhone 8G iwe na IOS 16?

    Mimi si mwenyeji wa iPhone lakini imenitokea kuna baadhi ya emoji sizioni, kuuliza nimeambiwa nifanye update. Nachotaka kujua, Process ya updating inatumia GB ngapi? Naweza tumia simu nyingine kuwasha hotspot au lazima iwe WiFi kama hizi za public? Kwa mfano nikienda restaurant, zoezi zima la...
  18. P

    JamiiForums Tanzania CCM haiaminiki hata kidogo kwa sasa. Tuna uhakika gani ikiwa siyo wao wanaohusika na ukamatwaji wa ndege zetu?

    Siwachoshi! Mliorogwa na jina JPM muendelee kuamini kuwa hasara zote za nchi hii chanzo chake ni yeye hata kama miaka miwili yuko kaburini! Swali ni je, ndege yetu iliyokamatwa huko imefanya safari ngapi za kwenda na kurudi hata kabla ya JPM kuwepo? Tutaaminije kama siyo mikono michafu ya...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Swali: Ni timu ya nchi gani inayoimba wimbo wao wa Taifa kwa HAMASA kubwa? Na ipi haiimbi kwa hamasa?

    Kuna uhusiano mkubwa sana kati ya uzalendo na hamasa ya kuimba wimbo wa Taifa, na kati ya kujiamini na kuimba wimbo wa Taifa. Je ni timu ipi inaimba wimbo wake wa Taifa kwa hamasa kubwa? Nadhani huiyo inaweza kuwasaidia kubeba kombe la dunia! Kwa maoni yangu Ureno ina hamasa kubwa sana katika...
  20. Mapand

    JamiiForums Tanzania UDSM ina upekee gani wa kumtunuku mtu Udaktari wa Heshima kuliko vyuo vingine?

    Kama swali linavyojieleza. Natamani kujua kama kuna vigezo vinavyoidhinisha au vinavyofikiwa kwa chuo kikuu iwe hapa Tanzania au Duniani kote katika kumtunuku mtu udaktari wa heshima. Nauliza hivyo kwasababu kwa hapa Tanzania kila mara utasikia UDSM imemtunuku mtu fulani udaktari wa heshima na...
Back
Top Bottom