gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Galilaya kwa Sasa ndio mji Gani?

    Wana theology,wataalam wa biblia na wale Wana historia napenda kuwasilisha swali kwenu nikitaka kujua mji wa galilaya ambao umetajwa kwenye biblia kwa Sasa uko katika nchi Gani na huo mji kwa sasa unaitwaje? Miji kama ya nazalete,sodoma na gomora n.k iko katika nchi Gani na kwa Sasa...
  2. JamiiForums Tanzania Jinsi gani ya kuomba ruhusa kazini?

    wakuu mbinu gani unaweza tumia kuomba ruhusa kazini ukiwa unaenda kufanya usahili sehemu nyingine?
  3. JamiiForums Tanzania Nataka nikusanye kiasi cha million 25, nitumie mbinu gani?

    Kazi ninayofanya inanipa take home ya takriban 500k - 800k per month sasa nahitaji kusave hadi nifikishe kiasi cha sh 25mil kwa ajili ya kutimiza lengo langu (lengo kapuni). Mwaka jana nilijaribu kuhifadhi kwa kucheza kikoba kupitia jina la mama mtoto wangu lakini tuliishia kukopa kwa ajili ya...
  4. JamiiForums Tanzania Occupational therapy jobs

    Hivi course ya occupational therapy Ina marketability kiasi gani kitaa
  5. JamiiForums Tanzania Ushauri gani UNAIPA nafsi yako, wakati huu?

    Binafsi Nashukuru 🙏🏿, sasa USIHOFU, kaza!
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kuna aina mpya ya kutengwa kwa njia ya kidijitali kwenye magroup, ni kitu nilichogundua kinawumiza wengi

    Kuna hali ambayo imeanza kuonekana ya kawaida, lakini ndani yake kuna maumivu ya kimya. Mnajuana mitaani, mnacheka pamoja, mnafanya biashara au kazi sehemu moja, mnaabudu pamoja kanisani au msikitini, au hata ni ndugu, jamaa na marafiki halafu kuna “group” linaanzishwa, lakini wewe huingizwi...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Huwa unafanya vitu gani baada ya kutoka kazini ili kuuweka mwili sawa kwa siku nyingine?

    Huwa unafanya vitu gani baada ya kutoka kazini ili kuuweka mwili sawa kwa ajili ya siku nyingine au ukitoka kazini unaingia kazini tena huna muda wa kufanya vitu vingine kabisa Mimi huwa napumzika kidogo hata kama kuna shughuli nyingine ya kufanya siingii kuifanya moja kwa moja hasa zile nzito...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Tuzingatie kitu gani tunapokwenda kununua simu ili tupate simu bora?

    Huu wakati ambao asilimia kubwa ya vitu tunategemea simu aidha kama njia ya mawasiliano, wengine simu ndio ofisi yaani wanatumia kuingizia kipato au wengine kama vifaa vya kujiburudisha kwa kuchezea magemu inahitaji ujuzi na akili kubwa kuweza kufanya machaguo ya wakati wa kuingia sokoni. Sasa...
  9. JamiiForums Tanzania Mkiwapima wanafunzi mimba pimeni na bikra mjue walioanza ngono ni kiasi gani

    Kuna mjadala mzito unaoendelea katika jamii—mjadala unaogusa utu, haki, na mustakabali wa watoto wa kike mashuleni. Ingawa kuna wakati watu huingiza siasa ila ni jambo nyeti sana katika jamii. Kwa miaka ya hivi karibuni, imekuwa jambo la kawaida kwa baadhi ya shule kufanya vipimo vya ujauzito...
  10. JamiiForums Tanzania Nilinunua ngombe laki nane, nikamuuza milioni 1. Nikamnunua tena kwa milioni 1.1 nikaja kumuuza tena milioni 1.3, Je kiasi gani nilichotengeneza?

    Nilinunua ngombe laki nane, nikamuuza milioni 1. Nikamnunua tena kwa milioni 1.1 nikaja kumuuza tena milioni 1.3, Je kiasi gani nilichotengeneza? 🧠🧠🧠
  11. JamiiForums Tanzania Ni utaratibu gani wa kufuata ili kuanzisha nchi?

    Nimepata wazo la kijasiliamali la kuanzisha nchi eneo na watu nipo nao ni mimi tu kupata kibali cha kusajili na kupata seat UN ili nianzishe sarafu yangu na mambo mengine ya kiserikali Naombeni muongozo kwa anaejua nianzie wapi ili kuisajili nchi yangu itambulike kisheria Nawasilisha
  12. M

    JamiiForums Tanzania Ni websites au app gani nzuri za kuangalia historia ya ajali, matemgenezo na service za magari kutoka Japan?

    Ni websites au app gani nzuri za kuangalia historia ya ajali, matemgenezo na service za magari kutoka Japan? Msaada kwa hizo websites tafadhali
  13. JamiiForums Tanzania Vodacom kuna tatizo gani?

    Wakuu kwa ambae kanunua umeme,luku jana na leo kwa kutumia voda simshauri kuna tatizo kubwa sana huko voda watu tulionunua umeme jana leo tunalia na kusaga meno pesa zetu hazijarudishwa kampuni ishaanza wizi hii
  14. JamiiForums Tanzania Ni jambo gani kwa sasa ambalo ni kero zaidi kwako na ungetaka litatuliwa kwa haraka?

    Ni kero gani kubwa zaidi kwako na ungetaka itatuliwa kwa haraka?
  15. JamiiForums Tanzania Kauli mbiu ya Rais gani iliwahi kufanikiwa hata kidogo tu?

    1. Ukweli na Uwazi-Mkapa 2. Maisha Bora kwa kila Mtanzania-JK 3. Tanzania ya Viwanda-Magufuli 4. Kazi na Utu-Samia
  16. R

    JamiiForums Tanzania Hivi ni wimbo gani ukikuta na stress unaweza ukalia mpaka ukalia tena

    Wimbo unaonifanya kuwaza na kulia tena juu ya matatizo yangu, nikifikiria namna jamii mtazamo wa jamii, ndugu na familia kuwa chanzo cha mimi kusita kufanya maamuzi fulani au chuki yao kwangu kuniumiza The last great american dynasty- Huu wimbo kaimba Tyler Swift na kutolewa 2020, Ni wimbo...
  17. JamiiForums Tanzania Mufti anapata faida gani kusema uongo kuhusiana na mwandamo wa mwezi?

  18. JamiiForums Tanzania Msaada: Printer gani itafaa kwa matumizi ya ofisi ndogo

    Wakuu kama title inavojieleza, tunahitaji Printer itakayoweza Copying, printing colored na Scanning. Sifa iwe na running costs ndogo japo pia matumizi yetu ni madogo labda ku print Karatasi 10-15 kwa wiki au chini ya hapo. Budget ni haizidi 450K, labda iwe pungufu ya hapo. Kuna zile naskia...
  19. JamiiForums Tanzania Kitu gani kinamsisimua mwanamke

    Niliwauliza wanawake 40+ swali moja la ajabu sana… “Ni kitu gani mwanaume hufanya ambacho kinawasisimua zaidi ?” Nilidhani wangesema: Misuli ya tumbo. Pesa. Au ubabe wa mwanaume. Lakini majibu yao lilinishangaza. Karibu wote walisema kitu kimoja… Sio kile mwanaume anachofanya. Ni kile...
  20. JamiiForums Tanzania TANESCO mna shida gani? Kwanini umeme unakatika mara kwa mara?

    Umeme saivi unaweza kukatika hata mara tano na kurudi ndani ya dakika 15 hadi 20, sijui kuna shida gani maana najiuliza ni kwangu tu au ni kila sehemu? Mtaani kwako hali ya kukatikakatika kwa umeme ipo?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…