gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. H

    JamiiForums Tanzania Nataka nirudishe rangi ya ngozi yangu lotion au mafuta gani yananifaa

    Habari wanajf By the way mimi ni mweupe Ndio rangi yangu halisi Ila rangi yangu ya uso imebadilika nimekuwa maji ya kunde lakini sehemu zote zilizobakia rangi yangu imebaki Ile Ile nyeupe so ningeomba mnitajie lotion au mafuta sahihi ya kurudisha ngozi yangu Nifah njoo unisaidie hapa kwenye...
  2. ProcrastinatorInChief

    JamiiForums Tanzania Mfanano wa mafundisho ya Yesu na mafundisho ya Krishna unakupa picha gani?

    Amani iwe nanyi Angalizo: Kabla ya yote Enyi ndugu zangu napenda kutoa angalizo kwamba Yatakayoongelewa hapa ni kwa lengo la kujifunza na si katika muktadha wa maana yoyote nyingine.. Kama mada inavyojieleza Kuhusu Mafundisho ya hao watakatifu wawili.. watakatifu hao wamekuwa sio tu na...
  3. Martyr 360

    JamiiForums Tanzania Ni swali gani mwanamke akiuliza unapomtongoza utamueshimu

    Wanawake wengi unapowatongoza huwa wana tabia ya kuuliza vimaswali wanapokaribia kukubali, haijalishi umri wao maswali mengi huwa NI ya kijinga na yanapelekeaga wanaume wengi kuwachukulia powaa Sana. Je ni maswali ambayo mwanamke anapokaribia kukubali akikuliza mwanaume UTAMUESHIMU sana
  4. Braza Kede

    JamiiForums Tanzania Kuna umuhimu gani wa kufanya skimming kwenye nyumba ?

    Hii kitu kwa saivi imefanywa kama ni kitu ya lazima kwenye ujenzi wa nyumba. Mi sioni kama ni kitu chenye umuhimu kiviile, zaidi naona ni kuongezeana gharama tu bila sababu ya msingi. Nipe mtazamo wako.
  5. D

    JamiiForums Tanzania Kuna siri gani katika vijiwe vya kahawa kwa viongozi wa CCM?

    Kuna mambo ukiona yanajirudia ni vizuri kujiuliza ili kujifunza. Wana JF tusaidiane. Enzi za uhai wake tulimwona Hayati John Pombe Magufuli akinywa kahawa na vijana wake huko Chato. Hivi majuzi akiwa ziarani Singida tukaoneshwa picha Rais Samia Suluhu Hassan naye akiwa na kina mama katika...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Huko dunia ya Ulaya kuna jambo gani kuhusu Afrika?

    Mfalme Charles wa Uingereza Kaingia Kenya Kwa ziara ambayo ilijulikana kabla. Lakini tukasikia na Rais wa Ujerumani naye Kaingia Tanzania kwa ziara ya kikazi. Kule Kenya Mfalme huyo amejutia yale yaliyowasibu wakenya wakati wa Kupigania uhuru wao na huku Tanzania tunaambiwa Rais huyo...
  7. Mr Lukwaro

    JamiiForums Tanzania Ni App gani ya manunuzi mtandaoni, naweza kuagiza bidhaa kama vile Flash disk au T-Shirt , na zikawa Printed kwa Jina ninalotaka mimi?

    Najaribu kufanya research ya kuangalia kati ya Aliexpress, Kikuu au Alibaba App ambayo ina uhakika na wanaweza kuniletea bidhaa kwa jina ninalotaka mimi. Naomba msaada.
  8. R

    JamiiForums Tanzania Ni kiongozi gani wa kisiasa amewahi kutumia bajaji na pikipiki kutekeleza majukumu yake? Je, Makonda akiwa RC aliwahi kufanya hivyo? Kwanini sasa?

    Kuna vitu vinatafakarisha. Viongozi wa kisiasa wanatumia magari ya mamilioni na hakuna aliye tayari baada ya kupewa ofisi atumie bajaji wala pikipiki. Leo kuna mtu anaacha V8 na kupanda bajaji kuingia ofisini. Je, haya ndiyo maisha yake? Kama siyo maisha yake anafanya kwa manufaa ya nani...
  9. A

    JamiiForums Tanzania Nina mtaji wa milioni 7 msaada nifanye biashara gani

    Mimi ni mwajiriwa niko maeneo ya Kijijini Nina kahela nmesave sh milioni 7 nataka nizungushe kanipatie faida Biashara gani itanifaa maana huku nilipo mzunguko wa hela ni mdogo. Napata wakati mgumu
  10. C

    JamiiForums Tanzania Je illuminati ni watu wa aina gani? soma hapa uweze kuwatmbua

    The original Illuminati were a Bavarian secret society founded in 1776. Their stated goals were, to coin a phrase, “woke”—to eliminate superstition, religious influence over public life, and the abuse of power by the state and the wealthy. Naturally, they were banned almost immediately, and the...
  11. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mchezaji gani unampa ushindi wa Ballon d'Or 2023 leo?

    Hafla ya utoaji tuzo Tuzo ya Ballon d'Or, ambayo inatajwa kuwa kati ya Tuzo Bora zaidi za Soka duniani inatarajiwa kufanyika leo Oktoba 30, 2023 ambapo mastaa wa Soka wa Kiume 30 wanashindana katika kinyang'anyiro hicho. Pia, kwa upande wa Tuzo ya Wanawake idadi ni hiyo ni hiyo hiyo. Tuzo hii...
  12. MK254

    JamiiForums Tanzania HAMAS kuachia Warusi, hivi mnawashabikia huwa mnatumia vigezo gani, mjue kuna hadi Watanzania

    Mnaokesha humu kushabikia HAMAS huwa mnatumia vigezo gani kando na dini, nini kingine kinachowapa hamasa ya kushabikia maovu yao, wameteka watu wa mataifa mbali mbali wasiohusiana na ugomvi wa Palestina, humo kuna hadi Watanzania...
  13. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Fikiria Dunia ingekuaje kama Dini na Sheria visingekuwepo

    Zipo nadharia tofauti zinazoelezea asili ya jamii (muingiliano) mpaka kufikia dola za hivi sasa na miongoni mwao ni creation theory from holy book na state of nature theory (social contract theory), ambapo kuna wanazuoni kama Thomas Hobbies, Jean Jack.., John Locke na wengineo. Ambapo kundi la...
  14. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Baada ya kumzuga mara tatu bila mafanikio, Rafiki wa kazini bado analazimisha nimfundishe kuchoma kaya, Nichukue uamuzi gani?

    Ni kama rafiki japo naweza kumuita bro, ana miaka 40 na kitu ? Binafsi hii ndio starehe yangu japo kwa sasa huwa ni stiki mbili ama tatu kwa wiki. Sasa huyu bro sijui ni kipi kilichomshawishi atake kujaribu haya mambo umri ukiwa umeshaenda mithiri ya jua la saa kumi na moja. Mara ya kwanza...
  15. Eternally to be

    JamiiForums Tanzania Ni jinsi gani ya kupakua youtube playlist na kuihifadhi kwenye windows laptop

    Wakuu popote mlipo habari zenu, wakubwa shikamooni Katika pitapita zangu za online nimekutana na changamoto ya kushindwa kupakua playlist kutoka youtube yaani kuihifadhi kwenye laptop yangu ya windows. Na ni kawaida yangu sikuzote nihitajipo kujua jambo fulani la kimtandao huwa naigia kwenye...
  16. Daydream

    JamiiForums Tanzania Mpenzi wako alikutafutia sababu gani ya kukuacha?

    Mapenzi yanapoanza yanakua matamu kama asali ila mkishachokana yanakua machungu kama shubiri mwishowe mnaachana Katika kuachana kuna sababu mbalimbali huwa zinatolewa na wapenzi wetu ambazo zinapelekea wao kutuacha Mimi mpenzi wangu aliniambia "Daydream me naona tuachane" nikamuuliza kwanini...
  17. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Makonda anaposema hatalipa kisasi, kwani alifanyiwa mambo gani mabaya na kina nani?

    Bila shaka Mko Pouwa! Makonda amesema mbele za Watu kuwa hatalipa Kisasi, kumaanisha kuwa kundi kubwa la Watu analoliambia kuwa hatalipa Kisasi linajua mabaya aliyofanyiwa Makonda. Hapo kwa upande wangu nimeachwa kidogo kwa sababu sijui nini na kina nani walimfanyia ubaya Makonda mpaka kufikia...
  18. David Harvey

    JamiiForums Tanzania Hivi walokole mna shida gani?

    Katika dhehebu linastahili kufutwa ni walokole, mtu umekaa unafurahi zako mkeka umetiki anatokea mlokole anakuambia hiyo furaha unayofurahia bila kuokoka ni kazi bure. Muda huu nipo kazini nasalimiana na mfanyakazi mwenzangu anatokea mlokole anamwambia mfanyakazi mwenzangu asichangamane na watu...
  19. Satirical Yet Awesome

    JamiiForums Tanzania Ulianza kunywa pombe ukiwa na umri gani?

    Nahisi kuna mapepo ya kunywa pombe yananifatilia. Mzee wangu huwa anapenda kuhifadhi pombe kwenye fridge, yaani ukifungua fridge hukosi pombe, anapendaga aina ya Heineken na desperados. Zikiisha kweny fridge, utamsikia "Oya dogo natoka mara moja narudi asaiv"....akirudi lazima awe amebeba bia...
  20. badison

    JamiiForums Tanzania Tazama video hii ya maajabu kisha niambie ni sayansi gani imetumika hapa

    Hii video ya ajabu nimeiona leo kwenye mtandao wa kijamii wa tik tok yani imekuja yenyewe embu tazama mwenyewe kisha jiulize inawezekanaje au ni huu ni Uchawi nini ndugu zangu.
Back
Top Bottom