gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. T

    JamiiForums Tanzania Dawa ya kuchua

    Habarini... Naomba kuuliza ni dawa gani ya kiasili ya kuchua kwa mtu aliyepata mpasuko (fracture)kwenye mbavu. Nawasilisha.
  2. Webabu

    JamiiForums Tanzania Tanzania ina maslahi gani na vifo vya wapalestina.Hatujamrudisha balozi wetu. Hata maandamano nayo

    Nchi mbali mbali zimeonesha kuguswa na vifo vya Wapalestina kwa kusingizio cha kuwasaka Hamas. Tangu vita hivyo kuanza Tanzania haijaonesha kukerwa sana na vifo vya maelfu ya Wapalestina karibu nusu wakiwa ni watoto. Hata wale wanoiiunga mkono Israel sasa wamepatwa na kiwewe wakiangalia jinsi...
  3. Desierto

    JamiiForums Tanzania Hizi ni huduma ambazo Serikali ingetakiwa izitoe bure kabisa

    Hizi hapa ni huduma ambazo serikali ilitakiwa izitoe bureee kabisaa, Kuingiza umeme kwenye makazi na biashara, ukimuuliza kila mtu gharama alizotumia kuingiziwa umeme kila mtu atakupa ya kwake, Ikiwa gharama rasmi ya serikali inajulikana mfano 27000 lakini mtu anatumia 150000 inaenda kwa mtu...
  4. Moronight walker

    JamiiForums Tanzania Msaada: Familia inahangaika namna gani watawasadia watoto wawili wa nje wa marehemu

    Habari wa JF, Kuna msiba wa ndugu mmoja jirani hapa. Sasa siku ya msiba walikuja watoto 2 wana umri wa miaka 5 na mama yao wanafanana sana na watoto mapacha wa kiume aliyozaa na mkewe wake ambao wana umri wa miaka 6. Ina maana jamaa alizaa nje watoto wamefanana na Baba yao ukiwaona ni kama...
  5. Blender

    JamiiForums Tanzania Jamani hii ni Brand Gani?

    Nimeagiza mzigo wa raba online,huko mashariki ya mbali, . Box ndio limekuja na LOGO ya kushangaza👆, Japo raba iko Njema na haina hio LOGO 👆 ya ajabu. Sasa sijui hawa wachina wamefanya makusudi kuprinti hivi , Nisaidieni wajuba
  6. B

    JamiiForums Tanzania Uwe ba roho mbaya kiasi gani, utaondoka tu duniani

    Ujumbe wa leo
  7. AfricaUnited

    JamiiForums Tanzania Kwa mtaji wa mil 5-10 nifanye biashara gani mkoa wa TABORA

    Habari Za majukumu wanajamvu, Katika pitapita zangu, nimekuja tembea mkoa wa tabora, na nimeupenda, naweza weka kambi kwa mda . Naombeni ushauri wajuzi wa huu mkoa ,Biashara gani naweza fanya hapa mkoani kwa mtaji wa mil 5 hadi 10? Nitashukuru kwa ushauri. Asanteni
  8. S

    JamiiForums Tanzania Ni kipengele gani kinamruhusu Katibu Utumishi kumwamuru PSRS kushughulikia suala la ajira ya mtu?

    Ni kipengele gani kati ya vifuatavyo kinamruhusu katibu utumishi kumwamuru PSRS kushughulikia suala la ajira la mtu? Ni kipengele kipi
  9. Engager

    JamiiForums Tanzania Je, mzazi wako alishiriki kwa kiasi gani kuua ndoto zako?

    Je, Lilikuwa ni kosa lake au mfumo wa maisha ndio ulimfanya awe hivo?
  10. Choosen85

    JamiiForums Tanzania Imepita miaka 7 toka tumeachana, jana kanitumia SMS ya kejeli

    Wakuu mulibwanji? Mambo huku ni tabulele laaa.... Nilipokuwa chuo nlikuwa kwenye mahusiano na mdada mmoja wa Kiha nlimpenda sana na tulifanikiwa kupata mtoto 1, kiukweli nlitamani ndo awe wife kumbe nilikuwa najiandalia bomu hasa alipotangulia kupata kazi. Alikuwa kasomea ualimu, nilianza pewa...
  11. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Nyimbo za maudhui ya matusi zina utofauti gani na taswira ya madanguro?

    ■Mashairi ya matusi na ngono ■Kuvaa nusu uchi ■Uchezaji dance wa namna ya kingono Hauwezi ukaangalia hizi kama uko na mtoto wako au mtu wa wa kuheshimiana. Ila ndio nyimbo madogo wanakalili huku wakijijengea picha ya kuwa wanayao yaona au kuyasikia katika videos hizi ni ya kawaida na modernity...
  12. Naantombe Mushi

    JamiiForums Tanzania Namna gani pale great thinkers na matajiri wa JamiiForums. Hili sikulitegemea kabisa

    Nimekutana na hizi nyuzi zifuatazo zimenisikitisha sana 1. Nimepiga block ombaomba wote mpaka baba na mama huu uzi umetoka kwa lijendari great thinker Mpwayungu Village aisee imenisikitisha sana. Mi naona tusifike huko jamani great thinkers, kumbukeni hawa wazazi wetu kwanza wengi wao - wazazi...
  13. masai dada

    JamiiForums Tanzania Ucheleweshaji wa mizigo Bandarini; Mwarabu aanze kazi?

    Wenye experience na vikwazo kama hivi, mliokomaa kiroho kusubiri mzigo mwezi mzima alafu uje ukae bandarini hivi.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Wabeba Mizigo Mlima Kilimanjaro Wanalipwa Kiasi gani kwa siku?

    Wakuu swali langu ni hilo wale wagumu aka ma-porter wanaopanda Mlima Kilimanjaro Wanalipwa Kiasi gani kwa siku au kwa mwezi?
  15. Nsanzagee

    JamiiForums Tanzania Mbali na kura za UN kupinga uvamizi wa wayahudi huko Gaza, Israel hajali, Kwani hii nchi ya Wayahudi inanguvu kiasi gani?

    Ninawasiwasi na baadhi yetu waswahili kuwa tunawajua juu juu tu, hawa Wayahudi, tuna lopoka tu hata tusijue hao Mayahudi ni kina nani haswa Nilitarajia Urusi, Irani, Korea na hata China waingilie kati, kwa sababu ya uswahiba wa nchi hii ya kiyahudi na US, lakini wapi, Israeli ni nani? Hata...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Nani anaweza kutueleza kwa kifupi bunge limefikia maamuzi gani kuhusu Madudu ya yaliyoripotiwa na CAG? Ndio tuseme tunasubiri ripoti nyingine mwakani?

    Nimeona wabunge na mawaziri wamemaliza kujadili ripoti ya CAG. Kwa namna mambo yalivyokwenda ni kama spika amesimama na mawaziri kufunika kombe. Lakini wakati huo wabunge wakiamua kuungana na mawaziri dakika ya mwisho kwa kupiga makofi kama walivyopigiana wakati wakichangia. Cha msingi zaidi ni...
  17. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Addiction: Nje ya pombe, sex na kubeti una uraibu gani?

    Maziwa ya mgando kwangu ni kama mboga za majani, chakula hakishuki bila mtindi Kwa siku lazima nitumie gb 2 hadi 3, nazitumia kucheki youtube, netfllx, video calls, backups, updates, n.k. jf inatumia data kidogo sana Sigara iliwahi kuwa kama ibada kwangu, nashukuru nimeacha
  18. TTCC_TECNO

    JamiiForums Tanzania Changamoto gani wanapata wahitimu baada ya kumaliza chuo?

    Wote tunajua maisha baada ya kuhitimu ni safari iliyojaa fursa na changamoto. Kwa kutambua na kufanya kazi kwa bidii kuzishinda changamoto hizi, wahitimu wapya wanaweza kujenga njia ya kufanikiwa na kazi yenye kuridhisha. Kukumbatia sura hii mpya kwa azimio, uvumilivu, na mtazamo wa kukua...
  19. TUKANA UONE

    JamiiForums Tanzania Aliyemuumba ndiye aliyesema tuishi naye kwa akili, huyu kiumbe ni wa aina gani?

    Salamu ni chanzo cha umasikini,huwezi elewa hili hadi uwe na Akili timamu! Wakati nikiwa mdogo nilidhani nyoka ndiye kiumbe hatari kuliko vyote duniani,lakini kumbe nilikuwa sijafahamu ilikuwa ni akili ya kitoto tu!. Nilipokuwa mtu mzima nimekuja kugundua kiumbe aitwaye "Mwanamke" ndiye kiumbe...
  20. SACO

    JamiiForums Tanzania Mama kanitukana nichukue hatua gani?

    Kuna vitu mama anataka kuforce ila kafikia hatua mbaya, napanga kumshtaki kwa wajomba zangu
Back
Top Bottom