gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kuna hofu gani ndani ya CCM? Hizi kauli zinaashiria mpasuko au mmeguko?

    Habari za muda huu ndugu yangu Huwa sina mtiririko mzuri wa kiuandishi, lakini napenda kujenga hoja kwa ufupi huku ikifuatiwa na maelezo mareeefu. Kauli ya Katibu Mkuu mpya wa Chama Dkt. Emmanuel Nchimbi kwamba "Utamaduni wa CCM ni Rais wa JMT kuhudumu kwa Mihula miwili hivyo nawaambieni...
  2. JamiiForums Tanzania Kwa Mlioangalia Movie ya "OPPENHEIMER" naombeni mniambie kuna jipya gani huko? Naona kwenye tuzo za kimataifa inajinyakulia mituzo yakutosha!

    Salamu nimemwachia GENTAMYCINE na ndugu zake wa Butiama & Nyamuswa!, Kwangu mambo yote ni Shega! Ndugu zangu naomba walio angalia movie ya OPPENHEIMER waniambie ni movie inayohusu kitu gani maana mimi huwa ni mgumu wa kuangalia movie hasa za huyo jamaa maana naonaga kama hakuna anachoweza...
  3. JamiiForums Tanzania Kwa wataalam wa mimea, dawa nk huu ni mmea gani

    Huu mmea nimekuta sehem umejitenga na mimea mingine, Sijapata kuliona pahala popote. Kwa anayejua
  4. M

    JamiiForums Tanzania NMB App mna shida gani Leo?

    Hivi hii benki kuwa hivi hapa nchini yenye kutengeneza mabilioni ya faida kila mwaka ni ya kumiliki app yenye kusumbua wateja kwa siku nzima wakisaka huduma? Hivi kitengo chao Cha IT kinawawajibika ipasavyo? Imagine, nimelipia huduma kwa nmb app na pesa wamekata ila hazijafika nilikozielekeza...
  5. JamiiForums Tanzania Ni kitu gani kimetoweka kabisa kwenye jamii siku hizi?

    Mimi naanza kwa kutaja Wanawake wasiopenda hela Endelea nawewe kutaja
  6. JamiiForums Tanzania Unakumbuka tukio gani kuhusu hii picha?

    Tanzania kama nchi imepitia vipindi tofauti vya kustaajabisha na kushangaza pia. Unakumbuka tukio gani ukiiangalia hii picha?
  7. JamiiForums Tanzania Ni mambo gani muhimu ya kuzingatia ili kufungua banda la juice? Na linahitaji mtaji kiasi gani?

    Ni mambo gani muhimu ya kuzingatia ili kufungua banda la juice? Na linahitaji mtaji kiasi gani? Samahanini wakuu, naombeni mchango wenu on regard of heading above
  8. JamiiForums Tanzania Ni Mungu gani anaesaidia mtu Mzinifu na anaezaa nje bila ya Ndoa?

    Kwenye pitapita zangu mtandaoni nikakutana na Demu analalamika kuachwa na Jamaa baada ya kupewa Kibendi. Kama unavyojua penye watu hapakosi neno, basi watu wakaanza kutiririka kumpa pole na kumwambia yule Dada kuwa Mungu atamsaidia na mtoto wake. Watu wengine wakawa wanamwambia wanamuombea...
  9. JamiiForums Tanzania Kwa mshahara gani viongozi wa sasa wananunua nyumba za bilioni 25 uko Dubai?

    Mahojiano ya Daktari Kigwangala yametupa ufunuo na kutupa maswali inawezekana vipi Kiongozi wa Tanzania akanunua nyumba shilingi bilioni 25 uko Dubai,na wengine wamenunua nyumba za bilioni 6 Masaki,je wamelipwa kitu gani hadi wamepata pesa hizo,je wameuza nini hadi kupata fedha hizo!? Je ni...
  10. JamiiForums Tanzania Majibu sahihi ya swali la msingi "Nifanye biashara gani?"

    Majibu sahihi ya swali la msingi "Nifanye biashara gani?" Na, Leonard julius shiganga wa mwanamatingatinga. Watu wengi hasa wale wanaopata mtaji na kuwa na nia ya kufanya biashara mbalimbali katika maeneo yao, wamekuwa wakijiuliza sana hili swali "Nifanye biashara gani?" # leo nimeona kuwa...
  11. JamiiForums Tanzania Wanaume, unatumia gharama gani ku-shave kwa mwezi?

    Habari wakuu, Kama heading inavyoeleza hapo juu, nataka kufanya research binafsi ili nione kama kuna kipya katika matumizi na gharama zetu katika maisha yetu ya kila siku, Nikisema kipya ni kujua kama kuna uwezekano wa watu wanaotumia gharama sana, gharama za kawaida (kati) au kuna za chini...
  12. JamiiForums Tanzania Watu wa protokali hawana weledi, haikuwa sahihi kumuweka Hafidhi pembeni ya Kikwete Mapinduzi

    Katika sherehe za miaka 60 ya mapinduzi nilishtuka kuona pembeni ya mme wa rais ndugu Hafidh kukaa rais mstaafu Kikwete. Mpangilio huu ulimfanya Hafidh kukosa furaha na utulivu muda wote wa sherehe nadhani hii ilisababishwa na mzee wetu kutokuwa karibu na wanasiasa na wajeda. Kwa mujibu wa...
  13. JamiiForums Tanzania Kitu gani umeshindwa kabisa kuacha

    Habari zenu, Huu ni uzi maalumu kwa watu ambao wanatamani kuacha kufanya jambo fulani lakini imekuwa ngumu kwao. Funguka hapa huenda ukapata msaada na ukaweza kuyashinda yanayokutatiza.
  14. JamiiForums Tanzania Ivory Coast vs Guinea Bissau wanaanza leo, Nchi gani itaibuka na Ubingwa wa AFCON mwaka huu?

    Michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) inaanza leo Januari 13 ambapo Wenyeji #IvoryCoast watamenyana na #GuineaBissau kwenye Uwanja wa Alassane Ouattara mjini Abidjan. #Tanzania inayoshiriki Michuano hiyo ikiwa katika Kundi F pamoja na #DRCongo, #Morocco na #Zambia itatupa Karata yake...
  15. JamiiForums Tanzania Ni mauzauza gani ulishawahi kukutana nayo barabarani?

    Nakumbuka tulikuwa tunatoka kijijini Kibungo wilaya ya Kigamboni, tunaelekea Pemba Mnazi kuogelea. Tulipokuwa tunaingia Pemba Mnazi, barabara imefunikwa na kivuli kikali cha miti mikubwa ya miembe. Katikati ya kivuli ukatokea mwanga mkali sana kiasi cha kutufanya tusiweze kuona mbele. Basi...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Kuna shida gani mkoa wa Pwani?

    Nilikuwa Pwani, Wilaya ya Mkuranga, nimetembea vijiji vingi Hadi Kijiji kinaitwa mwanzenga (nimeambiwa ni Kijiji Cha wasanii). Kilichonishangaza ni maeneo mengi ya mkuranga ni potential sana Kwa ufugaji na ujenzi wa viwanda. Kilichonichosha ni population ndogo na wenyeji wanaishi maisha...
  17. JamiiForums Tanzania Hivi ubikira wa mwanamke una utamu gani? Maana naona watu wanaahidiwa hata peponi

    Kuna hii video sheikh anaeleza kuhusu wanawake walioandaliwa kwa ajili ya wanaume waislamu kule peponi, yaani mabikira. Hapa najiuliza, kwa nijuavyo uzuri wa kumla mwanamke bikira ni kwa sababu unajua kakuheshimisha na kwamba wewe ndiye wa kwanza kumuingia, ila shughuli yenyewe huwa usumbufu na...
  18. JamiiForums Tanzania Watanzania tunataka bunge la aina gani? Tujadili

    Binafsi nakubaliana 100% kwamba bunge ni muhimu kwenye kuisimamia serikali kwa mujibu wa katiba ila siridhishwi na jinsi lilivyo kwa sasa. Mimi maoni yangu kuhusu bunge ni kama ifuatavyo; 1. Viti maalum vibaki vile 10 vya Rais tu. Hivi vingine vifutwe. 2. Majimbo yapunguzwe. Majimbo 264 ni...
  19. JamiiForums Tanzania Dili gani ulipiga likakutoa kimaisha na sisi wengine tujifunze

    Wakuu nimekua nikipambana bila mafanikio. Nimejaribu fursa mbalimbali lakini mambo bado bilabila. Nimejaribu kufanya kilimo changamoto yake ipo kwenye umwangiliaji na soko, nimejaribu kutoa boda za mkataba lakini bado napigwa ngumi za pua. Najua JF pana wengi na hapakosi kuwa na mengi ya...
  20. JamiiForums Tanzania Kitu gani umewahi kukifanya ukajivunia na kujipongeza mwenyewe?

    Funguka
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…