gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. B

    JamiiForums Tanzania Jina "Nyengombili" ni wenyeji wa mkoa gani na kabila gani?

    Naomba kujua tafadhali. Jina Nyengombili ni kabila gani na wenyeji wa mkoa gani? Maana ya jina nini? Nimelipenda sana hilo jina nataka nimuite mwanangu
  2. S

    JamiiForums Tanzania Nchi za Afrika zinajidhalilisha sana, kulikuwa na haja gani Afrika Kusini kuishtaki Israel mahakama ya ICJ?

    Nchi za afrika zinazidi kujianika kwa kujionesha unafiki,ona sasa eti afrika kusini imepeleka mashtaka mahakama ya kimataifa ya haki(ICJ),kulikuwa na haja gani kuishtaki Israel?,kama kweli wanapenda haki sana kwanini wasingewashtaki Russia kwa kuua watoto wa Ukraine bila kuchokozwa?,kwahiyo sasa...
  3. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    JamiiForums Tanzania Ni mafuta gani ya kupikia mazuri zaidi kwa afya?

    Ni mafuta gani ya kupikia mazuri zaidi kwa afya? CHANZO CHA PICHA,GETTY IMAGES Mafuta ya kupikia ni kiungo cha msingi sana jikoni. Lakini kuna habari nyingi zinazokinzana kuhusu kila aina ya mafuta na afya. Pamoja na mengi kwenye rafu unapokuwa dukani – kuanzia yale ya nazi hadi mizeituni...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Jamaa yangu kapasua friji la TBL kwa hasira baa. Kioo chake kina gharama gani?

    Jamaa alizinguana na wahahudumu akaamua kubomoa friji la baa. Matengenezo yake yamekaa vipi? Kioo tu ndio kimebomoka.
  5. nentewene

    JamiiForums Tanzania Tungo: Nipeni ushauri, mke gani nichague

    Naombeni ushauri, mke gani nichague! Niangalie uzuri, mtaani wanijue? Au anaeweza shughuli, kitandani nitulie. Au alietulia tuli, pekeangu nitanue. Ebu nipeni ushauri, leo hii nijue. Nichukue mwenye tako au mwembamba anatosha. Nichague mwenye cheko, anaeweza kunikosha. Au nichukue mnoko...
  6. THE FIRST BORN

    JamiiForums Tanzania Ni Match gani Ilikukosha kutoka Kwa Team yako ya Ligi kuu ya NBC Mwaka huu 2023?

    Habari wana Jukwaa La Michezo, Mwaka 2023 unakata huu, Tumetoka Mbali ulikua Mwaka wa Matukio Mengii ila Leo Naomba niwaalike wote hapa kukumbushana Ni Mchezo gani Kutoka kwa Team yako pendwa ya Ligi kuu ya NBC hutausahau. Ulikukosha ukakupa Raha. Ukafurahi ukaona Maisha ya Bongo ni kama ya...
  7. Jerry santonga

    JamiiForums Tanzania Chimbo gani kuna AC na unaweza pata kinywaji, lunch yako na kufanya kazi zako mbili tatu?

    Salaaaam wanajamvi Natafuta chimbo la kuweza kupata upepo mwanana wa kiyiyozi (AC) hili joto la mjini SALIDARAMA balaaaaaaa feni haifui Dafu hata sekunde chimbo liwe reasonable unazuga zuga pale huko unapiga kazi zako...JUICE /LUNCH
  8. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Umepanga kuwapa zawadi gani Wazazi/Walezi wako msimu huu wa sikukuu?

    Habari zenu Wakuu, Wakati wengine wakijiandaa kuwapa zawadi Wapenzi wao sio vibaya nasisi tukawakumbuka waliotulea Wazazi/Walezi kwenye msimu huu wa SIKUKUU. Mimi Mjanja M1 nimechagua kuwapa Wazazi/Walezi wangu zawadi ya kukaa nao SIKUKUU nzima pamoja na kuwapa zawadi nyengine nyingi...
  9. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Basi gani linaenda Johannesburg Afrika Kusini kutokea Dar es Salaam, Tanzania?

    Tafadhali mwenye taarifa anisaidie. Kuna basi jingine tofauti na Mkombe Luxury Coach? Asanteni🙏
  10. P

    JamiiForums Tanzania Inawezekana niamkie Kariakoo na kupata kipato ikiwa sina ofisi wala chochote?

    Inawezekana niamke asubuhi na kwenda Kariakoo ikiwa Sina ofisi yeyote hapo???? Udalali huwa unafanywaje jamani! Kazi gani unaweza kuifanya pale Kariakoo kwaajili ya kukuingizia chochote kitu ikiwa huna duka, huna chochote?
  11. Saa 7 mchana

    JamiiForums Tanzania Maskini anaanzia umri gani?

    Naomba kuuliza umaskini unaanzia umri gani? Yani mtu ukifikisha umri gani na akawa bado hajiwezi katika mahitaji yake muhimu anaqualify kuitwa maskini. Ikiwa na maana gani mtoto wa miaka 9 anaeishi kwao hatuwezi kumuita maskini ila kwakua Mpwayungu Village mwenye miaka 46 anaeshi kwa shemeji...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Nina mpango wa kukopa benki milioni 17, biashara gani inanifaa?

    Kwanza nawashukuru sana watu wote mlionishauri, kunikosoa, kunikejeli na kunielimisha kwenye andiko langu la " NAOMBA KUSHAURIWA, KUELIMISHWA NA KUKOSOLEWA" asanteni sana. Pili napenda kusema kutoka moyoni kwamba nimeamini na nina imani kuwa wafrika itatuchukua miaka mingi sana...
  13. Mufti kuku The Infinity

    JamiiForums Tanzania Tukio gani lilikuhuzunisha zaidi kwenye Series ya Game of thrones (GoT)?

    Kwangu mimi ni the red wedding (episode ya the rains of castamere) pamoja na kifo cha Hodor..... Naliaga kabisa kwenye hizi scenes 😭😭 The red wedding 💔
  14. Teslarati

    JamiiForums Tanzania Unakula Usiku wa Xmas ukiwa bar, pub au kiwanja gani?

    Tujuane wadau, labda nilipokaa hapa kuna member wa jf nae ana-browse ila hatujuani. Nimerudi Dar jioni hii ila nimetulia hapa Micassa Pub Ubungo Uko wapi mdau? Mshana Jr LIKUD The Boss Extrovert cocastic Nifah dronedrake The only Na wengine wengi
  15. Bigmaaan

    JamiiForums Tanzania Hii baiskeli ilitengenezwa na Kampuni gani?

    Heri ya Chrismas wakuu. Visiting home for Christmas kula pilau kwa bimkubwa, nimekuta hii baiskeli kuna bwana mdogo—Uncle wangu yuko form one day school—ameifufua na anaitumia usafiri wa kwenda shule. Kabla ya ujio wa pikipiki hizi za kichina, Pre–2009, Baiskeli hizi zilikuwa zinatumiwa sana...
  16. Championship

    JamiiForums Tanzania Ni kitu gani raisi Samia amekiweza? Mbeya hakuna maji wiki ya pili hii

    Nimefika huu mkoa naambiwa maji hamna kwa zaidi ya wiki mbili sasa. Nipo maeneo ya soweto, block Q. Niliwahi kuishi hapa karibu miaka 10 kipindi cha nyuma na hapajawahi kuwa na tatizo la ukosefu wa maji hata siku moja. Ni kipi Rais anakiweza?
  17. Intelligent businessman

    JamiiForums Tanzania Member gani JF amekuwa chawa kupitiliza, kwa mtu au kitu 2023?

    Mwaka ndo huo una elekea kuisha, kila mmoja ana mtazamo wake wengine furaha au huzuni. 👉Tukija Humu jf Kuna baadhi ya member wame kuwa na mapenzi yaliyo pitiliza kwa mtu au kitu kwa Mwaka huu 2023. 1, Lucas mwashambwa dah huyu brother nahisi tuki mchanja damu yake tuta kuta dna za chama chake...
  18. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Kuna jambo gani la maana umelibeba toka hapa Jamii Forums kwa 2023?

    Pamoja na JF kuwa platform ya kutuondolea stress ila pia imekuwa na mambo mengi ya kutujenga kwenye maisha yetu.Zikiwa zimebaki siku chache kabla ya 2023 kuisha, Binafsi nimejibebea mambo yafuatayo kwa mwaka huu 2023 toka hapa JF; 1. JF ndo sehemu pekee kwa sasa ninapoweza kupata ushauri mzuri...
  19. Escotter20

    JamiiForums Tanzania Unaachana na tabia gani 2024?

    Heri ya krismass kwa wakristo wote Kuelekea mwaka 2024 imebaki wiki moja. Kunatabia ninaziacha mwaka huu👇 1. Kubeti 2. Futa account insta , fb na twitter 3. Kuacha kushabikia yanga 4. Kuacha kabisa ngono Na-replace na hizi tabia👇 1. Kufanya mazoezi 2. Sala 3. Kujipenda mwenyewe 4. Kusoma...
  20. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Unatabiri nafasi moja iliyobaki itaenda kwa timu gani kutoka Africa kushiriki kombe la dunia la vilabu ?

    Kati ya Cr Belouizdad, Petro De Luanda na Simba Kuna timu itaweza kufikia points 75 za ES TUNIS ?
Back
Top Bottom