gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ni kitu gani umejaribu kuacha umeshindwa kabisa

    Wakuu kutekwa sasa basi kila mtu ajilinde anavyojua tutakwishaaaaa..... Hivi ni vitu nimejaribu kuacha na nimeshindwa kabisa 1. Kutosalimia salimia watu 2. Kutongoza mwanamke akizingua mara moja tu sihangaiki naye tena. 3. Kutamani na kuwala wake za watu 4. Kupenda sn muziki nipo tayari...
  2. JamiiForums Tanzania Sehemu gani nzuri ya kula bata Igunga (Tabora)

    Habarini ndugu. Kwa wanao pafahamu Igunga vizuri ni sehemu gani nzuri ya kula bata palipo changamka siku za weekend + mziki mzuri . Natanguliza shukran.
  3. JamiiForums Tanzania Tufurahi kidogo:Je una historia gani na kuberi?

    Leo tufurahi kidogo ndugu zanguni wa JF ,em tupia kisa chako ulichowahi kukumbana nacho au kushuhudia hata kwa rafiki yako kutokana na matumizi ya kuberi 😂.
  4. JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri nina million 3 nifanye biashara gani?

    Habarini wakuu Katika Harakati za hapa na pale nimepata milion 3 nifanye biashara gani?ili niweze kupata Kwa siku faida ata 30k.
  5. S

    JamiiForums Tanzania Nitumie dawa/lotion/mafuta gani?

    Salaam wakuu Mtu wangu wa karibu (ke) ana changamoto ya kutokwa na vitundu vidogo vidogo (pores) kama inavoonekana hapo kwenye picha...hiyo ni sehemu ya uso shavuni Akivikamua/akiviminya izo pores zinatoa kitu kama mafuta mgando mweupe Anaomba ushauri kwa wataalam wa ngozi na wengine waliowahi...
  6. JamiiForums Tanzania Hivi nitumie dawa gani?

    Oya nye watu mliopo humu... Jana kuna demu nimemzingua kisa kasema sura yangu imeharibika. Hebu mnambie nitumie dawa gani ili niondoe chunusi huku usoni.
  7. JamiiForums Tanzania Methali gani unaona imepitwa na wakati?

    Methali gani unaona imepitwa na wakati na ipi ilikuwa mbele ya muda yaani inafaa hata sasa? Mfano mie naona aliye Juu mngoje chini kama imepitwa na wakati maana asiposhuka itakula kwako,
  8. JamiiForums Tanzania Jinsi gani ya kutoka kwenye mahusiano bila vurugu?

    Wakuu, haya mahusino naona kabisa hatuna future, ila tumezoea kuwa pamoja na ndio kitu pekee kinatubakisha. Kwa namna nilivyoishi na huyu bibie sihitaji kuachana naye kwa vurugu, nahitaji tuachane kwa amani kila mtu ashike lake. NIpeni mbinu wakuu, nifanyaleje? Maana kama ni kupunguza...
  9. JamiiForums Tanzania Hatari ya matumizi majina bandia,jf Rafiki yangu kafariki na alikuwa member hapa ILA sijui alikuwa anatumia jina Gani? JE sifi Leo nikifa mtajuaje?

    Mara ya mwisho nilikutana nae kwenye kijiwe chake cha wavuvi camp" fish point, huyu hakuwa Rafiki tu Bali alikuwa classmet wangu chuo kikuu. Tukiwa wavuvi camp,A.K.A Fish point uku tukiwa tunaisubilia kusasamvua lisamaki kubwa, tukaanza kubadilishana story, nakumbuka aliniuliza SWALI ili na ndo...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Ukipata mtoko ya dharura inakuchukua muda gani kuwa umeshajiandaa?

    Linapokuja suala la kujiandaa kama kupata nguo ya kuvaa, viatu nk. kwa wanaume huwa sio shida sana japo wapo wenye vipingele lakini huwa nafuu ila kwa jinsia Ke, ndio pata shika japo wapo wanaojitahidi. Wanawake mpaka akapate nguo ya kuvaa ni muda hata kama ana kabati 2 za nguo na zote zimejaa...
  11. JamiiForums Tanzania Ni eneo gani la kazi kwa maoni yako linaongoza kwa kuona warembo/watu wapya kila siku mpaka mtu anaingia kazini na furaha ya ajabu?

    Kuna baadhi ya maeneo ya kazi ukiajiriwa tu unaanza kuamini dunia bado ina furaha. Sio kwa mshahara kwanza… bali mazingira yenyewe yanakuwa kama series isiyoisha kuhusu “uhamiaji wa viumbe wazuri” Mfano maeneo ya vyuo vikuu… aisee huku ni kama Serengeti migration. Kila mwaka linaingia...
  12. JamiiForums Tanzania Ni tukio/kituko gani ambacho alifanya dada yako wa kazi hapo nyumbani hutosahau?

    Salute! Nafahamu kwa sababu mbalimbali watu wengi tunapenda kuishi na dada wa kazi majumbani mwetu Wapo watu wengi ambao wamekutana na Mikasa mbalimbali kutokana na dada hawa wa kazi. Je ,ni kituko gani uliwahi kukutana nacho kutoka kwa dada wa kazi?
  13. JamiiForums Tanzania Trump kavurugwa. Vitu gani anapost bila caption?

    Nani anamchanganya huyu mzee? Ni AI generated lakini hadi rais wa nchi kubwa hivi anapost? Tf? Source: https://truthsocial.com/@realDonaldTrump/posts/116591901587847680
  14. JamiiForums Tanzania Ukim-beep mwenza wako, atachukua muda gani kabla ya kukupigia?

    Credit ya Video: Jimbo Media
  15. JamiiForums Tanzania AJIRA

    Hivi kuna kitu gani behind ajira.? unakuta mtu analipwa 800k kwa mwezi lakini anamaisha magumu ndy nn sasa.? Alie na ufafanuzi mzuri anieleweshe... si kwa miezi miwili tu hapo unakua na 1.6M + kwa 10 miezi = 9.6M kwa mwaka😀
  16. JamiiForums Tanzania Beside Tanzania, ni nchi gani Africa ungechagua kuweka makazi ya muda mrefu?

    Mimi ningechagua Botswana, Kuna demokrasia, kuna utulivu, hakuna mfumuko wa bei, lakini pia ni nchi inayoongoza kuwa na wadada wenye makebo makubwa.
  17. A

    JamiiForums Tanzania Hii ni kitu gani wakuu?

    Habari wana jamvi, Takribani wiki mbili zilizopita nilikuwa nasumbuliwa na muwasho sehemu za siri; dhakari, maliwato na sehemu katikati ya mapaja na mbupu. Sikuota vipele isipokuwa tu sehemu ya kichwa cha dhakari ndio nilikuwa na vipele viwili tu ambavyo haviwashi wala kutoa uchafu. Nikajaribu...
  18. JamiiForums Tanzania Natafuta Ajira , je una una maoni Gani kuhusu hili swala?

    Maoni yako , tafadhari. Je ni sahihi kumkimbia mwanamke ambaye ushamlipia mahari na ukamuachia na ujauzito au kwa jina maarufu Mimba .?.. Natafuta Ajira
  19. JamiiForums Tanzania Wavutiwa na siasa za nchi gani kana kwamba ungependa nchi yetu iwe kama wao ?

    Eti wadau tiririkeni hapa. Kwa malalamiko yetu ya kila siku dhidi ya ccm na siasa zetu, ungependa nchi yetu iwe na siasa kama za nchi gani duniani na kwa sababu zipi?
  20. JamiiForums Tanzania Video Editors na Content Creators: Una edit video zako kwa kutumia software gani?

    Wanaopenda kuedit video, for fun au kwa biashara. Unatumia software gani? Free, paid au cracked? Natumia Windows Laptop sio Mac. 16 GB RAM inatosha au nipande juu? Kwa sasa najifunza color grading, Natumia CapCut na LUT za watu najaribu kufanya mwenye mdogo mdogo, inafaa kwa kufanya manual...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…