gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Hivi mchina ana technolojia gani ya kumsinda Mmarekani?

    Labda Mimi elimu yangu ndogo, Mchina ana technology gani ya kumzidi USA🇺🇸 Nikiangalia wale mabwana kila sector wapo vizuri. 1) Upande wa ndege hawana mpinzani 2) Mambo ya space science ni hatari 3) Magari ni hatari 4) Micro chips usiseme 5) Computing hawana mpinzani 6) Kwa kilimo ni hatari 7)...
  2. JamiiForums Tanzania Ni mnyama au mdudu gani akiingia chumbani huwa unakosa amani?

    Kila mtu hata kama ni jasiri kiasi gani lazima kuna kitu atakuwa anakiogopa tu. Hitler mwenyewe aliogopa mtihani. Katika mazingira yalituzunguka tunaishi na viumbe hai wengi yaani mimea na wanyama wa aina mbalimbali. Haijalishi ni nyumba ya aina gani unaweza kushangaa mdudu au mnyama...
  3. JamiiForums Tanzania Je, ni wakati gani muafaka kwa mzazi kuwabariki watoto wake?

    Ndugu zangu, Nimekutana na hii tafakuri juu ya baraka za mzazi kwa watoto. Tafakuri hii imejengeka kupitia mandiko ya vitabu vitakatifu kwa kile alichokifanya Isaka kwa mtoto wake Yakobo. Kwamba Isaka alipokuwa Mzee sana na kuona siku zake za kuishi zinaelekea ukingoni, akamtaka mwanaye...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Ni jambo gani Amos Makala amewahi kubuni, kutekeleza na likafanikiwa?

    Nimemsikiliza mara kadhaa mzee Makala akiwa ndani ya CCM, utumishi wa umma na sasa ndani ya CCM tena. Kuna watu wana bahati ya kupewa madaraka lakini siyo bahati ya kufanikisha malengo ya uteuzi. Kutokana na kukosekana kwa taarifa za jambo lolote aliloanzisha Makala likafanikiwa nimesijikia...
  5. JamiiForums Tanzania Ringtone ya simu yako ni wimbo wa msanii gani?

    Binafsi natumia wimbo wa Wiz Khalifa_High_as_me
  6. JamiiForums Tanzania Ni mbinu gani nitumie za kuniwezesha kudumu na mwanamke?

    Jamani wanawake wa saizi imekua pasua kichwa ! yaan suala la kufunga vilago ni dakika sifuri Uvumilivu -0 Utulivu-0 Tamaa -100% Nipeni mbinu madhubuti ya kudumu na mwanamke?
  7. JamiiForums Tanzania Program ya BBT ina manufaa gani Kwa vijana wa kitanzania?

    Ni mwaka wa pili sasa nafuatilia hii program ya BBT iliyo anzishwa na mh Bashe chini ya wizara ya kilimo , nilichogundua hii program ni ya kisiasa na kidarali watu wanapiga pesa vibaya mno na vijana wanapotezewa mda na kutumikishwa kama watumwa wakipewa ujira na Kwa malimbikizo. Naona bora...
  8. JamiiForums Tanzania Hospitali gani nzuri ya kutahiri watoto wa kiume hapa mjini Dar? Jina la Dokta Tafadhali!

    Pia kuna watu wananishauri eti niwatahiri kienyeji kwamba ndio watakaa vizuri zaidi but it doesn't make sense with me. Mimi nilitahiriwa Muhimbili mwaka 1989 nikiwa nna miaka minne. Watoto wangu nimechelewa sana kuwatahiri. Mmoja miaka 9 (std.4) na mwingine miaka 7( std.2). Nilichelewa...
  9. JamiiForums Tanzania Madhara yanayotupata kwa sababu ya kutumia simu muda mwingi

    Unaweza kujikuta unakuwa sio mfanya mazoezi Tena sababu kuu ikiwa ni simu kuniletea Dunia karibu vitu kama vyote live sasa muda wa kujiweka fit umechukuliwa. Unaweza kujikuta wengi wa vijana tunaishia kujichua wengine hata Mara nne Kwa siku Kwa sababu una access ya porno all the time hivyo...
  10. JamiiForums Tanzania Ni kifaa gani hiki?

    Kikikufaa njoo tufanye biashara pia bei kinauzwaje?
  11. JamiiForums Tanzania Mashabiki Wenzangu wa MAN U,timu yetu Ina matatizo Gani??

    Hii tImu Nilianza Kuipenda mwaka 1998 nikiwa Shule ya vidudu,Bi mkubwa alinunua Jezi number 7 mgongoni Imeandikwa Cantona,Kaka zangu wakawa wananipa story za Cantona,Tangu hapo nikawa mpenzi wa Manchester united, Wakati Nasoma secondary school,usiku tulikua tunatoroka shule tunatembea karibu...
  12. JamiiForums Tanzania Ni jambo gani unajivunua ulilolifanya kwaajili ya Taifa?

    Bonjour, Bila kupoteza muda ukiachana na kulipa kodi ni jambo gani unajivunia kulifanyia Taifa lako. Mfano jeshi la wananchi mwanajeshi ana cha kujivunia binafsi najivunia kuchangia damu bila shuruti kwa hiali kabisa na kwakuwa damu yangu ni group O mim ni Universal global donor najua damu...
  13. JamiiForums Tanzania Huyu Mwalimu anaishi kwa mbinu Gani nchi Tanzania?

    Kwa hali hii, huyu mwalimu anaweza kupata akili ya kufundisha watoto darasani waweze kufaulu? Huwa anaishije?
  14. JamiiForums Tanzania Ni kampuni gani unanunua mwani?

    Wakuu vipi? Nina Imani wote mu wazima, ni kampuni gani kwa dar hapa inanunua mwani wakuu? Bei ya kilo ikoje? Nawezaje na naanzaje kupata mteja nje ya nchi ikiwezakana wakuu?
  15. JamiiForums Tanzania Mwanangu anashindwa kutumia common sense?? Hii ni shida gani?

    Nina kijana wa miaka 17 wa kiume ni mpole na mkimya lakini hayuko smart.Tofauti na ilivo kwa watu wengi wa kimya kwa kua na akili nyingi kwa kijana wangu ni tofauti ni mkimya ila sasa akija kuongea unaweza ukajiuliza ameongea wire ukiwa connected kwene switch au Laaah. Shuleni ni average sana...
  16. JamiiForums Tanzania Mishe gani ambayo inachukuliwa poa mtaani ila wanaoifanya wanapiga vibunda?

    Mishe gani ambayo inachukuliwa poa mtaani ila wanaoifanya wanapiga vibunda?
  17. JamiiForums Tanzania Ni hatua gani za kufuata ili kuishtaki kampuni binafsi ambayo imenitapeli

    Kama kichwa kinavyoelezea hapo juu, kuna kampuni moja binafsi imenitapeli kiasi cha pesa. Sasa naomba kujua nawezaje kufungua kesi na kuishtaki ili niweze kupata haki yangu. Pesa yenyewe ninayowadai ni kidogo (250,000) ndio maana nasita kwenda kushtaki kwa kuhofia kuwa kunaweza kuwa na gharama...
  18. JamiiForums Tanzania Facebook ina mpango gani na accounts zetu tulizosahau password tangu 2010's?

    Kama kichwa kinavyojieleza. Anayejua jinsi ya kufanya hizo accounts zikafungwa kwa namna yoyote.
  19. JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wa mbegu gani bora kilimo cha Nyanya.

    Wakuu niko babati nahitaji kuanzisha shamba langu la nyanya . Naomba kujua mbegu gani bora kwa kilimo cha biashara. Pia vitu gani vya msingi natakiwa kuvizingatia.
  20. JamiiForums Tanzania Jambo gani lililowahi kukufanya ujisikie aibu/Ujivunie Utanzania wako?

    Niliyojivunia: 1. Nilipata safari ya kikazi mkoani Kagera wilaya ya Ngara. Kwenye lile basi raia wengi walikuwa ni wa Rwanda na Burundi. Wakati nipo kwenye basi, nilishuhudia wale jamaa walikuwa wakiongea kwa kuangaliana makabila tu, yaani Mhutu kwa Mhutu au Mtutsi kwa Mtutsi hata kama wamekaa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…