Nilipokuwa mtoto kuna wakati nilikuwa naona wazazi hasa baba kama wamezidisha unoko ila kwa sasa ndo nimekuja kuelewa nilikuwa najengwa kuwa mtu bora. Haya hapa makatazo ambayo nilidhani ni ya kinoko kumbe yalikuwa mema sana.
1. Giza likiingia halafu usiwepo nyumbani balaa lake lilikuwa zito...
Kwanza marhaba wadogo zangu, Mimi ndo nimefika stegi ya kuweka vyoo, Sasa nimefika juzi madukani nimekutana na kampuni kama 30 hivi brand mbalimbali, wote wakiuza vyoo, Sasa katika kupagawa nikashindwa ninunue vya kampuni gani .
Nikasema kwakuwa jamii forum Kuna jukwaa ambalo wapo watu wamesomea...
Habari members
Naomba kufahamu kama kuna chuo chochote tofauti na veta chang'ombe ambacho wanatoa course ya generator service and repair na vigezo vyao
Asante 🙏
Hivi karibuni kumekuwa na mjadala kuhusu watu wengi kujiita chawa wa mama, ambapo baadae Rais aliongea maneno ambaye nadhani yaliwarudisha nyuma kidogo.
Leo, nipo Dodoma kama kawaida, kwenye one and two, tupo na waziri Mkuu hapa, kwa hiyo wamekuja wamama wengi wamevaa t-shirt zenye picha ya...
Serikali imeipa DP World baadhi ya magati katika Bandari ya Dar es Salaam. Hili ni jambo jema kabisa.
Sasa ni vema Serikali ikahabarisha wananchi wake ni kiasi gani DP World inailipa Serikali kwa mwezi ili tulinganishe mapato ya Bandari kabla haijachukuliwa na DP World na mapato ya DP World...
Katika matunda ya asili ya Afrika ni matikiti tu ndiyo yanalimwa sana. Mengine yameachwa maporini na yanazidi kupotea. Kwanini Afrika hatulimi matunda yetu ya asili? Ni matunda gani ya asili yanapatikana kwenu na ungependa kuona yanalimwa?
Kwa sasa ni Mbunge wa Nyali huko Mombasa. Kabla ya kujikuta kwenye siasa, alikuwa ni Mwandishi machachari wa habari za kichunguzi zilizokuwa zikirushwa katika kipindi kilichopata umaarufu mkubwa kilichojulukana kwa jina la JICHO PEVU, na kurushwa na moja ya vituo vya runinga nchini Kenya.
Kwa...
Hii inawahusu watoto wanaoasiliwa wakiwa wadogo, kabla ya "kujitambua".
Ukiema usubiri mpaka awe mtu mzima ndipo umwambie ukweli, inaweza isiwe sahihi. Kunaweza kumwumiza nafsi kufahamu kuwa kipindi chote alichoishi na wewe hakuwa mwanao wa kumzaa.
Ukisema umjulishe angali akiwa mdogo, alu...
Mimi najutia nilifanya investment badala ya kufanya savings.
Mwisho wa siku biashara zimekufa sina savings hata moja.
Najutia kutonunua viwanja pesa yote nikaweka kwenye miradi ambayo yote imekufa.
Ongezea tujifunze
Samahanini sana Nina swali mimi watu kibao wanaonishauri mambo ya fedha wananikumbusha kujiwekea akiba kwa ajili ya dharura na wanajinasibu kabisa wao wanaweka akiba ipo imetulia sehemu.
Huwa najiuliza mbona vipindi vingi hata wao hulia knock je kweli uwe na akiba na ujibane usitumie uishi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.