gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Umewahi kukosa kitu gani kwa sababu ya kusema ukweli?

    Katika maisha kuna baadhi ya mambo unaweza kuyapata kirahisi kwa kusema uongo au kudanganya, lakini pia kuna mambo mengine unaweza kuyakosa au usifanikiwe kwakua tu umesema ukweli. Je, ni mambo gani katika maisha ulitumia ukweli ukayakosa na ulipotumia uongo ukayapata kirahisi? Ukweli mchungu.
  2. I

    JamiiForums Tanzania Uchakavu wa noti za fedha yetu Watanzania

    Wakuu habari? Kwa watu walio makini wakishika fedha hasa noti mtagundua kuna tatizo sugu la uchakavu wa noti zetu hasa shilingi elfu moja, elfu mbili, pamoja na noti za elfu tano,hili kwa sisi watanzania wa kawaida tunaliona madukani, sokoni na kwenye daladala, unapotoa fedha kununua bidhaa au...
  3. JamiiForums Tanzania Airtel ina masahibu gani leo?

    Sijui kama ni mimi au watu wengi. Airtel pamoja na huduma za Airtel Money hazipatikani muda huu.
  4. JamiiForums Tanzania Msaada wakuu ni app gani inatumika kuedit au kuweka maneno KWENYE picha kama haya

    Wakuu swali langu ni Hilo nataka nijue ni app gani inatumika KUANDIKA maneno juu ya picha hivyo
  5. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini Rwanda hakujawai kuwa na uhuru wa hivi kama Kenya? Erick omondi amkosoa rais Ruto

    Kenya ikiwa inaongoza kwa kua na uhuru wa Kujieleza na maoni .Haya mambo huwezi kuyasikia nchi kama Rwanda hata kidogo!! Hata kwene social media raia wa rwanda hawawezi kumkosoa Godfather hata akiuza hako kanchi! Lakin Kenya mambo ni yofauti. Ukipangilia nchi kwa uhuru wa kujieleza na kutoa...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Ni vitisho gani ambavyo uliwahi kupewa na hawa wakopeshaji wa kwenye mitandao?

    Wakuu karibuni tupeane mrejesho wa vitisho ambavyo uliwahi kupewa na hawa wakopeshaji wa kwenye mitandao maarufu kama wanyonya damu. Maana kila kukicha malalamiko yamekuwa mengi.Karibuni tujadili.
  7. JamiiForums Tanzania Ni vituko gani ulishawahi kufanyiwa na mwenye nyumba wako hadi ukatamani uhame uache Kodi?

    Nakumbuka miaka hiyo ndio nimepata kazi benki Fulani, nikapata nyumba Sinza ya mama mtu mzima kijana. Akanikaribisha sana, hakuwa na noma, nilipokuja kununua flat TV enzi hizo plasma tv ndio zimetoka, hamna cha LCD na LED ni ndoto kabisa, yaani ndio kwanza watu wachache sana tumeamza kujikwamua...
  8. JamiiForums Tanzania Picha: Atakuwa kabila gani huyu?

  9. JamiiForums Tanzania Wataalamu hivi Kuna faida gani katika mwili kuingia kwenye maji yenye mabarafu

    Wataalamu hivi Kuna faida gani katika mwili kuingia kwenye barafu mengi Mara nyingi tumekuwa tukiwaona hata wachezaji wakia kwenye pipa lililojaa mabarafu mengi sana
  10. JamiiForums Tanzania Ladha gani hawa wauza chips wanaweka?

    Habari wakuu, Nimefanya utafiti nimegundua chips yai za kupika nyumbani ladha yake tofautii na wanazouza kwenye vibanda zinakua tamu sana je wanatia viongo gani kunogesha?
  11. K

    JamiiForums Tanzania Bank gani yenye riba nafuu?

    Mwenye ufafanuzi tafadhali kuhusu bank yenye riba nafuu kwenye urejeshaji wa mkopo kati ya bank zifuatazo: NMB CRDB NBC
  12. E

    JamiiForums Tanzania Ajira za ualimu zilizotangazwa kutoka kwa mwajiri ambaye ni MDAs na LGAs, je unaenda kufundisha wapi na level gani?

    1: wana JF naomba kuuliza kuhusu hizi ajira za ualimu zilizotangazwa kutoka kwa mwajiri ambaye ni MDAs na LGAs, je unaenda kufundisha wapi na level gani? Pia 2: je kuna faida yeyote kwa mwalimu aliye chini ya Tamisemi kuomba kuhamia MDAs na LGAs 3: nini tofauti ya kufanya kazi Tamisemi au...
  13. JamiiForums Tanzania Utani gani umewahi kumtania mpenzi wako ikawa ndio sababu ya yeye kukuacha au kusababisha ugomvi mkubwa.

    Mimi nilimwambia aache ubishi maana kwao wanatabia za ubishi isee kiliumana sana..akanitukana eti nina mb*** kama filimbi. Isee nilikiamshaa alivyoondoka nikamblock kabisa.. Wewe ilikuwaje kwako!
  14. JamiiForums Tanzania Unadhani Sekta ya Afya inahitaji maboresho gani nchini Tanzania na je, ukiteuliwa kuwa Waziri wa Afya utafanya nini cha tofauti?

    Kwa mtazamo wangu, Wizara ya Afya ya Tanzania inaweza kuboresha huduma za afya kwa wananchi kupitia maeneo kadhaa: 1Miundombinu: Kujenga na kukarabati hospitali, vituo vya afya, na zahanati; kuwekeza katika vifaa tiba na teknolojia za kisasa. Rasilimali Watu: Mafunzo endelevu kwa wahudumu wa...
  15. JamiiForums Tanzania Ukiachana na UKIMWI, ni ugonjwa gani wa maambukizi Mtu hulazimika kutumia dawa maisha yake yote??

    Wakuu Magonjwa ya kuambukizwa -Magonjwa yanayosababishwa na vimelea kama virus,bakteria na fungus. Magonjwa yasiyoambukiza -magonjwa ambayo hayahusishi vimelea fulan kama kisukar pressure magonjwa ya moyo. Swali je ni ugonjwa gan wa vimelea mtu hulazimika kutumia dawa maisha yake yote?
  16. JamiiForums Tanzania Ofisi ya RITA, Missenyi wana matatizo gani?

    Ndugu wanaJamvi kuna jambo limenishangaza kidogo kutoka ofisi ya RITA MISSENYI mkoani Kagera.Kuna mtoto wa shemeji yangu aliomba cheti cha kuzaliwa kwa njia ya mfumo wa RITA ajaza kila kinachotakiwa kuwekwa kwenye mfumo.Baada ya wiki moja kwenye mfumo status ikaonyesha Cerificate Issued,Collect...
  17. JamiiForums Tanzania Ni pedi gani nzuri zaidi kwa bei rafiki

    Nataka kumnunulia mpenzi wangu pedi ila sijajua ipi ni bora zaidi.
  18. JamiiForums Tanzania Kwa kuwa Kilimo ni Uti wa Mgongo wa Tanzania, leo kama ukiwa Waziri wa Kilimo utafanya mambo gani mapya?

    Sekta ya Kilimo imekuwa ikitajwa kuwa moja kati ya maeneo muhimu zaidi katika Uchumi wa nchi. Lakini kwa miaka mingi bado eneo kubwa la Ardhi ya Tanzania halijatumika. Chukulia umeteuliwa kuongoza Wizara hiyo kuanzia leo, unafikiri ni mambo gani mapya utafanya tofauti na ilivyo sasa? Pia...
  19. JamiiForums Tanzania Ni kabila gani hapa Tanzania ambalo wanawake wa kabila husika wana Lips nene kama za wanawake wa Ki ivory coast ?

    Kama uzi unavyojieleza hapo juu nataka kufaham ni kabila gani la hapa Tanzania ambalo wanawake wao wana Lips nene/pana kama walivyo wanawake wa Ki ivory coast ? Nataka kufaham tu, kama hulijui kabila Hii post ipite kama unazunguka Round about na pikipiki ya wizi.
  20. JamiiForums Tanzania VIDEO: Watu wa Gym haya ni mazoezi gani na yanasaidia nini?

    Kama gym kwenywewe mazoezi ndo haya bakini na gym Zenu na mazoezi yenu.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…