gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Ni viongozi gani wanastahili kuitwa "Waheshimiwa"?

    Naona kama Neno Mheshimiwa linatumika vibaya jamani! Sijisikii vizuri ninaposikia mheshimiwa Mkuu WA mkoa, au Mkuu WA wilaya, mheshimiwa mkurugenzi, daktari, mheshimiwa mchungaji, mheshimiwa she, mheshimiwa Afande! Zamani tuliambiwa watu wanastahili kuitwa Waheshimiwa ni viongozi...
  2. I

    JamiiForums Tanzania Msaada: Suzuki Swift new model inatumia atf gani

    Wadau salam,mimi kabwela "Common man" au msakata tonge nina kausafiri kangu Suzuki Swift second generation ya 2008.Engine yake ni K12B. Je atf yake ni ipi,najaribu kugoogle nakytana na vitu kama GL 4 n.k.Bado sielewi vizuri.Naombeni msaada wa kuelimisjwa vizuri.Maana nasikia gari nyingime ni T...
  3. JamiiForums Tanzania Kuna aliyeiona hati ya mashtaka kwa watuhumiwa kesi ya binti wa Yombo? Kwanini haiwekwi wazi?

    Wakuu salam, Kesi ya watuhumiwa wa kesi ya Yombo imeanza kuunguruma Jumatattu baada ya watuhumiwa hao kufikishwa mahakamani. Kimtaani mtaani tunajua kilichowapeleka pale ni kumlawiti na kumbaka binti yule. Mpaka sasa sijakutana na hati ya mashtaka ya watuhumiwa hao, na hata katika kuuliza kwa...
  4. JamiiForums Tanzania Imetimia miaka 19 tangu Wasanii wa Bongo Fleva, Complex na Vivian walipofariki dunia mwaka 2005, unawakumbuka kwa ngoma gani?

    Complex na Vivian walikuwa wasanii maarufu wa muziki wa kizazi kipya nchini Tanzania. Kifo chao kilikuwa na athari kubwa katika tasnia ya muziki nchini. Walifariki kwa ajali ya gari tarehe 21 Agosti 2005, wakati wakiwa safarini kuelekea kwenye shoo. Ajali hiyo ilileta huzuni kubwa kwa mashabiki...
  5. JamiiForums Tanzania Bus gani lenye VVIP ya ukweli na sio usanii. Nahitaji lakutoka Mwanza to Dar.

    Karibuni wakuu.
  6. W

    JamiiForums Tanzania Ni kitu gani ukilipwa unaweza kukifanya maisha yako yote?

    Ikitokea fursa nilipwe kwa ajili ya kufanya kitu kimoja tu maishani mwangu. Ningechagua kusafiri kuona na kujifunza vitu vipya. Kama wazungu wanavyosema we Only live Once Wewe ungechagua kufanya nini na kwa sababu gani?
  7. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta guta ya mizigo CC250, CC300 kampuni gani nzuri?

    Habar wakuu ushauri wenu ni guta Gani ya kampuni gani nzuri imara...guta leenye nguvu imara ...nani wakala wa yupi kariakoo ana Bei nzur
  8. JamiiForums Tanzania Sababu gani hufanya Kongo iwe na visa vya milipuko ya magonjwa

    Naomba kujuzwa kwanini homa homa nyingi za milipuko huwa lazima kesi zitokee jamhuri ya kidemokrasia ya kogo..mfano ebola,homa ya nyani,n.k
  9. JamiiForums Tanzania Bati zuri la kupaulia kwa sasa ni lipi?

    Bati zuri la kupaulia kwa sasa ni lipi? Je ni kampuni gani ya mabati ambayo hayapauki haraka, niliambiwa ALAF na ANDO sasa sijui ni ipi niondoke nayo? Yamkini wewe uajua kampuni nzuri pia nitapokea ushauri, nataka ati zuri kwajili ya nyuma nzuri. Tupo Arusha
  10. JamiiForums Tanzania Bei za bati na bati imara ni zipi kutoka kampuni gani?

    Hatarini za majukumu wana JAMIIFORUMS nimeandika uzi huu kuulizia au kujua bati imara na nikampunigani ya kuzalisha bati hapa nchini ina toa bati imara na inayodumu kwa muda mrefu bila kupauka. Kumekuwepo utitiri wa viwanda vingi, hofu ni kwamba uzalishaji wake katika bidhaa zao ni wa mashaka...
  11. JamiiForums Tanzania Huduma za TIGOPESA zitarejea muda gani??

    Naona kuna tatizo la kiufundi kuhusu kupatikana kwa huduma za TIGOPESA, tupeni hata taarifa ni kwa muda gani tatizo litarekebishwa.Wahusika tupeni taarifa.
  12. JamiiForums Tanzania Watu wa Jadi vs Dini Mnafikra gani kuhusu maisha?

    Jadi ni mila za kale na potofu? vs Dini shughuli za kibiashara ambazo zimeletwa kutudumaza akili? vipi kuhusu pagans/athens?
  13. JamiiForums Tanzania Kwanini ubake wakati unaweza kupiga punyeto?

    Hapa mtaani Kuna tukio limenisikitisha mno kijana etu mdogo miaka 19 anaenda jela miaka 30 kosa la kubaka niliwaonea huruma san wazazi wake. Hivi haya matukio ya ulawiti, ubakaji pamoja na vifungo vya jela na magonjwa ya hatari kama HIV n.k, yanazidi kuiathiri jamii yetu has upande wa wanaume...
  14. JamiiForums Tanzania Pepo la uaguzi ni nini/kitu gani

    Mwami Yesu asingizwe Habari wakuu I hope mnaendelea vema na mapumziko ya mwisho wa wiki, naomba kupata ufafanuzi wa swali langu kama lilivyo hapo juu kwenye heading. Nimeambatanisha na vifungu vifuatavyo:- Matendo 16:16 “Ikawa tulipokuwa tukienda mahali pale pa kusali, kijakazi mmoja...
  15. W

    JamiiForums Tanzania Ni kitu gani kinakufanya ujue “Restaurant” bei yake sio za kitoto

    Kuna restaurant niliwahi kwenda Masaki kufika tu mnafunguliwa mlango na mzigo mnapokewa nikajiambia tu bora nilibeba kadi yangu ya benki ingekuwa fedhea 😂 Pale Hyatt ni hoteli lakin wanakufungulia hadi mlango wa gari. Mdau wewe Ni kitu gani ukikikuta kwenye mgahawa unajua bei lazima itakutoa...
  16. JamiiForums Tanzania Tamasha la kizimkazi linadhaminiwa na nani? Na lina lengo Gani? Naona watu maarufu wamejaa kizimkazi

    Kizimkazi ni kwao namba 1 wetu. Kuna hili tamasha linafanyika huko. Naona wasanii, media, mashabiki maarufu wa Yanga na Simba wanagharamikiwa Kila kitu kuinogesha Kizimkazi festival Hili tamasha la Kizimkazi Lina tija Gani kwenye michezo au Kwa Watanganyika. Yaani watu mamia Kwa mamia...
  17. JamiiForums Tanzania Ni changamoto gani unaweza kutana nayo iwapo hutaripoti kwenye kituo cha kazi ulichopangiwa na TAMISEMI?

    Nimekuj kwenu wana jf nisaidieni kunielewesha iwapo huta ripoti kazini(tamisemi) incase ukiwa umepata nafasi kuna changamoto yoyote utaipata mbeleni ukitaka kuomba ajira tena( Tamisemi). Na kama ni ndio kuna taratibu za kufuata kuepekan na hizo changamoto?
  18. JamiiForums Tanzania Dharau gani uliwahi kuonyeshwa ugenini?

    Ugenini Jamani kuna mambo Mengi sana. Na si ajabu unapoenda ugenini ukakutana na majanga tofauti tofauti. Ugenini kuna watoto waliokosa adabu, ugenini kuna watu wasiopenda wageni anaweza kuwa mume au mke. Unaweza kufika ugenini kumbe mmoja hana taarifa ile tu unaingia unaona watu Hawana furaha...
  19. JamiiForums Tanzania Ni maamuzi gani magumu umeshawahi kufanya kwenye maisha yako?

    Maamuzi gani magumu umeshawahi kufanya mpaka sasa huamini kama ni wewe ulifanya yale maamuzi? Tiririka Mkuu..... Note: Mjanja M1 kwasasa napatikana Paris nchini Ufaransa 🇫🇷
  20. JamiiForums Tanzania Natumia njia Gani kati ya hizi kupokea hela?

    Kuna hela kidogo nimezipata mtandaoni Sasa Kuna hizi njia za ku withdraw kama Kuna anayejua inayosupport apa bongo anipe details 👇
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…