gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Mercedes Benz G Wagon lina upekee gani?

    Naomba kujuzwa! Japo sivutiwi na mwonekano wa nje wa gari tajwa, linaonekana lina upekee usio wa kawaida. Bei yake ipo juu sana. Ningekuwa na ndugu au rafiki mwenye nalo, ningeomba alau lifti ili niujue uzuri wake halisi. Lazima lina upekee unaolifanya liwe ghali sana kuliko magari mengine...
  2. Nyanda Banka

    JamiiForums Tanzania Nauliza hizo pesa wanatoaga wapi ukifa na je ndugu zako watachukua muda gani kugawana Mali zako

    Ukiumwa ndugu zako hawata kuchangia wala kukupa msaada wakidai hawana kitu, ila ukifa watasafiri kutoka mbali kuja kukuzika tena wakiwa na vitu kwaajili ya kumaliza kilio chako hizo pesa za usafiri sijui wanatoaga wapi, hii inanikumbusha ule usemi wa kwamba unaweza ukafa Kwa njaa alafu siku ya...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Ufalme wa CHUMA usioshikamana na udongo siku za mwisho, ni ufalme wa aina Gani huu?

    Salaam, Shalom!! Imeandikwa katika siku za mwisho, kutainuka ufalme/ utawala uliofananishwa na CHUMA kilichojaribu kushikamana na udongo, lakini ilishindikana kuchanganyika na kushikamana. Kwamba, Daniel chapter 2, verse 43: Na kama vile ulivyokiona kile CHUMA kimechanganyika na udongo wa...
  4. Kamavinga

    JamiiForums Tanzania Kuna tatizo gani Barabara ya mwendokasi ya mbagala?

    Kwa ninavyofaham, barabara ya mwendokasi ya kuelekea mbagala ilishakamilika kwa 100% kwa zaidi ya mwaka sasa, lakini mpaka sasa haijaanza kutoa huduma. Badala yake, sasa imekua ndo barabara kuu ya bodaboda. Inasikitisha na kutia hasira, kuona kitu ambacho kingetoa msaada kwa maelfu ya wananchi...
  5. Yoda

    JamiiForums Tanzania Msemo wa "D mbili" una maana gani?

    Watu wanaposema "kama huna D mbili" utanielewa huwa wana maana gani? Zamani nilikuwa naona pia humu JF watu wanakomenti sana DD kwenye nyuzi pia.
  6. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Ni jambo gani umefanikiwa kuliacha baada ya kupambana sana?

    Nazungumzia Addiction yoyote ambayo ilikuendesha kiasi kwamba ukaamini hautoweza kuacha lakini mwisho wa siku umefanikiwa kuacha.
  7. MFALME WETU

    JamiiForums Tanzania Bila kupepesa macho, Ni member gani haumkubali humu JamiiForums

    Ughonile.. Huu mtandao pamoja na kuwa naupenda ila kuna baadhi ya members wanaboa sana, unaweza kuingia humu kwa bashasha ila ukatoka na huzuni sababu ya members wachache vichwa panzi siku yako ikaharibika. Kuna hawa chawa wa Bi Tozo wakiongozwa na Lucas Mwashambwa & Tlaatlaah , itoshe kusema...
  8. W

    JamiiForums Tanzania Wale msio na ndugu maisha yapo vipi ?

    Umezaliwa bila kaka, dada au wadogo zako, yaani upo peke yako, yaweza pia kuwa walifariki. Maisha yapo vipi ?
  9. S

    JamiiForums Tanzania Madai ya baadhi ya wabunge kuwa wanufaika wa vibali vya sukari yana ukweli kiasi gani?

    Wabunge wanatuhumiwa kuhusika kwenye kashfa ya sukari ambapo inadaiwa baadhi yao wamepewa vibali vya kuagiza sukari na Waziri Bashe kama mkakati wa kuwanyamazisha na kufanikisha azma yake ya kubadilisha sheria ya sukari ili wapate hela nyingi kwa ajili ya uchaguzi. Baadhi ya wabunge wanaotajwa...
  10. greater than

    JamiiForums Tanzania Fedha yako Kubwa ya kwanza kuikamata ilikuwa kasi gani na ulijiskiaje...

    Leo nimekumbuka Babati mkoani Manyara, Punde baada ya kumaliza chuo ,siku ambayo nilipatiwa Millioni 2 kama malipo ya tenda....Nilijikuta kama Bill Gates vile. Natembea barabarani kwa kuvimba Napiga thamani fedha ya kila kitu nachokiona njiani. Nafika kwenye mgahawa naagiza tu wala sitaki kujua...
  11. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Sawa tumefika mbinguni. Je! tutakuwa tunaongea lugha Gani?

    Wakuu Bwana ni mwema!! Maandiko yanatuambia ya kuwa👇👇Mwanzo 11:1-7 (KJV) Nchi yote ilikuwa na lugha moja na usemi mmoja. Ikawa watu waliposafiri pande za mashariki waliona nchi tambarare katika nchi ya Shinari; wakakaa huko. Wakaambiana, Haya, na tufanye matofali tukayachome moto. Walikuwa...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kuajiriwa CMA unahitaji kuwa na qualifications gani

    Ni vigezo gani mtu anayeajiriwa CMA anahitajika kuwa navyo
  13. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Hii picha inakupa kumbukumbu gani mdau?

    Mwaka 2018 kulitokea mambo ya ajabu sana kwenye suala la ukamataji Samaki wenye umbo dogo au samaki ambao hawajakomaa! Samaki hao wenye urefu chini ya sentimita 25 kutoka Ziwa Victoria walikamatwa katika mgahawa wa Lamba Catering Service. Ni kati ya kilo 100 za samaki waliokuwapo mgahawani hapo...
  14. HONEST HATIBU

    JamiiForums Tanzania Maendeleo ya Teknolojia mpaka sasa yamekupa faida gani katika maisha yako

    Swali: Maendeleo ya teknolojia yamekuwa na athari gani chanya katika maisha yako ya kila siku? Je, kuna teknolojia fulani ambayo imekuwa na mabadiliko makubwa kwako binafsi?
  15. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Ni kweli Watanzania hawajui Robot ni kitu gani?

    Sabasaba mambo yamenoga sana, lakini moja la Ajabu kubwa kutokea ni watu kuamini Matapeli hawa wanaojiita maroboti. Je ni kweli watanzania hawajui Robot ni kitu gani? NCHII HII KILA MTU NI TAPELI
  16. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Unatumia simu gani?

    Unatumia simu gani, na umenunua Shilingi ngapi? Fanya ku-screenshot picha ili uzi unoge zaidi. Mimi Mjanja M1 natumia iPhone 15 Pro nimenunua 4 Million.
  17. W

    JamiiForums Tanzania Ni jina gani maarufu zaidi kwa makabila ya wasukuma na wahaya ?

    Muhimu naomba jina liwe fupi, lisizidi herufi nane (8) kuna simulizi naiandika nimekwama kwenye majina ya koo maarufu za wasukuma na wahaya, nimekutana na majina mengi sana, natafuta jina za koo maarufu hata watu wa mbali wakisikia tu wanajua asili yake. Mfano mtu akiikia Laizer anajua ni...
  18. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Ni Jina gani lilikushtua ulipolisikia kwa mara ya kwanza

    Eti, ni jina gani ulisikia kwa mara ya kwanza na hukutegemea kuwa ni la mtu? Tiririka...
  19. W

    JamiiForums Tanzania Ni mstari gani wa Bongo Fleva unaweza kuelezea Mahusiano yako?

    Habarini wakuu, Kuna ule wimbo wa Rayvanny "Unaibiwa" yaani huu wimbo unarelate sana mambo ya mahusiano na kudate kwa sasa. "Unadhani niwapeke ako Kumbe wengine wameshaweka kambi Kakupendea macho Wapo wengine kawapendea rangi 'Ye ni gari la dampo Hachagui taka dereva mpe ganji Wakubadili...
  20. A

    JamiiForums Tanzania Msaada: Bajaji Tvs zinauzwa bei gani?

    Bajaji mpya ya Tvs inayotumia gesi na mafuta inacost bei gani? Asante.
Back
Top Bottom