gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Ni kitu gani kitakachowakera watanzania hadi waichukie kweli kweli CCM?

    Kwa ubaya wanaofanyiwa watanzania na CCM lakini wametulia tuliii... Inashangaza Sana. Hadi nawaza ni kitu gani kibaya ambacho CCM hawajawafanyia wabongo kitakachowakera awa watanzania wenzangu hadi waichukie CCM KIKWELI KWELI? Ni nini!???
  2. N

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Wizara ya Ardhi, huu usajili mlioutoa kwa kwa kampuni ya KMM ni kwa faida ya nani?

    Vitendo vya utapeli vinavyofanywa na kampuni ya KMM LAND USE CONSULTING CO.LTD, yenye namba ya usajili 0359-T0218, iliyo na ofisi Sinza - Dar es Salaam. Kampuni hii ilipewa kibali cha upimaji katika mikoa mbalimbali ya Tanzania, lakini imeshindwa kutoa huduma kwa wananchi kwa mujibu wa...
  3. Mr Chromium

    JamiiForums Tanzania Wasomali wameungana dunia nzima kupinga Ethiopia wasipewe bandari walini Rasi wao kawapa uturuki pwani nzima ya somali??Hiii Kitaalamu ni akili gani??

    Coast ya Somalia kwasasa inamilikiwa na uturuki!! Lakini huwezi wakutaka wakiongea. Ila nguvu zote wameelekeza kwa somaliland ambayo imempa kipisi tu Ethiopia ijenge Bandari!! Ni chuki au Akili ya kufirikir ndo tatizo
  4. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania TFF mlitumia kigezo gani hadi mkalazimisha Maiti icheze na Muoshaji tarehe 8 August, 2024?

    TFF mna Roho Mbaya sana na wala hamna Huruma. au mna Agenda yenu ya kutaka Watu wavurugane zaidi mapema yote hii?
  5. S

    JamiiForums Tanzania Iliyokua Sodoma na Gomora ndio nchi gani siku hizi?

    moja ya hadithi ya kusisimua kwa biblia ni hii ya sodoma na gomora Raia /wakazi wa hii mitaa walikua watenda dhambi wa kutupwa. mapenz ya jinsia moja /ushoga kwao ilikua sio story manake walifanya na biblia imesema wazi. unaambiwa Mungu alicheki sodoma na gomora akasema kama kuna watu 50...
  6. P

    JamiiForums Tanzania Ni jinsi gani naweza kujibu maswali ya Oral interview za utumishi.?

    Habari za weekend wakuu. Swali langu ni kama heading isemavyo. Na Mimi natamani nipate ajira niachane na huu ujobless, maisha magumu umri unaenda, wachumba hawanitaki kisa dough. mfano wa maswali. 1. What do you understand by the term security as applied in Information Technology (IT)? 2...
  7. Yoda

    JamiiForums Tanzania Wahudumu wa hotel, Bar na migahawa Tanzania wana shida gani?

    Hawa watu huwa wa kusukumwa sana ili wakupe huduma ambazo ni wajibu wao kuzitoa, ni nadra sana kupata Hotel, mgahawa au Bar bongo ambapo wahudumu wake sio wa kususuasua na wako on point muda mwingi na kwa wateja walio wengi Shida ni kwamba hawalipwi vizuri, wako kwenye hizo kazi kupoteza muda...
  8. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Tupeane uzoefu, hivi ni shughuli gani mtu ambae umeajiriwa unaweza ifanya kwa urahisi ukajiongezea kipato?

    Habari wakuu , watumishi tulioajiriwa huwa tunatamani sana kujishughulisha ili mradi kipato kiongezeke lakini kwa ujumla huwa tunaface Changamoto zifuatazo zinazopelekea kushindwa :- 1. Tuna muda mchache wa kusimamia 2. Watu wengi sio waaminifu tunao waweka kwenye shughuli hizo 3. Tunaogopa...
  9. Wafuasi wa Rais

    JamiiForums Tanzania Mtanzania gani ataweza kuja kuweka rekodi hii? Rais Samia alishaweka rekodi zake.

    Waziri Mkuu wa kwanza kuwa Rais. Waziri Mkuu wa kwanza kuwa Makamu wa Rais. Mwanamke wa kwanza kuwa Waziri Mkuu. Mwanamke wa kwanza kuwa Jaji Mkuu. Mwanamke wa kwanza kuwa Mkuu wa Majeshi. Mwanamke wa kwanza kuwa Mkuu wa Polisi (IGP). Mwanamke wa kwanza kuwa mkuu wa Magereza. Mwanamke wa...
  10. Saa 7 mchana

    JamiiForums Tanzania Huko ulipo lita moja ya maziwa ni bei gani?

    Muda huu nipo Mwanza Nyamagana, huku bei ni elfu 2 kwa lita maziwa fresh. Je wewe uko ulipo lita ni bei gani. Sio mbaya kama ukiwa mahususi kwa kutaja mkoa, wilaya hata kata kama ikiwezekana. Asante
  11. Raia mpya

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nina changamoto ya nguvu za kiume

    Mimi ni kijana miaka 26 nina tatzo la nguvu za kiume linanitesa sana mpaka nakosa raha, uume hausimami kabisa si asubuhi wala jioni yaani nashinda kuta nzima umelala hii kitu naogopa hata kuwa na demu maana nitamfanya nini zaidi ya kuaibika. Nilikuwa mpiga nyeto ila now nimeacha msaada wenu...
  12. De Professor

    JamiiForums Tanzania Madudu ya APP za mikopo online.Wizara husika Mnakazi gani ofisini??? #Wizara ya Fedha #Wizara ya Mawasiliano (TCRA)

    Kwa Niaba ya Wadau wananchi wa kawaida kabisa nadhani ni wakati sahihi wa kupazia sauti kadha hii ambayo imefumbiwa macho kwa muda mrefu na vyombo vyetu husika. Week chache zilizopita niliamua kuvalia njunga swala moja la mtu ambae alikua akidaiwa na App moja ya Mtandaoni ikiitwa *SUNN LOAN...
  13. Mlolongo

    JamiiForums Tanzania Niongeze coin gani kwenye portfolio yangu

    Currently porfolio yangu ina coin zifuatazo: Ripple (XRP) Cardano (ADA) Tron (TRX) Kuna coin zimenipita mpaka najilaumu: - Solana last year wakati price ilikua $9. Leo hii 1 SOL = $164 - Binance coing (BNB) mwaka 2018 mwanzoni (na pesa nilikua nayo kabisa) price ilikua $5, leo hii 1 BNB =...
  14. Gai da seboga

    JamiiForums Tanzania Umewahi kufanyiwa Utapeli gani ambao hautasahau maishani?

    Shikamoooni wakubwa, wadogo marahabaa.. Katika maisha kuna vitu vingi mwanadamu hupitia vingine vinakuumiza, ila mwisho wa siku unapata la kujifunza. Ule usemi wa mjini Shule nikadhani kuna madarasa na walimu kumbee laah nikagundua kuwa walimwengu wanaweza kukupa mafunzo mjini bila kutumia...
  15. Y

    JamiiForums Tanzania Interview ya ufadhili wa masomo inayotolewa na BoT ikoje? Huwa inakuwa na maswali ya aina gani?

    Je, kuna mtu humu ndani alishawahi kufanyaga interview ya ufadhili wa masomo inayotolewa na Bank of Tanzania (BoT)? Kama umeshawai kufanya ni maswali yapi huwa wanapendelea kuuliza? Kwa anayejua anisaidie.
  16. stabilityman

    JamiiForums Tanzania Hii ina maana gani kwenye kanisa katoliki

    hi
  17. Burapaa

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kati ya kozi hizi, nikasome kozi gani?

    Waungwana naombeni ushauri mimi ni muhitimu wa diploma ya Business administration . Nlishindwa kuendelea pindi tu nlivyomaliza kwasababu ya changamoto za matokeo (Nacte) nina mpango wa kufanya application ya kusoma Bachelor degree katika vyuo vifuatavyo: 1. Bachelor degree in Banking and...
  18. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Dini ina mchango gani katika maendeleo chanya au hasi ya nchi?

    Toa mifano kutoka katika moja ya nchi zifuatazo: 1. Iran 2. Vatican 3. Saudi Arabia 4. Marekani 5. Oman 6. Uingereza 7. Zanzibar 8. Tanganyika 9. Misri 10. Nigeria
  19. Basi Nenda

    JamiiForums Tanzania Mkazi gani wa Dar kaimbwa na Madilu system

    Kwema wakuu ? Ninasikia Madilu system aliwahi kufika Dar miaka hiyo. Kwenye wimbo wake unaitwa Djaffar amemtaja mtu mmoja anaitwa Anielo (sina hakika na spelling) kwamba mtu huyu ni mkazi wa Dar es salaam Lengo la uzi huu ni kumfahamu huyo bwana alikuwa nani na alikuwa na ukaribu gani na Madilu...
  20. W

    JamiiForums Tanzania Ni kitu gani ulikuwa unakipenda lakini ulilazimika kukiacha kwa sababu ya hali yako ya Kiuchumi?

    Nilivyoanza kazi bwana kila weekend utanikuta kwenye expensive restaurants naenda pale kufanya kazi na kujaribu news dishes as a way ya kujipongeza baada ya wiki nzima kuwa kazini. Wee baada ya utu uzima kuhit vizuri na familia yangu kuona naweza kujitegea mambo yakageuka yaani sasa hiv hakuna...
Back
Top Bottom