Choo cha shule yetu kilikuwa na sifa ya majini, ukianza shule tu unaambiwa na wanafunzi wenzio uliowakuta kule chooni kuna majini, hutakiwi kwenda mchana wa jua kali peke yako, ukienda yanakunyonya damu.
Hali hiyo ilitufanya tuishi kwa hofu, ikitokea umebanwa haja mchana unalazimika kumaliza...