Tunakuwa Maskini kwa sababu ya kuwekeza kwenye vitu ambavyo havina faida
Wakinga wanafanikiwa kwa sababu ya nidhamu ya Pesa.
Mtu anavaa nguo Moja lakini anawekeza kwenye biashara. Utasikia sina Hela ya kula kumbe kuna sehemu kawekeza hela yake.
Ukweli ni kwamba bila kujitoa Huwezi kuwekeza...
Wakuu wasalaamu, naomba niulize kuhusu usalama wa kuwekeza fedha katika mfuko wa uwekezaji(UTT), vipi bei za vipande zikishuka, hutopata hasara? Hakuna member hata mmoja humu aliyewahi kukumbana na kadhia ya hasara kutokana na kushuka kwa bei za vipande?
Au ni changamoto gani mliyokumbana...
Bamia Ni Nini?
Bamia ambayo pia inajulikana kama okra, ni mboga inayopatikana katika tamaduni mbalimbali ulimwenguni. Bamia inaweza kuliwa mbichi au kupikwa katika njia mbalimbali, kama vile kuchemshwa, kukaangwa, au kuingizwa katika mchuzi.
Bamia ni mboga yenye virutubisho vingi vinavyosaidia...
Mods msiunganishe Uzi Huu, lengo ni Wahusika wake na majibu !!
Hili ni Bandiko la MwanaJF Megalodon ambalo wengine hatukuliona hili mapema !!.
Ni Ukweli ulio Wazi, Kwa miaka mitatu mfululizo ya nyuma , kote Report ya CAG ilionyesha NHIF imepata Hasara kubwa.
Mwaka 2023 ,Hasira ilikua Kubwa...
Wakuu habari .
Mimi ni kijana mtafutaji age 20s (Early) ambaye nipo natafuta fursa ya kufanya Kazi katika 'Car wash" Ila pia Endapo atapatikana MTU anahitaji kuwekeza katika huu mradi nipo tayari kufanya nae Kazi kwa makubaliano maalumu yenye tija kwa pande zote kwangu na kwake.
Hivyo...
Swala lakujizima data limeanzisha vitu vingi kwenye jamii yetu kwakutoa matunda kwa baadhi ya watu na kupoteza watu kwenye ramani. Hapa tunazungumzia style za utangazaji wa biashara, upambe (uchawa), influencer 😃, nk
Upande wa faida:
Kuna yule binti alikuwa anajipa vibe kwenye biashara yake...
Kuna wale raia huniuliza ""Kwanini unaipenda Faida Fund kuliko UTT??
Na hili ndilo jibu lake.
Tazama kwenye picha kipengele cha Sale Price Per Unit Vs Repurchase Price Per Unit.
FAIDA FUND.
UTT
Anyway:-
Tuendelee kutafuta hela
#YANGA_BINGWA
#YNWA
Habari zenu wadau. Hivi ni Bank gani ina toa riba nzuri pale mtu anapoweka pesa Kwa lengo la kupata faida. Je Kuna ukweli kuwa ECO Bank Wana riba kubwa kuzidi UTT??
Naomba mawazo yenu, maana nipo kwenye process ya kuanza uwekezaji mdogo kwenye hizi Financial Entities. Nawasilisha Ahsante.
Biashara ipi ni nzuri na rahisi kuisimamia kati ya hizi. Bajaji ya abiria, cash point (uwakala), tofari za block, au stationary.
Mazingira ya biashara ni mwanza.
Ni watu washali sana wanapenda ugomvi na malumbano hawawezi kaa sehemu kwa amani. Wapo kwenye nyuzi za watu kuharibu na kuchafua hali ya hewa.
Haipiti siku hawajagombana na mtu au kupigwa ban kwa mwezi huwa ni kawaida tu kwao. Hawa kitaalamu wanaitwa zetrovert. Ni wababe wanakuwa na akili...
Unakuta umepata tatizo la kifedha,afya,sheria hata connection ukiangalia namba za simu hata mjomba wa katibu tarafa tawi la ccm huna.
Namba zilizojazana sasa:
Phonebook:
1.Athuman mchonga majeneza
2.Aisha mabiliani
3.Mangi jirani wa duka la kukopa.
4.John muuza mali za wizi
5.Aisha chupi kubwa...
FAIDA ZA KUWA NA KIBALI CHA UJENZI
Kujenga nyumba ambayo imethibitishwa kitaalamu kuwa ni salama.
Kuwa na mazingira bora kwa kuwa na mji uliopangwa.
Kuepuka hasara na usumbufu unaoweza kutokea iwapo ujenzi umefanyika bila kibali ikiwa ni pamoja na kushtakiwa mahakamani kuvunjiwa na kulipa...
Kuamka mapema kila siku kuna faida nyingi muhimu kwa afya yako, tija, na ustawi wa jumla. Hapa kuna baadhi ya sababu kwa nini ni muhimu kuanzisha tabia hii:
* Kuongeza tija:
* Saa za asubuhi mara nyingi huwa na utulivu zaidi, bila vikengeushi vingi.
* Hii hukuruhusu kuzingatia kazi zako...
Katika familia zetu za Kitanzania Binti wa kwanza hulelewa akiwa na uwajibikaji mkubwa kutokana na majukumu aliyobeba tangu utotoni. Huwa na uzoefu wa kusimamia familia, uvumilivu, na ujuzi wa kutatua changamoto. Malezi haya humjenga kuwa mke anayejali, mwenye maamuzi sahihi na mshauri mzuri kwa...
Mwenyekiti wa Bodi (JUKATA), Dkt Ananilea Nkya anazungumzia mchakato wa zoezi la Uandikishaji na Uboreshaji Wapiga Kura linaloendelea Dar es Salaam.
Kuhusu mwitikio sijafanya utafiti lakini mahali ninapoishi, Mtaa wa Tabata Darajani, Ilala nimeona tangu Jumatatu zoezi la kuboresha daftari...
Habari wanajamvi!
BIla ya kupoteza muda twende kwenye hoja ya msingi , kumekuwa na kasumba ya wanawake kwa wanaume hususan wanaoishi katika mikoa ya Dar, Pwani na hata Zanzibar kujichora tattoos.
Wengine watu wazima tena michoro isiyokuwa na maana kabisa wanajamvi nielewesheni bira kuni karipia...
Wakuu Natumai mko salama na mnaendelea vyema.
Mimi ni kijana mwenye ndoto kubwa na maono makubwa ya kujiajiri na kuleta mabadiliko katika sekta ya utengenezaji wa pombe kali. Ninapenda sana fani hii, na kwa miaka kadhaa nimejifunza na kupata uzoefu wa hali ya juu katika kutengeneza pombe kali...
Uwezi kupewa siri sababu inataka watu waliozoea misiba sana.
Bei ya chini jeneza sikosei ni laki na kitu mpaka milioni.
Linapotokea swala la msiba wengi huwa hawataki kuuliza mara mbili kuhusu bajeti ya mazishi sababu wapo kwenye majonzi.
Kwa haraka haraka wauza majeneza hawakadiliwi kodi na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.