faida

Faida Hamdy (Arabic: فادية حمدي‎, born 1966) is a former Tunisian municipal inspector who contributed to the outbreak of the Tunisian revolution.

View More On Wikipedia.org
  1. stabilityman

    JamiiForums Tanzania Je, unazifahamu FAIDA za kuweka GRAFIATO DESIGN kwenye kuta za Nyumba ?

    Hapa kuna baadhi ya faida: 1. Urembo wa Kipekee: Grafiti design inaweza kuleta urembo wa kipekee na wa kisasa kwenye nyumba. Inatoa nafasi ya kuonyesha ubunifu na mtindo wa kibinafsi. 2. Kuongeza Thamani ya Nyumba: Nyumba zenye grafiti nzuri zinaweza kuvutia wanunuzi zaidi, hivyo kuongeza...
  2. kyagata

    JamiiForums Tanzania Hiki ni kinywaji gani na kina faida gani mwilini?

    Wakuu Nimetoka kwetu simiyu ndani ndani huko kabisa nimeingia mjini leo na Lori lililobeba ng'ombe. Nimekutana na hiki kinywaji hapa mjini,nikawa nakishangaa.nikataka kukifahamu ni kinywaji gani na kina faida gani mwilini?
  3. M

    JamiiForums Tanzania Hakuna faida yoyote ambayo utamweleza mtu akaelewa vizuri

    Toka enzi timekuwa tunaona mwenge unazungushwa Nchi nzima na kuteketeza mabilioni ya pesa,kwa upande wangu mimi sioni faida za kukimbiza mwenge zaidi ya kupoteza pesa na kuwapumbaza wananchi. Mahala popote mwenge unapoenda sina hakika kunamwananchi utamuuliza faida za mwenge na akakupa majibu...
  4. Half american

    JamiiForums Tanzania Zipi faida na changamoto za kufanya kazi chini ya wahindi, wasomali &waarabu?

    Assalamu alaikum Warahmatullahi Wabarakatuh. Wakuu naomba kujua faida na changamoto za kufanya kazi na makampuni ya aina ya watu niliyoyataja hapo juu. NB: No place for racism
  5. third eye chakra

    JamiiForums Tanzania Faida chache za mrehani au kivumbasi.

    Mrehani hutumiwa kawaida katika mazoea ya kiroho kwa ulinzi, ustawi, na upendo. Mara nyingi hutumiwa katika mila kuzuia uovu, kuvutia bahati nzuri, na kukuza nguvu chanya. Mrehani pia inajulikana kwa uwezo wake wa kutakasa maeneo na kusafisha mwili na nafsi. kumbuka pia mmea huu ni tiba ya...
  6. Jan-uary

    JamiiForums Tanzania Kwa mliozaa nje ya ndoa,nipeni faida & changamoto zake, kabla sijafanya maamuzi

    Nilioa mwanamke kwasababu ya shape yake na kimo chake. Kadri nilivyoendelea kuishi naye nikagundua nimeoa kichwa maji,lakini kwakuwa nampenda sana nimeendelea kumvumilia mpaka leo hii,na tumejaaliwa watoto watatu. Kinachonipasua kichwa ni kitu kimoja Watoto wote watatu akili kama za mama yao...
  7. Chifu mkuu

    JamiiForums Tanzania Faida za mkojo wa sungura kwenye kilimo

    FAIDA ZA MKOJO WA SUNGURA KWENYE KILIMO Sungura hufugwa kwa ajili ya kutupatia nyama ambacho Ni kitoweo kizuri na muhimu Sana. Hivyo wafugaji wengi Sana hujipatia kipato kizuri kupitia ufugaji wa sungura. Lakini sungura Wana umuhimu Sana kwenye kilimo. Mkojo wa sungura una umhimu mkubwa Sana...
  8. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Mfuko wa faida umeongeza wawekezaji

    MFUKO WA FAIDA UMEONGEZA WAWEKEZAJI
  9. Peter Mwaihola

    JamiiForums Tanzania Zijue faida za kuoga mwili mzima kiafya

    Je wewe ni miongoni mwa watu wanaokwepa maji, kila ukiwaza kuoga unapata uvivu na kuogopa baridi? Kuoga kuna raha yake na kuna manufaa makubwa katika maendeleo ya mwili wa binadamu. Sasa leo hii tuangazie umuhimu wa kuoga, sio kuoga tu yaani kuoga mwili mzima kiafya na kiakili. Hizi hapa faida...
  10. Tanzanian kid

    JamiiForums Tanzania Faida na changamoto za AI (Akili Mnemba)

    AI: Akili ya Bandia – Faida na Changamoto Zake Akili ya bandia (AI) ni teknolojia inayoweza kujifunza, kufikiria, na kutenda kama binadamu, lakini kwa kasi na ufanisi mkubwa zaidi. Inajumuisha mashine zinazojifunza, usindikaji wa lugha, na utambuzi wa picha, na inatumika katika sekta mbalimbali...
  11. Jackpiano

    JamiiForums Tanzania Faida na changamoto za magari yanayotumia cng ( compression natural gas) part 1

    Part 1: Faida na Changamoto za Magari ya CNG Faida za kutumia CNG: Gharama ya kujaza ni ndogo, unaokoa hadi 50% ukilinganisha na petrol/diesel. Inapunguza uchafuzi wa hewa — moshi kidogo, mazingira safi. Inapunguza uchakavu wa injini kwa sababu CNG inaungua safi. Ukiwa na dual system...
  12. ZOYA internet

    JamiiForums Tanzania Faida za kua na wi-fi router zenye ubora na speed nzuri

    Wadau najua wapo watu mnaotafuta wi-fi router nzuri huku so nimeona niwaletee uzi huu huenda ukawa msaada kwa wengine. FAIDA ZA KUWA NA WI-FI ROUTER ZA TIGO (YAS) Ndugu yangu kua na hii wi-fi router kuna faida nyingi sana, kama unajiweza kidogo, jitahidi usikose kifaa hiki. 1. Ukiwa na...
  13. Chifu mkuu

    JamiiForums Tanzania Faida za mkojo wa sungura

    FAIDA ZA MKOJO WA SUNGURA KWENYE KILIMO Sungura hufugwa kwa ajili ya kutupatia nyama ambacho Ni kitoweo kizuri na muhimu Sana. Hivyo wafugaji wengi Sana hujipatia kipato kizuri kupitia ufugaji wa sungura. Lakini sungura Wana umuhimu Sana kwenye kilimo. Mkojo wa sungura una umhimu mkubwa Sana...
  14. BrainOs

    JamiiForums Tanzania Je kuna faida au hadara?

    Kufuatia tamko la nchi ya china kupiga marufuku bank zake za ndani kujihusisha na ununuzi wa dollar, je kwa upande wa crypto industry itakuwa na faida au hasara?
  15. K

    JamiiForums Tanzania Kama kweli watu wana nia nzuri na nchi tujiulize ni kwanini basi hawataki kuwe na sheria na uwazi wa haki

    Hivi kumuuwa mtu ambaye anataka tu sheria zinadilike ili chaguzi kuwa huru kwa Watanzania wote ni kwa kumnufaisha nani? Je ni kunufaida Watanzania hao hao!? Kama kweli watu wana nia nzuri na nchi tujiulize ni kwanini basi hawataki kuwe na sheria na uwazi wa haki kwa wananchi kuchagua mtu...
  16. Judi wa Kishua

    JamiiForums Tanzania Naomba nieleweshwe, Chadema wanapata faida gani wasiposhiriki uchaguzi?

    Naomba mwenye akili timamu anieleweshwe nielewe vizuri the logic behind ya kutoshiriki uchaguzi. Je CHADEMA expectations zao ni zipi? Yaani wata achieve kitu gani kwa wao kususia uchaguzi?
  17. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA haitoweza kushiriki uchaguzi ndani ya miaka mitano ikiwemo wa mwaka huu

    Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Ramadhani Kailima amesema Chadema ambayo haikusaini kanuni za maadili ya uchaguzi, haitashiriki Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba mwaka huu na chaguzi zote ndogo zitakazofuata kwa muda wa miaka mitano. Kanuni hizo...
  18. FK21

    JamiiForums Tanzania Faida na hasara za long distance relationship

    Kuna binti kanionesha kunipenda anaonekana anajielewa Moore mstaarabu akili zimo kidogo Nilimwambia mapenzi ya mbali Yana changamoto sana akadai ameanua kuwa na Mimi maisha haya mafupi ya duniani Je changamoto ya long-distance relationship ni zipi?
  19. Faana

    JamiiForums Tanzania Video: Zipi zitakuwa faida na changamoto za chombo hiki kuingia nchini kwetu

  20. 6 Pack

    JamiiForums Tanzania Trump anaipambania Marekani kwa faida ya kina nani, mbona hata Ibrahim Traore anaonekana kumshinda uzalendo?!

    Niaje wakuu Leo ningependa kujua haya anayoyafanya Trump sasa ivi hapa duniani na nchini kwake kwa ujumla anayafanya kwa faida ya nani? 1. Nchi? 2. Wananchi 3. Au yeye na genge lake? Nauliza hivi kwa sababu toka amekamata wahamiaji, na kuwarudisha kwao kwa nguvu hakuna mabadiliko yoyote ya...
Back
Top Bottom