dunia

  1. JamiiForums Tanzania TANESCO tunaomba umeme usikatike kipindi hiki cha Kombe la Dunia

    Najua mpo humu tena ngoja niwatag TANESCO Poleni na majukumu makubwa sana ya kutukatia umeme kila uchwao, sasa mimi nikiwa kama mdau wa soka, kombe la dunia linaanza leo hivyo tunawaomba sana msitukatie umeme mkatunyimba burudani ya soka ambayo huja kila baada ya miaka minne. Kwakuwa TBC1...
  2. JamiiForums Tanzania Karim Benzema aumia, kukosa michuano ya Kombe la Dunia 2022

    Ndoto za mshindi huyo wa Tuzo ya Ballon d'Or 2022 kucheza michuano ya Kombe la Dunia inayofanyika Nchini Qatar imezimika baada ya kupata majeraha ya nyama za paja alipokuwa katika mazoezi ya timu ya taifa ya Ufaransa. Licha ya kuelezwa atakuwa nje ya uwanja wa wiki tatu, Benzema mwenyewe...
  3. JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza kombe la dunia halitakuwa na mvuto, mimi MakinikiA sitaangalia

    On February 28, FIFA and UEFA, under recommendations from IOC, suspended Russia and Russian clubs from participating in the their competitions including the 2022 World Cup. Tulikubaliana siasa isiingie kwenye Mpira why now, mbona USA aliingia Iraq bila kibali cha UN . Wapumbavu sana wote...
  4. K

    JamiiForums Tanzania UTABIRI: Ufaransa anatetea ubingwa wa Kombe la dunia

    Historia ipo ili ivunjwe Mpaka sasa hivi hakuna nchi yenye kikosi kipana na bora kama Mabingwa watetezi
  5. JamiiForums Tanzania TBC: Kombe la Dunia tutaonesha Full HD

    Sie watazamaji yetu macho, ngoja tuone kama kutakuwa na ukweli au sound kama ilivyo desturi yao.
  6. JamiiForums Tanzania UTABIRI: Argentina huenda ikatwaa Kombe la Dunia 2022 Qatar

    Mara kwa mara nimekuwa nikijizuia kuandika chochote hapa JF chenye ubashiri kwa woga wa kuonekana ni muongo au mzushi, lakini baadaye ule ubashiri wangu (niliobakia nao akilini) kwa sehemu kubwa umekuwa ukitokea! Na kwa kuwa JF ndio umekuwa mtandao wenye kueleweka au kuaminika zaidi hapa...
  7. JamiiForums Tanzania Nimefika salama Qatar kutokea Thailand kwa ajili ya kuangalia mechi za kombe la dunia

    Nilipanga mwaka huu niwepo viwanjani live na nimefanikiwa kufika Qatar. Ilibakia kidogo sana nikose maana moja ya client wetu alipata changamoto ya mifumo kule Bangkok na ikabidi nisafiri wiki hii kuweka mambo sawa. Miaka yote kwenye kombe la dunia huwa nazipenda Ufaransa, Ujerumani na Italia...
  8. JamiiForums Tanzania Timu za Afrika zinaenda kupata aibu Kombe la Dunia Qatar 2022

    Moja ya vitu vilivyofanya niandike uzi huu, ni jinsi mchakato wa timu zetu zilivyopatikana, nyingi zimeenda kibahati bahati na figisu za Kiafrika. Hili linajidhihirisha kwenye mechi za kirafiki, yaani Mnigeria ananyanyaswa kama mtoto. Pia wachezaji wengi wa Kiafrika watakaoenda kuomba omba jezi...
  9. U

    JamiiForums Tanzania Kisimbuzi gani cha ndani kitarusha matangazo ya Kombe la Dunia la mwaka huu?

    Nauliza, ni kisimbuzi gani cha ndani ambacho kitarusha kombe la Dunia la mwaka huu? Miaka ya nyuma tulikuwa tunaona shamrashamra za matangazo kwenye visimbuzi vya ndani mfano Startimes kwamba watarusha, lakini mwaka huu kimya na zimebaki siku kadhaa! CCM tulishawashauri, Watanzania tunapenda...
  10. JamiiForums Tanzania Dunia kweli duara, leo hii Arusha wanalalamika Majambazi wanavunja maduka mchana kweupe

    Hii Dunia hii ukiona mwenzio ananyolewa wewe kasuke rasta. Watu wa Mikoani wameanza kuitikia Chorus. Arusha maeneo ya Ngalelo. Majambazi wanapita mchana wanaangalia duka wanalopenda wanapora wanaenda na la pili mpaka manne sometimes. Wanaondoka zao. Najiuliza wananchi wanafanya nini? Wanakuja...
  11. JamiiForums Tanzania TANZIA Sheikh Hassan Mohamed Said Kinyozi Mpigania Uhuru na Mmoja wa Waasisi wa TANU Lindi amefariki Dunia

    Jioni hii imenifikia taarifa kutoka Lindi kuwa Hassan Mohamed Said Kinyozi mmoja katika vijana waliowasha moto wa kupigania uhuru wa Tanganyika Southern Province, yaani Jimbo la Kusini amefariki dunia akiwa na umri wa kiasi cha miaka 90. Nakumbuka kama jana siku nilipofika Lindi kwa basi dogo...
  12. JamiiForums Tanzania Rudiger aagiza posho zake za Kombe la Dunia zisaidie matibabu ya watoto

    Beki wa Real Madrid na Timu ya Taifa ya Ujerumani, Antonio Rudiger ameanza kampeni za mashindano ya kombe la dunia kwa staili ya kipekee, baada ya kuagiza fedha zote atakazolipwa Kombe la Dunia ziende kwa watato wenye mahitaji. Kundi la watoto 11 wenye mahitaji, wanaoishi nchini Sierre Leone...
  13. JamiiForums Tanzania TANZIA Anayesadikiwa kuwa MwanaJF afariki dunia

    Memba mwenzetu ametangulia mbele ya haki. Pengine nisingejisumbua kuripoti huu msiba lakini mazingira ya kifo chake ni ya kuhuzunisha na yenye mafunzo. Sijui username yake ya JF kwani tulikutana ''casually'' kwenye kilevi mwezi wa tatu mwaka huu tena siku moja tu. Katika maongezi alinijulisha...
  14. JamiiForums Tanzania Kombe la Dunia Qatar sheria lukuki zinazidi kumiminika, FIFA wayakanyaga

    Wakuu ni hivi, kila panapokucha kumekuwa na lundo la sheria zinazozidi kutungwa nchini Qatar kwa mashabiki na watu mbalimbali watakaoingia nchini humo kipindi hiki cha michuano ya Kombe la Dunia, na mbaya zaidi hizo sheria zinawawekea vikwazo hadi wadhamini wakuu na washirika wa karibu wa FIFA...
  15. N

    JamiiForums Tanzania England atachukua Kombe la Dunia 2022?

    Wadau soon tu Kombe la Dunia linaenda kuanza,, je Nani atachukua? Kuna Wadau wanasema mshindi wa michuano ya EURO huwa wanafanyaga vizuri!! Well inawezekana, Euro ya mwaka juziii ule ufaransa alifika fainal, Portugal anachukua kibahati tu, kwenye Kombe la Dunia 2018 , France anachukua Ndoo...
  16. JamiiForums Tanzania Kombe la Dunia linaanza Nov 20, 2022 lakini Tanzania umeme hakuna

    Poleni na tabu za kuishi bila umeme na maji Tanzania! Ndugu zangu, kwa mara ya kwanza kombe la dunia linanikuta sio mwanafunzi, naishi kwangu na kazi nzuri, na niko na utulivu angalau. Nilitamani sana niangalie hili kombe kwa furaha na utulivu sana. Nikiwaza umeme unavokatika muda mwingi...
  17. JamiiForums Tanzania Ratiba kamili ya Mechi za Kombe la Dunia 2022 Qatar

    Kumbuka: Muda wa Mechi ni kwa saa za Afrika Mashariki HATUA YA MAKUNDI RAUNDI YA 16 ROBO FAINALI NUSU FAINALI FAINALI
  18. JamiiForums Tanzania Marekani: Ndege mbili zagongana angani wakati wa maonesho ya kijeshi

    Ndege hizo zilikuwa katika maonesho ya Kumbukumu ya Vita ya Pili ya Dunia (WWII) katika Jimbo la Dallas na baada ya tukio hilo zilidondoka chini na kutokea mlipuko mkubwa huku wananchi wakishuhudia. Haijaweka wazi idadi ya waliokuwemo ndani ya ndege hizo aina ya Boeing B-17 Flying Fortress na...
  19. JamiiForums Tanzania Dunia isifikiri Putin akitoka madarakani kwamba misimamo ya Russia itarudi nyuma

    Kuna mwamba mwingine huyu hapa Russia alone is fighting NATO and the Western world,” Medvedev, who is the deputy head of the nation’s Security Council and the leader of the ruling United Russia party, wrote on his Telegram channel on Saturday. “We are capable of destroying a mighty enemy or...
  20. JamiiForums Tanzania Kwanini viongozi wa dunia wanataka kumyang'anya nguvu ya utawala mwanaume na kumpa mwanamke?

    Sorry my fellow ladies, najua mtaona like I'm snitching you. Mungu alipo iumba dunia hii alimuumba mwanaume awe mtawala na sisi tuwe wasaidizi. Mwanaume alifanya kazi za uwindaji, kufukuzana na wanyama huko maporini kisha wakatuletea chakula tupike. Kazi ya baba nyingine ilikuwa ni ulinzi wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…