Muuza duka anaonesha sahani ya mchuzi wa pilipili wa Harissa katika soko huko Tunis, Tunisia. Mchuzi wa Harissa unaotengenezwa kwa pilpili umewekwa katika orodha ya urithi wa dunia na Shirika la Elimu na Sayansi la Umoja wa Mataifa(UNESCO).
Baada ya kuingia 16 bora, atacheza na Australia halafu kwenye robo fainali atakutana na mshindi kati ya Uholanzi na Marekani.
Hapo Argentina wanawaza watakutana na nani kwenye nusu fainali maana hakuna timu yoyote ya kuwasumbua katika hizo tajwa hapo juu.
Kiutani namna hii Argentina anakwenda...
Aliyekuwa Rais wa China bwana Jiang Zemin amefariki dunia leo alfajiri mjini Shanghai China akiwa na umri wa miaka 96.
Taarifa kutoka vyombo vya utawala vya China [ kamati kuu ya Chama cha kikomunisti cha China, kamati ya kudumu ya bunge la taifa la China , Baraza la mashauriano ya kisiasa na...
Ushindi wa magoli 2-1 umeifanya timu hiyo kuwa ya kwanza kutoka Afrika kusonga mbele katika michuano ya 2022 baada ya kuifunga #Ecuador katika Kundi A.
Magoli ya Senegal yamefungwa na Ismaila Sarr na Kalidou Koulibaly, hivyo kuungana na Uholanzi iliyoifunga Qatar magoli 2-0.
Mechi za Kundi...
Maswali ya kujiuliza
-Mtangazaji yuleyule mmoja siku zote ila wachambuzi tofauti ...Je hao wachambuzi nao wamesafiri hadi Qatar?
-Mechi zinachezwa kwenye viwanja na miji tofauti tofauti....inawezekanaje mtangazaji huyohuyo kutangaza mechi zote kwa siku
-Wachambuzi kuchambua matukio kama penati...
Habari za sasa wanachama wa Jamiiforums natumai wote ni wazima wa afya, nilikuwa na jambo lini kereketalo moyoni mwangu liitwalo “MAHARI”
Nilikuwa na tatizo na huu utamaduni ulio zoeleka hapa dunia mpaka kukomaa wa malipo ya kifedha/mali kwa mwanaume/mwanamke ili kuweza kukidhi vigezo vya kuoa...
1.Ufiraji
2.kulala na wanawake Malaya
3.kupuuza wazazi wko
4.Kudhulumu yatima na wajane,
5.kwenda kwa waganga
6.Kufanya mapenzi na ndugu
7.Ulevi
Kama unafanya Mambo hayo hutofabikiwa na mikosi itakuandama daima
Qatar, imemualika mhubiri mkali zaidi duniani, ambaye kwa maneno yake amefanikiwa kusilimisha mamilioni ya Wakristo duniani. Huyu ni bingwa Zakir Naik
Zakir Naik tayari amefika Doha nchini Qatar kabla ya Kombe la Dunia la FIFA 2022, na atatoa mihadhara ya kidini katika muda wote wa mashindano...
agenda
bingwa
dunia
fifa
heshima
kiarabu
kombe
kombe la dunia
kuhusu
kupitia
maneno
ofisi
pongezi
putin
qatar
uislam
ushoga
utamaduni
wakristo
wamarekani
wengi
Pamoja na ukweli kuwa R7 kwa sasa hana kasi yake ile ya zamani lakini Ronaldo wa kwenye kombe la dunia ameonekana kuwa tofauti sana na yule Ronaldo wa EPL kama mchezaji wa Man U.
Jana R7 kaibuka man of the match (mchezaji bora kwenye mechi)!!. Mchango wake kwenye mechi ulikuwa mkubwa sana...
Habari, kama kichwa kinavyojieleza! Mwaka huu bingwa wa Komne la Dunia ni Uingereza kwa vigezo hivi viwili vya kiimani;
1. Mara nyingi bingwa wa Euro au mshindi wa pili wa Euro huwa anachukuwa Kombe la Dunia linalofuata.
NB: Siyo mara zote.
2. Ukifuata mtiririko huu wa waliochukuwa kombe...
Mshambuliaji huyo wa Brazil amepata majeraha ya kifundo cha mguu wakati timu yake ikishinda 2-0 dhidi ya Serbia baada ya kuchezewa faulo na Nikola Milenkovic.
Alionekana akilia akiwa kwenye benchi baada ya kutolewa uwanjani, madaktari wamesema majibu kamili ya ukubwa wa jeraha hilo yatajulikana...
Kukosekana kwa wachezaji fulani kwenye Kombe la Dunia kunachangia kutukosesha vionjo tulivyovitarajia. Kwa mfano kokosekana kwa mchezaji bora wa Dunia kwa sasa Benzema (mtaalam wa kutupia), kukosekana kwa Halaand (mtupiaji mwenye mabavu), kukosekana kwa Mane (mtalaam wa kutupia), kukosekana kwa...
Nikifikiria Dunia
Mwenzenu najijutia, Nawahi kukufuru Mungu kwa nini nilizaliwa.
Lakini sawa. Mola ndivyo alivyotupangia. Jambo akipanga Mola vigumu kulipangua.
Kinachoniuma roho nikimtizama mwanangu Pili anavyonitegemea
Huwa najiuliza sana kitu gani nitamgaia.
Au nitakapofariki mwanangu...
Huyu mtangazaji wenu anapayukapayuka na hata haieleweki anaongea nini. Kila wakati anapaza sauti na kuongea vitu visivyoeleweka wala kuhusiana na mechi iliyopo mubashara.
Watoto wawili wamefariki dunia na mmoja kunusurika kifo, baada ya mama yao mzazi kuwapa sumu ambayo ni dawa aina ya Tiktik ya kuoshea mifugo, kisha na yeye kunywa.
Akizungumza leo Jumanne, Novemba 22,2022, Kamada wa Polisi Mkoa wa Kigoma, Filemon Makungu amesema tukio hilo limetokea Novemba 20...
Kama kichwa kinavyojieleza wakuu uyu jamaa uwa namkubal sana sasa nahtaj kujua ni vipi ntapata channel ambayo anatangaza yeye.
Namkubali sana peter druly hasa ile misemo yake. Nmejaribu kumfatilia supersport ila naona kombe la dunia hili hasikiki uko dstv
Kuanzia tarehe 14 hadi 19 Novemba 2022, Rais Xi Jinping wa China alihudhuria Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Kundi la G20 (G20) kisiwani Bali, Indonesia, na Mkutano wa Viongozi wa Kibiashara wa Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiuchumi ya Asia na Pasifiki (APEC) mjini Bangkok, Thailand. Katika siku hizi...
Nimesoma sehemu kwamba ni kosa kwa mwanaume kuonekana magoti kwa mujibu wa sheria za waislamu, sasa Qatar ambao ndio wenyeji wa michuano ya kombe la dunia wametoa miongozo kwa kuzingatia dini hiyo, mbona wameacha wanaume wanacheza mpira huku wakivaa sare zinazoonyesha mapaja nje nje, au ndio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.