dunia

  1. L

    JamiiForums Tanzania Tunisia: Mchuzi wa pilipili wa Harissa wawekwa katika orodha ya urithi wa dunia wa UNESCO

    Muuza duka anaonesha sahani ya mchuzi wa pilipili wa Harissa katika soko huko Tunis, Tunisia. Mchuzi wa Harissa unaotengenezwa kwa pilpili umewekwa katika orodha ya urithi wa dunia na Shirika la Elimu na Sayansi la Umoja wa Mataifa(UNESCO).
  2. JamiiForums Tanzania Naipongeza Argentina ya Lionel Messi kwa kufikia Nusu Fainali ya Kombe la Dunia 2022

    Baada ya kuingia 16 bora, atacheza na Australia halafu kwenye robo fainali atakutana na mshindi kati ya Uholanzi na Marekani. Hapo Argentina wanawaza watakutana na nani kwenye nusu fainali maana hakuna timu yoyote ya kuwasumbua katika hizo tajwa hapo juu. Kiutani namna hii Argentina anakwenda...
  3. JamiiForums Tanzania TANZIA Jiang Zemin aliyekuwa Rais wa China afariki dunia akiwa na miaka 96

    Aliyekuwa Rais wa China bwana Jiang Zemin amefariki dunia leo alfajiri mjini Shanghai China akiwa na umri wa miaka 96. Taarifa kutoka vyombo vya utawala vya China [ kamati kuu ya Chama cha kikomunisti cha China, kamati ya kudumu ya bunge la taifa la China , Baraza la mashauriano ya kisiasa na...
  4. JamiiForums Tanzania Kombe la Dunia 2022: Senegal yafuzu kuingia Hatua ya 16 Bora

    Ushindi wa magoli 2-1 umeifanya timu hiyo kuwa ya kwanza kutoka Afrika kusonga mbele katika michuano ya 2022 baada ya kuifunga #Ecuador katika Kundi A. Magoli ya Senegal yamefungwa na Ismaila Sarr na Kalidou Koulibaly, hivyo kuungana na Uholanzi iliyoifunga Qatar magoli 2-0. Mechi za Kundi...
  5. M

    JamiiForums Tanzania TBC radio matangazo ya kombe la dunia mnatangaza moja kwa moja kutoka Qatar au mnatangaza kutokea Dar kwa hisani ya runinga?

    Maswali ya kujiuliza -Mtangazaji yuleyule mmoja siku zote ila wachambuzi tofauti ...Je hao wachambuzi nao wamesafiri hadi Qatar? -Mechi zinachezwa kwenye viwanja na miji tofauti tofauti....inawezekanaje mtangazaji huyohuyo kutangaza mechi zote kwa siku -Wachambuzi kuchambua matukio kama penati...
  6. JamiiForums Tanzania Mahari ni biashara ya utumwa. Kwanini dunia ipo kimya?

    Habari za sasa wanachama wa Jamiiforums natumai wote ni wazima wa afya, nilikuwa na jambo lini kereketalo moyoni mwangu liitwalo “MAHARI”  Nilikuwa na tatizo na huu utamaduni ulio zoeleka hapa dunia mpaka kukomaa wa malipo ya kifedha/mali kwa mwanaume/mwanamke ili kuweza kukidhi vigezo vya kuoa...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Mambo ukifanya kwenye hii dunia utalaanika

    1.Ufiraji 2.kulala na wanawake Malaya 3.kupuuza wazazi wko 4.Kudhulumu yatima na wajane, 5.kwenda kwa waganga 6.Kufanya mapenzi na ndugu 7.Ulevi Kama unafanya Mambo hayo hutofabikiwa na mikosi itakuandama daima
  8. JamiiForums Tanzania Bingwa wa kusilimisha Wakristo ameingia Qatar Wakristo wengi wahofiwa kusilimu. Eneo la FIFA lapambwa kwa maneno ya Mtume Muhammad S.A.W

    Qatar, imemualika mhubiri mkali zaidi duniani, ambaye kwa maneno yake amefanikiwa kusilimisha mamilioni ya Wakristo duniani. Huyu ni bingwa Zakir Naik Zakir Naik tayari amefika Doha nchini Qatar kabla ya Kombe la Dunia la FIFA 2022, na atatoa mihadhara ya kidini katika muda wote wa mashindano...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Ronaldo wa kombe la dunia kama mchezaji wa ureno anaonekana ni tofauti kabisa na yule Ronaldo wa EPL kama mchezaji wa Man U: Hii imekaaje?

    Pamoja na ukweli kuwa R7 kwa sasa hana kasi yake ile ya zamani lakini Ronaldo wa kwenye kombe la dunia ameonekana kuwa tofauti sana na yule Ronaldo wa EPL kama mchezaji wa Man U. Jana R7 kaibuka man of the match (mchezaji bora kwenye mechi)!!. Mchango wake kwenye mechi ulikuwa mkubwa sana...
  10. JamiiForums Tanzania UTABIRI: Uingereza ndiye bingwa Kombe la Dunia, 2022

    Habari, kama kichwa kinavyojieleza! Mwaka huu bingwa wa Komne la Dunia ni Uingereza kwa vigezo hivi viwili vya kiimani; 1. Mara nyingi bingwa wa Euro au mshindi wa pili wa Euro huwa anachukuwa Kombe la Dunia linalofuata. NB: Siyo mara zote. 2. Ukifuata mtiririko huu wa waliochukuwa kombe...
  11. JamiiForums Tanzania Neymar hatarini kukosa mechi zilizosalia za Kombe la Dunia 2022

    Mshambuliaji huyo wa Brazil amepata majeraha ya kifundo cha mguu wakati timu yake ikishinda 2-0 dhidi ya Serbia baada ya kuchezewa faulo na Nikola Milenkovic. Alionekana akilia akiwa kwenye benchi baada ya kutolewa uwanjani, madaktari wamesema majibu kamili ya ukubwa wa jeraha hilo yatajulikana...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kombe la Dunia 2022: Tunavikosa sana vionjo tulivyovizoea kwenye mitanange ya Kombe la Dunia

    Kukosekana kwa wachezaji fulani kwenye Kombe la Dunia kunachangia kutukosesha vionjo tulivyovitarajia. Kwa mfano kokosekana kwa mchezaji bora wa Dunia kwa sasa Benzema (mtaalam wa kutupia), kukosekana kwa Halaand (mtupiaji mwenye mabavu), kukosekana kwa Mane (mtalaam wa kutupia), kukosekana kwa...
  13. JamiiForums Tanzania Ukitupilia mbali habari za Ushoga Kombe la Dunia, kuna Jambo muhimu la kujifunza Qatar

    .
  14. JamiiForums Tanzania Hizi ndiyo fedha watakazolipwa Washindi wa Kombe la Dunia 2022

  15. JamiiForums Tanzania Nikifikiria Dunia, Mwenzenu najijutia. Najikuta nakufuru Mungu. Kwanini nilizaliwa

    Nikifikiria Dunia Mwenzenu najijutia, Nawahi kukufuru Mungu kwa nini nilizaliwa. Lakini sawa. Mola ndivyo alivyotupangia. Jambo akipanga Mola vigumu kulipangua. Kinachoniuma roho nikimtizama mwanangu Pili anavyonitegemea Huwa najiuliza sana kitu gani nitamgaia. Au nitakapofariki mwanangu...
  16. JamiiForums Tanzania DStv badilisheni mtangazaji na utangazaji wa Kiswahili kwenye mechi za Kombe la Dunia

    Huyu mtangazaji wenu anapayukapayuka na hata haieleweki anaongea nini. Kila wakati anapaza sauti na kuongea vitu visivyoeleweka wala kuhusiana na mechi iliyopo mubashara.
  17. JamiiForums Tanzania Mjamzito adaiwa kuwanywesha sumu wanawe wawili, wafariki dunia

    Watoto wawili wamefariki dunia na mmoja kunusurika kifo, baada ya mama yao mzazi kuwapa sumu ambayo ni dawa aina ya Tiktik ya kuoshea mifugo, kisha na yeye kunywa. Akizungumza leo Jumanne, Novemba 22,2022, Kamada wa Polisi Mkoa wa Kigoma, Filemon Makungu amesema tukio hilo limetokea Novemba 20...
  18. JamiiForums Tanzania Naomba msaada kujua ni wapi ntapata matangazo ya mpira wa kombe la dunia akitangaza Peter Dlury

    Kama kichwa kinavyojieleza wakuu uyu jamaa uwa namkubal sana sasa nahtaj kujua ni vipi ntapata channel ambayo anatangaza yeye. Namkubali sana peter druly hasa ile misemo yake. Nmejaribu kumfatilia supersport ila naona kombe la dunia hili hasikiki uko dstv
  19. L

    JamiiForums Tanzania Kutoka G20 hadi APEC, China yatoa mipango yake juu ya maendeleo na usalama ya dunia

    Kuanzia tarehe 14 hadi 19 Novemba 2022, Rais Xi Jinping wa China alihudhuria Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Kundi la G20 (G20) kisiwani Bali, Indonesia, na Mkutano wa Viongozi wa Kibiashara wa Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiuchumi ya Asia na Pasifiki (APEC) mjini Bangkok, Thailand. Katika siku hizi...
  20. JamiiForums Tanzania Hivi mbona Qatar hawajaja na sare zipasao wanaume ili kukidhi sheria za waislamu kwenye mpira wa kombe la dunia

    Nimesoma sehemu kwamba ni kosa kwa mwanaume kuonekana magoti kwa mujibu wa sheria za waislamu, sasa Qatar ambao ndio wenyeji wa michuano ya kombe la dunia wametoa miongozo kwa kuzingatia dini hiyo, mbona wameacha wanaume wanacheza mpira huku wakivaa sare zinazoonyesha mapaja nje nje, au ndio...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…