dunia

  1. JamiiForums Tanzania Nimefarijika sana TBC kuonesha kombe la dunia

    Hamjambo Naomba wasiwe wanachagua mechi waonyeshe mechi zote Na waache tabia ya kukata mechi kipindi inaendelea Nafikiria kidogo kuunganisha mawazo yangu Azam Tv na TBC kuhusu kuonyesha hizi mechi lakini binafs hainihusu Sina pesa ya kulipia king’amuzi kwa miez hii miwili mitatu na stress...
  2. JamiiForums Tanzania Bingwa wa Kombe la Dunia 2026 atapata Tsh. Bilioni 131, wa Pili Tsh. Bilioni 92

    World Cup 2026 prize money – how much do teams earn for taking part and winning? THE 2026 FIFA World Cup will reportedly have a record prize pool, a stark increase from the £380million ($440m) up for grabs in 2022. This prize money is set to be split between the 48 competing teams. Here we...
  3. JamiiForums Tanzania Huu ndio utabiri wa Likud kuhusu kombe la Dunia 2026

    Bingwa atakuwa Croatia. Mimi sio mchawi. Sio mtabiri. Sio Ostaz. Sio Mtume na Nabii. Ni Mwanahisabati/ Mwanasayansi ( my mindset is scientific and mathematically oriented)/ Mwanamichezo. Nimefanya uchambuzi wa kisayansi, nimepiga hesabu zangu zote na nimejiridhisha pasi na Shaka yoyote...
  4. JamiiForums Tanzania Mwamuzi wa Somalia wa Kombe la Dunia akataliwa kuingia nchini Marekani

    Gazeti la New York Times hivi karibuni limetoa ripoti ikisema, mwamuzi wa Kombe la Dunia la mwaka 2026 ambaye ni raia wa Somalia Omar Artan, amekataliwa kuingia nchini Marekani. Artan alikuwa mmoja wa waamuzi 7 wa Afrika waliochaguliwa kwa Kombe la Dunia la mwaka 2026 litakalofanyika nchini...
  5. JamiiForums Tanzania Msanii mliyesema kaishiwa, Rayvanny kashachaguliwa huko kutumbuiza kwenye Kombe La Dunia

    Msanii wa muziki, Rayvanny ametangaza kuwa atakuwa miongoni mwa wasanii watakaoshiriki katika tamasha la FIFA Countdown Concert kuelekea mashindano ya 2026 FIFA World Cup, Huko Toronto, Nchini Canada Siku ya Kesho Jumatano Juni 10
  6. M

    JamiiForums Tanzania Wapenzi wa Ureno kombe la dunia tufahamiane hapa!

    Huu ndiyo wakati muafaka wa Ureno kubeba kombe la dunia. Ina vipaji lukuki na bado wanaye veteran CR7 wa kuwahamasisha ndani ya uwanja! Bila shaka haya yatakuwa mashindano ya mwisho CR7 kushiriki kombe la dunia kama mchezaji! Mashindano yajayo atakuwa na miaka 45!! Nadhani baada ya Euro 2028...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kikosi bora cha Brazil cha muda wote hiki hapa

    Hiki ndicho kikosi ambacho watu wengi wanasema kuwa ndio kikosi bora kabisa cha Brazil cha muda wote. kikosi hiki ndicho kilichobeba kombe la dunia mwaka 2002 huko korea dhidi ya timu ngumu ya Ujerumani kwa magnolia 2-0 yaliyofungwa na Ronaldo og. Katika mashindani hayo Ronaldo akiwa katika...
  8. JamiiForums Tanzania Hotuba za Rais Samia Suluhu kimataifa zinatuheshimisha watanzania, lazima UN watafanya nae kazi baada ya Urais kuisha

    Mh. Rais anaongea hotuba ambazo zipo very neutral hazifungamani na upande wowote hotuba zake zinaiishi falsafa ya Non aligned Movement (NAM) NI RAIS anayetumia akili kubwa kujibu hoja, ni Rais anayefatiliwa sana duniani, Leo hii vyombo vyote vya habari vinamtaja Dr Samia. Nadhani UN...
  9. JamiiForums Tanzania Muziki wa zamani Haukuwa Bora zaidi, Bali Mazingira ya Dunia Ndio yamebadilika

    Kwa siku za hivi karibuni nimewasikia mara kadhaa wasanii wa zamani wakijibu swali hili. Wengi wao husema walikuwa wanatumia akili nyingi sana kwenye utunzi wa nyimbo zao, ndiyo maana mpaka leo, hata baada ya miaka 20 au zaidi, nyimbo zao bado zina ladha ile ile. Kwa upande mwingine, wasanii wa...
  10. JamiiForums Tanzania Lucky Dube: Dunia Iliyochanganyikiwa na Uongozi

    WIMBO: Dunia Iliyochanganyikiwa (yaani: Crazy World) MTUNZI: Lucky dube 1. Hadi sasa, mambo yapo vizuri, Kwa kuwa bado tunaishi, Lakini hatujui kesho italeta nini, Katika dunia hii iliyochanganyikiwa. Watu wanakufa kama nzi kila siku, Unaisoma habari kwenye magazeti, Lakini huamini, Utajua...
  11. JamiiForums Tanzania Bila Yuda hakuna ukombozi wa Dunia. Bila Yuda, Yesu asingekuwa Shujaa

    Hamjambo Wote! 1. Katika siasa za kiroho, Spiritual politics, Yuda iskariote, ambaye amebeba uhusika wa kumsaliti Yesu Mnazaethi, nje ya sifa zake nyingine. 2. Dhima ya Yuda duniani ilikuwa kuhakikisha ukombozi wa Dunia kupitia Yesu unakamilika. 3. Kumbuka Yesu ndiye alimchagua Yuda ili awe...
  12. JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli hii Dunia tunayoishi ina miaka zaidi ya bilioni kama tunavoaminishwa na wazungu?

    Ugonile, Mimi ni mzaliwa wa miaka ya 90's, nimekulia kote kijijini na mjini kwa nyakati tofauti. kwa kijijini mtu ulikua na uwezo wa kufanya sensa ya raia ukiwa kibarazani kwako umekaa huku unatafuna karanga au mahindi ya kuchoma. Katika kukua kwangu nikifanya ulinganifu wa idadi ya watu...
  13. JamiiForums Tanzania Waafrika na mahusiano tofauti na dunia nzima!

    sijawahi kukutana na waafrika mwanaume na girlfriend wake au mke wake wawili tu wakisafiri pamoja, ila nimeshakutana na wahindi akiwa na mke wake au girfriend wakisafiri, wazungu ni kama kawaida, nimeshaona wachina mwanaume akiwa na demu wake tu safarini, hata arabs wa gulfs nimeshakutana nao...
  14. JamiiForums Tanzania Misalaba ya ma kabuki ya Wakristo huko Tripol Lebanon yavunjwa na waislamu Dunia iko kimya!!!!!

    Misalaba yote ya Kikristo iliharibiwa na kuharibiwa katika makaburi ya Waorthodoksi katika jiji la Tripoli lenye Waislamu wengi, lililoko kaskazini mwa Lebanon. Hii inaonyesha wazi waislamu wamekuwa ni tishio la Amani duniani!!
  15. JamiiForums Tanzania Data Science: Fursa na umuhimu wake kwa vijana wa Tanzania katika enzi ya uchumi wa kidigitali

    Utangulizi Katika karne ya 21, dunia imeingia katika enzi mpya ya mabadiliko ya kidigitali (digital transformation). Kila siku, mabilioni ya taarifa (data) huzalishwa kupitia simu za mkononi, mitandao ya kijamii, benki, hospitali, biashara, mifumo ya usafiri, na hata mashine za viwandani. Hata...
  16. JamiiForums Tanzania Dunia ya giza nyuma ya kuta za mochwari

    Je ni mapema sana kupost hizi mambo ama tusubiri usiku? Nadhani muda huu ndio sahihi kwakuwa shughuli nyingi hufanyika nuruni.. Kuna watu muda huu wako mochwari na majonzi tele.. Tuwaombee sana! Ukweli wa kutisha zaidi kuhusu kazi za mochwari ni kwamba miili ya marehemu mara nyingi hutoa sauti...
  17. JamiiForums Tanzania Hivi wauza magari wa JF wanaishi dunia gani?

    Ukiingia kwenye jukwaa la JF Garage katika JamiiForums, utadhani wauza magari wa kule wanaishi kwenye ulimwengu wa njozi au uchumi wa nchi ya kufikirika. Malalamiko kuhusu bei zisizo na uhalisia za magari ya JamiiForums (JF) ni ya muda mrefu, na wateja wengi wanahisi wauzaji hao wanakadiria...
  18. JamiiForums Tanzania Viumbe roho wanne wanaotawala dunia

    Viumbe wanne wa kiroho wa asili (spiritual elementals) ni viumbe wa njozi wenye utambuzi na nishati thabiti ambao wanawakilisha na kulinda misingi minne mikuu ya asili ya dunia. Walipata umaarufu katika karne ya 16 kupitia mwanakemia wa Uswisi anayeitwa Paracelsus. Viumbe hawa wa asili...
  19. JamiiForums Tanzania Hapa kwetu habari za kila siku ni ajali labda na teuzi. Wenzetu ni ubunifu na tafiti za kusaidia dunia

    Je hili mamlaka inaliona au ndio utamaduni wetu.
  20. JamiiForums Tanzania Je wajua kwa nini Kesi ya Lisu itaendelea tena tarehe 11 June,siku ambayo kombe la dunia linanza?

    Natamani kila Mtanzania aelewe namna ambavyo viongozi wetu wanatuchukulia Wanatuchukulia kama mazwazwa,mapwoyoyo flani yasiyotofautisha mambo serious na ishu extra yaani za burudani kama mpira. Siku Simba na Yanga wamecheza mpira tarehe Sikumbuki wa NBC premier league,tukiwa busy sijui na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…