dunia

  1. JamiiForums Tanzania Kweli Dunia haiko Fair yaani Mwenzako anayejua anacheza AFL na asiyejua anacheza NBC Maporini Mbagala

    Inauma sana Kiukweli yaani Wenzako wakiwa Wanaongozwa na Ving'ora kwenda Estadio Du Lupaso Wengine wanakatiza tu Mitaani, Majarubani huku Wakikanyaga Nyanya za Watu, wakigonga Makopo ya Mkaa na kupigia Kelele Wakazi wakiitafuta Mbande Mbagala Kucheza na Waliofeli Wenzao. ANGALIZO Ukijijua tu...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Nawapa pongezi Mkurugenzi na Wafanyakazi wa TANTRADE kwa kujitahidi kuendana na kasi ya Dunia kutangaza fursa

    TANTRADE ni moja ya taasisi ambazo kwa kiasi kikubwa imeweza kuendana na mahitaji ya biashara kwa Dunia ya sasa. Wameondoka kuendesha maonyesho ya sabasaba na sasa wanaangalia fursa za maonyesho nje na kuwapa opportunity hata wale ambao wanashindwa kuvuka mipaka kupeleka bidhaa zao. Uimara wa...
  3. JamiiForums Tanzania Zuio la VPN: Kwanini Mamlaka zinaikimbia Teknolojia wakati dunia inaelekea huko?

    Wadau, bila shaka mmeliona tangazo la TCRA kuhusu onyo la matumizi ya Kipenya Mtando Binafsi (VPN), tangazo ambalo ni dhahiri linaonesha Mamlaka zinaogopa Teknolojia kuliko kuwekeza zaidi katika kutambua fursa zilizoko kwenye uwanda huo. Katika dunia ya sasa Mamlaka zinapaswa kuweka mazingira...
  4. G

    JamiiForums Tanzania Wababe wote wa dunia wameitenga Palestina

    Kwa kinachoendelea Huko Gaza, sijui itakuaje kwa ukanda huo wa Gaza na Palestina, maana inaonekana vigogo wote na mataifa yenye nguvu kubwa duniani kiuchumi, kisiasa na kijeshi Kama vile China, Marekani, Urusi, Uingereza na India. Wote hao wametoa kauli za kuwa na huruma Sana Israel kwa kile...
  5. P

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kuishi katika dunia iliyochanganyikiwa?

    Ukifuatilia historia ya dunia utaona bila shaka kuwa Walimwengu wamechanyikiwa siku zote. Vita kila kona ya dunia, mauwaji, majanga, visa vya kutisha, uchafuzi wa hali ya hewa na mazingira, wizi na mengineyo. Kuishi katika dunia ya namna hii inahitaji uwe na ufahamu wa aina yake. Uwe na uwezo...
  6. JamiiForums Tanzania Ni kwa namna gani dunia inapata vipindi mbalimbali vya msimu (Kiangazi, Masika na Vuli)?

    Salama? Wataalamu naomba ufafanuzi kwa kurejea kichwa cha uzi maana nimeingia google naona wanaelezea kwa lugha ngumu za kisayansi. Natanguliza shukrani zangu za dhati kwa wataalamu wakitoa somo hapa kwa lugha nyepesi zaidi ambayo hata kwa mtoto wa la saba akisoma atapata kitu. Nawasilisha.
  7. JamiiForums Tanzania Tujiandae na Vita ya Tatu ya Dunia

    Habari wakuu zangu, Kuna msemo unasema "Jela hakuna mateso ila wanao leta mateso jela ni wajelajela wenyewe." Hivyo hivyo duniani ni mahala salama, pana maji, vyakula ardhi nzuri, na vyote Mungu alitoa bure. Yaani ule bure, unywe bure, ujenge popote bure, uwinde bure, uvue samaki was baharini...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Israel kuishangaza Dunia tena

    Baada ya mashambulizi mabaya kabisa ktk history ya Israel kufanyika kelele zimekuwa ni nyingi sana kushindwa kwa intelligence ya Israel ambayo siku zote imekuwa ikiheshimika. Ila jambo lakushangaza lina taka kutokea na uwenda Hamas na wasaidizi wake wakabaka midomo wazi. Hivi Nina andika tayari...
  9. JamiiForums Tanzania Balozi wa Palestina Nchini aomba Dunia ipaze sauti kulaani vita dhidi ya Israel

    Watanzania wameombwa kupaza sauti zao kulaani mashambulizi yanayofanywa na Taifa la Israel kwenye Ukanda wa Gaza eneo la Palestina. Rai hiyo imetolewa Jijini Dar es Salaam na Balozi wa Palestina Nchini Tanzania, Hamdi Mansour Abuali wakati akizungumza na waandishi wa habari juu ya machafuko...
  10. JamiiForums Tanzania Futa Nchi mbili kwenye Uso wa Dunia

    Ukiambiwa uziondoe Nchi mbili, zisiwepo kwenye uso wa Dunia utaziondoa Nchi zipi?
  11. JamiiForums Tanzania Migogoro inayoendelea duniani inathibitisha kutokuwepo kwa huyo Mungu anaye aminiwa kuwepo

    Kwa hii migogoro mbalimbali inayo endelea kuwepo duniani inathibitisha bila shaka kutokuwepo kwa huyo Mungu anaye amini kuwepo. Kauli ya Karl Marx kuhusu dini mpaka sasa bado inasimama wima. Kiranga na kundi kubwa la atheists mpaka sasa hoja zao zina simama wima kwa haya yanayo endelea duniani...
  12. JamiiForums Tanzania Hospitali za Gaza zafurika majeruhi, Wapalestina huko Gaza waiomba Dunia iingilie kati

    Hakuna haja ya salamu. Hali imezidi kuwa mbaya kwa upande wa Palestina baada ya kuanzisha mashambulizi Israel. Waisrael wameendelea kumimina mabomb maeneo mbalimbali ya palestina hasa huko GAza na kuleta hali ya Umauti Mauti kwa wakazi wa eneo hilo. Wapalestina wengi wameonekana wakisikitishwa...
  13. N

    JamiiForums Tanzania Kuvamiwa kwa Israeli, mzaliwa wa kwanza wa Mungu Mwenyezi, inaashiria nini kwa dunia?

    Hello JF, kama kichwa cha thread kinavyoeleza....Isreali kutokana na maandiko matakatifu ni taifa linalofahamika miongozi mwa mataifa yote duniani kama mzaliwa wa kwanza wa Mungu Mkuu (the first born of God), je hili linaloendelea la kuvamiwa na magaidi linaleta taswira gani kwa dunia? karibuni...
  14. D

    JamiiForums Tanzania Kelvin Kiptum ashika rekodi mpya ya dunia katika marathon huko Chicago (2:00:35). Kipchoge kwisha habari yake!

    Leo Jumapili October 8, tumemuona KELVIN KIPTUM akivunja record ya dunia ya Marathon hapo Chicago nchini Marekani kwa muda wa saa 2 na sekunde 35, akiizidi record ya KIPCHOGE aliyoweka Berlin Marathon (saa 2:01:09). Hivyo bingwa mpya wa marathon ni KELVIN KIPTUM.
  15. JamiiForums Tanzania DRC: Yalipuka mapigano makali kati ya waasi wa M23 dhidi ya Wazalendo

    Tangu tarehe 01.10.2023 kumekuwapo na vuguvugu la muungano wa vijana wapiganaji kuvamia ngome za waasi wa M23. Vijana hawa wanaojiita wazalendo ni mchanganyiko wa vikundi vidogo vidogo vya waasi na wanamgambo nje jeshi la nchi. Wengi ni vikundi maarufu kama Mayi Mayi na Nyatura. Wazalendo...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Pendekezo la “Ukanda Mmoja, Njia Moja” linaifanya dunia kuwa ya kijani zaidi

    Mwaka huu ni miaka 10 tangu rais wa China, Xi Jinping, alipotoa Pendekezo la Ukanda Mmoja, Njia Moja. Zaidi ya miaka 1000 iliyopita, misafara ya ngamia ilipita katika Njia ya Hariri ya Kale, ikikabiliwa na upepo mkali na jua, ikichukua hariri na chai kutoka China na kuzipeleka katika nchi za...
  17. JamiiForums Tanzania Huku Russia vs Ukraine, kule Israel vs Palestina

    Ehe bwana ehe, mimi kama Muhaya original kabisa, na thubutu kusema Dunia mpaka sasa bado inaupiga mwingi kabisa. Mambo kama haya tuliyazoea kipindi kile cha Ofisa Bin Laden Mwamba kabisa aliyeitikisa Dunia na Marekani kwa mapigo yake na akili yake ya kipekee ambae kwa karne hii hakuna mtu...
  18. S

    JamiiForums Tanzania CEO Yanga: Tutaionyesha dunia ukubwa na ubora wa Yanga

    “Tumepangwa kwenye kundi lenye ushindani pamoja na mabingwa watetezi Al Ahly. Bila shaka ni kundi lenye msisimko wa aina yake. Ushindani hautufanyi tuogope, bali inatupa fursa ya kuonesha dunia ukubwa na ubora wetu” @andre_mtine - Mtendaji Mkuu wa Yanga SC
  19. JamiiForums Tanzania Lady Cathy Ferguson, mke wa Sir Alex Ferguson amefariki dunia

    Habari za huzuni jioni hii, kutoka katika kitongoji cha Cheshire, Greater Manchester ni kuwa Lady Cathy Ferguson, mke wa Sir Alex Ferguson amefariki dunia. Wawili hao walioana mwaka 1966 na wamedumu kwenye ndoa mpaka mauti yalipomfika bibie Lady Cathy akiwa na miaka 85. Ameacha watoto watatu...
  20. T

    JamiiForums Tanzania Oktoba 6 ni siku ya Mtindio wa Ubongo duniani

    Kila ifikapo Oktoba 6 kila mwaka Dunia huadhimisha siku ya Mtindio wa Ubongo/ cerebral palsy, ambapo kwa Mara ya Kwanza siku hii iliadhimishwa mwaka 2012. Madhumuni ya siku hii ni kuielimisha jamii kuhusu tatizo hili pia kuhamasisha uwepo wa mazingira jumuishi na wezeshi kwa watu walioathiriwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…