dunia

  1. JamiiForums Tanzania Zama za mwisho wa dunia? Mchina aja na teknolojia hii

    Mchina huko anafanya zoezi la kuzi train drone kwa algorithm ya kuua mbu kwa kuzichapa laser beam. Hii kwa jicho la tatu ni message kama tu ameshaweza kuya train ma chip ya AI ndani ya drone kuchapa makombora mbu kama mbu vipi kwa object kubwa kama binadamu na wengine. Message hio kwamba vita...
  2. JamiiForums Tanzania Je, in reality dunia hii ipo? Au ipo kichwani kwangu tu?

    Je wanajukwaa dunia hii ipo au ipo kichwani kwangu tu Ile unatoka asubuhi unaenda mishemishe unarudi jioni home, baada ya kupoa kidogo unaelekea mahali fulani kama kamgahawa unaagiza gahawa, Una watch movies utulivu ukiwa ni mwingi sana, u go somewhere u connect with positive people, u make...
  3. JamiiForums Tanzania Lockheed SR-71 Blackbird jini la angani lililoitesa dunia.

    Lockheed SR-71 Blackbird ni mojawapo ya ndege za ajabu zaidi kuwahi kutengenezwa. Ingawa watu wengi huiita ndege ya kivita, ukweli ni kwamba ilikuwa ndege ya upelelezi (strategic reconnaissance aircraft), si ya kushambulia adui. Haya ndiyo mambo muhimu kuhusu SR-71: 1. Kasi ya ajabu Kasi...
  4. JamiiForums Tanzania Hatimae Dunia imeanza kuamini na kutumia hizi Data za Tume iliyoundwa na Samia, na itaenda hivo vizazi na vizazi.

    Kitu pekee Samia anapambana na ccm kwa ujumla ni kutaka uongo uwe officialized na uwe documented. Na unajua madhara ya kua documented? Madhara yake ni kua hizo taarfa ndio zitakua Rasmi kwa vizazi na vizazi na zitakutumika kama reference. leo hii Dunian taratibu inaanza kutumia Data za watu...
  5. JamiiForums Tanzania Wajue Mapogos kundi la simba madume sita lililoishangaza dunia

    Mapogo ni mojawapo ya hadithi maarufu na za kusisimua zaidi kuwahi kutokea katika ulimwengu wa simba. Walitawala kwa nguvu, ujanja na ushirikiano wa kipekee, lakini mwisho wao ulionyesha kuwa hata watawala wakubwa hawaishi milele. Mwanzo wa Mapogo (2006) Mapogo walitokea katika eneo la Sabi...
  6. JamiiForums Tanzania Dunia hii siwezi danganywa jambo nimeyapata maarifa sana kwa njia nyingi sana

    Wanaume Wengi ni wazembe wa kujitaftia maarifa ila ukitaka kuweka confidence na kuweka ego au aura ! 1. Soma sana makala , vitabu na majarida ya topic kadhaa hii ni tabia yangu toka shule Mpaka nikaitwa encyclopedia ya shule (Britanicca) dawati langu lilijulikana hata kwenye hoja za kikanda na...
  7. JamiiForums Tanzania Unafikiri kwa nini CCM haina ushawishi kwa members wengi humu JF?

    Hamjambo! Kwa mtu mgeni akiingia humu JF anaweza kufikiri Mtandao au forums hii niya wapinzani. Itisha polls zozote zile. Polls itakayohusisha CCM humu JF lazima ishindwe kwenye kura kwa kiwango cha kutosha. Juzi niliitisha Polls fulani hivi ya kishikaji. Kuona watu wanamaoni gani kuhusu...
  8. JamiiForums Tanzania Dunia sasa imebakisha aslimia fulani kuingia kwenye Apocalypse

    Apocalypse ni neno la asili ya Kigiriki (apokalypsis) lenye maana ya ufunuo, kufunuliwa au kuwekwa wazi kwa jambo lililofichika. Mfano leo uwezi kufanya uwovu alafu ukasema ule sio uwovu na wala sikufanya ukaona hakuna mwenye kumbukumbu. Mifumo yote ambayo dunia imeifanya na kuifanya dunia...
  9. JamiiForums Tanzania Dunia imetufikisha hapa

    Siku hizi mwanamke akienda sokoni akiwa ananunua matango akiyashika na kuchagua kubwa soko Zima macho kwake! 👀 👁️ Mtu ukienda kununua mafuta ya nazi unaenda kununua kwa kificho wakati unaenda kupaka tuu kwa matumizi ya ngozi Yako. Ukinunua zako Nazi na mihogo ule vitu asili watu wote macho...
  10. JamiiForums Tanzania Swali: Dunia bila Mwanaume je nani angemlinda Mwanamke?

    Hili swali nimelikuta sehemu nikavutiwa na mjadala wake, Hivi kabisa mwanaume amlinde mwanamke dhidi ya nani? Mjusi? Mende? Panya? Buibui? au Mdoli? Lol, Ni lini Mwanamke akahitaji ulinzi wa mwanaume? Mwanamke siku zote hujilinda dhidi ya mwanaume na sio otherwise, Hivi mnajua dunia ingekua...
  11. JamiiForums Tanzania Kwa sasa dunia ilipofikia marehemu ni dili kwa viungo vyake

    Nikikumbuka uswahilini kuku anachaondolewa ni manyoya na kinyesi vengine vinabaki. Kwa dunia ya sasa ijaweka wazi ila wanadai mwanadamu ambaye kashafariki anaweza kuondolewa viungo ndani ya mda maalumu hata vyote na vikafanya kazi kwa mwanadamu. Tungepata Jokeri.
  12. JamiiForums Tanzania Baba mzazi wa tunu shekhome amefariki dunia usiku huu hospital ya kairuki

    Pole sana tunu wewe na dada mwajabu shekhome poleni sana . Mungu ni mja wa.wote I niliahidi... Nipo pamoja nanyi
  13. D

    JamiiForums Tanzania Bora aendelee kuwa bubu hivyo hivyo kuliko kuitangazia Dunia kwamba kuna ugaidi

    Kwa hili niwape kongole wazee wa geti jeusi wale wazee wa kitengo, huo ushauri mlioupa imekaa vizuri sana, maana Dunia haituelewi hadi muda huu, hata wafanyabiashara wa sekta ya utalii hawaelewi Nini kimetokea. Embassies na High Commission zote nchini, tayari wameshatuma salamu kwenye nchi zao...
  14. JamiiForums Tanzania Dunia haijaumbwa kuwaheshimu watu dhaifu, yakupasa ujipambanie

    Ushawai kujiuliza kwanini baadhi ya watu wana nguvu, heshima, ushawishi na nafasi ya kubwa katika jamii. Basi ipo hivi Dunia haijaumbwa kuwaheshimu watu dhaifu, kwa hiyo pambana ili uheshimike. Ndiyo maana wenye sauti kubwa mara nyingi ni wale wenye nguvu ya fedha, maarifa, ujasiri au ushawishi...
  15. JamiiForums Tanzania Je, kuna wanaoamini kwamba Dunia ni bapa (Flat Earth)

    Kumekuwa na ongezeko la watu wanaodai kuwa Dunia si duara bali ni bapa (flat). Ningependa kusikia kutoka kwa wanaoamini nadharia hiyo. Maswali yangu ni haya: Mnasemaje kuhusu mchana na usiku? Vinatokeaje ikiwa Dunia ni bapa? Jua na Mwezi vinazungukaje juu ya Dunia bapa? Kwa nini meli...
  16. JamiiForums Tanzania Dunia bila uwepo wako. Wewe ni nani hasa? (Soma hadi mwisho, itabadilisha mtazamo wako)

    Wadau za wakati huu, Tuna muda kidogo hatujaonana uzi wangu wa mwisho wiki kama 3 zilizopita lakini katika kukaa kwangu na kufikiria nimefanya uchambuzi pamoja na utafiti mbalimbali kuhusu hii mada yetu hii ya leo. Mada hii ya leo imeibuka baada ya siku moja swali hili kutokea: "Kama...
  17. JamiiForums Tanzania NASA wanaidanganya dunia tokea zamani, wataalam wa photoshop

    Ukianza kuelewa teknolojia hata kidogo lazima ujiulize maswali kadhaa kuhusiana na habari zao NASA... Mara ya kwanza 'wametua' mwezini miaka ya 1960... mawasiliano ya simu yalikuwa duni na hata picha zile za black n white watu walingoja filamu isafishwe mara nyingi ndani ya siku kadhaa... ILA...
  18. JamiiForums Tanzania Dunia inachezeshwa bolingo kule Homz na kule bahari ya shamu

    Kwa sasa dunia inakoelekea kuzuri sana,yaani kule bahari ya shamu Houthi ukikatiza tu unapasuliwa na kule Homz Waajemi ukikatiza unapasuliwa. Waendelee hivihivi mpaka watambue kwamba Iran siyo mtoto kwa sasa amekuwa mtu mzima ana ndevu anatakiwa kusikilizwa na kuheshimiwa siyo mtoto kama...
  19. JamiiForums Tanzania Dunia: Jela ya Wenye Ufahamu lakini Paradiso la Wajinga...

    Dunia imekuwa kama jela kwa wale wenye ufahamu wa kina. Wenye akili na macho ya ndani huona udanganyifu, uovu, na unafiki unaotawala jamii. Kwao, maisha si mchezo wa furaha bali ni mzigo wa maswali yasiyo na majibu. Wanateseka kwa kuona ukweli ambao wengine wanaukwepa. Ufahamu wao unawafanya...
  20. JamiiForums Tanzania Hivi mnadhani mtaidanganya Dunia kuwa nyinyi sio watekaji na wauwaji?

    Wakifanikiwa wanakanusha,Wakishindwa wanadai ulikuwa na kosa watalitafuta mda wanaojisikia. Kwa dunia hii mshaingia kwenye rekodi mbaya na uchafu wenu. Mnavutiwa mda ili mkishawekwa kitimoto msianze kulalamika kuwa tunawindwa.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…