dunia

  1. JamiiForums Tanzania Kiuhalisia hakuna hata haja ya binadamu kuja duniani...

    Binadamu tunajiona viumbe waliobarikiwa kwa akili na maarifa. Tumegundua teknolojia, tumeandika vitabu, tumejenga miji mikubwa, na tumeunda tamaduni nyingi. Lakini tukichunguza kwa undani, yote haya hayajabadilisha ukweli wa msingi,,,, binadamu hakuja duniani kufaidika kwa namna ya kudumu. Kwa...
  2. JamiiForums Tanzania TANZIA Nyota wa Mamelodi na timu ya taifa ya South Africa, Jayden Adams (25) amefariki dunia leo, Julai 11, 2026

    Nyota wa Mamelodi na timu ya taifa ya South Africa, Jayden Adams (25) amefariki dunia leo. Kiungo huyo amefariki dunia siku chache baada ya kushiriki fainali za kombe la Dunia, Marekani lakini mpaka sasa chanzo cha Kifo chake hakijawekwa wazi. R.I.P Jayden Adams For English Speakers South...
  3. JamiiForums Tanzania Kwanini binadamu atoze wenzake kodi kwenye ardhi ambayo wameikuta wote hapa duniani wakati hao watu hawaiitumii kwenye biashara ni makazi tu?

    Ardhi ni urithi wa dunia, mali ya asili ambayo haikuundwa na binadamu yeyote ila imekuwepo kwa vizazi vyote. Sasa ni kwa nini mtu anapaswa kulipa kodi kwa kipande cha ardhi ambacho hakitumii kwa biashara bali ni makazi yake binafsi na familia? Kodi ya jengo inaeleweka kwa sababu inahusisha na...
  4. JamiiForums Tanzania Mzigo wa Kujua Ukweli wa Dunia

    Katika ulimwengu huu wenye siri na mambo machafu, omba Mungu sana kwako yasionekane. Omba Mungu uwe normal kama watu wengine, usiwe na uwezo wa kujua nini kiini cha maumivu, mateso, majivuno, chuki, na dhana potofu zinazo tawala huu ulimwengu. Haihitaji kusoma, ila tu ni mipango ya muumba...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Zawadi Kombe la Dunia la 2026 ni dola milioni 871 za Marekani, ambayo ni kubwa zaidi katika historia ya soka

  6. JamiiForums Tanzania Nguvu ya kimkakati ya nyuklia ya China ni dhamana thabiti ya amani ya kikanda na dunia

    Jeshi la Majini la China hivi karibuni lilipata mafaniko katika jaribio la kombora jipya la kimkakati lililorushwa chini ya maji katika Bahari ya Pasifiki. Hii ni hatua nyingine muhimu katika maendeleo ya nguvu ya nyuklia ya kimkakati ya China, kufuatia jaribio la kombora la kuvuka bara...
  7. JamiiForums Tanzania Dunia imebadilika: Leo unaweza kutoboa kwa njia ambazo miaka 20 iliyopita zisingewezekana

    Kwa miaka mingi tumekuwa tukifundishwa kwamba mafanikio yana formula moja tu. Soma kwa bidii, pata kazi, kuwa na nidhamu, vumilia kwa miaka mingi, halafu siku moja utafanikiwa. Ukweli ni kwamba njia hii bado ipo na bado inafanya kazi. Lakini dunia ya leo imebadilika kwa kasi ambayo wengi...
  8. JamiiForums Tanzania Leo nimetembelewa na Mwingine tukaangalie Kombe la dunia tunaelekea sehemu inaitwa “The Penny Black”

    Ngoja apumue Pumue Kidogo Twende sehem yaitwa the Penny Black mtaa wa Robertson Quay baada ya mechi sasa twaenda Rooftop ipo Marina Bay Financial Centre , Maana masaa kadhaa yalopita shughuli ilikuwa moto Uzuri huyu aliielewa mwenyewe show show na anajiletaga Juzi nilimtembelea kwake leo...
  9. JamiiForums Tanzania Huenda Kombe la Dunia 2026 likabaki Marekani

    Wana timu nzuri mno, haizungumzwi wala kufuatiliwa sana, lakini ina uwezo na uwezekano mkubwa sana wa kutwaa kombe hilo la dunia katika mpira wa miguu duniani. Ni wazi Rais Donald J. Trump atapendelea zaidi kukabidhi kombe hilo la dunia kwa timu ya mpira wa miguu ya taifa lake na si vinginevyo...
  10. JamiiForums Tanzania Kwanini nchi za Afrika zimeshindwa kutumia uchawi kufanikiwa kombe la dunia?

    Uchawi na uganga unaaminiwa sana Africa ila ajabu pale uchawi unapohitajika zaidi kufanikisha mambo kama kwenye hili kombe la dunia hauonekani kabisa kuleta matokeo, Hii inathibitisha uchawi ni porojo tu, ni kama Nyuki wa mashineni.
  11. JamiiForums Tanzania Timu za Afrika zimeonesha Uafrika wetu Kombe la Dunia

    Timu za Afrika kwenye Kombe la dunia zimeonesha tabia zetu halisi kwenye mashindano ya Kombe la dunia. 1. Wachoyo wa kupasiana (ubinafsi) 2. Wazito wa kufanya maamuzi Kwa wakati. 3. Kila anayepata mpira anatamani yeye pekee ndiyo afunge. 4. Uvivu kwenye kukaba adui. 5. Kutokufuatilia...
  12. JamiiForums Tanzania Nahitaji kampani Leo, nani yupo tutokee viwanja

    Niko bored, Nani yupo tayari tutoke,awe mwanamke mwenzangu au mwanaume ni sawa,hata tukiwa sita au kikundi ni sawa pesa ya bili chini ya laki mbili ninayo. Nahitaji sura mpya,Mawazo mapya na nijifunze vitu vipya ,nitatokea kinyerezi,kuelekea Mawasiliano Ubungo,hapo tutapanga tukutane...
  13. JamiiForums Tanzania Tafrani kombe la dunia Marekani, mashabiki wageni walazimishwa kulipa tip 20% mighahawani na bar.

    Mashabiki wageni kutoka mataifa mbalimbali walioenda kuangalia weldi cup wamekumbana na usumbufu na sintofahamu nchini Marekani katika huduma za migahawa na bar kutokana na utamaduni wa Marekani wa mteja kulazimika kulipa 20% ya ziada juu ya gharama halisi kama tip/ ahsante/ bakshish kwa...
  14. JamiiForums Tanzania TANZIA Prof. Pius Mbawala afariki dunia. Aliwahi kuwa Naibu Waziri wa Kilimo na Ushirika na Mbunge wa Namtumbo

    Kwakuwa hii sijaiona JF, nimeona niiweke for our records: Aliyekuwa Naibu Waziri wa Kilimo na Ushirika na Mbunge wa Namtumbo, Prof.Pius Mbawala, amefariki dunia akiwa anapatiwa matibabu katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH) jijini Dar es Salaam. Kwa mujibu wa familia, Prof. Mbawala...
  15. JamiiForums Tanzania Shapeshifters: Watawala wa Kweli wa Dunia?

    SHAPESHIFTER Hawa ni watu wenye nguvu kubwa za kichawi. Inaelezwa kuwa hawa ndio watu wenye kuongoza dunia hii. Mataifa makubwa yote yanamilikiwa na binadamu wa aina hii binadamu ambao kidunia wanatajwa kama wafu lakini uhalisia wapo hai. Mfano ziliwahi kuvuja taarifa za ndani kuhusu maraisi...
  16. JamiiForums Tanzania Uzito wa dunia yetu ni 6 septrilion kgs..

    Hivi walipimaje uzito huu,nikuulizeni chadomo maana nyie ndiyo huwa mnajua saaana kila kitu. (Tafakuri)
  17. JamiiForums Tanzania Mtwara: Mwanafunzi afariki dunia baada ya kunyongwa na watu wasiojulikana

    Mwanafunzi wa darasa la tatu mwenye umri wa kati ya miaka nane hadi kumi, mkazi wa Mtaa wa Lilungu katika Manispaa ya Mtwara Mikindani, amefariki dunia baada ya kunyongwa na watu wasiojulikana. Tukio hilo limetokea jioni ya Juni 21, 2026, ambapo kwa mujibu wa mashuhuda, mtoto huyo...
  18. JamiiForums Tanzania Leo Ronaldo ataishangaza dunia

    Leo Ronaldo atafunga mabao 5 peke yake
  19. JamiiForums Tanzania Tafuta pesa Kwa nguvu, dunia ni katili Kwa maskini

    Kwanza nianze kuipongeza serikali ya awamu ya sita Kwa kuimarisha amani na democrasia Dunia ya Leo identity kubwa ya mwanaume inatokana kiasi Gani Cha pesa unachomiliki/ inatokana na the way unavyotegemewa kwenye maamuzi yatakayohitaji pesa ......... Mambo Yale ya mwanaume busara hayapo kwenye...
  20. JamiiForums Tanzania DUNIA IMEBADILIKA KUTEGEMEA MISAADA KUMEPITWA NA WAKATI WAZIRI MKUU MWIGURU NCHEMBA AMEONGEA HAYO AKIWA ZIARANI..

    Waziri Mkuu wa Tanzania, Dk Mwigulu Nchemba, amesema enzi za kutegemea misaada kugharamia maendeleo na huduma za kijamii zimepitwa na wakati, akisisitiza umuhimu wa Watanzania kujenga utamaduni wa kujitegemea na kuwajibika kutatua changamoto zao wenyewe. Dk Mwigulu amesema dunia ya sasa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…