dunia

  1. JamiiForums Tanzania Dunia haijaumbwa kuwaheshimu watu dhaifu, yakupasa ujipambanie

    Ushawai kujiuliza kwanini baadhi ya watu wana nguvu, heshima, ushawishi na nafasi ya kubwa katika jamii. Basi ipo hivi Dunia haijaumbwa kuwaheshimu watu dhaifu, kwa hiyo pambana ili uheshimike. Ndiyo maana wenye sauti kubwa mara nyingi ni wale wenye nguvu ya fedha, maarifa, ujasiri au ushawishi...
  2. JamiiForums Tanzania Je, kuna wanaoamini kwamba Dunia ni bapa (Flat Earth)

    Kumekuwa na ongezeko la watu wanaodai kuwa Dunia si duara bali ni bapa (flat). Ningependa kusikia kutoka kwa wanaoamini nadharia hiyo. Maswali yangu ni haya: Mnasemaje kuhusu mchana na usiku? Vinatokeaje ikiwa Dunia ni bapa? Jua na Mwezi vinazungukaje juu ya Dunia bapa? Kwa nini meli...
  3. JamiiForums Tanzania Dunia bila uwepo wako. Wewe ni nani hasa? (Soma hadi mwisho, itabadilisha mtazamo wako)

    Wadau za wakati huu, Tuna muda kidogo hatujaonana uzi wangu wa mwisho wiki kama 3 zilizopita lakini katika kukaa kwangu na kufikiria nimefanya uchambuzi pamoja na utafiti mbalimbali kuhusu hii mada yetu hii ya leo. Mada hii ya leo imeibuka baada ya siku moja swali hili kutokea: "Kama...
  4. JamiiForums Tanzania NASA wanaidanganya dunia tokea zamani, wataalam wa photoshop

    Ukianza kuelewa teknolojia hata kidogo lazima ujiulize maswali kadhaa kuhusiana na habari zao NASA... Mara ya kwanza 'wametua' mwezini miaka ya 1960... mawasiliano ya simu yalikuwa duni na hata picha zile za black n white watu walingoja filamu isafishwe mara nyingi ndani ya siku kadhaa... ILA...
  5. JamiiForums Tanzania Dunia inachezeshwa bolingo kule Homz na kule bahari ya shamu

    Kwa sasa dunia inakoelekea kuzuri sana,yaani kule bahari ya shamu Houthi ukikatiza tu unapasuliwa na kule Homz Waajemi ukikatiza unapasuliwa. Waendelee hivihivi mpaka watambue kwamba Iran siyo mtoto kwa sasa amekuwa mtu mzima ana ndevu anatakiwa kusikilizwa na kuheshimiwa siyo mtoto kama...
  6. JamiiForums Tanzania Dunia: Jela ya Wenye Ufahamu lakini Paradiso la Wajinga...

    Dunia imekuwa kama jela kwa wale wenye ufahamu wa kina. Wenye akili na macho ya ndani huona udanganyifu, uovu, na unafiki unaotawala jamii. Kwao, maisha si mchezo wa furaha bali ni mzigo wa maswali yasiyo na majibu. Wanateseka kwa kuona ukweli ambao wengine wanaukwepa. Ufahamu wao unawafanya...
  7. JamiiForums Tanzania Hivi mnadhani mtaidanganya Dunia kuwa nyinyi sio watekaji na wauwaji?

    Wakifanikiwa wanakanusha,Wakishindwa wanadai ulikuwa na kosa watalitafuta mda wanaojisikia. Kwa dunia hii mshaingia kwenye rekodi mbaya na uchafu wenu. Mnavutiwa mda ili mkishawekwa kitimoto msianze kulalamika kuwa tunawindwa.
  8. JamiiForums Tanzania Balozi Yakubu: Ushiriki wa Tanzania majukwaa ya vijana ya UNESCO unaimarisha sauti ya Taifa katika urithi wa Dunia

    Tanzania imeendelea kuonesha uwezo wake katika jukwaa la kimataifa la UNESCO baada ya Bi. Rose Kinabo kuiwakilisha nchi katika Jukwaa la Vijana Wataalamu wa Urithi wa Dunia 2026, linalofanyika sambamba na Kikao cha 48 cha Kamati ya Urithi wa Dunia jijini Busan, Jamhuri ya Korea. Katika kuonesha...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Marekani Yaitetemesha Dunia Nzima. Yataka Mahakama Ya ICC Ifutwe Haraka Sana . Watu Walipuka Kwa Shangwe na Nderemo kuiunga Mkono Marekani.

    Ndugu zangu Watanzania, Dunia Yatikisika ,Dunia Yatetemeka ,Dunia yaripuka kwa shangwe ,nderemo na vifijo baada ya kishindo kikuu kilichosikika Duniani kote baada ya Marekani kuikosoa vikali sana na kutaka Mahakama ya ICC kufutwa haraka sana . Marekani imepaza Sauti yake iliyoitetemesha Dunia...
  10. JamiiForums Tanzania Waziri Homera aipongeza Korea kwa kuandaa Kikao cha 48 cha Kamati ya Urithi wa Dunia ya UNESCO

    Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Juma Zuberi Homera (Mb.) ameipongeza Jamhuri ya Korea kwa kufanikiwa kuwa mwenyeji wa Kikao cha 48 cha Kamati ya Urithi wa Dunia ya UNESCO (48th Session of the World Heritage Committee), kinachofanyika katika Jiji la Busan kuanzia tarehe 19 hadi 29 Julai 2026...
  11. X

    JamiiForums Tanzania Bila La Masia Spain isingebeba Kombe la Dunia 2026, hawa ni wachezaji waliopitia La Masia (academy ya Barça)

    1. Lamine Yamal – mshambuliaji (FC Barcelona) 2. Pau Cubarsí – beki wa kati (FC Barcelona) 3. Gavi (Pablo Martín Páez Gavira) – kiungo (FC Barcelona) 4. Dani Olmo – kiungo mshambuliaji (aliwahi kuwa La Masia kabla ya kwenda Dinamo Zagreb) 5. Eric García – beki (aliwahi kuwa La Masia) 6...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Martin Masese: Gerson Msigwa atueleze kwanini anatumia chaneli za mabebru kutazama kombe la dunia na kutuachia TBC1 yenye ubora duni

    GIRISHONI kanichapa BLOCK usiku wa manane, baada ya kumtaka atupe ufafanuzi wa kwanini anatumia chaneli za MABEBERU kuangalia WEDIKAPU wakati TBC UKWEL na UHAKIKA ipo lele-lele. Anamuachia nani ‘kwaliti’ mbovu ya TBC. Uzalendo nje, ndani kwake aaah!🤣
  13. JamiiForums Tanzania Ipi picha yako bora kwenye Kombe la Dunia 2026?

    Katika Kombe la Dunia 2026, maelfu ya picha zimeonyesha matukio makubwa, furaha, huzuni na kumbukumbu ambazo zimebeba hadithi za mashindano haya na kila picha ina simulizi yake.
  14. JamiiForums Tanzania Dunia inazidi kuwabadilisha waislamu mambo mengi sana sasa washagundua mbwa sio haramu kwao kama mfugo

    Ilikuwa ngumu muislamu kusema afuge mbwa na kuweka mazoea naye. Ila kwa dunia ya sasa ukiangalia waislamu wameanza kugundua mbwa anaweza kuwa mlinzi wako na familia yako.Lile tukio lilotokea Venezuela la mbwa kumrinda mtoto we hapo unaweza kusema nini.
  15. M

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Hii Dunia imejaa madeni kila kona haiwezi kujiendesha kwa Kodi na Mikoo tena | Tegemeo la Dunia kwa sasa ni Ubia (PPP) - Kafulila

    KAFULILA: DUNIA IMEJAA MADENI UBIA NDIO SULUHISHO Mkurugenzi Mtendaji wa PPPC, David Kafulila, akizungumza katika mhadhara wa umma Chuo Kikuu cha Sokoine (SUA), alisema kuwa ajenda ya ubia kati ya sekta ya umma na sekta binafsi siyo ya Tanzania pekee, bali ni mwenendo wa dunia kwa sasa...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Muunganiko wa vita kubwa mbili,Urusi v Ukraine na Iran v USA pamoja na Israel,ni Wazi Sasa tuko kwenye vita kuu ya tatu ya Dunia

    Wanajamvi,vita kubwa mbili tofauti zinazohusisha ma Supapawa wa asili,hivi Sasa zinapiganwa hapa Dunia. Vita ya kwanza ni Urusi dhidi ya Ukraine. Vita ya pili ni Iran dhidi ya USA pamoja na Israel. Vita hizi mbili zimeigawa Dunia mara mbili yaani Urusi inapigana na Ukraine,ambapo Ukraine...
  17. JamiiForums Tanzania Argentina ni lazima ashinde kombe la dunia, hizi hapa facts za ajabu

    Hizi Ndizo "Facts" 12 za Ajabu Zinazowashangaza Wengi Kabla ya Fainali ya Kombe la Dunia 2026 zikionyesha kwamba argentina atakuwa bingwa mwaka huu Facts hiz ni mfululizo wa coincidences, historia na ulinganifu wa namba (numerology) ambao umevutia mjadala mkubwa miongoni mwa wapenzi wa soka...
  18. JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Barcelona ndio mashabiki wenye furaha zaidi kwenye fainali hizi za kombe la dunia

    Spain ambayo ambayo imesheni wchezaji wa Barca ishatinga fainali. Furaha iliyoje. Argentina yenye Greatest Of All Time(GOAT) La Pulga ambaye ni pure cule yupo fainali. Furaha iliyoje. Ureno yenye goti wa kuvundika out tushasahau kama walishiriki hizi fainali za kombe la dunia. Furaha...
  19. JamiiForums Tanzania Nilichokiota kinfurahisha na kusikitisha. Dunia ya AI inakuja

    Ndoto ni kitu cha ajabu sana. Nimeota tunaishi katika dunia mbayo uhalisia haupo tena. Kwamba haya matumizi ya AI sio virtual pekee. Bali uhalisia kabisa. Tutaishi katika dunia ya PROMPTING. Cloning inakuja. Itakuwa ni ngumu kumtambua binafamu halisi na feki. Tunayoyaona kwenye filamu tutaishi...
  20. JamiiForums Tanzania Wakuu nina 60,000 niiweke kwenye nusu na fainali kombe la dunia nipeni mwongozo

    Kwa heshima na taadhima naomba huu uzi usihamishwe. Wakuu nataka kujaribu bahati yangu, nina kiasi hiko cha fedha nikigawanye Nikigawanye mara tatu, nusu fainali kati ya Argentina na England 20,000 Ufaransa na uhispania 20,000 Na finali yenyewe 20,000 Naamini kwenye jukwaa hili wapo wadau...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…