Habari za wakati huu kaka na dada zangu wa humu JamiiForums.
Katika dunia ya sasa ambayo watu huweza kujuliana hali kwa njia ya simu/mitandao, muheshimu sana yule anayefunga safari kuja kukutembelea "physically"
Kuna mwalimu wangu mmoja alikuwa anaitwa Adonijah yeye alikuwa anatufundhisha somo...
Salaam Wakuu,
Benki ya Dunia inatazamia kutoa Dola za Kimarekani Milioni 425 katika mpango wa miaka mitano wa uboreshaji wa elimu ya juu ili kwendana na Mabadiliko ya Kiuchumi
Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia (MoEST) kwa kushirikiana na Benki ya Dunia inaandaa mpango wa miaka mitano wa...
Ndio kama hivyo, mpo?
Kila tukigeuza anateuliwa Mkenya.
========
Prof Emmanuel Mutisya has been appointed as the Board Chairperson of Global e-Schools and Communities Initiatives (GESCI).
Prof Emmanuel Mutisya has been appointed the Board Chairperson of Global e-Schools and Communities...
Asalaam wakuu,
Kama binadamu nimekuwa najikuta nateseka sana kuishi kwenye hii dunia hasa kwenye jamii yangu ambayo inanifanya nipate huduma muhimu tu kama binadamu
Kwa muda mrefu sijui imeanza lini lakini huwa nafikili ni vipi kama haya maisha yote ninayoishi ni ndoto
Katika maisha yangu...
Polisi imethibitisha kuwa mwanamke mmoja aliyepigwa risasi wakati wa vurugu zilizotokea baada ya wafuasi wa Trump kuvamia bunge, amefariki dunia kwasababu ya majeraha aliyopata.
Bado maafisa hawajataja jina la mwanamke huyo lakini polisi wanasema alikuwa raia wa kawaida.
Aidha, mtu mwingine...
Hii tabia ya viongozi kuchapa raia viboko ni udhalikishaji na ukatili unaopaswa kukemewa kwa nguvu zote. Ki tendo cha kumpigia viboko mtu mzima hadharani ni kumshushia thamani na utu wake. Maafa ya kisaikolojia atakaa nayo mtu yule kwa muda mrefu na wengine hatutaelewa wameathirika kiasi gani...
Bado dunia ina watu wema hata kama ni wachache. Jana nilielezea kisa cha Jaji mmoja ambaye alidai mwenye bahati kushikana mkono na mimi. Ni kauli kubwa sana kuambiwa toka nizaliwe. Hadi nikatamani nijipitishe pale "Central" wanikamate kwa uchochezi halafu kesi apelekewe yule Jaji 🤣
Siku moja...
Habari za wakati huu kaka na dada zangu wote wa hapa jamiiforums.
Ndugu zangu watanzania;
Kwanini TBC wanashindwa kununua mechi za Fenerbahçe watanzania wamuone Samatta?
Tulishindwa kununua mechi za Aston Villa kwa maana ligi kuu ya Uingereza inajuliakana kuwa ni aghali dunia nzima...
Umuofia Kwenu wana JF,
Kheri ya Mwaka Mpya!
Mtoto wa mwisho wa Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere, Rose Nyerere amefariki leo mjini Dar es Salaam.
Taarifa za duru za uhakika zinaarifu kuwa Rose amefariki katika hospitali ya Mzena Jijini Dar es Salaam ambako alilazwa kwa muda mrefu. Bwana alitoa...
Nyarugusu, Tanzania
Source : Tanganyika TV
VITA VYA DUNIA HISTORIA YA MBAVU MOYA
April 14, 2020
SHUJAA TOKA TARAFANI FIZI Wakati huu wa kumbukumbu la Vita vya Kwanza vya Dunia (Première Guerre mondiale ) vya 1914-1918 ambavyo uitwa pia "Vita vikuu" (Grande guerre),tumkumbuke afisa...
Kwa mujibu wa taarifa, Shaykha Maryam Niasse alifariki Jumamosi katika mji mkuu wa Senegal, Dakar.
Shaykha Niasse ambaye alikuwa maarufu kama ‘Mhudumu wa Qur’ani’ alianzisha Kituo cha Elimu ya Qur’ani cha Shaikh al-Islam Hajj Ibrahim Niasse huko Dakar mwaka 1984.
Kituo hicho sasa kimanzisha...
Habari wadau!
Hivi binadamu gani au mtu gani mashuhuri unaamini ameitikisa dunia mpaka tunasema hakika huyu pengo lake halitokaa lizibike?
Wapo wachache ila unaweza kumtaja wako mfano Pele, Maradona, Michael Jackson, Michael Jordan,CR7 ,Messi n.k?
Je, yupi ambaye unaweza sema hakika huyu...
Bhasi habari za wakati huu wana JF wote poleni na hongera katika kuendelea kupambana na hizi changamoto za haya maisha.
Bhasi bhana leo nikiwa naendelea na mapumziko ya sikukuu hiii ya Christmas.
Huku nikiwa nina uchovu wa ajabu nikasema siku ya leo sio mbaya nikatumia na wadau wangu wa hapa...
Mambo ndiyo kama hivi wadau!
==========
Bilionea wa Kirusi, Igor Sosin amefariki kwenye mapumziko mjini Zanzibar akiwa na mwanae wa kike, Taisia pamoja na mwanamke ambae hajafahamika. Hii ni miaka mitano tangu mtoto wake wa kiume, Egor alipomnyonga mke wake wa pili na waya wa simu mwaka 2015...
Hali ya UMASIKINI nchini Kenya yatajwa kuzidi kuwa mbaya sana. Hiyo inapelekea kuwa ni miongoni mwa nchi 10 Afrika zenye kiwango kikubwa cha UMASIKINI uliyotopea. Mtu anaweza kujiuliza ni kwa nini hali UMASIKINI uliokita MIZIZI iko hivyo, ilhali nchi inajipambanua kuwa ni miongoni mwa nchi...
Utabiri wa mwisho wa dunia umetolewa miaka mingi na mbali mbali huko nyuma.Utabiri wa namna hiyo ulipita na kuondoka na baadae watu kurudi kwenye shughuli zao na starehe zao kama kawaida.
Tangu kuzuka kwa corona binadamu wamepatwa na hofu iliyo kubwa kiasi kwamba wale waliozowea kuona dunia...
Ni siku ya Pili sasa nipo Tanga na hapa leo nimekutana na jambo la kushangaza sana. Nikiwa nmepark gari wanaosha nikaona ni vyema nikae sehemu nipate Dafu pia na kubadilishana mawili matatu na wenyeki kwenye Bench wakicheza Draft.
Hii dunia imejaa visa,mikasa,vioja na maajabau yake.kuna mambo...
Kwa Masikitiko makubwa napenda kuwataarifu kuwa Askofu wa Kanisa Katoliki Tanga Anthony Banzi afariki Dunia alfajiri ya leo Muhimbili National Hospital. RIP Askofu Banzi.
Pumzika kwa Amani Baba Askofu Anthony Banzi
Raha ya milele umpe eeh BWANA Na mwanga wa milele umuangazie
Marehemu apate...
Hivi kweli huyu dogo wa 95 ambaye hata Wikipedia inamtambua kama You Tuber ndo wa kuweza kumshinda Legendari Mayweather? Kweli duniani inaenda kasi sana.
Ngoja tusubiri japo nimefatilia baadhi ya mapambano yake nimeona yuko vizuri ila ningumu kuamini kama anaweza tunishiana msuli na FM.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.