dunia

  1. C

    JamiiForums Tanzania Ashukuru "mungu" wake kizazi cha viongozi wa dunia kimebadilika sana, enzi za akina Obama tungezungumza mengine.

    Ni ukweli usiopingika kizazi cha viongozi wa kidunia na marais wa nchi kubwa duniani kimebadilika sana. Tukianza na Katibu Mkuu wa UN ni kama amepoa sana na taasisi yake imekosa mashiko. Tukija kwa Taifa la Marekani nalo sera zake za nje zimekosa meno kabisa kutokana na Rais wao Trump...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Hakika tumerudi nyuma miaka zaidi ya 50 na katika ulimwengu wa leo, sijui dunia inatutazama vipi!

    Kila mahali ni hofu!! Someni hii tweet hapa chini ya DarmpyaBlog: "MASAHIHISHO Kufuatia taarifa ya mgombea ubunge jimbo la Bunda Mjini Esther Bulaya, iliyoripotiwa na vyombo vya habari ikiwemo DARMPYA ikionesha jimbo hilo hakuna diwani wa CHADEMA aliyewekewa pingamizi, tunapenda kusahihisha...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Rais Kagame ateua mwanamke kuongoza Idara ya Intelejensia

    Wakati hapa nyumbani kundi la wagombea wa kiume limepita bila kupingwa huku wanawake wakiendelea na uchaguzi na wengine kuenguliwa, kule Rwanda Rais Kagame amemteua mwanamama kuongoza idara ya Intelejensia ya nchi hiyo. Wanaume tukiendekeza kitonga akina Ummy ndio watakaobeba mikoba siku za...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mwendelezo utajiti wa dunia upo hapa

    UTAJIRI WA DUNIA UPO HAPA Je, unajua kuwa wawekezaji waliowekeza kwenye teknolojia ya mawasiliano wana utajiri mkubwa. Kwenye teknolojia ya Mawasilianao ni kati ya Maeneo nyeti yanayo aminika kuwa na utajiri wa ajabu sana japo inahitaji kujitoa na kujituma ili ufanikiwe katika uwekezaji wako...
  5. JamiiForums Tanzania Ripoti ya benki ya Dunia inaonesha Zimbabwe ina nafasi nzuri kwa mazingira ya uwekezaji kuliko Tanzania

  6. F

    JamiiForums Tanzania Rumble in the Jungle: Pambano la Karne la Dunia - George Foreman vs Muhammad Ali - Oct. 30, 1974

    Hili pambano naona ndilo pambano kali kuliko yote uliyowahi kushuhudia duniani. Kama una roho ndogo usiangalie tafadhali. Rumble in the Jungle ilikuwa moja ya wakati muhimu katika historia ya ndondi. Pambano kati ya Muhammad Ali na George Foreman lilifanyika Oktoba 30, 1974 huko Kinshasa...
  7. D

    JamiiForums Tanzania TANZIA Dkt. Louis Shika Kidola afariki dunia

    Dr. Shika Hatunaye tena! Aliyewahi kuvuma kwa umaarufu katika mnada wa kununua nyumba za Lugumi! Amefariki hivi punde huko mkoani Mwanza baada ya kuugua kansa kwa mda mrefu! Mungu alitoa na Mungu ametwaa jina lake lihimidiwe! Taratibu za mazishi zitatolewa baadae! Hapa chini ni Sauti ya...
  8. JamiiForums Tanzania GE2020 Anachotakiwa Lissu ni atumie muda kidogo alionao kuwaambia wananchi ataifanyia Nini Tanzania akifika Ikulu

    Bila shaka yoyote hata Lissu mwenye hana Raha kwa Sasa maana haamini ni kwanini hajakamatwa na kuwekwa ndani mpaka Sasa hata baada ya kusema Yale aliyokuwa akiyasema kuhusu serikali wakati ikiwa nje ya nchi. Hakuna ubishi kuwa aliposema anarudi na siku ya kurudi Tanzania alisindikizwa na vyombo...
  9. JamiiForums Tanzania TANZIA Aden Mwamunyange afariki dunia

    Aliyekuwa msemaji wa jeshi la Polisi ndugu Aden Mwamunyange amefariki dunia baada ya kuugua kwa muda mrefu. Mwamunyange ambaye ni Kaka wa Davis Mwamunyange aliyekuwa CDF. Mungu ailaze mahali pema roho ya marehemu
  10. JamiiForums Tanzania Kama dunia ingekuwa ni Whatsapp Group, Admin angekuwa nani?

    Hebu tuachane na mambo ya uchaguzi na corona kwanza. Tu refresh ubongo kidogo Kama dunia yetu hii tunayoishi ingekuwa ni kama vile KIKUNDI CHA WHATSAPP (WHATSAPP GROUP) je ni nani (anapaswa/angepaswa )kuwa admin wetu? Angalizo: Mambo ya dini yasihusishwe Tujadili sisi kama sisi ambao tupo...
  11. S

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mwasisi wa Mapinduzi Zanzibar, Mzee Hassan Nassor Moyo afariki dunia

    Mwanasiasa mkongwe na mwasisi wa Mapinduzi Zanzibar, Hassan Nassor Moyo amefariki usiku wa kuamkia leo nyumbani kwake mkoani Tanga Mzee Moyo ambaye pia ni Waziri Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania alikuwa pia Mwenyekiti wa Kamati ya Maridhiano Zanzibar Inna lillah wainna ilayhi...
  12. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu atabiriwa ushindi katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2020

    Kila kona ya nchi na dunia kwa ujumla wanasema Tundu Lisu ndiye mwenye nafasi ya ushindi ktk Uchaguzi wa mwaka huu. Na ndiyo maana hata jana 8/8/2020 alipokuwa akichukua fomu pale jijini Dodoma amefuatiliwa ktk social media na zaidi ya watu bilioni moja (1+ bil )
  13. JamiiForums Tanzania Angalia jinsi mlima Kilimanjaro unavyoonekana ukiwa nchi jirani

    Zifuatazo ni picha zikionyesha muonekano wa mt Kilimanjaro ukiwa nchi ya Kenya mbuga inaitwa amboseli, hizi picha zinapatikana kwenye tovuti yao yao ya matangazo kwa uelewa wangu mdogo tumeshindwa hata kuweka haki miliki? Kumbuka watalii wakiwa mbuga ya Amboseli wana uwezo wa kuangalia wanyama...
  14. JamiiForums Tanzania Leo Dunia inasimama Yanga tumelipiza kwa kupiga kwenye chembe ya Moyo

    Kitendo cha Kumchukua Morrison kimetuvuruga sana. Maumivu yake bado mabichi kabisa. Simba mngechukua hata nzima lakini siyo Morrison. Sasa leo hii tunalipiza. Hatutawaacha salama. Tunalipiza sababu kisasi ni Sunna. Tutapiga kwenye chembe ya moyo. SUBIRINI MAMBO YANAKUJA MUDA SI MREFU...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Zitto ulitumia nguvu kubwa kwenye kupinga juhudi za Serikali kwenye mapambano dhidi ya Corona. Sasa iambie dunia kuwa Tanzania sasa ni salama

    Kati ya watu wachache waliotumia nguvu kubwa sana kuzibeza juhudi zilizochukuliwa na serikali ya awamu ya tano, pamoja na wataalam wetu wa ndani katika kupambana na Ugonjwa wa Corona (COVID-19), ni ndugu yetu Zitto Kabwe. Huyu bwana kwake hakukuwa na jema lolote lililofanywa na serikali, kwani...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Zitto ulitumia nguvu kubwa kwenye kupinga juhudi za serikali kwenye mapambano dhidi ya Corona, sasa tumia ile ile pia kuiambia dunia kuwa Tanzania sa

    Kati ya watu wachache waliotumia nguvu kubwa sana kuzibeza juhudi zilizochukuliwa na serikali ya awamu ya tano, pamoja na wataalam wetu wa ndani katika kupambana na Ugonjwa wa Corona (COVID-19), ni ndugu yetu Zitto Kabwe. Huyu bwana kwake hakukuwa na jema lolote lililofanywa na serikali, kwani...
  17. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Watanzania mjiulize kwanini mnatengwa na dunia hata kwenye misiba, japo mnapenda kuililia Kenya

    Kwenye msiba wa mzee Mkapa, kwa majirani zenu wote, Burundi tu ndiye alijitutumua kutuma ujumbe, sisi Wakenya tulituma japo ikasemekana mliwafukuza na kusingizia hali ya hewa, Malawi hakuja mtu, Zimbabwe hakuja mtu, Zambia kimya, Mozambique wala hata mmoja, Rwanda ndio chali kabisa, Bakongo/DRC...
  18. JamiiForums Tanzania Watalii wa kimarekani kuanza kumiminika Tanzania? Maamuzi ya Wizara ya Utalii tuliyoyabeza kuanza kuzaa matunda?

    Wamarekani wamepigwa ban dunia nzima isipokuwa kwa nchi chache tu kama inavyoonekana kwenye ramani. Nchi ya Marekani ndio nchi inayoongoza kuwa na watu wengi wanaopenda kutalii na wenye mkwanja mrefu yaani sio watalii njaa kama mnakumbuka maneno ya Mh. Rais kipindi kile anaweka vat kwenye...
  19. JamiiForums Tanzania Kigoma: Watu 10 wafariki dunia baada ya boti kuzama ziwa Tanganyika

    Watu Kumi wamefariki dunia na wengine 87 wameokolewa baada ya boti waliokuwa wakisafiria kupigwa na dhoruba na kuzama katika ziwa Tanganyika. Mkuu wa mkoa Kigoma Thobias Andengenye Amethibitisha. Taarifa zaidi zinakuja....
  20. JamiiForums Tanzania Nazunguka hapa JNIA, sijaona mkusanyiko wa aina yoyote

    Niko nazunguka zunguka hapa JNIA, Kwenye shughuli zangu lakini pia niko naangalia mikusanyiko ya watu kama wapo sioni dalili ya mkusanyiko. Maana yake mambo ya wahamasishaji wa mitandaoni kutokutii mamlaka za nchi zimepuuzwa wananchi wako kwenye msiba mzito na maombolezo ya Kitaifa. Wananchi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…