dini

  1. R

    Dini Pro - Kurani app ya Kiswahili

    Nimetengeneza app ya Kurani ya Kiswahili inaitwa Dini Pro Unaweza kufanya yafuatayo kwenye app yangu Kurani Tukufu (Soma na Usikilize): Soma Surah zote kwa urahisi na usikilize sauti popote ulipo. Mwelekeo Sahihi wa Qibla: Pata mwelekeo wa Qibla kwa haraka na usahihi mkubwa haijalishi uko...
  2. Israel inawapenda sana wapalestina Tatizo dini yao inawapotosha sana!!!!

    Mwimbaji wa Israeli Idan Raichel alishiriki katika mahojiano jinsi alivyopokea picha yake hivi karibuni kutoka Gaza. Askari wa Israeli alimtumia picha ya zamani ya Idan akiwa na baba kutoka Gaza na mtoto mchanga kwenye kitanda cha mtoto. Raichel alielezea kwamba hii ilipigwa wakati wa kazi...
  3. Tuige mfano mzuri wa Wajapan kuhusiana na imani za dini

    Kwa waliowahi kwenda, kuishi, au kufanya utafiti juu ya imani za kidini nchini Japan, watakubaliana nami. Mjapani mmoja unaweza kukuta ni Buddha, Shinto, na Mkristo kwa wakati mmoja na hakuna tatizo. Je, hii inatokana na kupevuka kwao au mila zao safi zinazohimiza amani? Je, Afrika tungekuwa...
  4. Mkanganyiko wa dini usio na majibu

    Mdau anauliza Mungu alimwambia mtu aliyevaa joho jeupe anywe divai lakini asioe, kisha akamgeukia mtu aliyevaa kanzu nyeusi akamwambia asinywe divai lakini aoe wake wanne?
  5. Tunawaandama wakina ifropreneur, kiranga na eli cohen ila ni watu ambao wapo huru nafsini mwao tofauti na sisi tuliofungamana na dini za mchongo

    Kuna jamaa nimesoma uzi jana kuwa hata baada ya kupata mkopo wa 30mln akaenda kutoa fungu la kumi, leo analia anafirisika ila alipopeleka 3m wanasonga. Kuna mwingine niliona uzi anasema hakuna mahali kwwnye quran na bible imeandikwa kuwa ukioa msichana mdogo hata wa miaka 10 ni kosa. Sasa...
  6. Kwanini kobaz wengi wa JF wanachagua sana dini kuliko au dhidi ya utu na mantiki.

    Firstly, nakumbuka walivyofurahia vijana wa tanzania kuuliwa na hamas kipindi kile, walivua utanzania kabisa na kushabikia hamas kisa tu ni kobaz wenzao. Pia mnajua upande gani waliokuwa juzi hapa. Then, fuatilia nyuzi zao, wako tayari kusimama na muuaji haijalishi ni ukatili wa namna gani...
  7. Kwanini Hapa Tanzania Matajiri Wengi Wakubwa Karibu Wote ni Waislamu? Je Dini ya Wakristo Inawanyonya Waumini Wake?

    Ni Mikoa michache sana Tanzania ambako Matajiri wake sio Waislamu,kuanzia Sumbawanga Hadi Tanga,Mtwara Hadi Kigoma. Kwa Upande wa Wakristo matajiri ni wachache sana,Je shida ni dini kuwanyonya waumini au aina ya mafundisho? Rostam - Muslim GSM -Muslim Lugumi - Muslim Mo Dewji - Muslim Bahkresa...
  8. Tume Chande: Dini Nguzo ya Amani

    Ripoti ya Tume ya Jaji Chande ilitambua kuwa taasisi za kidini zilicheza jukumu muhimu na chanya wakati na baada ya ghasia za Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025. Viongozi wa dini mbalimbali walilaani vurugu, kutoa wito wa amani na kusaidia kutuliza mvutano katika jamii. Tume iliona mchango wao kama...
  9. Katika dini ni kipi katika maisha ya binadamu kisicho ibada?

    Nimesikia watu wanasema kula ni ibada nikashangaa sana, nimeshindwa kuelewa wanamaanisha nini maana najua viumbe wote wanakula ili waendelee kuishi, wasife. Niliwahi kusikia pia watu wanasema maradhi ni ibada!
  10. Kwa nini nchi za africa na uarabuni ndizo nguli wa dini duniani ila ndizo zinazoongoza kwa umasikini na vita?

    Tulidhania nyie mlio loyal wa dini na mafundisho yake mtakuwa na unyenyekevu na kusaidiana ila ndio mnaongoza kuuana na kunyang'anyana.
  11. L

    Rais Samia kutua kwa Kishindo Mkoani Songwe hapo kesho. Kupokelewa na Mamia ya Viongozi wa Dini Na Maelfu ya Waumini. Asubiriwa kama Masia

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Anatarajiwa Kutua kwa kishindo kikuu Mkoani Songwe Hapo kesho . Ambapo Rais wetu Mpendwa na Moyo wa Taifa letu anatarajiwa Kupokelewa na Mamia ya Viongozi wa Dini...
  12. Mzee akamatwa Kenya kwa kuoa mtoto, ajitetea na dini ya Kiislamu, asema ameona hata mtoto wa miaka tisa akiolewa

    Video: Lizee la hovyo la jamii ya Kisomali Kenya umri wa miaka 46 limekamatwa Kenya kwa kuoa katoto, kuhojiwa linasema dini ya kiislamu inaruhusu hata kuoa katoto ka umri wa miaka tisa. Majirani walitoa ripoti kwamba walikua wanaskia huyo mtoto akilia usiku, inasemekana mtoto alikua...
  13. Tukiweka Dini pembeni pamoja umasikini narudia Tena kusema mke Mmoja hautoshi angalao wawili watatu hata wane si mbaya.

    Maelezo mnayo ninyi wakuu. NB: PICHA HII NDO NAMNA CCM ILIPOTUFIKISHA.
  14. Viongozi wa Dini na Maridhiano Kitaifa

    Viongozi wa dini wametakiwa kushiriki kikamilifu katika maridhiano. Taifa linahitaji kurejesha maadili na kushinda majeraha ya ghasia. Hii ni dhamira ya pamoja ya Watanzania wote. #RipotiYaChande Tume Ya Uchunguzi
  15. Neno Mubashara: Chaneli ya taifa mnaharibu lugha, chaneli ya dini na nyinyi amueni moja mtumie kiswahili ama kiarabu

    Ukiangalia kuna chaneli kama makundi matatu hivi juu ya uandishi wa neno LIVE kwa Kiswahili sanifu Kuna wanaoandika MBASHARA mfano TBC. Hawa jamaa mwanzoni nilidhani wamekosea tu katika typing lakini kumbe wapi, ni staili yao. Ni sawa na mtu aandike STAKI badala ya SITAKI eti kisa tu katika...
  16. Afrika na Dini

  17. Waziri Katambi akutana na viongozi wa dini, wajadili mmomonyoko wa maadili

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi (watano kulia) akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa dini wakati wa Kikao Kazi kilichofanyika Makao Makuu ndogo ya wizara hiyo jijini Dar es Salaam. Watatu kushoto ni Naibu Katibu Mkuu wa wizara hiyo, Dkt. Maduhu Kazi. Picha na Wizara ya...
  18. Dini haiokoi ila Yesu. Mtafute na kumshika Yesu na siyo dini

    Dini ni utaratibu aliouanzisha mwanadamu katika kumtafuta na kumuabudu Mungu wake.. ila YESU ni Mungu aliyejinyenyekeza kujishusha kuvaa mwili wa mwanadamu,kuzaliwa kimasikini katika zizi la ng'ombe,kaishi maisha ya duniani na kuwa rafiki na kukaa pamoja na wanadamu wenye dhambi(Emmanuel) ili...
  19. M

    Wasomi wengi wa dini ya kikiristo ni weupe sana ktk uchambuzi wa kimataifa

    Wengi wao hawajui sana dunia inavyoenda na huwa wanabase sana ktk maswali ya dini. Tofauti na wavhambuzi wa dini ya kiislam. Wengi wanaolikwa media za kimataifa ni wa dini ya kiislam Mfano vita na migogoro ya urusi na ukrain na mashariki ya kati. Wasomi wa dini ya kiislam huwa hawabase, huwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…