Wanajukwaa, 1.nimeshuhudia viongozi wa dini wakikemea zinaa na kusifia mauaji. Uhuni sio uhuni?
2. Waislamu walijinadi kuwa dini yao ni dini ya haki, baada ya kuona uvunjwaji wa haki umetamalaki na wao hawawezi kukemea, hivi sasa wanajiita dini ya amani, hawataki tena haki. Wahuni sio wahuni?
2...
Viongozi waliopo katika mfumo walimuuwa Yesu, kisha wakaanzisha dini ili watu waendelee kumzungumzia tu badala ya kuishi kama alivyofundisha.
Yesu hakuja ili aabudiwe, alikuja kufunua kitu—njia ya kuendesha na kuunda uhalisia. Lengo lake lilikuwa kutufundisha “code” au kanuni za jinsi ulimwengu...
Dini ya uislam pamoja na kuwa na mafunzo mazuri ila Bado watu makini hawataki kuwa viongozi wa dini hiyo
Kwanini hao mashehe wasijielimishe ili kupata haiba na kutoa maoni yanayoendana na uelewa na ustaarabu
Jiulize
Muislam kama Bakhresa anakaa kwenye zulia anamsikiliza Shehe Mazinde😂...
Yess
Kuna ile dini zinaamini kuwa wewe kama ukifa kama sio dini fulani hautaingia mbinguni, hautamuona M/Mungu na utaangamia milele motoni
How dini zina ubaguzi kiasi hichi yaani waislamu pekee ndio wataingia peponi au wakristo/waisrael pekee ndio wataingia mbinguni, mtu wa dini tofauti...
Kitimoto kimeuzwa na kimelika kiwanjani World Cup Mexico kwenye game ya Tunisia na Sweden!
Hakika mpira ndilo jambo la kuwaunganisha binadamu wote duniani, tuheshimu sana nguvu ya football. Huenda ndio maana hata wapinzani wameshindwa kuondoa akili za raia katika Simba na Yanga.
Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania, Sheikh Dkt. Abubakari Zubeir Ally, amemuomba Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi, kumshawishi Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ili siku ya mapumziko ya Mwaka Mpya wa Kiislamu (Hijriyya) itambuliwe Tanzania nzima.
Mufti Zubeir...
Chama chochote kiwe cha Siasa au kikundi katika Jamii kinakuwa na Katiba na miongozo yake, na iwapo unahitaji kuwa mwanachama wake inabidi ufuate masharti, taratibu na miongozo yake, na kinyume cha hapo inabidi ujitoe na usipojitoa watakufukuza.
Katika Dini, upande wa sisi wakristu iwapo...
Voodoo (pia huandikwa Vodou, Vodun au Vodun) ni dini na mfumo wa imani ulioanzia Afrika Magharibi, hasa katika maeneo ya Benin na Togo.
Baadaye uliendelea na kuenea katika maeneo ya Karibiani, hasa Haiti, kupitia biashara ya utumwa.
Baadhi ya vipengele vya Vodou ni:
Imani katika Mungu mkuu...
Watoto hawawezi kuchagua dini ipi inawafaa; mara nyingi ni wazazi au walezi ndio huamua. Mtoto hukua akipokea anachoambiwa bila nafasi kubwa ya kuuliza au kuchambua kwa kina.
Anapofikia utu uzima na kuanza kuelewa maisha kwa undani zaidi, wakati mwingine hutambua kwamba imani aliyopewa...
Katika hali ya kipekee sana Jamii ya Binadamu leo katika maeneo mengi Duniani inaonesha kuchoshwa sana na Serikali , Dini na Siasa. Taasisi hizo ziliiaminisha Jamii kuwa zitaleta utaratibu katikakati ya vurugu " to bring order out of chaos". Watu waliipokea imani hiyo na kukasimisha mamlaka yao...
Labda na wewe utaongeza kitu hapo chini.
1. Binafsi siwezi kuamini kitu ambacho sikielewi.
Watu wa Sayansi walikataa kuamini wakachagua kuelewa na ndio wameleta ustaarabu duniani. Hii ni tofauti na watu wa dini.
2. Dini ni Chombo cha kijamii(social agency) Chenye kazi ya kuhimiza Maadili, na...
Dini ni sehemu kubwa sana ya maisha ya mwanadamu. Katika jamii zetu nyingi za Kiafrika, mtoto anapozaliwa tu, huanza kufundishwa misingi ya imani ya wazazi wake. Lakini je, ushawahi kujiuliza inakuwaje pale Taifa linapoamua kwamba masuala ya imani yasiwahusishe kabisa watoto mpaka wafikishe umri...
Kumekuwa na kauli inayorudiwa mara kwa mara kwamba sababu ya Afrika kutokuendelea ni dini, na mara nyingi hoja hiyo hulenga zaidi Uislamu. Lakini je, hoja hiyo ina uzito wa kutosha inapochunguzwa kwa kina?
1. Kwanza, tujiulize: maendeleo ni nini?
Maendeleo si suala la dini pekee wala kutokuwa...
Hawa jamaa ni kama manifesto yao inasoma nusu ni mafundisho nusu ni kushambulia wakristo.
Yani wanakereketwa sana na amani waliyonayo wakristo, sasa ili kushare nao maumivu yao lazima watafute hoja mavi.
Yani ni kama una mke lakini kuanzia asubuhi hadi jioni mara kwa mara unamzungumzia mke wa...
Nimetengeneza app ya Kurani ya Kiswahili inaitwa Dini Pro
Unaweza kufanya yafuatayo kwenye app yangu
Kurani Tukufu (Soma na Usikilize):
Soma Surah zote kwa urahisi na usikilize sauti popote ulipo.
Mwelekeo Sahihi wa Qibla:
Pata mwelekeo wa Qibla kwa haraka na usahihi mkubwa haijalishi uko...
Mwimbaji wa Israeli Idan Raichel alishiriki katika mahojiano jinsi alivyopokea picha yake hivi karibuni kutoka Gaza.
Askari wa Israeli alimtumia picha ya zamani ya Idan akiwa na baba kutoka Gaza na mtoto mchanga kwenye kitanda cha mtoto.
Raichel alielezea kwamba hii ilipigwa wakati wa kazi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.