dini

  1. The Father of All

    Tuige mfano mzuri wa Wajapan kuhusiana na imani za dini

    Kwa waliowahi kwenda, kuishi, au kufanya utafiti juu ya imani za kidini nchini Japan, watakubaliana nami. Mjapani mmoja unaweza kukuta ni Buddha, Shinto, na Mkristo kwa wakati mmoja na hakuna tatizo. Je, hii inatokana na kupevuka kwao au mila zao safi zinazohimiza amani? Je, Afrika tungekuwa...
  2. Yoda

    Mkanganyiko wa dini usio na majibu

    Mdau anauliza Mungu alimwambia mtu aliyevaa joho jeupe anywe divai lakini asioe, kisha akamgeukia mtu aliyevaa kanzu nyeusi akamwambia asinywe divai lakini aoe wake wanne?
  3. Financial Analyst

    Tunawaandama wakina ifropreneur, kiranga na eli cohen ila ni watu ambao wapo huru nafsini mwao tofauti na sisi tuliofungamana na dini za mchongo

    Kuna jamaa nimesoma uzi jana kuwa hata baada ya kupata mkopo wa 30mln akaenda kutoa fungu la kumi, leo analia anafirisika ila alipopeleka 3m wanasonga. Kuna mwingine niliona uzi anasema hakuna mahali kwwnye quran na bible imeandikwa kuwa ukioa msichana mdogo hata wa miaka 10 ni kosa. Sasa...
  4. Stability

    Kwanini kobaz wengi wa JF wanachagua sana dini kuliko au dhidi ya utu na mantiki.

    Firstly, nakumbuka walivyofurahia vijana wa tanzania kuuliwa na hamas kipindi kile, walivua utanzania kabisa na kushabikia hamas kisa tu ni kobaz wenzao. Pia mnajua upande gani waliokuwa juzi hapa. Then, fuatilia nyuzi zao, wako tayari kusimama na muuaji haijalishi ni ukatili wa namna gani...
  5. ChoiceVariable

    Kwanini Hapa Tanzania Matajiri Wengi Wakubwa Karibu Wote ni Waislamu? Je Dini ya Wakristo Inawanyonya Waumini Wake?

    Ni Mikoa michache sana Tanzania ambako Matajiri wake sio Waislamu,kuanzia Sumbawanga Hadi Tanga,Mtwara Hadi Kigoma. Kwa Upande wa Wakristo matajiri ni wachache sana,Je shida ni dini kuwanyonya waumini au aina ya mafundisho? Rostam - Muslim GSM -Muslim Lugumi - Muslim Mo Dewji - Muslim Bahkresa...
  6. Zack Abdul

    Tume Chande: Dini Nguzo ya Amani

    Ripoti ya Tume ya Jaji Chande ilitambua kuwa taasisi za kidini zilicheza jukumu muhimu na chanya wakati na baada ya ghasia za Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025. Viongozi wa dini mbalimbali walilaani vurugu, kutoa wito wa amani na kusaidia kutuliza mvutano katika jamii. Tume iliona mchango wao kama...
  7. Yoda

    Katika dini ni kipi katika maisha ya binadamu kisicho ibada?

    Nimesikia watu wanasema kula ni ibada nikashangaa sana, nimeshindwa kuelewa wanamaanisha nini maana najua viumbe wote wanakula ili waendelee kuishi, wasife. Niliwahi kusikia pia watu wanasema maradhi ni ibada!
  8. Financial Analyst

    Kwa nini nchi za africa na uarabuni ndizo nguli wa dini duniani ila ndizo zinazoongoza kwa umasikini na vita?

    Tulidhania nyie mlio loyal wa dini na mafundisho yake mtakuwa na unyenyekevu na kusaidiana ila ndio mnaongoza kuuana na kunyang'anyana.
  9. L

    Rais Samia kutua kwa Kishindo Mkoani Songwe hapo kesho. Kupokelewa na Mamia ya Viongozi wa Dini Na Maelfu ya Waumini. Asubiriwa kama Masia

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Anatarajiwa Kutua kwa kishindo kikuu Mkoani Songwe Hapo kesho . Ambapo Rais wetu Mpendwa na Moyo wa Taifa letu anatarajiwa Kupokelewa na Mamia ya Viongozi wa Dini...
  10. MK254

    Mzee akamatwa Kenya kwa kuoa mtoto, ajitetea na dini ya Kiislamu, asema ameona hata mtoto wa miaka tisa akiolewa

    Video: Lizee la hovyo la jamii ya Kisomali Kenya umri wa miaka 46 limekamatwa Kenya kwa kuoa katoto, kuhojiwa linasema dini ya kiislamu inaruhusu hata kuoa katoto ka umri wa miaka tisa. Majirani walitoa ripoti kwamba walikua wanaskia huyo mtoto akilia usiku, inasemekana mtoto alikua...
  11. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    Tukiweka Dini pembeni pamoja umasikini narudia Tena kusema mke Mmoja hautoshi angalao wawili watatu hata wane si mbaya.

    Maelezo mnayo ninyi wakuu. NB: PICHA HII NDO NAMNA CCM ILIPOTUFIKISHA.
  12. Zack Abdul

    Viongozi wa Dini na Maridhiano Kitaifa

    Viongozi wa dini wametakiwa kushiriki kikamilifu katika maridhiano. Taifa linahitaji kurejesha maadili na kushinda majeraha ya ghasia. Hii ni dhamira ya pamoja ya Watanzania wote. #RipotiYaChande Tume Ya Uchunguzi
  13. Trainee

    Neno Mubashara: Chaneli ya taifa mnaharibu lugha, chaneli ya dini na nyinyi amueni moja mtumie kiswahili ama kiarabu

    Ukiangalia kuna chaneli kama makundi matatu hivi juu ya uandishi wa neno LIVE kwa Kiswahili sanifu Kuna wanaoandika MBASHARA mfano TBC. Hawa jamaa mwanzoni nilidhani wamekosea tu katika typing lakini kumbe wapi, ni staili yao. Ni sawa na mtu aandike STAKI badala ya SITAKI eti kisa tu katika...
  14. Alloyce PR

    Afrika na Dini

  15. Parabolic

    Waziri Katambi akutana na viongozi wa dini, wajadili mmomonyoko wa maadili

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi (watano kulia) akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa dini wakati wa Kikao Kazi kilichofanyika Makao Makuu ndogo ya wizara hiyo jijini Dar es Salaam. Watatu kushoto ni Naibu Katibu Mkuu wa wizara hiyo, Dkt. Maduhu Kazi. Picha na Wizara ya...
  16. a sinner saved by Christ

    Dini haiokoi ila Yesu. Mtafute na kumshika Yesu na siyo dini

    Dini ni utaratibu aliouanzisha mwanadamu katika kumtafuta na kumuabudu Mungu wake.. ila YESU ni Mungu aliyejinyenyekeza kujishusha kuvaa mwili wa mwanadamu,kuzaliwa kimasikini katika zizi la ng'ombe,kaishi maisha ya duniani na kuwa rafiki na kukaa pamoja na wanadamu wenye dhambi(Emmanuel) ili...
  17. M

    Wasomi wengi wa dini ya kikiristo ni weupe sana ktk uchambuzi wa kimataifa

    Wengi wao hawajui sana dunia inavyoenda na huwa wanabase sana ktk maswali ya dini. Tofauti na wavhambuzi wa dini ya kiislam. Wengi wanaolikwa media za kimataifa ni wa dini ya kiislam Mfano vita na migogoro ya urusi na ukrain na mashariki ya kati. Wasomi wa dini ya kiislam huwa hawabase, huwa...
  18. Mcqueenen

    Kwanini dini inauzika sana Kwa wanawake? Maana ndio wahanga wakubwa wa Dini

    Shalom akhbar! Katika ulimwengu wa Leo Ukiangalia wahanga wakubwa wa manabii,waganga na wahanga na kuolewa wanne wanne ni wanawake...unadhani ni kwanini? Simple. Wanawake ni Viumbe wa hisia kuliko logic, na dini inatumia hisia zaidi kukamata watu kuliko logic, kwasababu ukitumia logic ndogo...
  19. Prof Phraoh AI

    Kwenye Statistics kuna Concept inaitwa "Wisdom Of Crowd" Sisi watu wa dini tunasema Sauti ya Wengi ni Sauti ya Mungu

    Mwaka 1906 mwanasayansi na mtafiti Francis Galton alishuhudia tukio la kawaida katika maonyesho ya mifugo nchini United Kingdom. Kulikuwa na shindano ambapo watu walialikwa kukadiria uzito wa ng’ombe mmoja. Mamia ya watu walishiriki—wafugaji, wachuuzi, na hata watu wa kawaida waliopita tu. Kila...
  20. comrade_kipepe

    Mpaka siku muafrika aachane na mambo ya dini, ndio siku atakayoendelea

    Wanaosema dini ni nusu ya uchizi hawajakosea. Fikiria, kabla dini haijaletwa mtu mweusi ulikua na maisha yako na namna ya kuomba Mungu kwa dini zako za asili. Baada ya kuletewa dini leo hii wewe ndio unajikuta unaijua zaidi ile dini kuliko walioileta, Kwamba wewe ulie Maneromango ndio unamjua...
Back
Top Bottom