dini

  1. Dini au Kabila, kipi kina Maana zaidi katika Maisha ya Mwanadamu?

    Habari zenu wadau..... Najiuliza kati ya dini na kabila, kipi hasa kina umuhimu na maana zaidi katika maisha ya hapa duniani kwa mwanadamu? Mtu anazaliwa katika kabila fulani bila kuchagua, hawezi kubadili kabila lake. Lakini dini mtu anaweza kuichagua, kuifuata au hata kuibadili. Sasa kama...
  2. Dini rahisi mtu kwenda mbinguni ni Uislamu

    Katika dini rahisi kwenda mbinguni (kama ipo) kati ya dini kuu mbili basi ni Uislamu hasa kama una pesa au ni tajiri kwa sababu katika Uislamu maisha ya dini ni kama ligi ambapo kila jambo lina thawabu yake ambazo ni kama point. Ukikusanya point za kutosha unachukua kombe (kuingia mbinguni)...
  3. F

    Wizi wa dini, kwanini mapadre na wachungaji huwa hawatoi sadaka na nani huzila?

    Kichwa cha habari kiko wazi. Kwanini Mungu ambaye haonekani wala hana uhitaji asanye sadaka? Tuzinduke. Nawasilisha. Kama wahusika hawaibi wala kula sadaka, huu utajiri wanaupata wapi na lini? Kwanini wanapenda sana kuweka matajiri hata wanaopingana na itikadi zao mbele? Kwanini wengi wamo...
  4. Ni vigumu sana mtu kuacha kumuamini Mungu, dini akiwa katika familia ya Ukristo au Uislamu

    Huu wimbo wa Israel Mabinti huwa unanifanya nitafakari sana kuhusu waamini Mungu na dini. "Ukiniponya nitaamini, hata usiniponya bado nitaamini. Ukinijibu nitaamini, hata usinijibu bado nitaamini."
  5. Hakuna muumini yeyote asiye muislamu ambaye anaweza kumchinja NGAMIA,huu ni uthibitisho tosha kwamba uislamu ndio dini ya haki mbele ya Mwenyezi Mungu

    Ngamia hachinjwi hovyo hovyo kama wanavyochinjwa wanyama au ndege wengine. Ngamia ili achinjwe lazima asomewe dua na aridhie kuchinjwa na anaye msomea dua asiwe mtu wa makando kando mengi kinyume na hapo ataumbuke peupee. Hii iliwahi kutokea hapa hapa TZ kuna masheikh walikesha kuomba ili...
  6. Dini zangu 5 very amazing

    Namba 1 Dini za asili.. Zina doctrine nzuri Sana bahati mbaya sana zilikosa waandishi wa kuziweka kwenye vitabu hivyo ikawa rahisi kwa wakoloni kuzifilisi na sass zimebaki historia Namba mbili.. Dini za wapagani.. Wakijinasibu hawaamini kitu lakini wamejaa mikanganyiko na ugomvi wao mkuu ni...
  7. Kumbe 40 ni ubunifu wa Waswahili kwenye dini!

    Kwenye dini ya Kiislamu hakuna 40 baada ya msiba au mtoto kuzaliwa, hili ni jambo ambalo Waswahili wamejiongeza kuipimp dini! Kwa nini huwa ni lazima kufanya 40 baada ya msiba wa Kiislamu ikiwa dini haina maamrisho hayo?
  8. Nadhani huu ukumbatiaji wa wicknell kwa rais wa nchi haujakaa kiprotical , amemkumbatia vibaya na sidhani dini kama inaruhusu.

    Binafsi sidhani kama mwanamke wa kiislamu mjane na ambaye inasemekana ni rais akumbatiwe namna hii. Kwa maoni yangu ninavyoona sio sahihi. Jamaa ukumbatiiaji umevuka mipaka.
  9. Binadamu sio kitovu cha ulimwengu kama dini zilivyoaminisha watu.

    Katika jambo mojawapo la upotoshi mkuu ambao dini umeweza kufanya ni kuwaaminisha binadamu kwamba wa ndio kitovu cha ulimwengu (the center of the universe), kwamba kila kitu kimeumbwa kuwazunguka wao. Kwamba wanyama, miti, Samaki, ndege na viumbe wengine wote vimewekwa kwa ajili yao, huu ni...
  10. Waislamu wanaosema Ukristo sio dini huwa wana maana gani?

    Huwa nikiwasikia Waislamu wanaosema Ukristo sio dini naona kama wamechanganyikiwa au wenye hitilafu kwenye kichwa na hawaelewei maana ya dini. Dini duniani ziko kati ya 4,000 mpaka 10,000.
  11. Yafuatayo ni mawazo mgando ya Wanaume wengi Mabwege na wenye Akili duni.

    YAFUATAYO NI MAWAZO MGANDO YA WANAUME WENGI MABWEGE na WENYE AKILI DUNI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Yule Shujaa. Moja ya mambo yaliyonifanya nisipende kukaa vijiweni na kuwaelewa wazazi na walezi wangu ni kutokana na mitazamo, fikara, na mawazo ya vijana na wanaume wengi wanaokaa...
  12. O

    Viongozi wa Dini -TEC,BAKWATA,CCT chini ya mwamvuli wa Interfaith Committee wana nafasi kubwa ya kuchangia kupatikana Maridhiano na Mufaka wa Kitaifa

    Viongozi wa Dini Baraza la Maaskofu Katoliki,Baraza Kuu la Waislamu Tanzania,Jumuiya ya Wakristo Tanzania ,wanayo nafasi kubwa sana kuchangia upatikanaji wa Mazungumzo,Maridhiano na Muafaka wa Kitaifa na hatimaye Taifa kuanza safari ya kupata Katiba mpya. Tukumbuke kwamba kwenye mapendekezo ya...
  13. Mtengeneza maudhui maarufu - Youtube, aliyekuwa akibeza mambo ya dini, aamua kuokoka na kubatizwa katika maji mengi!

    Hii habari ni moto sana! Kila mtu anapaswa kuisoma mwanzo mpaka mwisho. Kweli Mungu anawapenda watu wote. Amebadilisha maisha ya Mtengeneza Maudhui(Youtuber) maarufu mwenye umri wa miaka 30, aliyejizolea mamilioni ya Subscribers kwa video zake za comedy, muziki, boxing na survival challenges...
  14. Waafrika wameanza kuzipuuzia dini za Wazungu na Waarabu

    Jana niliona post, Mzungu aliuliza vijana wa Kenya kama wanamwamini Mungu. Vijana walimjibu kuwa hawamwamini Mungu ambaye anayekaa mbinguni, wala dini ya Ukristo wala uislamu bali wanamwamini Mungu aliye ndani yao ambaye ni wao wenyewe Nilidhani comments za Wakenya zitakemea hili suala ila...
  15. O

    Kamati ya Kusukuma Maridhiano ya Kitaifa inawaomba CCT,TEC,BAKWATA waunde Kamati ya suluhu na uapatanisho ili kusaidia juhudi za Maridhiano nchini

    Kamati ya Kusukuma Maridhiano ya Kitaifa (KKMK) tunaomba viongozi wa Dini (BAKWATA,CCT,TEC) kuunda Kamati ili kukutana na kufanya mazungumzo na wadau Serikali,Vyama vya Siasa kwa ajili ya kufungua mlango wa Mazungumzo ya Maridhiano na Muafaka wa Kitaifa.KKMK tunaamini kwamba viongozi wa dini...
  16. UN yaidhinisha ramani yenye Ukubwa halisi ya Afrika huku USA Wapinga.Tu Damp Dini, Elimu na mifumo Yao ya Utawala.

    My Take Hawa kima weupe walitufogosha sana ,ni wakati wa kuwatupia virago kuanzia dini zao,Elimu zao na mifumo Yao ya usalama Ili tururishe ukuu wa muafrika. https://www.instagram.com/p/Dc5oAiZjT0Q/?img_index=2&igsi=NnhsbDFnY3l1Zml0
  17. Nafasi ya Dini Katika Mgawanyo wa Madaraka

    https://youtu.be/Q_j7NyVC3YY?si=-X0zBb0EkA17D6K0
  18. Mbinu 7 makini za kulea mtoto mazingira ya mjini

    MBINU 7 MAKINI ZA KULEA MTOTO MAZINGIRA YA MJINI Malezi ya mtoto katika mazingira ya mjini yamekuwa changamoto kubwa kwa wazazi wengi. Mtoto wa Mjini anakua katika dunia yenye mchanganyiko wa tamaduni, mitazamo, teknolojia, mitandao ya kijamii na makundi mbalimbali ya watu.Hii Tofauti na zamani...
  19. R

    Tetesi: Huu ndio uraia wake na dini yake

    Anasema, Ni mzanzibari na wala si Mtanganyika wa Dodoma, and therefore si Mgogo according to this information from this chap! With this information if true, ana sifa za kuwa na nafasi aliyopewa
  20. Kuanzia leo nisikie kiongozi wa dini anasema utawala hutoka mbinguni.

    Walah najiapiza siku hio nitajulikana.. Kama kweli uongozi unatoka kwa Mungu inawezekanaje yule mtu ambae..Mungu aliwaidhinisha wote akawapa kibali cha kuongoza leo analazimishwa kujiondoa!! How comes!! How is that possible?? AU kibali cha uongozi Mungu ambacho hua anatoa ni kwa Rais tu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…