Nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) zimetakiwa kuimarisha ushirikiano wa kikanda ili kukabiliana kwa pamoja na vitisho vya kiusalama vinavyovuka mipaka, ikiwemo ugaidi, makundi yenye silaha, uhalifu wa kimataifa, ukosefu wa usalama mipakani, milipuko ya magonjwa na uhalifu wa...
Rais William Ruto amewaonya viongozi wa kisiasa dhidi ya kutumia siasa zinazochochea chuki, migawanyiko na ukabila nchini Kenya.
Akizungumza katika mkutano wa hadhara mjini Narok, Rais Ruto alisisitiza umuhimu wa viongozi kuhubiri umoja na kudumisha amani miongoni mwa Wakenya badala ya kutumia...
Tanzania ni nchi masikini lakini tangu kuasisiwa kwake imekuwa ni nchi bora kwa umoja na mshikamano.
Kwa umasikini wao siku zote wamekuwa wakishikamana kwa upendo.
Wakiombana chumvi hadi chakula kwa upendo mwingi.
Wameshirikiana kwenye misiba na sherehe
Dini zao hazikuwafanya wachukiane wala...
Tanzania ni nchi masikini lakini tangu kuasisiwa kwake imekuwa ni nchi bora kwa umoja na mshikamano.
Kwa umasikini wao siku zote wamekuwa wakishikamana kwa upendo.
Wakiombana chumvi hadi chakula kwa upendo mwingi.
Wameshirikiana kwenye misiba na sherehe
Dini zao hazikuwafanya wachukiane wala...
Waliouwawa kipindi cha uchaguzi wa 2025, ni Watanzania wenye itikadi mbalimbali, Wana CCM, Chadema na wasio na vyama
Kufanya maridhiano kupitia majukwaa ya kisasa na kuhusishwa vyama pekee, haitatosha, Watanzania waliopoteza watu wao hawatatendewa haki
Kwa MAONI YANGU,
Juhudi zilizoelekezwa...
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, amehukumiwa kifungo cha miaka minne jela baada ya kupatikana na hatia ya kosa la uchochezi. Hukumu hiyo imetolewa Ijumaa, Novemba 6, 2026, na Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam
Kuna watu wanaamini...
Ni Ile ya kudai kuwa "Lissu aliandika barua kuomba maridhiano fake ,barua ilipomfikia Heche akaichana".
Kwa maoni yako huu ni uchochezi kuleta chuki ndani ya jamii au ndio uhuru wa kutoa maoni?
Hawa viongozi ni wanafiki sana, wanaituhumu Mahakama na Majaji kuwa wametumika kumuadhibu Lissu wakati huohuo wanataka kukata rufaa kwenda Mahakama ya Rufaaa!!! hawa jamaa ni wanafiki na wazandiki kweli!!! Wanajiona wajanja na wanaakili kuliko wengine.
Hawa watu haswa viongozi wa Chama na...
Hivi fani ya uhanabari bhana haina tofauti na uhakimu na ujaji ubwabwa kama nduguru na wenzake.
Yaani magazeti ya Tanzania yote, yameripoti eti Lissu ameachiwa na Mahakama badala ya kuandika Lissu alibwagwa serikali kesi ya uhani.
Basi kama mnainea haya hiyo serikali yenu andikeni Lissu...
Sababu alizo zitoa Tundu Lissu mahakamani leo baada ya hukumu na kukataliwa kwa ukimya wa majaji walah vizazi vyao vitalaaniwa.
Nimewahi kujiuliza hivi kwa nini Mahakimu wastaafu wa Tanzania baada ya kustaafu kwao vizazi vyao ukumbwa na mikosi kama utaila na kadhalika? Sio tu mahakimu hata...
Je, utachinja jogoo lako pendwa?
Je, utafanya ibada ya shukrani kwa Mungu?
Je, utaishukuru mahakama kutenda haki?
Je, utashinda bar kulewa na kuiendeleza weekend kwa kishindo cha wakoma..!!
Je, utaserebuka kwa muziki?
Je, tutarajie mimba nyingi siku ya leo? Nyavu kutikiswa kwa wingi...
Inaonekana ni ruksa kulingana na hotuba ya boss kipindi fulani huko nyuma. Lakini kwa nini? Labda mikataba inayosainiwa na viongozi wetu huko juu? Ila wanakaa kama hawajui chanzo kiko wapi🤔.
Wanasema ustaharabu mpya, wafanyane wakubwa kwa wakubwa. #Haki za binadamu
Wizara ya Afya nchini Kenya imewaonya wananchi dhidi ya kutumia dawa ya cetirizine kwa lengo la kuboresha tendo la ndoa, kufuatia madai yanayosambaa kwenye mitandao ya kijamii kuwa dawa hiyo inaweza kupunguza unyevunyevu na kufanya uke kuwa mbana zaidi.
Akizungumza Jumatano, Novemba 4, 2026...
Ukiwa timamu uliyetimia kiakili, rijali wa ubongo, shupavu wa fikra tunduizi, huwezi kamwe, namaanisha kamwe abadani, kubeba mtu, kumchukua kutoka kwao na kwenda kumfuga nyumbani kwako kwa ajili ya ngono na kuzaa zaa hovyo.
Jambo zima la ndoa limejengwa katika dhana ya ujinga, hofu, tamaa...
https://youtu.be/P0b1Sk7_VFM?is=cLeLJ-QDzigC9brU
Mnamo Oktoba 18, 2007, Lucky Dube aliuawa na majambazi wenye silaha huko Rosettenville, kitongoji cha Johannesburg, muda mfupi baada ya kuwaacha watoto wake wawili nyumbani kwa mjomba wao.
Dube alikuwa akiendesha gari lake aina ya Chrysler 300C...
Ikitokea umeingia kwenye rada za watekaji na hii ni kwakua lazima mara nyingi muhanga awe anajua kwakua watekaji mara nyingi sio wendewazimu wamfuate mtu hivihivi bila sababu.
Sasa ukishayatindinganya na ukaona umepewa onyo la meseji au kufuatwa fuatwa na sura usizozielewa basi mbinu hii...
Please Please,
My friends, ladies and gentlemen,
tusikae kimya, kutazama tu bila kukemea taasisi za kidini na vyama vya siasa vikiendelea kuhamasisha na kuchochea chuki, uhasama na migawanyiko, ambayo ni wazi inalenga kuamsha hasira na ghadhabu miongoni mwa jamii za waTanzania na pengine kuleta...
Naingia kwenye mada moja kwa moja bila kuwachosha. Mpaka sasa Kanisa Katoliki (RC) na makanisa yote ya kikiristo kupitia muungano wa makanisa yote (CCT) wametoa wito kwa waamini kuwaombea ndugu waliopoteza maisha kwenye mauaji ya halaiki ya MO29. Pamoja na kuombea marehemu na kuwafariji ndugu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.