dhidi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Dr Matola PhD

    Leo ni kumbukizi ya miaka 11 ya shambulio kali la kimtandao dhidi ya JF, CCM maji yalikuwa shingoni

    JamiiForums Message Tumerejea: Tupo imara zaidi! Wakuu, Tunafarijika kuwafahamisha kuwa tumerejea hewani baada ya kupata mashambulizi ya makusudi yenye kulenga kuzuia upatikanaji wa huduma kwa watumiaji wa JamiiForums (DDOS Attack) kwa takribani masaa 7, kuanzia saa 7 mchana hadi saa 2 usiku...
  2. Poppy Hatonn

    Pharis na UVCCM wanapanga kufanya njama dhidi ya Heche.

    Pharis tumemsikia anasema Heche ni mwizi. Heche hafai kuwa keep ongozi wa nchi hii. Nani amemwambia Pharis Heche amekaribia kuwa kiongozi wa nchi hii? Heche sasa hivi anasota waya. Heche anawayawaya wakati tunasubiri hukumu ya Mahakama Nov 6. Heche wanasema alikuwa house boy wa Mbowe. Hata...
  3. Carlos The Jackal

    Kwanini watu wajinga wàjinga hutumia Fedha na Mali zao kujibu Hoja zinazoelekezwa dhidi yao?

    Unakua mjinga mmoja ni Kiongozi, anakosolewa kwa nafasi ya Uongozi wake. Au ni mjinga huyu ni Maarufu ,Msaniii, Kiongozi ,ni MwanaCCM , Mfanyabiashara . Inapotokea amekosolewa au kuambiwa ukweli juu ya jambo Fulani , huyu mjinga atafanya mambo yafuatayo Ama aandike au arekodi video...
  4. C

    Serikali yataka ushirikiano kudhibiti matumizi ya pombe, sigara na shisha

    Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya Dkt. Grace Magembe, amesisitiza umuhimu wa ushirikiano baina ya taasisi za Serikali, Wabunge pamoja na jamii kwa ujumla katika kudhibiti matumizi ya pombe, sigara, shisha na sigara za kielektroniki, hususan kwa watoto na vijana walio chini ya umri wa miaka 18. Dkt...
  5. K

    Tafakari baada ya kusoma kitabu cha "The Invitation": Utu wa dhati dhidi ya Wimbi la "Uchawa", Kujipendekeza, na Viongozi Wanaojinufaisha

    Wakuu, habari za wakati huu. Hivi karibuni nimepata nafasi ya kusoma kitabu cha "The Invitation" kilichoandikwa na mwandishi Oriah Mountain Dreamer. Hakika kimenipa funzo kubwa sana ambalo nimeona si vibaya niklishirikisha hapa jukwaani kwetu, hasa kwa muktadha wa maisha na siasa zetu za kila...
  6. Manyanza

    Tamko la Baraza la Uongozi la TLS dhidi ya dhukuma inayoendezwa dhidi ya Rais wa TLS na kutendewa visivyo kwa Wakili Tundu Lissu

    Baraza la Uongozi la Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) linaendelea kufuatilia kwa ukaribu shauri la maombi namba 4 ya mwaka 2026 lililofunguliwa tarehe 27/5/2026 na Wakili mwenzetu Chacha Mwita Nashon mwenye namba ya uwakili 11554 dhidi ya Rais wa TLS Wakili Boniface A.K. Mwabukusi kwenye...
  7. loose Nut

    Daezen Maeda wa Ipswich kazawazisha goli dhidi ya Manchester city

    Ni gemu ya premier league inayoendelea sasa hivi ambapo Mancity ilitangulia kufunga dakika ya 19 kupitia Phil Foden. Na baadaye dakika 21 huyu kijana mchaga Daezen Maeda kutoka Rombo anayechezea Ipswich kama mshambuliaji kusawazisha. Safi sana Mangi kutuwakilisha vema. Chaliifrancisco hydroxo...
  8. C

    DRC: Kabila anapanga mashambulizi dhidi ya serikali

    Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) imemshutumu rais wa zamani Joseph Kabila kwa kupanga kile ilichokiita "shambulizi pana” dhidi ya taifa hilo baada ya kuungana na waasi wa M23 na kuunda muungano wa FRN. Akizungumza na shirika la habari la AFP siku ya Ijumaa (16.10.2026)...
  9. W

    Je, pombe imekuwa silaha mpya ya kisiasa ya Ruto dhidi ya wakosoaji wake?

    Rais William Ruto amezua mjadala baada ya kumhusisha Seneta wa Nairobi Edwin Sifuna na pombe alipokuwa akizungumzia uzinduzi wa chama kipya cha kisiasa, The Equitable Party (TEP), na madai ya Sifuna kuonekana kwenye baa baada ya hafla hiyo. “Niliona Sifuna alienda kulaunch the Empty Party alafu...
  10. O

    Askofu Mwenye Mshahara wa KSh1.2M kwa Mwezi Afungua Kesi Dhidi ya Kanisa Aliloanzisha, Adai KSh21M

    Mwanzilishi wa kanisa la Mamlaka Hill Chapel, Askofu Charles Muhia Ng’ang’a, amefungua kesi katika Mahakama ya Ajira na Mahusiano ya Kazi jijini Nairobi akitaka kurejeshwa kwenye nafasi yake baada ya kufutwa kazi, huku akidai fidia ya zaidi ya KSh21 milioni. Ng’ang’a, ambaye alikuwa akipokea...
  11. R

    GN No. 487A of 2025: Je, tunawalinda watanzania au tunahatarisha uwekezaji halali?

    Nimeandaa makala inayochambua utekelezaji wa Government Notice No. 487A of 2025, inayozuia wasio raia kufanya baadhi ya shughuli za biashara Tanzania. Lengo la kuwalinda na kuwawezesha Watanzania kiuchumi ni muhimu. Lakini kuna swali linalohitaji mjadala; Nini kinatokea kwa kampuni zilizokuwa...
  12. Yoda

    Kaaba Iko salama kiasi gani dhidi ya mashambulizi ya Wa-Houthi wa Yemen?

    Wa-Houthi wa Yemen katika wiki za karibuni wamezidisha mashambulizi ya kijeshi ya makombora kwa nchi ya Ufalme ya Saudi Arabia wakipiga maeneo muhimu ya kimkakati katika taifa hilo ambalo wamekuwa wakipigania nalo vita kwa zaidi ya miaka kumi sasa. Katika siku za hivi karibuni imeshuhudiwa...
  13. K

    'Digital Privacy' dhidi ya Uaminifu wa Jadi: Je, kupeana 'Passcode' za simu ni ujenzi wa Uhusiano au Uhujumu wa Faragha? Wajumbe mnasemaje?

    Picha yenye maandishi "Je, Wanandoa Wanapaswa Kukaguana Simu zao?" Ndugu zangu wa Jukwaa la Mahusiano, Mapenzi na Urafiki (MMU), Katika zama hizi za mapinduzi ya kidijitali, kifaa cha kiganjani (smartphone) kimeacha kuwa chombo cha mawasiliano ya sauti pekee. Kimegeuka kuwa mtambo unaohifadhi...
  14. USSR

    Joseph Kabila na hoja 10 dhidi ya utawala wa sasa wa DRC chini ya Tshisekedi

    OKOA CONGO: Kabila Amkataa Tshisekedi Kuhudumu kwa Muhula wa Tatu na Kuwataka Wananchi Wachukue Hatua Kuokoa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC): Hoja kuu 10 kutoka katika hotuba ya Rais wa zamani Joseph Kabila. 1️⃣ Kongo iko katika hatari ya kusambaratika...
  15. Roving Journalist

    Responded Waratibu wa Mkutano wa LCOY watoa ufafanuzi kuhusu tuhuma na malalamiko dhidi yao

    Baada ya hoja ya Mdau ambaye aliandika = Vijana tulioshiriki Mkutano wa LCOY Tanzania 2026 Dodoma tumepigwa, tumebaki na madeni ufafanuzi umetolewa kutoka kwa wahusika. Taarifa ya Ufafanuzi Kuhusu Usaidizi wa Wajumbe Katika LCOY Tanzania 2026 Imetolewa na: Kamati ya Maandalizi ya LCOY Tanzania...
  16. A

    Uamuzi wa Kesi ya Said Issa na wenzake dhidi ya CHADEMA hadi Oktoba 22, 2026

    Mahakama kuu ya Tanzania, Masijala Ndogo ya Dar es Salaam, imeahirisha kutolewa kwa uamuzi wa maombi ya zuio katika kesi inayowahusisha Said Issa Mohamed na Ahmed Rashid Khamis dhidi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA). Mahakama imesema uamuzi huo umesogezwa mbele hadi tarehe 22...
  17. MALCOM LUMUMBA

    Maswali magumu kuhusu mgogoro wa Ukraine dhidi ya Urusi ukilinganisha na ule wa Iran dhidi ya Marekani

    Matukio ya kuanzia mwaka 2022-2026 yamebadilisha sana akili za watu wengi duniani. Propaganda na ulaghai vimekuwa vikipwaya kila siku dhidi ya ukweli na uhalisia wa mambo. Kumekubwa na maswali mengi mazito ambayo hata wenye akili wanashindwa kuyatolea majawabu ya moja kwa moja: Mosi, Israeli na...
  18. Manyanza

    Uamuzi kesi ya Said Issa dhidi ya bodi ya Wadhamini wa CHADEMA

    Leo, tarehe 8 Oktoba 2026, Mahakama Kuu ya Tanzania, Masijala Ndogo ya Dar es Salaam, inatarajiwa kutoa uamuzi kuhusu Maombi ya Zuio katika Maombi Madogo Na. 14864 ya mwaka 2026. Maombi hayo yanahusu shauri la Said Issa Mohamed & Ahmed Rashid Khamis dhidi ya Registered Trustees of Chama cha...
  19. Troll JF

    Mahakama ya Rufani imetupilia mbali shuauri la Madai kati ya Zitto Zuberi Kabwe dhidi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Kuna shauri la kikatiba alifungua Zitto Zuberi kabwe akipinga kuondolewa kwa Professor Asad katika nafasi yake ya CAG. Mahakama ya Rufani iliyokaa na Majaji watano (5) likiongozwa na Jaji wa Mahakama ya Rufani waheshimiwa Barke Mbaraka Aboud Sehel, Dr. Gerald Anthony Mwandambo, Dr. Mary...
  20. Zack Abdul

    Tanzania yataka hatua kali dhidi ya mabadiliko ya tabianchi

    TANZANIA imewataka Nchi Wanachama wa Mkataba wa Nairobi kuchukua hatua madhubuti na za pamoia kukabiliana na mabadiliko va tabianchi, uchafuzi wa bahari na matumizi yasiyd endelevu ya rasilimali za baharini. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mhandisi Hamad...
Back
Top Bottom