dar

Darkənd (also, Dər, Dar, and Der) is a village and municipality in the Ordubad District of Nakhchivan, Azerbaijan. It is located in the south of the Ordubad-Nakhchivan highway, 15 km in the south-west from the district center, on the right bank of the Gilanchay River. Its population is busy with gardening, vegetable-growing, animal husbandry. There are secondary school and a medical center in the village. It has a population of 500. The ruins of the historical and architectural monuments is in the territory of the village. The tomb, the mosque's minaret, etc. is attracting attention.

View More On Wikipedia.org
  1. Nauza laptop Fujistu i5 ram 8GB,windows 11, keyboard,mouse free original bei 300,000 nipo dar es salaam, mkoani natuma

    Nauza laptop Fujistu i5 ram 8GB,hdd 500GB, windows 11, keyboard,mouse free original bei 300,000 nipo dar es salaam, mkoani natuma. Nicheki 0756704145 whatsapp,call, sms
  2. Umewahi Kupanda Bus ya Abood ya Dar - Tarime? Pitia hapa

    Kama umewahi kupanda Bus ya Abood Dar - Tarime au Tarime _ Dar Naomba kujua huduma zao, wapo ontime (wanajali muda)? wanatumia masaa 22 kama walivyoandika kwenye tiketi au ni zaidi ya masaa 22 ya safari?
  3. Responded DAWASA: Januari - Novemba 2026, Mita 3,497 zimeibiwa maeneo ya Dar es Salaam na Pwani

    Wizi wa mita za maji zikiibiwa zinaenda kutumika wapi Mamlaka ya Majisafi na usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imeendelea kushughulikia changamoto kwa wananchi wasio waaminifu wanaoiba mita za Maji kwa matumizi ambayo bado hayajafahamika. Mamlaka imebaisha kuwa kuanzia Januari hadi...
  4. Kama unahitaji kompyuta desktop, laptop, na software / programu

    Kama unahitaji kompyuta desktop na laptop ,na software / programu nicheki ,mkoa wa dar es salaam mikoani tunatuma kwa uaminifu
  5. Natangaza rasmi kuja Tanzania kuhudhuria hukumu ya Lissu mahakama kuu Dar

    Leo nimeanza safari ya saa 17 kuja Tanzania kuhudhuria hukumu ya Lissu mahakama kuu ya Dar. Kesho majira ya saa tisa mchana nitakuwa tayari ndani ya viunga vya uwanja wa ndege Dar na tutakuwepo mahakamani ijumaa tukiwa tumejaa tele. Hatutishiki na mikwara ya Muliro wala yeyote yule...
  6. Naomba wazo la biashara la mtaji wa 10m hapa dar es salaam

    Naomba wazo la biashara la mtaji 10m kwa hapa mkoa wa dar es salaam. Nicheki 0756704145 kunisaidia wazo la biashara.... naomba mwenye connection nq mtu anayeendagq China na dar kwa ajili ya biashara
  7. Naomba wazo la biashara la mtaji 10m kwa hapa mkoa wa dar es salaam

    Naomba wazo la biashara la mtaji 10m kwa hapa mkoa wa dar es salaam. Nicheki 0756704145 kunisaidia wazo la biashara.... naomba mwenye connection nq mtu anayeendagq China na dar kwa ajili ya biashara
  8. Dar ndio sehemu pekee mnakaa mshikaki (mbambiana) kwenye boda msiofahamiana

    Dar ndio sehemu pekee mnakaa mshikaki (mbambiana) kwenye boda msiofahamiana. Wanaume kwa wanaume au mwanamke na mwanaume. Unatoka Mbezi umebambiwa na lijamaa mpaka Kariakoo😀 limekugusa makalio yako🙌🏿🤔
  9. O

    Safari Dar es Salaam - Tanga

    Nipo Dar es Salaam naomba muongozo nina Ist ya 2nz nahitaji kwenda nayo Muheza hivi hapa mafuta ya bei gani, lita ngapi yanaweza nifikisha pasi mawazo
  10. Boda boda kila siku watu wanapata ajali Dar

    Ndani ya siku 3 tu, Doctor Charles Sokile, ambaye ni mchungaji makanisa ya TAG-amegongwa na bodaboda akiwa anatoka kwenye maonyesho ya Tonny Kapole kijitonyama. Huyu mwanafunzi wa TIA amegongwa akiwa anakwenda chuo, /Kwa siku si chini ya maiti 5 zinazoingizwa mochwari kwa ajali za Boda boda...
  11. Natafuta kazi yoyote Dar es salaam nina diploma ya mechanical engineering

    Natafuta kazi yoyote Dar es salaam nina diploma ya mechanical engineering Nicheki whatsapp call sms 0756704145
  12. Ninawazo la biashara kwa dar es salaam mtaji 10M kuanzia nicheki 0756704145 whatsapp

    Ninawazo la biashara kwa dar es salaam maeneo ya mbezi, naishi mkoa wa dar es salaam, mbezi mwisho karibia...mtaji 10M kuanzia nicheki 0756704145 whatsapp, tufanye kazi
  13. Traffic ashindwa kumsaidia bodaboda aliyepata ajali Ilala

    TRAFFIC NA BODA BODA KUNA UGOMVI? Leo, jijini Dar es Salaam, eneo la Ilala, tukio la ajali ya boda boda limeibua maswali baada ya askari wa usalama barabarani (Traffic) kudaiwa kushindwa kutoa msaada kwa dereva wa boda boda aliyepata ajali. Kwa mujibu wa maelezo ya mdau aliyeshuhudia tukio...
  14. Vilio mradi wa viwanja Mvuti Dar es salaam. Uzoefu wangu umenisaidia.

    Nimeona watu wengi sana wakilalamika kuhusu viwanja vilivyouzwa MVUTI Dar es salaam tarehe 30/10/2026 kwenye mfumo wa TAUSI Haya ni maoni yangu kwa uzoefu wa muda mrefu wa kutumia mfumo wa TAUSI. Uzoefu wa kunua viwanja, kuomba leseni za biashara, kushiriki Auction kwenye Mfumo. Malalamiko...
  15. D

    Wana jamii naombeni ushauri nifungue wapi duka la hardware

    Jaman naombeni ushauri nataka kufungua duka la hardware dar ila sio kariakoo je nifungue sehemu gani ntaweza kupata mzunguko mzuri.au kama Kuna wilaya yoyote tofauti na dar hata mikoani huko ipo vizuri nishaurini nipo tayari kwenda kokote kule ila kuwe na mzunguko mzuri tu
  16. Naombeni chimbo la matunda Dar

    Hii ya kuuziwa matunda bei za vyakula haija kaa poa kwangu. Naombeni machimbo ya sehemu wanapo jumua matunda kwa Dar. Atleast niwe naenda kuchukua ya week nzima kabisa kwa bei poa. Napenda kwa sababu napenda juice iwe kwa friji, na matunda kwa ujumla Naya penda sana So wanabodi wa Dar...
  17. R

    Waitara: Nimeona kwenye mitandao sherehe za wasagaji, Je, serikali ilitoa kibali sherehe ifanyike Dar es Salaam?

    Mbunge wa Jimbo la Tarime Vijijini, Mwita Waitara, ameibua swali bungeni leo Novemba 2, 2026, akitaka kujua kama serikali ilitoa kibali cha kufanyika kwa sherehe za wasagaji zilizoripotiwa kwenye mitandao ya kijamii jijini Dar es Salaam, na ni hatua gani zinachukuliwa kudhibiti tabia hizo...
  18. Matengenezo ya bomba kuu kupunguza maji kwa siku nne Dar es Salaam na Pwani

    ‎Wakazi wa maeneo mbalimbali ya Dar es Salaam wanatarajiwa kukabiliwa na upungufu wa huduma ya maji kwa siku nne kuanzia Novemba 3 hadi 6, 2026, wakati Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) ikifanya matengenezo ya bomba kuu lenye kipenyo cha inchi 72 linalopokea maji...
  19. Watu wa Dar mbona hamtuletei dagaa mchele huku Sikonge?

    Huku tunapambana tunawaletea asali. Siyo sisi tu, huko Mbeya wanapambana mnapata mchele. Njombe wanajitahidi kuwaletea viazi mle chips. Kanda ya ziwa wanawaletea ng'ombe. Nyinyi kinawashinda nini kutuletea dagaa mchele? Jumla ya eneo lote la bahari la Tz ni zaidi ya Km za eneo laki mbili. Ziwa...
  20. Ndio naingia Dar, nikapanga chumba mitaa ya Temeke, katika nyumba hio kuna bro flani alikuwa anaishi na demu wake na rafik yake wa kiume chumba kimoja

    Ila waswahili duuh😁😁, ukiwa mgeni wa huu mji kila kitu kwako kitakuwa kipya Yani wanapikia humo, jamaa analala na demu wake kulia jamaa yeye anajibanza kushoto kwenye ukuta Sikuwahi kusikia wanagombana Mashikoro mageni
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…