dar

Darkənd (also, Dər, Dar, and Der) is a village and municipality in the Ordubad District of Nakhchivan, Azerbaijan. It is located in the south of the Ordubad-Nakhchivan highway, 15 km in the south-west from the district center, on the right bank of the Gilanchay River. Its population is busy with gardening, vegetable-growing, animal husbandry. There are secondary school and a medical center in the village. It has a population of 500. The ruins of the historical and architectural monuments is in the territory of the village. The tomb, the mosque's minaret, etc. is attracting attention.

View More On Wikipedia.org
  1. C

    Jinsi Dar Es Salaam inavyoleta Huzuni Moyoni mwangu

    Habari wana jf, Kwa kifupi kila nikipata safari ya kikazi, familia au mapumziko na kufika au kupita Dar es Salaam Huwa na ondoka nikiwa na huzuni sana moyoni mwangu Kwasababu hizi chache 1. Ndio sehemu ambayo hunikumbusha kwamba ninaweza kuwa bora sana katika shughuli zangu za kiutafutaji au...
  2. A

    Malalamiko kuhusu dai la faini kwa abiria wa SGR

    Leo, Oktoba 10, 2026, mimi na ndugu yangu tulisafiri kwa treni ya SGR kutoka Dar es Salaam kwenda Morogoro, katika behewa namba 14, siti namba 41 na 42. Wakati wa kukata tiketi, tulifanya makosa kwa kukata tiketi mbili zenye jina moja. Hata hivyo, tulifanikiwa kutatua changamoto hiyo na kupanda...
  3. O

    🚢 Gari Likifika Dar Port: Usifanye Haya Makosa 5

    🚢 Gari Likifika Dar Port: Usifanye Haya Makosa 5 Gari kufika bandarini ni habari njema. 🎉 Lakini pia ni hatua ambayo inahitaji umakini. Haya ni makosa ambayo mwagizaji anapaswa kuyaepuka: ❌ Kutokuwa na nyaraka kamili ❌ Kutokujua gharama za clearance ❌ Kuchelewesha mchakato bila sababu ❌...
  4. Gunner11

    Watu wa Dar ni wazembe na wachafu sana.

    Nakumbuka kipindi ndo nina fika jiji la Dar.. Piga hesabu nikalipia chumba cha elf 60 single, Oya cha ovyo kinyama. Basi, nikaoneshwa pale kuwa wa au taratibu wa kulipia umeme elf 15! Maji na na taka elf5 so inakuwa ujumla elf 80. Nikawalipa, chumba kilikuwa haija kamilika, father house...
  5. B

    KONGAMANO LA KIMATAIFA LA SACCA 2026 / 2026 SACCA CONGRESS DAR ES SALAAM

    08 October 2026 KONGAMANO LA KIMATAIFA LA SACCA 2026 / 2026 SACCA CONGRESS DAR ES SALAAM 11 – 16 October 2026 26th SACCA Congress to bring more than 1, 200 cooperative leaders in Dar es Salaam https://m.youtube.com/watch?v=tFw2aqH6Xi8 Held under the theme, “Building Trust, Driving...
  6. A

    Uamuzi wa Kesi ya Said Issa na wenzake dhidi ya CHADEMA hadi Oktoba 22, 2026

    Mahakama kuu ya Tanzania, Masijala Ndogo ya Dar es Salaam, imeahirisha kutolewa kwa uamuzi wa maombi ya zuio katika kesi inayowahusisha Said Issa Mohamed na Ahmed Rashid Khamis dhidi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA). Mahakama imesema uamuzi huo umesogezwa mbele hadi tarehe 22...
  7. Zack Abdul

    Mkutano wa Nairobi (COP12) Washika Kasi Dar

    Waziri wa Nchi, Ofisi va Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe Mhandisi Hamad Yussuf Masauni akifanya mahojiano maalum na TBC katika kipindi cha 'Jambo Tanzania kuhusu Mkutano wa 12 wa Nchi Wanachama wa Mkataba wa Nairobi (COP12) unaoendelea Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius...
  8. peno hasegawa

    TRC mliwaza nini kuondoa route ya saa 3 asubuhi ya SGR kutoka Morogoro kwenda Dar ? Mjibuni Afande Sele!

    .
  9. Aggrey sallah

    NAHITAJI FUNDI PROFESSIONAL WA SUIT ZA KIUME – DAR ES SALAAM

    Natafuta fundi professional mwenye uzoefu na uwezo mkubwa katika ushonaji wa suit za kiume, kwa ajili ya kufanya naye kazi kwa muda mrefu. Workshop ipo Mbezi Beach, Dar es Salaam, ikiwa na mashine za kisasa, nzuri na za kutosha pamoja na mazingira mazuri ya kazi. Awe na uwezo wa: • Cutting na...
  10. Roving Journalist

    Chalamila: Machinga aliyepewa fremu mwisho miaka mitano, baada ya hapo nakufukuza

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amewataka wafanyabiashara ndogo maarufu kama Machinga kutumia fursa wanazopata kujiendeleza na kuachana na biashara ndogo, akisema lengo ni kuwawezesha kukua hadi kuwa wafanyabiashara wakubwa na walipakodi. Akizungumza leo, Oktoba 7, 2026, wakati...
  11. Mad Max

    BYD Da Han inaenda Kilometa 1,000 full charge, na ina efficiency ya 8.7 km/kWh. Yaani Kilometa 8.7 kwa unit 1 ya Umeme (Tsh 360)

    BYD wanatuletea Sedan Kali inayokwenda kwa jina la BYD Da Han. Inakuja na versions tatu, zote zinatumika battery kubwa la 102.3 kWh lithium iron phosphate (LFP) second-generation Blade Battery. Katika izo versions Kuna RWD inayoenda Kilometa 1,008 na acceleration ya 0-100 km/h kwa sekunde 5...
  12. Zack Abdul

    Fursa Uchumi wa Bluu Yadiliwa COP12 Dar

    Naibu Waziri,Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, Reuben Kwagilwa akizungumza na wanahabari mara baada ya kufungua mjadala wa Jukwaa la Biashara ulioiadili fursa za uwekezaji na biashara kwa ajili ya uchumi endelevu wa buluu katika Bahari ya Hindi ya Magharibi, ikiwa ni siku ya pili ya...
  13. Kibunango

    Katarama bus... Mbeya to Dar

    Leo najaribu kupanda basi hili la Katarama.... Kwa mjibu wa tiketi bus lilitakiwa kuondoka Mbeya saa 9... hadi sasa ni saa 9:50! Na hakuna dalili zozote kama bus hili litafika toka Tunduma. Kwa waliowahi kupanda bus hili tokea Mbeya naomba ushauri wenu. Aidha hizi safari za transit hapa Tz...
  14. Zack Abdul

    BANDARI YA DAR ES SALAAM YAPANDA KIMATAIFA, YAIACHA MOMBASA NA DURBAN

    Bandari ya Dar es Salaam imeorodheshwa nafasi ya 255 duniani katika Container Port Performance Index (CPPI) 2025, ikiwa mbele ya Mombasa (396), Durban (398) na Cape Town (400). Tathmini ya Benki ya Dunia na S&P Global hupima ufanisi wa bandari kwa kuangalia muda ambao meli hutumia bandarini...
  15. Zack Abdul

    COP12 Dar Es Salaam: Tanzania Yaweka Historia

    Watu mbalimbali wakiwasili kwenye ukumbi wa mikutano wa JNICC jijini Dar es salaam kwa ajili kuhudhuria mkutano wa COP12 ambao Tanzania imeweka rekodi ya kuhost kwa mara ya kwanza.
  16. T

    KERO Utaratibu wa TARURA kukusanya hela ya maegesho ya magari Dar es Salaam upoje? Mbona wanakusanya hadi kwenye maeneo ya watu binafsi?

    Kwa mujibu wa sheria, TARURA ina mamlaka ya kutoza ushuru wa maegesho katika maeneo maalum ambayo yametengwa na kuandaliwa kwa ajili hiyo. Hata hivyo, kinachoendelea katika baadhi ya maeneo ya Dar es Salaam kinaibua maswali kuhusu utaratibu wa utozaji huo. Unapokwenda kwenye baadhi ya...
  17. Pfizer

    Plasduce Mbossa: Bandari ya Dar es Salaam imepanda Kimataifa kutoka nafasi ya 360 hadi 255 katika ufanisi wa kuhudumia makasha

    MAMLAKA ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) imeingia katika hatua ya ziada ya kuboresha ufanisi wa huduma na kupanua miundombinu ya bandari zake, huku ikilenga kukabiliana na ongezeko kubwa la meli na mizigo pamoja na kuimarisha ushindani wa bandari nchini katika soko la kimataifa...
  18. K

    Hivi kuondoa machinga ni maeneo yote Dar ES laam yote kasoro Mbezi Mwisho(Luis)?.

    Ningependa kupata ufafanuzi juu ya kichwa cha habari cha mada tajwa. Maana niliona tangazo kua machinga kukaa barabarani Wilaya ya Ubungo mwisho ni tar 29 mwezi wa tisa, lakini mpaka sasa machinga wamejaa maeneo ya Mbezi Luis, na wengine wanaboresha mabanda yao na mengine yapo juu ya mitaro, na...
  19. M

    DAR: Wahalifu wa uchakachuaji wa mitungi ya gesi za kupikia wakamatwa. Je serikali inatulindaje watumiaji dhidi ya huu wizi?

    Habari wana jamii. Kuna taarifa imepostiwa mtandaoni ikieleza kukamatwa kwa wezi (wahalifu) ambao wanafanya kazi ya kuchakachua mitungi ya gesi za kupikia (LPG) jijini Dar-es-salaam. Taarifa hiyo inadai kuwa watu hao huwa wanafanya kazi ya kupunguza kilo za gesi kutoka kwenye mitungi iliyojaa...
  20. O

    Wanafunzi wa University na ulimbukeni wa Dar

    Niliuliza zaidi ya wanafunzi 10, ukifunga utabaki au utaenda home anasema naenda home. Ukimuuliza home ni wapi anasema Dar wakati ni mkurya wa kyabakari sijui wapi. Watano waliobaki wanaenda kwa dada zao Ndio maana wengi utuandikia pumba humu JF mfano mzuri ni yule Gunner11
Back
Top Bottom