dar es salaam

Dar es Salaam
Dar es Salaam is the largest city and financial hub of Tanzania. With a population of over five million people, Dar es Salaam is the largest city in East Africa and the sixth-largest in Africa. Located on the Swahili coast, Dar es Salaam is an important economic center and one of the fastest-growing cities in the world.
  1. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Amos Makalla, Legacy yako ni Jiji la Dar es Salaam kuwa Safi

    Nimesoma Dar, nimeishi Dar kabla sijahamia Mkoani Ruvuma, kusema kweli Dar imekuwa na sifa kuu 3 1. Uchafu 2. Mipango miji mibovu iliyopelekea ujenzi holela wa Makazi hadi maeneo ya biashara( vibanda vya machinga) 3. Joto na foleni za Barabarani Namba tatu ni sababu zilizo nje ya uwezo wa...
  2. beth

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Hatutaruhusu utoroshwaji madini kuendelea. Zifanyike doria kuwabaini wahusika

    Rais Samia Suluhu Hassan amesema ifikapo 2025, Serikali inalenga Sekta ya Madini iweze kuchangia 10% ya Pato la Taifa. Ameeleza hayo katika Hafla ya Utiaji Saini Mikataba baina ya Serikali na Kampuni za Uchimbaji Madini. Amesema, "Tunasikia Madini yamepenya huku na huku, jitihada zinafanyika...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mkopo wa haraka kutoka kwa mtu binafsi (Dar es Salaam)

    Wadau salaamu, Nahitaji mkopo wa haraka na dharura kutoka kwa mtu binafi wa kiasi cha milioni 2, nitarejesha kwa riba ya 40% baada ya mwezi 1. Dhamana: 1. Gari langu rav4 namba D (nitakabidhi certified copy ya kadi ya gari) 2. Biashara yangu ya bucha (ilioko Bunju B - Mabwepande) Naomba...
  4. beth

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Polisi hawatakiwi kutisha watu wanapowakamata

    Rais Samia Suluhu Hassan amesema Polisi wanapokamata watu hawatakiwi kufanya vitisho, lakini hali inayoonekana Mitaani ni ya vitisho na kutia hofu Akiwa katika Mahafali ya Kufunga Mafunzo ya Uofisa Kazi No. 1/2021 amesema, "Wakati mwingine mtu anakamatwa tu bila kosa la maana. Zipo tuhuma za...
  5. V

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, nimesoma Bachelor of Finance na uzoefu mwingi

    Hello wanaforum naitwa richard nimegraduate degree ya finance university of dsm natafuta nafasi ya kazi ya kujitolea kwenye kampuni yoyote nipate uzoefu Napatikana Dar Es Salaam Tanzania namba zangu 0657710078
  6. beth

    JamiiForums Tanzania Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta kuwa mgeni rasmi katika Sherehe za Uhuru

    Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta anatarajiwa kuanza ziara rasmi ya siku mbili nchini Tanzania kuanzia kesho, Desemba 9 ambapo atakuwa mgeni rasmi katika sherehe za uhuru wa Tanzania Bara zitakazofanyika katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam. Akizungumza na vyombo vya habari leo Jumatano...
  7. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania RC wa Dar es Salaam Amos Makalla nani Kakudanganya kuwa Kiongozi Kushangiliwa na Kuitikiwa na Watu wengi ndiyo Wanamkubali na Kumpenda?

    RC wa Dar es Salaam Amos Makalla haimaanishi kuwa Umati mkubwa na Shangwe lao likija Kukusikiliza na Kukuona au kumuona Bosi wako Kitaifa uliyekuwa ukimpamba mno Jana Kigamboni, basi ni Ishara tosha kuwa wanakukubali na wanakupenda. Zifuatazo ni sababu za Nyongeza za Umati mkubwa wa Watu...
  8. beth

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Nitaendelea kuzunguka kuwaambia wawekezaji waje Tanzania

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema, "Kama nimekubali kubeba mzigo wa kuongoza hii Nchi, kuna mambo kadhaa yaliyoelekezwa ndani ya Ilani niyatimize. Sitayatimiza kwa kukaa Ofisini Dodoma au hapo Magogoni, lazima nizunguke nitoke nikaonane na watu" Ameeleza hayo leo katika Uzinduzi wa...
  9. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Napinga RC wa Dar es Salaam Makalla 'Kuwafurumusha' Makahaba katika 'Vilinge' vyao bali waachwe tu waendelee Kuuza 'Nyama' zao tamu

    Siku zingine kabla hamjakurupuka Kuwaondoa ( Kuwafurumusha ) muwe mnaitisha Kwanza Kura za Maoni kutoka Kwetu Wadau na Wadaawa wakuu wa hizo 'Nyama' zao tamu na tukuka. Kwahiyo mnavyowaondoa mnataka sasa tubake Wanafunzi ili mtufunge vizuri Miaka yenu 30 au tuanze kuwapa Mimba 'House Girls'...
  10. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Mbeya vs Dar es Salaam wapi kupo poa?

    Japokua naishi Dar es Salaam, binafsi nakupenda Mbeya kwasababu zifuatazo. 1. Mbeya kuna hali ya hewa nzuri ambayo hata mgeni kutoka Ulaya lazima aipende. 2. Mbeya kuna vyakula vingi vitamu na vya kila aina na vya bei ndogo. 3. Mbeya kuna mazingira mazuri ya kusomea 4. Mbeya unakunywa maji ya...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Wasomi wa Chuo kikuu cha Dar Es Salaam Kupitia Mkwawa Kitu Gani Mmeandika Hapa?.

    Ninavyojua Mkuu wa Chuo kikuu cha Dar Es Salaam na matawi yote ya chuo hicho kikiwepo chuo kikuu cha Mkwawa pale Iringa ni Rais mstaafu wa awamu ya nne Jakaya Mrisho Kikwete. Kunapokuwa na dhifa ya chuo inayofanya kuwepo kwa mkuu huyo kuwepo hatuwezi kusema mgeni rasmi ni Mkuu wa Chuo bali huyo...
  12. Masai wa Town

    JamiiForums Tanzania Je, Naweza kuishi Dar kwa mshahara wa laki tatu?

    Tafadhali Husika na kichwa Cha Uzi Huu. Mimi ni Job seeker, nimepata kibarua Cha laki tatu Dar es Salaam. Sijawahi kufika Dar ila nasikia maisha ya huko ni Magumu kwa sababu ya bei ya vyakula, Pango na Usafiri. Naomba kuuliza, kwa kiasi hicho tajwa, nitamudu maisha ya Dar?! Ahsante.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi wa New Sideway Bar Bunju, Dar es Salaam jirekebisheni mnafukuza wateja

    Ni kwa masikitiko kuwa wafanyakazi wa Baa ya New Sideway iliyoko Bunju A Kinondoni DSM hasa wanaohudumia vinywaji wamekuwa na tabia mbaya sana ya ubaguzi katika kuwahudumia wateja. Kama wewe hutoi offer au huna urafiki na wahudumu jua imekula kwako. Unaweza kufika unakaa unasubiri mhudumu...
  14. Mtalebani Mweupe

    JamiiForums Tanzania Lodge au Hotel Dar es salaam

    Wakuu habari! Kama mnavyoiona hali ya Hewa hii, naomba nifahamishwe lodge au Hotel yoyote nzuri Dar ila iwe imejificha ficha kidogo. Iwe maeneo ya Dar tu. Budget yangu 50,000 to 70,000.
  15. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Kama mnaipenda bandari ya Bagamoyo ni bora tungejenga kwa hela zetu tunazoingiza bandari ya Dar es Salaam

    Ni ushauri tu, Sipendi ujuaji sana wa kusoma kwenye makaratasi ila huwa napenda kuchakachua ubongo wangu, Kama kweli mnaipenda bandari ya Bagamoyo ni bora tungejenga kwa hela zetu tunazoingiza bandari ya Dar es Salaam.
  16. H

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Miliki Sasa Kiwanja Chako Kilichopimwa Dar es salaam -Kigamboni Mwasonga Kwenye Mji Unaokua Kwa Kasi. Kwa Bei Poa Kabisa

    Project Closed
  17. nyboma

    JamiiForums Tanzania Wazazi muwe makini na birthday wanazokwenda vijana wenu. Birthday party nyingi ni sehemu ya kuhalalisha ushoga kwa Dar

    Siku hizi unaweza kukutana na kusanyiko la vijana wa kiume wakisherehekea birthday, kumbe ni kusanyiko la mashoga. Kuna birthday zinazo wakutanisha mashoga, vijana wadogo ingawa wengine watu wazima. Hili janga tusione aibu kulizungumzia kwa kudhani halipo nawahakikishieni lipo tena kubwa sana...
  18. Ramon Abbas

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Toyota caldina for sale at Magomeni Dar es Salaam

    Gari inauzwa. full AC mileage 121,000 haina tatizo lolote. asking price 3.5mil 0713096076
  19. seedfarm

    JamiiForums Tanzania Uhaba wa Maji Dar es Salaam: Harufu zimeanza kuwa kali maofisini na Majumbani

    Watu wa Dar es Salaam, Mambo yamekuwa sio mambo, ni harufu kali na uchafuzi wa mazingira unatokana na uhaba wa maji Familia zenye watu wengi ni shida na balaa, Watu wana nawa uso tu, nguo hazifuliwi zinanuka jasho Je, CCM ni ile ile au hii nyingine Na joto kali sio Dar es Salaam tu bali...
  20. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Job Opportunity: Graphic Designers at Jamii Forums

    Jamii Forums is a Tanzanian Non-Governmental Organization that advocates for and promotes Civil and Digital Rights, Social Justice, Accountability, Democracy and Good Governance. Jamii Forums operates JamiiForums.com, Tanzania’s famous digital content platform with its Social Media pages, well...
Back
Top Bottom