dar es salaam

Dar es Salaam
Dar es Salaam is the largest city and financial hub of Tanzania. With a population of over five million people, Dar es Salaam is the largest city in East Africa and the sixth-largest in Africa. Located on the Swahili coast, Dar es Salaam is an important economic center and one of the fastest-growing cities in the world.
  1. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Dar: Watu wawili mbaroni kwa mauaji ya Barke Rashid. Wivu wa mapenzi wadaiwa kuwa chanzo

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, linawashikilia watu wawili kwa tuhuma za mauaji ya mwanamke aitwaye Barke Rashid, aliyeuawa Januari Mosi, 2022, akiwa guest maeneo ya Tabata, ambapo mmoja amekiri kutekeleza unyama huo baada ya kuahidiwa shilingi milioni 1.7 Kuhusu mkasa wa mauaji...
  2. I

    JamiiForums Tanzania Hivi nikifungua digital marketing agency hapa Dar es Salaam, clients wapo?

    Habarini wakuu Mimi ni mjuzi mzuri wa masuala ya digital marketing haswaa. Ila nimekua nikijikita kwenye ishu nyingine kwa muda mrefu sasa ukiachana na hizi mambo za marketing. Sasa nimeona ni muda muafaka wa mimi kutumia ujuzi huu nilionao kuniingizia kipato zaidi. Je nikifungua digital...
  3. Mlachake

    JamiiForums Tanzania DAR: Vijana watano wamepotea katika mazingira ya kutatanisha

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limesema limepokea taarifa za vijana watano wanaodaiwa kupotea katika mazingira ya kutatanisha tangu mwisho wa mwaka 2021. Kamanda Jumanne Muliro amesema wamezipokea na wanazifanyia kazi kuweza kufahamu usahihi wake. ==== Dar es Salaam. Fears have...
  4. N

    JamiiForums Tanzania Ni mbinu ya kuweka namna ya kutoruhusu upotevu wa Kodi katika masoko makubwa Dar es salaam

    Ni mbinu ya kuweka namna ya kutoruhusu upotevu wa Kodi katika masoko makubwa Dar es salaam hii itambatana na kuwajenga majengo makubwa yenye frame Kwa ajili ya biashara! Wamachinga wawe sehemu ya kusaidia Kodi pia.. Kuwafukuza Ingechukua muda mrefu sana.. hii itakuwa interval ya miezi 6 miaka...
  5. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua 'Logic behind' Ikulu mpya ya Dodoma kufanana Kiujenzi ( Kiramani ) na hii ya Dar es Salaam

    Kama tunajenga Ikulu hiyo hiyo kama ya Dar es Salaam nini maana ya Wasomi wetu hasa wa Ujenzi kuhimizwa zaidi Suala la Ubunifu ili Kupendezesha eneo na hata Mazingira pia? Nayasubiri tu majibu yenu Wapendwa.
  6. B51

    JamiiForums Tanzania Natafuta Daktari Bingwa (Specialist) wa magonjwa ya wanawake kwa Dar es Salaam

    Habari zenu wadau, Naombeni msaada wa kuelekezwa ilipo hospital yenye kubobea (specialy) ya magonjwa ya wanawake Kwa hapa Dar es salaam. Au ni Dr yupi mnamfahamu ni specialist wa magonjwa ya wanawake na anapatikana wapi/hospital gani. Ahsanateni === Huyu mwanamke anasumbuliwa na maumivu makali...
  7. JF Member

    JamiiForums Tanzania Hali ya Maji Dar es Salaam sio nzuri, hayatoki

    Kwa mwendo tunaokwenda muda sio mrefu kipindupindu kikarudi. Kwa mara nyingine maji Dar es Salaam ni shida. Wauza maji wenyewe wanayatafuta hawayapati. Sijui viongozi wanalichukuliaje hili huku hakuna hata taarifa kwa umma.
  8. C

    JamiiForums Tanzania Ipi bora kati ya St. Francis Girls Mbeya na FEZA Girls Dar es Salaam?

    Msaada. Binti yangu amechaguliwa shule zote mbili, ipi shule bora na sababu na mapungufu Ahasante.
  9. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza nimepanda daladala yenye AC Dar es Salaam

    Hello guys! Nimewahi kuwauliza makondakta na madereva wa daladala kwanini gari zao hazina Air conditioner ilhali ukicheki zina namba mpya za usajili wakanijibu kuwa wameng"oa ili kuokoa mafuta. Leo nimepanda daladala nimeshtuka kuona ina AC. Kweli nchi ngumu hii.
  10. Mlolongo

    JamiiForums Tanzania Nina milioni tano, naweza pata kiwanja upande huu wa Dar es Salaam?

    Mfukoni (actually ni kwenye account ya TigoPesa) nina milioni tano taslimu. Natafuta kiwanja upande wa kuanzia Ubungo kwenda Goba, Salasala, Tegeta, Madale, hadi Bunju. Lakin pia Ubungo kwenda Kimara pande zote, Mbezi huko msakuzi, hadi Kibamba, Kiluvya. Kifupi tu nalenga maeneo ambayo ni...
  11. kibovu

    JamiiForums Tanzania Mdada white wa exray hospital binafsi yenye chuo Dar Es Salaam

    Igweeeee Kwanza nipongeze kwa huduma bora. Nakuomba mnamo tarehe tatu mwezi january nilikuja ulinifanyia vipimo vya xray kwa weredi mkubwa nimdada mweupe mnene kiasi ulikuwa umevaa kigauni min Natamani nikupe zawadi kwa huduma zako bora nimeamua kutokutaja hospital yako but ni hospital...
  12. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Njia rahisi ya kupata pesa Dar es salaam ni hii

    Hii ni special kwa vijana wanaotafuta mtaji. Kwakuwa watu wengi wameshajazwa upepo kuwa hawana nguvu za kiume kumbe wanazo tele na Dar ni jiji kubwa basi wewe cheza na fursa. Nenda kanunue vile vichupa vidogo vinauzwa around 200 tsh. kama sitakosea, kisha unaingia kando ya mji unachukua magome...
  13. Ileje

    JamiiForums Tanzania Rais Samia amvaa Ndugai. Asema, "Huwezi kuamini mtu mzima ana-argue tozo na mkopo wa Trilioni 1.3"

    Kwa hotuba ya leo ya Samia kama Ndugai asipojiuzulu basi hana akili timamu na anatumikia tumbo lake tu. Samia amesema wazi kuwa kilichomsukuma Ndugai kupinga mikopo ni Uchaguzi Mkuu wa 2025. Aidha amesema wale wote wanasioweza kwenda pamoja na yeye katika kuwaletea wananchi maendeleo atawaondoa...
  14. Doctor Mama Amon

    JamiiForums Tanzania Uzinduzi wa Sinodi ya 16 ya Maaskofu Katoliki Duniani: Homilia ya Askofu Mkuu Ruwaichi wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam

    Askofu Mkuu Jude Thadeus Ruwaichi, wa JImbo Kuu la Dar es Salaam, akitoa homilia Usuli Tarehe 17 Oktoba 2021, Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dar Es Salaam Mhasham Jude Thaddeus Ruwaichi aliongoza Ibada ya Misa takatifu kwa ajili ya Uzinduzi wa Sinodi ya 16 ya Maaskofu Katoliki. Ibada hiyo...
  15. Midnight

    JamiiForums Tanzania Maeneo gani Dar es salaam watu hawaruhusiwi kupiga picha au kurekodi video?

    Rejea: Kichwa cha habali swali hapo juu. Binafsi nimeona katazo kwenye vivuko vya kigamboni. Ijapokuwa sijui Ni kwanini watu haturuhusiwi kupiga hata picha za mnato mule. Sasa ningependa sana tufahamishane na maeneo mengine yasiyo ruhusiwa kabisa kufanya shughuli hizo kabla na wengine...
  16. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Maisha ya Dar es Salaam miaka ya 1950

    DAR ES SALAAM YA MIAKA YA 1950 Naeleza maisha ya wenyeji wa Dar es Salaaam ya 1950 kama nilivyoyakuta wakati nazaliwa. Nagusia barza za kahawa na wauza kahawa, naeleza picha kutoka Maktaba ya Ali Msham iliyopigwa mwaka wa 1955 ikiwaonyesha watu waliohudhuria dua maalum ya kumuombea salama...
  17. Kwekitui

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli kuna upungufu wa vioo "Black Tinted Glass" hapa Dar es Salaam kwa wauzaji wakubwa?

    Kuna fundi mmoja amepewa kazi na baba yangu mzazi ya kutengeneza madirisha ya Aluminum, cha ajabu hii ni wiki ya 2 sasa anamwambia baba eti vioo havipatikani. Je wakuu kuna ukweli hapo eti vioo vya Dark Grey havipatikani nchini kwa sasa? Kama kuna anayeuza kwa jumla tafadhali anisaidie nije...
  18. hp4510

    JamiiForums Tanzania Naitaji Namba ya wahusika wa coca cola dar es salaam

    Habari wanajf Nataka kufanya biashara ya kuuza soda Kwa jumla vile kama deport Zinaitwa Sasa shida yangu ni kupata namba ya mhusika ambae moja Kwa moja atanisaidia mambo yote muhimu Ningependa awe mhusika kutoka kwenye kampun kabisa ya coca cola Msaada please
  19. X

    JamiiForums Tanzania NAFASI ZA KAZI MASHIRIKA MBALIMBALI JIJINI Dar es salaam

    JOBS DAR ES SALAAM Cargo Sales Officer (2 Posts) at ATCL December, 2021 - New! IT Support Officer Jobs Vacancy at Watu LTD Decmber 2021 Manager – PMTCT/EID/Pediatric HIV Service Delivery (1 Post) at MDH DECEMBER 2021 PLUMBER II - POSTS at Marine Services Company Limited December 2021 ARTISAN...
  20. kbmk

    JamiiForums Tanzania Nyumba kigogo Mbuyuni Dar es Salaam kubomolewa

    Nyumba zetu zimewekwa namba hata zile ambazo mafurko haya fiki, Wamiliki kuulizwa tukupe pesa au tuku jengee nyumba? Wamiliki wana pigwa picha na kupimiwa viwanja vyao ina semekan mwisho ni mwezi wa 6 wa 2022 kuishi eneo hilo 1. Naji uliza ule mradi wa bonde la mto msimbazi ndio umekuja hadi...
Back
Top Bottom