dar es salaam

Dar es Salaam
Dar es Salaam is the largest city and financial hub of Tanzania. With a population of over five million people, Dar es Salaam is the largest city in East Africa and the sixth-largest in Africa. Located on the Swahili coast, Dar es Salaam is an important economic center and one of the fastest-growing cities in the world.
  1. I

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote halali. Niko Dar es Salaam

    Mimi NI kijana wa miaka 23 Nahitaji kazi yoyote halali either ya nguvu au akili au zote kwa pamoja nimemaliz form four na nikisoma diploma miaka 2 wa tatu nimeshindwa kutoka na changamoto za ada hivyo nimeipata certificate course insurance and Risk management Na Nina uzoefu wa kuuza Duka kwa...
  2. kocha Nabi

    JamiiForums Tanzania Basi la Mkombe Luxury Coach South Africa-Dar lapata ajali mbaya

    Hii imetokea leo huko Zambia. ilikuwa inatoka South Africa kuja DAR.
  3. C

    JamiiForums Tanzania Kutafuta Mwalimu wa day care Dar es Salaam

    Tunatafuta mwalimu wa day care in Dar es Salaam. Vigezo awe mwanamke, tuna kituo cha day care Salasala, anayeona mema atupigie. 0717457679 CHANGAMOTO NI MATUMAINI / www.changamoto.org / info@changamoto.org
  4. X

    JamiiForums Tanzania Natafuta Mabanda ya Ufugaji Nguruwe Ya Kukodisha Dar es Salaam na Vitongoji Vyake

    Katika kipindi hiki, mimi binafsi naendelea kujikita kikamilifu katika harakati zangu za kutafuta mabanda ambayo naweza kuyakodisha kwa lengo la kuanzisha shughuli za ufugaji wa nguruwe. Katika kutimiza lengo hili, nina tamanio kubwa la kupata mabanda ambayo yapo Dar es Salaam au katika maeneo...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mawakala wa mauzo Dar es salaam

    Tuma CV yako raphael.temu.platinum@gmail.com Au whatsapp 0677032759 Mwisho wa maombi ni 22/12/2023
  6. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Chalamila amefikia mwisho wa kufikiri: Eti Watanzania wahame Dar es Salaam yenye matatizo

    Ni lazima tuseme, Mkuu wa Mkoa wa DAR ndugu Albert Chalamila amefikia mwisho wake wa kufikiri. Kauli yake ya jana, ati watanzania waoona Dar, jiji la changamoto nyingi, wahame Jiji kama changamoto hizo zinawakera hao wananchi. Anazidi kusema ukiona joto kali, hama jiji, nenda kijijini, ukiona...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Bandari ya Dar es Salaam yakabidhiwa eneo la Kurasini

    13 December 2023 Dar es Salaam, Tanzania SERIKALI YAKABIDHI ENEO LA KURASINI JIJINI DAR ES SALAAM KWA BANDARI YA DAR ES SALAAM BAADA YA MRADI WA EPZA KUFELI Eneo lililokuwa maalum kwa uwekezaji chini ya Mamlaka ya Ukanda Maalum wa Uwekezaji (EPZA) lakabidhiwa kwa bandari ya Dar es Salaam iliyo...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Maeneo ya Maktaba (Libraries) ninayoweza kwenda kujisomea hapa Dar ukiondoa Maktaba Kuu ya Taifa

    Wadau, Ukiondoa Maktaba Kuu ya Taifa, naomba kujuzwa kama kuna maktaba yeyote nyingine ambayo mtu yeyote anaweza akaenda kujisomea. Naomba kama unajua jina, location, utaratibu, gharama ya maktaba na uwepo wa huduma za ziada kama umeme, internet, nk, katika maktaba hiyo au hizo pia...
  9. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Dar es Salaam ili uende kazini na kurudi lazima uandae elfu 10 ya usafiri pamoja na chakula. Maskini hana chake hapa nchini

    Naandika hii mada nikiwa na uchungu moyoni. Sasa hivi nina miezi kama 4 hivi natumia Daladala kwenda na kurudi kazini na mara chache, tena chache sana huwa natumia bodaboda kazini mpaka home, home mpaka kazini. Kutoka Nyumbani mpaka kazini nikipanda bodaboda direct ni elfu 15. Go and return...
  10. Hismastersvoice

    JamiiForums Tanzania RC Chalamila, nenda Mbagala Zakhiem kalifungue soko

    Mheshimiwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, kwanini haukutaka kwenda kwenye soko la Mbagala Zakhiem kulifungua badala yake ukaenda kwenye uwanja wa Mbagala Zakhiem uliopo nusu kilomita kutoka kwenye soko? Mheshimiwa Mkuu wa Mkoa nenda Mbagala Zakhiem kalifungue soko kwani wafanyabiashara wa awali...
  11. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Hatimaye makazi ya baadhi ya wakazi wa Kijijini Mbezi Beach B (Dar es Salaam) yavunjwa

    Serikali imetekeleza agizo la kubomoa makazi yasiyo halali katika eneo maarufu la Kijijini katika Kata ya Kawe, Mtaa wa Mbezi Beach B, Wilayani Kinondoni jijini Dar es Salaam ikiwa ni utekelezaji wa agizo la Mkuu wa Wilaya baada ya siku 14 za kuwataka kuhama kwa hiari kupita muda mrefu, huku...
  12. Kindeena

    JamiiForums Tanzania Daraja kati ya Dar es Salaam na Bagamoyo limefungwa

    Daraja la Mto Mpiji ambalo lipo mpakani na linalounganisha Wilaya ya Bagamoyo na Mkoa wa Dar es salaam limefungwa kutumiwa na Waendesha magari na vyombo vingine vya usafiri baada ya sehemu ya daraja hilo kutitia na kupelekea uwepo wa shimo kubwa ambalo linahatarisha usalama wa Watu. Kwa sasa...
  13. Stroke

    JamiiForums Tanzania Barabara nyingi Dar es Salaam zimejaa mashimo, hivi wahusika hamlioni hili?

    Unapoingia jijini Dar es Salaam kupitia Barabara ya Morogoro, utapokewa na barabara za kuvutia zenye madaraja ya juu yanayopita magari na ya waendao kwa miguu, hakika utaona sura ya jiji inayopendeza. Lakini unapoanza kuingia mitaani, utachoshwa na barabara mbovu na kwa kipindi hiki cha mvua...
  14. Objective football

    JamiiForums Tanzania Leo nimeondoka rasmi jijini Dar es Salaam baada ya kupata mchongo Jehanamu

    Hakika dar es salaam ni Mji ulionipa marafiki wengi, network kubwa na hata pesa ya kuishi japo kuna siku mji huu ulinilaza njaa. Asubuhi ya leo wakati natoka mbezi kuja huku mkoani chozi limeni tililika sana(fear of new changes) Doh! nimefika mkoani , nikaenda kuripoti kituo changu cha kazi...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Tanzania na Uganda zaingia makubaliano ya kusafirisha shehena kupitia Bandari ya Dar es Salaam

    Tanzania na Uganda zimeingia makubaliano ya kuongeza usafarishaji wa Shehena ya Mizigo kutoka Bandari ya Dar es Salaam kwenda Uganda kupitia ushoroba wa Mwanza. Makubaliano hayo yamesainiwa kati ya Waziri wa Uchukuzi wa Tanzania Prof. Makame Mbarawa na Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi wa Uganza...
  16. benzemah

    JamiiForums Tanzania Askari Polisi amuua kwa Risasi Mlinzi wa Baa ya Boardroom Iliyopo Sinza jijini Dar es Salaam

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dares Salaam lilipokea taarifa kuwa tarehe 29/11/2023, Saa sita usiku maeneo ya Sinza Mapambano Kinondoni askari wawili walimjeruhi kwa risasi mu mmoja aliyefahamika kwa Jina la Razaki Azan mwenye umri miaka 29 mlinzi binafsi wa Bar itwayo Board room iliyopo Sinza...
  17. Hismastersvoice

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa mkoa Dar es Salaam nenda Mbagala katatue mgogoro mliouanzisha kuhusu soko la Zakhiem

    Mkuu wa mkoa umeonekana kwenye TBC 1 saa mbili usiku ukitoa shutuma kuwa wafanyabiashara wamefoji majina! Pamoja na udogo wao kimadaraka shutuma hizo si za kweli. Mkuu wa mkoa kabla ya soko la awali kubomolewa wafanyabiashara waliokuwepo manispaa ya Temeke iliwapiga picha kila mmoja kwenye...
  18. Spartacus boy

    JamiiForums Tanzania Chimbo la simu za blackberry Dar es Salaam

    Naulizia ni wapi kwa dares salaam au kwa mkoa wa Iringa ni wapi naweza pata BlackBerry zile simu za kizamani. Ahsante
  19. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Kwanini Barabara mpya kwa Jiji la Dar es Salaam zinajengwa kwa njia 4?

    Kipimo cha uwezo wa mwanadamu kama anafikiri sawasawa ni namna anavyofanya mambo yake kulingana na wakati husika. Dar es Salaam ndo Jiji Kuu la Biashara la Tanzania. Sio hivyo tu, ndo Jiji lenye watu wengi zaidi Tanzania na kadri siku zinavyozidi kwenda idadi ya watu inazidi kuongezeka. Kwa...
  20. badison

    JamiiForums Tanzania Rais Samia nakuomba umuondoe Mzee Kikwete kwenye nafasi ya Chancellor wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam

    Sio kwa ubaya wala chuki na Rais Mstaafu Kikwete hapana mimi nakupenda na heshima yako ipo pale pale. Lakini Mkuu naomba uachie hiyo nafasi kwani wewe sio mtu sahihi kushika cheo kama hicho. Toka umeteuliwa hiyo nafasi mkuu kila mtu alijua kuwa UDSM inaenda kufa na kweli chuo chetu pendwa ndiyo...
Back
Top Bottom